Chado mstaa nimeshukulu sana kwa ushirikiano wako wagusaidia shemeji yako chado kama unasoma maoni yetu naomba usipite hii! Bila hujasoma umoja wenye katika wakati daddy alibiwa pesa anatembea na masta manyonga hakia mung.najuma pole usiujunike adapita
Kweli mwana umetisha kwenye maisha usipende watu wakuelewe wachanganye sio shida kidogo unalialia nakubali bonge la movie mnajua uwezo mwingi sana yajayo yanafurahisha zaidi masaria+Baga = TATIZO habimselema hio 🎉moto
Uyu cheusi anachokitafut atakipata anamchezea kitengo 😂😂 Tuliowahi kuiyona mission impossible tumshukuru mungu kwa kutufikisha mda huu tukiwa na afya tele mungu TUJALIE siku ya Leo katika kazi zetu🙏🙏
❤❤ nzur sana sasa uku watoto wote wako chado hawali wanataka chado umejua kutufrahisha kitengo adi watoto wanakukubali mungu akupe afya njema tuzid kubuludika zaid
1:13 Chado Mheshimiwa. Nadhani hapa ilibidi Najma aanze kufungua mlango kwa funguo kisha afuate kitasa. Kwanini? Kwasababu characters wetu walishaingia ndani kulala kama tunavyoona kuwa ni usiku. So probably hata mlango wa barazani ulifungwa kwa funguo. Hivyo ilibidi Najma atoe lock kwa funguo kisha afungue mlango. 🙌🤟
Kwanza chodo bro unajuwa sana yani sana amini mungu dah unakipaji kikubwa mzee wangu halafu kwa nni usimuengeze baga kwenye huwo mchoro unaotaka kufanya lakini baga awe mzima asiwe mteja manyonga atajuta kaingia mziki sio
Manyonga nahiyi tasbih mkononi huwendani na ukatili jmn. 😭😭😭Kidemu jau na Dady mmenitoa chozi jmn nakumbuk kaka ang alipitia Hilo tukalipa ela za Bure tu inaumiza 😔😔Allah awalinde kaka zetu na awapunguzie adhabu za kaburi kaka zetu walio tangulia 🤲 jumaah Mubarak all team chado
Wapi like za Mr manyonga 😂 kumbukeni episode iliyo pita Ali dai Najima atamwonyesha upade wake wa pili ndio huo. usione watu wanatanua mjini wengi ni màzuluman
Chado umejua kuniliza leo ni kweli kwenye haya maisha wanaotuumiza ni wengi ila kauli yako imenipa nguvu ya kuonyesha furaha hata kama unauzuni asnte umenipa nguvu ya kupambana na sio kukata tamaa
Mungu akupe maisha marefu chado wetu uzidi kutupa Mambo mazurii inshallah ❤
Chado master nakubari akili nyingi na bora umeshtuka mapema kama hyo n drama penda sana acha tucheze na akili ya manyonga much ❤❤❤❤❤❤
Mr manyonga umeyakanyaga kwa chado apo ndo chado na mzee wamisumali wataungana pmj alaf angalia chezo litakavyoenda mission impossible🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 na usikute Mr manyonga ndo baba ake ngwengwe
Apo kwenye baba ngwengwe ata mm nimewaza Sanaa Kam chado na manyonga ndugu
Walai hata Mimi naona hivyo
Duh
Hata manyonga no anahusika kutokana nakuibia pesa kwa mzeh wamisumani😂😂😂
Nyiee msijifanue watabiriii hhha Kaz wanaijuia wenyewe mana mnge fanya nyie ssa iyo kazi ukudat mana kazi inavoendaa ndo Ilike
Jaman nami naombeni like at Tano tu wadau wa chado masta
Hizi like ni pesa kwan😂😂
Chado apa Sasa ndo naiyona kabisa taswira ya mission impossible unajua sana mzeee ❤❤❤❤❤❤
Chado tuongezee mda bc mbna umepunguza mda angalau iwe na dakika 30 kama unakubaliana na mm gonga like hapa tujuane 😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@@YusraSiyaleo-yk2fz pamojaa
@@YusraSiyaleo-yk2fz kabisa atuongezee madakika mana utamu unazidi muda kidogo 🤝🤝
Hapo umeongea
Kweli kabixa aongeze muda
jamani musichelewe kutoa maana ❤❤❤❤
Dah najma na dady wamentoa machoz nmkumbk mbal san
I like it...
😢😢😢😢😢 Hadi mm yani 😢😢😢
Oyaa chado apewe salute hii movie kaweza full respect mzee umetulia umu
Anae amini mipango ya mr manyonga haitafaulu ngoga like hapa
Sana tu uzuri ni mission imposible
Kitengo ni master
🎉🎉🎉🎉
Pamoja
Yaan sina pressure maana ki2 chenyewe Mission Impossible 😂😂
Chado mstaa nimeshukulu sana kwa ushirikiano wako wagusaidia shemeji yako chado kama unasoma maoni yetu naomba usipite hii! Bila hujasoma umoja wenye katika wakati daddy alibiwa pesa anatembea na masta manyonga hakia mung.najuma pole usiujunike adapita
Daah 😢😢 mmejuwa kuniliza daddy na najima 😢😢
Allah awajaalie ❤❤🎉
Wallah pia mie nimetokwa na machozi..nimehisi daddy kma kkangu...
@@KazdoWills Yaani hii ni funzo kwetu
Kweli mwana umetisha kwenye maisha usipende watu wakuelewe wachanganye sio shida kidogo unalialia nakubali bonge la movie mnajua uwezo mwingi sana yajayo yanafurahisha zaidi masaria+Baga = TATIZO habimselema hio 🎉moto
Uyu cheusi anachokitafut atakipata anamchezea kitengo 😂😂
Tuliowahi kuiyona mission impossible tumshukuru mungu kwa kutufikisha mda huu tukiwa na afya tele mungu TUJALIE siku ya Leo katika kazi zetu🙏🙏
Atakipata haswaaaa sio kidg😅😅
@@AbaidiiniNgweti ameen🙏
Ameen
@@AzizaMleliila asikii uyu Kila akipigwa
@@AbaidiiniNgweti hajapigwa vzuri mbona ataacha 2🤣🤣
Da chado nakupenda sana rafiki yng naamini mzee wa misumari sasa atakuelewa bigp kwa kz nzr❤❤❤
Wa mwisho ila mnaona kazi ni safi sapoti zenu zinamp gv ya kusonga mbele
Kabisa 🤝
Jambo kk nisahidiye namba zako
Uhakika
Kweri kbc
Safiiii Sana
Asante kaka chado nimepata faraja furaha na uzuni ni sehemu ya maisha mda mwingine kwny uzun unaweka furaha nimeipenda iyo❤❤❤❤❤
Wa kwanza Mimi From Msasani Magengeni Kama Unamkubali Chado Master Usipite Bila Kugonga Like Hapa
Kajua kumzunguka
@@RehemaBakari-u7xl
❤❤ nzur sana sasa uku watoto wote wako chado hawali wanataka chado umejua kutufrahisha kitengo adi watoto wanakukubali mungu akupe afya njema tuzid kubuludika zaid
Kwakweli felicitations saaaaana, filamu hiyi inanipa hamu kuiangaliya mda wote. Courage sana
Jmn mashallah kazi mzuri chado nawapenda sana❤️❤️❤️
Yoyote utakayesoma hii comment mungu akubalik we uzao na wako ameen 🤲🙏🤲🙏🙏🤲🤛✊🤛🤲🙏🤲🙏🤲🙏🤝🤛
Amin
Ameen
Ameen
🙏
Amin
Ila twende mbele turudi nyuma chado anajua kupangilia story
Km unakubali ninachoongea mm like nizione chini 👇👇👇👇
Sana tunapo anzia ndotunapo ishia ndo I like
Leo mimi nimekuwa watatu
Chado mtu mbadi manyonga ataelewa tu namba aliyo ingia siyo
@@LatifahMohammed-r5f ataeleza kwann MAHARAGE kipind Cha Ramadhan futal na kipind Cha kawaida mboga 😂😂😂
Chado safi sana kazi safi
Duuuh sio kwa nilivyosubiri hiki kipande😊😊yaan dude kama ndo linaanza vileee❤
Cheusi jmn nakupenda Sana lahaulaaaaa😅😅😅😅
Ananifurahisha sana
Yn hujanshinda mm😂
Toba loho yangu😢
Mamv
Mambo
Chado kaz nzuri San kak mungu akafanye weps kweny kaz zako ❤❤❤❤❤
Sema hii movie kwnn sinema zetu wasiingilie kati ikaoneshwa Azam TV jmn 🙌🙌🙌🙌
kwel kabisa
kweli hasa
Kweli kabisa na mm niliwaza ivo ivo hii movie tamu sana❤
Sinema zetu watatuekea matangazo matangazo kibao bola uku uku tu iwe mchawi bando tu
Wanaweza wakaweka ila shida lugha iliyotumika huku kidogo imechangamka😂@@AllyKessy
Kwa wanao amin mze wa misumar na nyumba yao itaback gong like❤❤❤
Naiman manyonga ni baba ngwengwe
Ndio hivo @@Furahinikatkabwana
Awee salute furahia chochote kinachokuja kwenye maisha yko
Nilikuwa nahisi Leo haifiki yaan maan mnanikosha sana nawapenda sana ila tu naomba msiwe mnatucheleweshea vitu vizuri
😊😊🎉🎉🎉😮😮😢😢❤❤❤😂😂😂😢😅😊🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😢😢😢😢😮😮😮😮😮😮😮😅😅😅😅😅😅😅😅😊😊😊😊😊
Kazi nzuri chado master gang 🎉🎉🎉🎉🎉
CHADO chukua maua yako🎉 nakupenda buree ❤❤
❤❤❤❤
Duu chado move imehanza kuwa tamu. Naomba usicheleweshe mambo from 🇲🇿🇲🇿
Leo wakwanza from Mozambique nnaomna like zangu
namuona chado akienda kwa jojo kuchukua hizo milion kumi kama unakubaliana na mm weka like yako
😂😅😅 mbon Kam kweli
haha hapan bhn m naona kama manyonga anaend kuumia na mission yake inafeli
@@GerajulyEmilian ngoja tuone itakavyo kua
Umewaza parefu
Akazibebe tu
CHADO MASTER hongera sana kaka unajitahidi kz zako ziko vizuli pambana sana mwanangu utafika mbali
1:13 Chado Mheshimiwa. Nadhani hapa ilibidi Najma aanze kufungua mlango kwa funguo kisha afuate kitasa. Kwanini? Kwasababu characters wetu walishaingia ndani kulala kama tunavyoona kuwa ni usiku. So probably hata mlango wa barazani ulifungwa kwa funguo. Hivyo ilibidi Najma atoe lock kwa funguo kisha afungue mlango. 🙌🤟
😂😂😂😂😂😂
@@TausRaj mbona unacheka? 😅
Fact 💯
Mbona spat picha 😂😂😂😂😂
furaiya chochote kinachokuja katika maisha yako. nakubali mwanangu chado 💪
❤❤❤❤
❤❤❤🎉
Ongera kazi nzur lakin ongeza dakika kwenye muvi
Cheusi miyeyusho sana,umerusha stimu zote🇨🇦🇨🇦🇨🇦sema Chanuo kaka duuuh
Bonge moja la movie big up sana chado kama nauona mwisho wa mr manyonga 😂😂😂 na ni kaka yake chado jamn kama tu iwe inarushwa kila cku jamn dah
Daaah Chado wewe nimasta kweli nakukubali sana❤❤❤❤
wakwanza leon nambeni like zang from zambia
Safi sana yani duuu bora iwe esidingo isiishe ilivyokua tamu duuu❤❤❤❤
Wa kwanja tuko Congo ❤❤❤❤❤❤❤😊
Jamani laia atuliziki yani dakika zote izi bado mnaomba muongezewe mda zaidi mh kazi tam❤❤
Oya chado nakukubali kaka sana kubababake
Dondosha Mau🎉ya misomisondo hapa😂,,,,,,,(kwan hmjaskia Tera Gata nyinyi😂)
🎉🎉🎉 misomisondo
❤❤❤
Wow Najmah hongera kwa kujiamini 😍😍
Nakubali Najma kwa ujasiri congratulations umeweza mashaallah ❤️ big up chidada 🎉🎉🎉
Kazi juu ya kazi chado masta👍
Dah! chado nimekukubali sana pia anajua kutunga movie haya maisha yapo kabisa mitaani inabidi tujifunze sana na sio kubumudika na movie....
Kazi zuri sana chado ♥️♥️♥️
Kwanza chodo bro unajuwa sana yani sana amini mungu dah unakipaji kikubwa mzee wangu halafu kwa nni usimuengeze baga kwenye huwo mchoro unaotaka kufanya lakini baga awe mzima asiwe mteja manyonga atajuta kaingia mziki sio
Mmmmh Mr Manyonga unamdulum Mzee wa misumari 😢😢😢
Ona uliyo watuma kumteka umewaweka kifungoni nao daaaah 😢
Chado master wewe ni zaidi ya master💪
Safi najma mpe mpe huyo mista manyonga
Manyonga nahiyi tasbih mkononi huwendani na ukatili jmn. 😭😭😭Kidemu jau na Dady mmenitoa chozi jmn nakumbuk kaka ang alipitia Hilo tukalipa ela za Bure tu inaumiza 😔😔Allah awalinde kaka zetu na awapunguzie adhabu za kaburi kaka zetu walio tangulia 🤲 jumaah Mubarak all team chado
Jmniiiii Dady na najm mmeniliz.....manyonga sio vzr jamani
Chado, Nakubali Sana... Hapa Ilipofikia hii Series, Dah, Patamu Kisengʻe
kabisa chado mr manyonga sio mtu mzuri
Pia naomba usitucheleweshee kutuletea aiseeee goma ndo linazidi kunoga kila siku zikienda nakubali sna kazi zako mzee from Zenji
Jamani mista manyonga ndo baba ake ngwengwe 😊😊😊
Mh nadhan
😭😭😭😭😭😭😭😭dah mwenyez mungu akutendee wepes kaka angu siku Moja utoke katika kifungo amen🙏🙏
Umu ndan kila mission ni impossible 😂😂😂 aya naomben Like cijawah pata like jaman
Hii ndo laha yakuwa nampenzi kama chado shida zampenzi wake anazibeba yy hongereni Sana kwakazi nzuri
Chado unaongeaga point sana dah nakupend bure
Oya chado we noma nakubali umetisha sana 💯💯💯💯💯💯
Safi sana chado move umependeza na iyo Singer
Safi sana kidem jau....napenda huogopi kusema ukweri
Mzingo unachelewa lakn kila unavochelewa ndo unazid kuwa mtaam bwan chado chukuwa mauw yak❤🎉🎉🎉
Chado umecheza utamu sana yaani asee unajali maumivu ya Mpenzi wako Wallah nimekupendraaa mno❤❤
Chado master nakubr sana hizo pigo za kibabe waisha inayofuata natamn San kuona ifuatayo
Hila huyo manyongo ndo kachoma beti kubababako❤❤❤❤ naipenda iyo
Nimevumilia nmeshindwa acha niseme tu ..nampenda sana cheusi hunifurahisha anavyoiwezea hii character😂😂😂😂
Lahaulaaaa😂😂😂😂😂
@@HalimaRajab-vw8gg 🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂@@HalimaRajab-vw8gg
😂😂😂lahaulaaa weeee
@@vailethlupenza4264 🤣🤣
Chado wee master kwel💯movie ya 🔥🔥🔥🔥🔥
Chado mastaaaaaaaaa,,,,,nakukubali kaka,,,ikiwezekana uje unioe tu maana wewe ni jembe mwanaume wa mipango,,,,huyo manyonga kwa chado ameyatimba
Mh
@@BokaBogo7 kipi kikugunishacho
Daah cheusi kazingua me nilijua manyonga anae bisha ODI
Hawa jamaa ni wabunifu sana na wana jali kazi hongereni
Chado hongera kwa kumsaidia shemj yako dady pia dady kwa sasa naamini utakua pamoja na chado yani mkiwa pamoja itakua bomba sana ❤
Chado master mtaasisi mtaalamu❤️☺️☺️
Chado kweli master nakubali bonge la movie moto juu ya moto
Kabisa yn
nakupenda sana chado allah akuzidishie efu kwake usichole TATOO
Aise leo huu mchezo leo umnifunzaa kitu kimoja kizuri 💯💯🙏🫡
Chado apo naanza kukubal mtazamo wako pig up sana sèries nzur sana pia uko fasta na kaz yako 🎉
Jmn chado kka upo vzr sana nmkuelewa haaa unganeni mtu na shemej yak
kazi nzuri kweli💞💞💞💞💞
Chado nakupenda unawafundisha wanaume wawe majasiri hata kama hawana kitu❤❤❤❤❤❤❤❤
kazi nzurii chado masters kidem jam nawakubali kinoma noma km na ww umo gonga like hapa
Chado bwana hauna baya yani hii move mtu anataman kuiangalia kila saa haichoshi hongera sana kaka😂😂😂 ndo i like hio😂😂❤
Wapi like za Mr manyonga 😂 kumbukeni episode iliyo pita Ali dai Najima atamwonyesha upade wake wa pili ndio huo. usione watu wanatanua mjini wengi ni màzuluman
Wa kwanzaaa mem Leo naomben comment Zen jmn brayan kutok Moshi Town
Jamani nwpenda sana ❤❤❤❤
Daah anii dady na najm wamenifanya nmeliaa sanaa😢😢
Mimi kabla hawajaanza maongezi..
Chado umejua kuniliza leo ni kweli kwenye haya maisha wanaotuumiza ni wengi ila kauli yako imenipa nguvu ya kuonyesha furaha hata kama unauzuni asnte umenipa nguvu ya kupambana na sio kukata tamaa
Tujifunze mengi kupitia hii episode jmn
Hongera sana kaka chado we ni kiboko Yao mungu akufanikishie malengo Yako 🔥🔥🔥
Ila Wanangu semeni ukweli chado alazi damu big up bro unatupa kaz kwa wakati👍
Hongera sana kweli mission ni impossible na kukubali sana chado master
Nan mwingine kavutiwa na song la kihind
Najima umenikisha mwisho hapo hujakua muoga Bali umesimaja mtoto wakike kujiamini , chado hongera kwakua pamoja na najima
Chado unaweza sana
Love from🇨🇩
All I can say is that this is the best Swahili series,ever.❤