Hakuna mwanamke mgumu mbele ya anachokitaka kaka wanawake ni watu wasio wakuaminika yaani hata mkeo kama anashika laki au laki tano akija ambae atamp milioni ataliwa nakwambia
oya najma ume zingua 😢😢 kinoma. Kumuita chado malaya pamoja na uanaume wote alio onesha kwako ah kweli we kidem jau Jau sijapendaa kabisaaa oya sijapendaa inge kuwa ni mm ngesha muachaaa🥺🥺🥺 malaya aàaaah neno baya sana ilooo
Hasira tuuu yaan sio siri hii move ni nusu ya maixh yang na mtu wang daah inaniliz kuna mda xio siri najma na chado like me na mtu wang sema najma hasira tuuu ndmn amemuuita malaya
Ali dady fanya Kazi yako uliyotumwa na Kijiji namkubali sana mzeeeeeeee wa MISUMALI wagongeleeee wakina manyonga mpaka wajutie kukufahamu nipo nyuma yako mm ❤🎉🎉🎉🎉🎉
Ni Gabu kutoka kenya me ni mtazamaji wa mission imposśible plzz chado masta. Hii season two ya mission impossible ikiisha plžz leta season 3 juu hii missioni iko tamu sana content isihishe sai ❤❤❤❤
NAJMA kichwa njicho hawezi elewa upesi Hilo somo Bado mbichi sanaa Hajakomaa.hadi aelekezwe kwa kituo CHADO anakupenda na amekupambania Hajakuangusha ktk suala la mapenzi na pesa. MPE UBUYU huyo cheusi Media Akafanye matangazo 😂 Mbea huyo km jumalokole
Bado kidogo nilie man nimeisubilia mpaka basiii ayaa team chado tugawane like bhanaa tusiwe wachoyo man sijawai kupata like hata moja 😢
Sasahivi anachelewa hatari sana dah lakini tunamkubari sana chado 😊
@@AdamJacksnatariiii chado kibokoooo
Wanao mkubl uyu jamaa mchambaj like tusonge mble😂😂😂😂Ila JoJo usituaribie mahusiano yetu bana😢😢
Much love from 🇰🇪🇰🇪🥰
Yuaniudhi saana huyu JoJo 😂😂😂Kenya tupo yaani saana
@IreneMuronji Me amenichosha akil asa 🤣
@IreneMuronji Me amenichosha akil asa 🤣
Enyewe
Anakaa mwanamke angalia navotembea akiiachia achia kama nn ananikera uyu mm
Tunakuomba Mwenyezimungu tuvushe mwaka salama🙏🙏
Amii
Ameen
Ameen yaa Rabb
Amini
Amenii
Leo na mimi japo nimechelewa lakini naomba like zenu wote mnaomkubali chado mastar
Uyu baba wakuchambo nimempenda cwez ishi bila yy😂😂😂chukua maua yako🎉🎉❤baba unachamba hatar🙌🙌
Weeee mbavu sina 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Mapenzisafari-lj1mo 😂😂😂😂😂taratibu bakisha kwenye kipengele chengne kijacho
@@MwanasaadaAsha-es6ov 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@Mapenzisafari-lj1mo yatosha sasa cje mbavu zikavunjika kisawasawa😂😂🙌
Jamn na mm naombeni like
Wangapi wamepend chad alivyosimama na najima ❤❤ weka alam ya kopa
❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤
❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Sasa mama ngwengwe kashapata mpambe wake 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👐
Apa ndo penyew sas daah saf kabs Mr chado masta mpo vzur xan kweli, kitengo sauti ya mwanaume 🔥🔥🌹🌹❤️♥️👍👍
Kaka muongeaji unanikosha sana big up sana kwako😅😅...
Manyonga get ready kwakweli unajiita maprosso utajua ujui nakuambia 😂😂😂😂
Waliomuon cheusi tok muvi inanza ndokwanz leo avae suruali ndefu gong like🎉🎉🎉
😂😂😂
😂😂utatufanya tuanze kurudia toka mwanzo
Hadi mi nilikuwa nimemsahau.nishamzoea kwa suruali fupi😂😂😂
😂😂😂😂 kweli ee
@@zabibunassor ndoiv ten kapendez
Huyu mchambaji mngemvalisha tu joho
Najma mi nakulaumu kitengo amekwambia ukweli we wamkataa ,sasa ujue ndo umempa nafasi adui yako kwakweli umenikera ,kama wampenda chado rudi ukamuombe msamaha muendelee na mapenzi yenu ❤❤❤❤❤❤
Huu ndio upendo chado nimekupenda kumueshimisha kidemu jau
Simpendi jojo
Jojo shika njia uende usiaribu mapenzi ya kichwa jicho na chado mastar ❤❤❤
sio kichwa jicho ni kichwa njicho😂😂😂
@@WardaJuma-i1p sio kichwa njicho n...kidem jau 😅😅😅
@@SaumuNyale-s6hSio kidem jau ni Najma
😂😂😂😂😂😂😂 sio najima ni kimjushi 😂😂@@IreneLonjino
😂😂😂😂
Nimependa chado ulivyosimama na najma❤
Ila najma haelewi 😊
Uyu cheusi saingine anaongea ukwli atkma nimbea lkin anaongea vitu vya kweli kabsaa😂😂😂 nakupenda cheusi media😂😂😂
Najma haeleweki yeye alienda Kwa manyonga na alikuwa tayali kufanywa chochote ili aokoe nyumba anacholaumu nn sasa😂😂
Hakuna mwanamke mgumu mbele ya anachokitaka kaka wanawake ni watu wasio wakuaminika yaani hata mkeo kama anashika laki au laki tano akija ambae atamp milioni ataliwa nakwambia
😂😂😂😂😂
Niuwe sasa 😂😂😂
Nakubali sana kama unamkubali mwamba chad weka alam ya upendo na sapoti zenu muimu sna Tim chd usipite bila kuweka alam ya upendo 🎉🎉🎉🎉
❤
Wa mchongo 😂😂😂
Jamani nimesubiri mpaka nikataka nilie
Mtoto kazaliwa kakutana na walevi😅😅😅😅
JoJo asante kwa kuheshimisha bendera yetu ya 🇰🇪 much love team chado
Kwan jojoba niwakenya
Jojo akilia yuwa keti kama mjusi na kidemu jau ndio mrembo wanaendana na chado master❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Kazi nizuri sana tunawapenda waigizaji wote kwautupa muvi zuri sana mungu awainuwe zaid
Aaaaah Kaka mchambaji ckuwezi,,, wanao subiri baba ngwengwe kupandiwa juu😂😂 gonga dole twende sawa
Chado yaaan kazi nzuri sana unahitaji zawadi movie tamuuu kwel
😂😂😂😂kumbe Leo nimekuwa wakwanza 😅😅😅😅😅 jobless wenzangu mko wapi🔥🔥🔥🔥
Oya mwanang chado mi nikuchane Jojo aongezewe mshahala Kama ni kipaji huyu Dem kimelala🙌
Muhuni anajua kupenda, Ali muhuni wangu Nakupenda Hunnie Wangu ❤❤
Najima hasira hasara 🎉 chado anakuheshimu na upendo ❤mkubwa anapambana sana kwaajili yako ❤❤
Kilaa ckuu wamwisho mm tuu jamani asante sana chado najma chado anakupendaa usiliyeee😢🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤
Angalau na Mimi nimewahi kidogo toka naaza kuifatialia nakuwaga wa mwisho❤❤
Jmn cheusi ni noma Kwa uongo😂😂😂
Ima kama ima chukua🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 yako tunayo mkubali huyu mzee wa michambo tujuanee kwakweli❤❤
Wanaume wanamsifia chado kuwa upande wa najima ila wao kuwatetea wapenzi waoo aaaaaaaaaah🤗🤗🙌🙌🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😅
Chado anapendeza kuwa na najma tu
Uyo hima sio poa jaman anachamba hahaha
Ila me nilikua na hasira kunamtu kanitibua ila sasa apa roho kwatuu ahsante chado kwa kutupa burudani ❤
Najma umezinguw kwanin unamtishia uyo Jojo kumpiga xi ungempiga kweli❤❤❤
Chado safii sana umeongea na umewaweka sawa vizuri hivyo videm vinaleta fujo hovyo bila Akili
Nawapenda sana jamani chado master film ❤❤
Najma nakupenda Sana hongereni sana unasimama vizuri ila cheusi una niachaga hoyi❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Naomba like zenu ndo mimi wa kwanza Muddy Mkopi from Zenji
oya najma ume zingua 😢😢 kinoma. Kumuita chado malaya pamoja na uanaume wote alio onesha kwako ah kweli we kidem jau Jau sijapendaa kabisaaa oya sijapendaa inge kuwa ni mm ngesha muachaaa🥺🥺🥺 malaya aàaaah neno baya sana ilooo
😂😂😂ndo maana sio wew chado😂
Ni hasira ata ungekuwa wewe ingekukuta hiyo km limemtok to
Ingekuwa ww ungeelewa??
Nakukubari chadoo umejitteteaa. Vzr kwa demu. Wako. Kdemu. Jau🎉🎉🎉🎉
Yan zungu leo kimekulambaaa 😂😂😂😂😂😂 unalooo aseeeeee
Anae soma koment hii mungu amjalie yeye na family yake waish miak mingi like kaama una mpenda chdo master🎉🎉🎉🎉🎉❤
Afu wewe jojo na hayo macho yako kubwa kama bano usituharibie mqhusiano yenye yumepitia changamoto kuyachenga nky😢😂😂😂😂
Leo nmewahi jamani chado mastar hyo ndio I like it 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Dah chado iyo ata mimi ilinikuta nikashindwa kutoa jibu yani Safi sana kaka kazi nzuri🎉🎉🎉sana🎉🎉🎉
Jojo hupendwi tulia 😂😂😂…umekuta watu wametoka mbali sana ndugu yangu chakukushauri usifosi mambo😂😂😂
Chado simamia uanaume wako mpende ivyo ivyo najima jaman. Ado ka jojo kawa ache kabsa na mapenzi yenu akae mbali kabsa nawapenda ❤❤❤❤
Wallahi Jojo anaboesha Sana kwa hii kipindi
Ya leo noma sana Chado mwambie mzee wamisumari ameweza💪💪💪💥💥🦁🦁🦁
Lakini pia 🌹,kwa daddy kazi anaifanya sio mchezo,..
Nakupenda sana chado kwa kumchagua najma❤
Zebu wa kp muni like jmn ❤🎉
Alie mpenda najma kalipiw Deni na bado anajiamin kwenye penz lako haogop Wala kutia unyonge kwenye penz lak❤❤❤
Nakubali Sana Kama unamkubali Chado Masta gonga like hapa ❤️❤️
Lahaulaa cheusi jaman kwakuongeza chumvi na skar😂😂
Aaaah najima cjapenda kumuita chado malaya na yote aliyokufanyia
Hasira tuuu yaan sio siri hii move ni nusu ya maixh yang na mtu wang daah inaniliz kuna mda xio siri najma na chado like me na mtu wang sema najma hasira tuuu ndmn amemuuita malaya
Hata kama wewe usingeweza kuelewa
Chado ww ndo mwanaume baba nmekupenda buree💕🤝
chado samahan naomba ututumiye nahile nyimbo aloimba najma inaitwa aniuwe mimi aniuwee aniuwe mmi aniuwe😂😂😂😂😂😂😂😂 naipenda sana wallah
Sachi chine aniue
Ipo UA-cam kaimba Chine..aniuwe inaitwa..Afu kuna Koleza kaimba Zara queen❤
Chado hapo ume weza kabsa🎉🎉🎉❤❤❤jojo kaa uki juwa washule nimtam
Mafunzo yakutosha kbx.leo elimu ilikua yote hongela team chado master ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Zungu Kayatimba 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ali Daddy usimuachilie uyo 😂😂😂😂
Uyu jojo akilia anakuwa kama mjusi😂😂😂😂 yy ndio mjusi co Najma wetu na kama angekuwa mweusi uyu angetixha aixhukuru iyo rangi😂😂😂😂
Namacho yake makubwa kama gololi 😅😂😂😂😅😂
Jojo😊😊♥️.... congrats umecheza buana🎉
Chado unatunyoosha sanaaaaaaaaaaaaaa kazi nzuri kaka
Team IMA mpo 🎉Tuungane kidogo huyu mkaka anajua kuchamba tutakualika kweny michambo plus🥳🥳
Hapa Leo kimechimbika 😅😅 love from Kenya 🎉🎉🎉
Kaka yke mama ngwengwe kwa kuchamba chkua maua yko 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Sasa Najima mwanangu unapigana n'a huyo dada c atakunyonga 😂😂😂😂 Chado masta madem wamekuvaa😂😂😂😂
Mmmmh anaitwa Ima....
Mmmmh jina halimfai...uyu anasema jamani mmmh🤣😂🤣😂🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Waooo chado umetisha,kua upande wa najima
Sema kaka huyo anachamba sana like zake jamani😅
Chado master una mkosa video queen una mkosa kidem jau 🎉🎉🎉
Safii sana mko vzr nawapenda nyote ❤❤❤🎉🎉🎉
Kaka chado nakupenda sana uko vizur❤❤❤
Chado uko nmsimamo nkupenda sana chukua maua yako🎉🎉🎉🎉yani 100 100
Mashabiki wa chado masta kutoka mikoani tujuane❤❤❤❤
Toboa macho tywuuuu😂😂😂 twyuuuuuu...😂😂cheusi wewe jamaaaan.,.,😂😂😂🇰🇪🖐️
Zungu kapatikana kwa mzee wa misumari😅😅😅😅😅😅😅😅jojoo n kidemu nyau nyote wajusi😅😅😅ila cheusi umbea kweli😅😅😅😅
Jamn hatimae imetoka maan nilikua nachungulia kila mud asant kitengo🎉🎉🎉 leo mamb ni fire hay nawale wadunia tujuane kwa like
Sijachelewa nawakubali sana team chado from Burundi 🇧🇮
Ila Adam wa tabata 😂😂😂 bless...Ali dady huyo kakaetu mzungu umejua kumpelekesha,vile inafaa 👍
Ally dady ujuh kucheza kihuni kaka samahan lakn ulitakiwa kumtia mitama ad ndani umezngua
Nategema kupitia hii movie tuchukue tuzo maana mwaka huu ni wetu chado master
Na watu mnawai balaa 😂😂chado master nakukubali Sana asante Kwa kusimama na kidem jau ❤❤❤ila jojo Mimi simpendi😅
Kaz nzur chado master...💪na me leo nimewai jamn naombeni at like 10 bas plz 🤲🤲
Ali dady fanya Kazi yako uliyotumwa na Kijiji namkubali sana mzeeeeeeee wa MISUMALI wagongeleeee wakina manyonga mpaka wajutie kukufahamu nipo nyuma yako mm ❤🎉🎉🎉🎉🎉
Hoya nakubali mseewamisumarii😂😂😂
Ni Gabu kutoka kenya me ni mtazamaji wa mission imposśible plzz chado masta. Hii season two ya mission impossible ikiisha plžz leta season 3 juu hii missioni iko tamu sana content isihishe sai ❤❤❤❤
Najma aliingia kwny mapenz miguu yote na mikono 😂😂😂
😂😂😂😂
Huyu cheusi hii kazi anaiweza jaman ni mmbea 😅😅😅
Kelele moja kwa kitengo wadau weeeeeeee
Huyo Emma mmh ninamashaka nae kama hauna D2 hauwez kuelewa.tulioelewana gonga like hapa😅😅
NAJMA kichwa njicho hawezi elewa upesi Hilo somo
Bado mbichi sanaa
Hajakomaa.hadi aelekezwe kwa kituo
CHADO anakupenda na amekupambania
Hajakuangusha ktk suala la mapenzi na pesa.
MPE UBUYU
huyo cheusi Media
Akafanye matangazo
😂
Mbea huyo km jumalokole
Mbna bonge hatumuoni jaman nmemmisi😊😊
Jaman NAOMBENI MNISAIDIA nyimbo wa kipande Cha Jojo anacholia😮😮
Mzee wa misumali unazingua mkandee huyo shoga unamlea sana bwege hutooo😅😅😅😅😅😅
Emma jmn😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kwann unachamba hivooo unanikosha vibaya sanaaa
Uyu mzungu kazi anayo😮😮😮
Kazi nzuri sana Mungu awabariki wote 😍😍😍
Jojo mpe nafasi cheusi ndo mwaendana chado mwachie najma jamani mbon mapenzi c kitu ya kufosi 😂😂😂😂😂