Huu wimbo tangu niko High School miaka ya 2011 umekuwa baraka sana kwangu, hii ni ibada tosha na nahisi kufunguliwa pindi tu niusikilizapo. Uendelee kubarikiwa minister J Benty❤❤🎉
This song is so powerful, nimeurudia wimbo huu zaidi ya mara mia moja lakini kila wakati unakuwa na upako mpya. Hakika Mungu ni mkuu, na uwezo wake ni mkuu sana, haulinganishiki.
Wow !!! Nakumbuka it was 2006 in africa in Tanzania Dar album hii ilinibariki sana, I went mad looking for it until I got it, be blessed my brother Jackson. Greetings from 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Hii nyimbo inanibariki Sana,,,nakumbuka tangu nipo shule ya msingi nilikua nasikiliza nikiikuta kwenye tv huwa siitoi ,walikua wanapenda kuuweka eatv na agape television miaka ile ya 2010 kurudi nyuma !!sikujua Kama nitaukuta UA-cam ,Bwana akukumbuke kwenye ufalme wake mtu wa Mungu
Nineamka Leo huu wimbo unaimba moyon mwangu. Jaman 😢 tuombee nnchi . Nimekua na kujus nyimbo zake ktk matamasha safina ukumbini. Toka 2006 ad Leo. Wow barikiwa Sana Jackson 😢🙏🙏🙏🙏🙏
Wimbo ulinibariki sana nikiwa kidato cha tano nilikuwa nikisumbuliwa na vidonda vya tumbo nilikuwa nikijifungia chumbani kwangu naweka huu wimbo na nililia sana kwamba Mungu aniponye na nashukuru Mungu aliniponya nikawa sawa leo 2022/28/11 nimerudi kuusikiliza tena
Sass hii nyimbo iwe umwfunga halafu usali sala ya usiku kuanzia saa nane halafu uisikilize hata kama unapitia aakati gani moyo unatulia unahisi uwepo wa Mungu ❤barikiwa sana mwimbaji
I heard this song first when I was in form three ,I am not good at leading church choir but whenever I sing this song the congregation begins to pray . I have been blessed myself ,this was my turning point into Christian ministry and mystery. I have seen the wonders of God. Now am done with my degree and I worship and go into deeper intercessory prayers with this song sang repeatedly. My GOD WILL BLESS YOU BEYOND YOUR IMAGINATION.
@@jacksonbentyKaka Jackson katika nyimbo zako zote ukitoa album mpya pse huu wimbo anza nao, unashusha uwepo wa MUNGU kwa kasi ya ajabu toka jana kila muda naimba naabudu mpaka nikiwa njiani watu wananishangaa ninaabudu natokwa machozi nauona uwepo wa nguvu za MUNGU zinashuka,, sijui nikuelezeje unielewe natamani uwe na tamasha tuimbe huu wimbo uone watu watakavyoponywa na kufunguliwa kwa nguvu itayoshuka hapo, stay blessed my brother
Nimebarikiwa sana na wimbo huu siku ya leo. Ninapitia kipindi kigumu kiasi, mashaka ni mengi, lakini Ninapona kwa Neno na Maombi. Barikiwa Sana Mtumishi 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Huu wimbo kila nikiusikia naimba na nguvu za MUNGU zinashuka kwa kiwango cha juu sana, natamani waimbaji wa leo haswa wanaoitwa wasanii wasikie nyimbo zinazoishi na zitazoendelea kuishi na kugusa mioyo ya watu na moyo wa MUNGU mwenyewe, kiukweli huu wimbo unanibariki mnoooo!!! Asante Yesu kwa ajili ya mtumishi wako Jackson Benty
Huu wimbo tangu nimeujua kwangu haujawahi kunichosha, kunikinaisha wala kuuzoea... Kilasiku umekua mpya kwangu, hakika Mungu alikupa kibali cha kuutunga huu wimbo kwaajili yetu maana siku zote umekua wimbo wangu, mashairi yake ni yakipekee sana.. nashindwa hata kuelezea namna unavyo nifariji, nibariki, nisogeza katika uwepo wa Mungu.... Jackson Benty Mungu akutunze sana sana sana.
Kwa kweli BWANA wewe ni mkuu, matendo yako nayaona. Uweza wako ni mkuu, nimechoshwa na dunia hii, msaada wako nahitaji. Nimejua wewe ni mkuu,. Nimebarikiwa na huu Wimbo 🙏🙏
Nimeanza kusikiza huu wimbo toka jackson alipofiwa na mke wake jamani ile picha ya yule mama hainiishi kichwani mwangu.Mungu azidi kukukupa nguvu kaka yangu
Maisha yangu n ushuhuda kea watu wengi sana Niliimba huu wimbo wakat ni mwanafunz . Leo n mtu mzima Mungu amenibariki sana hakika naiona ukuu wake kweny maishayangu. Nimetoa machozi maana mahali tunapita Mungu asingekuw nasi hata hapa nisingeweza kusema neno la ushuhuda
Hakika Mungu ww ni mkuu.kila cku lazima nisikilize huu wimbo,hakika kaka wimbo wako umenigusa Santa,barikiwe mtumish wa Mungu kwa uimbaj.Mungu akuinue viwango vya juu Zaid,na kila asikiae nyimbo zako maisha yake yakabadilike🙏🙏
Asante sana wimbo unabariki. Naamini kila anayesikiliza wimbo huu huwa unamubariki pia kila mmoja ni ngumu kueleza matendo makuu anayofanyiwa na MUNGU. Kinachotokea ukweli kila mtu anabaki na ukweli wa matendo hayo makuu ya MUNGU. Barikiwa sana.
Huyu mtumishi Yuko Rohoni sana MUNGU aendelee kumuweka salama maana anatubaliki sana maana nikianza kuiskia hii nyimbo mwili mzima unaanza kusismka ubalikiwe sana mtumishi
Kuna wimbo mmoja nautafuta nahisi kama .. muimbaji wa hiyo nyimbo atakuwa mr jackson .. kuna sehemu inasema . Nimempata mpenzi wa roho yangu ... ina mtindo wa gospel taarabu
Tunamaliza nwaka 2024 tukikiri kuwa BWANA WETU NI MKUU 🙏💯
Huu wimbo ulinifariji sana nikiwa chuo pale makumira Mungu akubariki sana mtumishi Jackson Benti.
Amen,utukufu kwa Bwana Yesu
❤❤
Wimbo umejawa na nguvu sana ..kuzungumza na Mungu kwa upole kama BABA kwetu
Huu wimbo tangu niko High School miaka ya 2011 umekuwa baraka sana kwangu, hii ni ibada tosha na nahisi kufunguliwa pindi tu niusikilizapo. Uendelee kubarikiwa minister J Benty❤❤🎉
This song is so powerful, nimeurudia wimbo huu zaidi ya mara mia moja lakini kila wakati unakuwa na upako mpya. Hakika Mungu ni mkuu, na uwezo wake ni mkuu sana, haulinganishiki.
Wow !!! Nakumbuka it was 2006 in africa in Tanzania Dar album hii ilinibariki sana, I went mad looking for it until I got it, be blessed my brother Jackson. Greetings from 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Hii nyimbo inanibariki Sana,,,nakumbuka tangu nipo shule ya msingi nilikua nasikiliza nikiikuta kwenye tv huwa siitoi ,walikua wanapenda kuuweka eatv na agape television miaka ile ya 2010 kurudi nyuma !!sikujua Kama nitaukuta UA-cam ,Bwana akukumbuke kwenye ufalme wake mtu wa Mungu
Wimbo kila siku umekuwa faraja kwenye maisha yangu baada ya kumpoteza mume😢
Polee jamani
Mungu akuponye
😢😢😢
Mungu wa Ibrahim,isaka na Israel atutendee amen amen 🙏🏿 2024 nipo hapa kubarikiwa
Amen🙏
Nineamka Leo huu wimbo unaimba moyon mwangu. Jaman 😢 tuombee nnchi . Nimekua na kujus nyimbo zake ktk matamasha safina ukumbini. Toka 2006 ad Leo. Wow barikiwa Sana Jackson 😢🙏🙏🙏🙏🙏
hii nyimbo nikiisikiliza hua machozi yanatoka aliimba Kwa hisia sana 👏👏👏👏
Wimbo ulinibariki sana nikiwa kidato cha tano nilikuwa nikisumbuliwa na vidonda vya tumbo nilikuwa nikijifungia chumbani kwangu naweka huu wimbo na nililia sana kwamba Mungu aniponye na nashukuru Mungu aliniponya nikawa sawa leo 2022/28/11 nimerudi kuusikiliza tena
Sass hii nyimbo iwe umwfunga halafu usali sala ya usiku kuanzia saa nane halafu uisikilize hata kama unapitia aakati gani moyo unatulia unahisi uwepo wa Mungu ❤barikiwa sana mwimbaji
Aisee hii nyimbo imekuwa ikinibariki kila muda na wakati ,kazi nzr sanaa mtumishi
MATENDO YAKO MAKUU YESU MIMI NAYAONA🥹🙌🙌UWEZA WAKO NI WAAJABU YESU😭🙌🙏🙏ASANTEE MUNGU 2024
Huu wimbo unanikumbusha Nilipo kuwa form 6 Tambaza High school...Matron wetu kila asubuhi alikua anaupiga, aaah Umejawa na Nguvu ya Mungu Sana ...
Asante sana kwa kuendelea kuwa nami kwa namna hiyo
@@jacksonbentyna ni mwaka 2012 kipindi hicho...Huu wimbo mpaka sasa unafanyika baraka maishani mwangu hadi sasa
I heard this song first when I was in form three ,I am not good at leading church choir but whenever I sing this song the congregation begins to pray . I have been blessed myself ,this was my turning point into Christian ministry and mystery. I have seen the wonders of God. Now am done with my degree and I worship and go into deeper intercessory prayers with this song sang repeatedly. My GOD WILL BLESS YOU BEYOND YOUR IMAGINATION.
Amen
Hii nyimbo nimeisiliza tangu form one mpaka leo nimemaliza chuo bado inanibariki.
Nikweli kabisa huu mwimbo unabariki sana
Hallelujah! Hakika wewe Mungu ni mkuu ! Uemweza wake ni wa maajabu sana.
Mungu ni wa ajabu
Hakika ni wimbo mzuri.
😭😭🙌🏼🙌🏼 Nijaze Bwana Yesu Roho wako
Wewe ni mkuu Bwana❤❤ 🙏🙏🙏
wimbo wangu penda wa mwaka 2022 namaliza nao na naingia nao 2023 🙏🙏 powerful song tangu miaka iyo mpaka sasa 🙏
Nyimbo zako hazichuji nikama za Jenifer ngendi. MUNGU akupe maono zaidi amen❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Yani wee baba...dooh I pray for double anointing to you..
Huu wimbo unanikumbusha my Aunt alikuwa anaumwa nikawa namwimbia kwa uchungu, bt Mungu akamchukua......R.I.P kipenzi changu
In my condition of giving up I feel strengthened when i listen to this song.
Amen,Glory to Lord Jesus
Oh to every time I listen this song, I feel the Holly Spirit feeling the room and i can't stop pray and crying. God bless you Jackson a man of God.
Amen,Glory to our Might God
Very true😢😢😢
@@jacksonbentyKaka Jackson katika nyimbo zako zote ukitoa album mpya pse huu wimbo anza nao, unashusha uwepo wa MUNGU kwa kasi ya ajabu toka jana kila muda naimba naabudu mpaka nikiwa njiani watu wananishangaa ninaabudu natokwa machozi nauona uwepo wa nguvu za MUNGU zinashuka,, sijui nikuelezeje unielewe natamani uwe na tamasha tuimbe huu wimbo uone watu watakavyoponywa na kufunguliwa kwa nguvu itayoshuka hapo, stay blessed my brother
Naunga mkono hoja.@@johnsonmushi4537
Ubarikiwe sana my brother @Jackson Benty
Let me dedicate this song to my brother Nelson Shao,,ulikuwa ni wimbo wako pendwa na ulipenda sana kuuimba..even me i love this song
Today because of mwamposa woshiper.. i found this song.. amen
Amen,Glory to God
Ni kweli bwana wewe ni mkuu 🙏 Mungu akubariki katika utumishi wako.
Amen🙏
Wapo Radio wamenifanya kukujuwa ..huu wimbo unanibariki sana ..2024..
Amen,🙏
Hii nyimbo imeniliza Leo! Mungu alichonifanyia❤️
Hallelujah hallelujah glory to God
Tangu Niko sekondari,chuo huu wimbo naupenda mnoo hadi Leo nabarkiwa nao sana naupenda.Ubarikiwe mtunzi
Nimebarikiwa sana na wimbo huu siku ya leo. Ninapitia kipindi kigumu kiasi, mashaka ni mengi, lakini Ninapona kwa Neno na Maombi. Barikiwa Sana Mtumishi 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Huu wimbo kila nikiusikia naimba na nguvu za MUNGU zinashuka kwa kiwango cha juu sana, natamani waimbaji wa leo haswa wanaoitwa wasanii wasikie nyimbo zinazoishi na zitazoendelea kuishi na kugusa mioyo ya watu na moyo wa MUNGU mwenyewe, kiukweli huu wimbo unanibariki mnoooo!!! Asante Yesu kwa ajili ya mtumishi wako Jackson Benty
Amen,ni kwa neema ya Mungu tu
Huu wimbo tangu nimeujua kwangu haujawahi kunichosha, kunikinaisha wala kuuzoea... Kilasiku umekua mpya kwangu, hakika Mungu alikupa kibali cha kuutunga huu wimbo kwaajili yetu maana siku zote umekua wimbo wangu, mashairi yake ni yakipekee sana.. nashindwa hata kuelezea namna unavyo nifariji, nibariki, nisogeza katika uwepo wa Mungu.... Jackson Benty Mungu akutunze sana sana sana.
Amen,utukufu kwa Bwana Yesu
Sijui kwann hii nyimbo inanitia nguvu kwenye kila pito nalopitia 😢
Ameni!,Ameni!. Wimbo unagusa Sana na una nguvu za MUNGU ndani yake. Bwana Tawala maisha yetu. Wewe ni Mkuu kupita vyote.
Baba yangu so amazing song ujumbe tosha kwa ukuu wa Mungu kwa maisha
Asanteeeeee sanaaaaa mtumishi wa Mungu unanibariki sana asanteeeeee sanaaaaa MUNGU
Mama yangu kabla hajafariki aliusikiliza huu wimbo siku nzima😭😭nmemkumbuka leo nmeuckiliza naishia kulia tu😭😭😭😭
Mungu akutunze
Wimbo huu unanguvu zaroho mtakatifu ndani yake ubarikiwe sana mtumish
Amen,utukufu kwa Yesu
Waooo wimb unabarik kiukwel❤🙏
Huu wimbo unanibariki kila iitwapo leo, hautakaa uchuje kwangu, Asante mtumishi kwa kumtukuza Mungu kiasi hiki. Hakika Mungu ni MKUU.
BWANA aikumbuke kazi yako mtumishi wa Mungu, naamini unajipika, utafanya Mambo makuu kwa maana yeye BWANA amewakanyaga watesi wetu.......
This song still blesses on 2023
Kwa kweli BWANA wewe ni mkuu, matendo yako nayaona. Uweza wako ni mkuu, nimechoshwa na dunia hii, msaada wako nahitaji. Nimejua wewe ni mkuu,. Nimebarikiwa na huu Wimbo 🙏🙏
Nimeanza kusikiza huu wimbo toka jackson alipofiwa na mke wake jamani ile picha ya yule mama hainiishi kichwani mwangu.Mungu azidi kukukupa nguvu kaka yangu
Tunayaweza mambo yote ktk yeye atutiaye nguvu
Maisha yangu n ushuhuda kea watu wengi sana Niliimba huu wimbo wakat ni mwanafunz . Leo n mtu mzima Mungu amenibariki sana hakika naiona ukuu wake kweny maishayangu. Nimetoa machozi maana mahali tunapita Mungu asingekuw nasi hata hapa nisingeweza kusema neno la ushuhuda
Kaka Andrew umezungumza point..acha kabisa Mungu aitwe Mungu
Hakika ni matendo makuu ya Mungu tu...
A very powerful song from.Nimeupenda huu wimbo kwa Miaka...
Much love From Kenya
Amen,thanks
😭😭😭mungu usinipite huu wimbo una roho mtakatifu 😭🙏🏽2023 ndo nimeujua but really unabariki
Hakika Mungu ww ni mkuu.kila cku lazima nisikilize huu wimbo,hakika kaka wimbo wako umenigusa Santa,barikiwe mtumish wa Mungu kwa uimbaj.Mungu akuinue viwango vya juu Zaid,na kila asikiae nyimbo zako maisha yake yakabadilike🙏🙏
Hallelujah thank you Jesus for all baba yangu
Amen🙏
Wimbo unanibariki sana,Mungu ni Mkuu sana uweza wake ni wa Ajabu,Amen
Barikiwa mtumishi wa Mungu Jackson
Nyimbo yangu Bora,bado naipenda mpaka leo..Ahsante sana Jackson kwa hi zawadi
Amen,utukufu kwa Mungu atendaye kazi ndani ya watu wake
Amaizing song the air of the holy Spirit is inside
Toching song kweli wewe Mungu ni Mkuu👏👏👏
nani amesikiliza huu wimbo 2022
Hongera kwa wimbo huu Jackson. Ni mpya kila iitwapo leo.
Utukufu kwa Bwana Yesu
Hakika MUNGU nimkuu ubarikiwe mtumishi kwa wimbo wenye ujumbe mzur
Kwa kweli Bwana wewe ni Mkuu
Barikiwa sana mtumish na Mungu azid kukutumia kwa viwango vya juuu ameen🙏🙏🥳🥳😊
good song forGod and god blees Jackson betul utukufu apewe mungu
Naburudika sana mara niusikiapo wimbo huu, unaamsha hisia zangu na kunipeleka kwenye maombi, na ushindi wa Mungu hunijia mara moja Asante sana MUNGU
Asante sana wimbo unabariki. Naamini kila anayesikiliza wimbo huu huwa unamubariki pia kila mmoja ni ngumu kueleza matendo makuu anayofanyiwa na MUNGU. Kinachotokea ukweli kila mtu anabaki na ukweli wa matendo hayo makuu ya MUNGU. Barikiwa sana.
Ni wimbo mzuri hasa unapokuwa katika kumtafuta Mungu na kutafakari ukuu wa Mungu
Amen🙏
Nabarikiwa Sana na nyimbo zako since I was a child.
kwa kweli ww ni mkuu receive all the honour and glory Jehovah jireh
Wimbo Unanibariki sana sana
Sifa utukufu nakurudishia Mungu wangu
Amen
Nabarikiwa sana nahuu wimbo 🙋🙋🙏🙏
😭😭 kwel bwana wewe ni mkuu 🙏🙏🙏
Kaka Jackson huu wimbo uliimba kaka...ni kati ya nyimbo zinazonibariki maishani mwangu @Jackson Benty
Amen,by God's grace
Kwa kweli Bwana wewe ni mkuu🙌
Najiuliza kwa nn nyimbo zenye mguso mkubwa kama hizi kwa nn hazina watazamaji wengi? Ndio maana Yesu Kristo alisema yeye si wa ulimwengu huu😢
Tunaweza kuwasaidia kwa kuwepa link wengine wabarikiwe pia.
Asante sana mtu wa Mungu
Shetani anazuia watu wasisikilize
Barikiwa sana mtumishi!BWANA aikumbuke kaz iyako
Amina sana na uwepo huu ambao umejaa utukufu.
Napataga faraja sana kila nikiimba vipande vya huu wimbo nakupenda sana
Huyu mtumishi Yuko Rohoni sana MUNGU aendelee kumuweka salama maana anatubaliki sana maana nikianza kuiskia hii nyimbo mwili mzima unaanza kusismka ubalikiwe sana mtumishi
Nyimbohii inaniwekaga uweponi sana hatakama ninasali pekeyangu huwa nauona uwepo wa mungu ndani yangu
Amen,asante sana
Nimeujua wimbo huu nikiwa darasa la 3 mpaka hivi sasa niko chuo kikuu, bado unanibariki 2009-2022. 🤩
Leo imeimbwa tena kwenye semina ya Mwalimu Mwakasege. It's a very powerful song ubarikiwe
Powerful song in my life,God bless you my brother
Amen
Ameen❤
Bent ubarikiwe sana kwa huduma nzuri Bwana Yesu aWe nawe
Amen,asante sana
Hakika Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu toka jana amesema sana kupitia hu wimbo
Utukufu kwa MUNGU ktk jina la Yesu...wimbo mzuri sana tangu 2009 nadhani nilikuwa nausikia kila wakati unanibariki mpaka leo hii unanibariki sanaa
Mungu wangu ahsante sana kwa ajili ya yote
Jamani wimbo huu ni mzuri saaana kwa kweli jina la Bwana libarikiwe kwa kuwapa watu wake vipaji kwa ajili ya kumtukuza yeye Muumbaji wetu
Amen,Amen
Uongezeke sana na Mungu.Neema juu ya neema.
Ni kweli bwana wewe ni mkuu🙏😔 ❤ matendo yako mimi nimeyaona🙏🙏🙏
Barikiwa mtumishi huu wimbo unanivusha mahali❤❤
Amen,amen
Uweza wako ni wa ajabu,,,kwa kwel bwana wewe mkuu💪💪💪bonge la wimbo
Wimbo wenye upako
Ni kweli Bwana wewe ni Mkuu... Glory to God
Amen
Nimebalikiwa na huu wimbo nami nakuomba ee mungu uniponye unijalie mtoto 🙏🙏🙏
Mungu Ni mwaminifu atakukumbuka
Wimbo mzuri Sana,wimbo unaonibariki mno.
Amen
Matendo yako ni makuu bwana juu ya maisha yetu 🙏🙏🙏🙏
Hii nyimbo Huyu mtu aliiimba katika roho haya ni maombi tosha
Amen,utukufu kwa Bwana Yesu
Kuna wimbo mmoja nautafuta nahisi kama .. muimbaji wa hiyo nyimbo atakuwa mr jackson .. kuna sehemu inasema . Nimempata mpenzi wa roho yangu ... ina mtindo wa gospel taarabu
Ndiyo
Be blessed Jackson,may Almighty God grant you a better life and good health in order to became a best Singer in the world.🥰🙏🙏
❤❤❤ my lovely song barikiwa sana
Amen,asante sana
Kaka ubarikiwe sana sana tena sana zaidi ya sana.
Jackson please kumbuka pia ku upload wimbo wako KIJITO CHA UTAKASO
Haleluya kweli Bwana ndiye mkuu kwetu
Amen,asante sana