Huu wimbo tangu niko High School miaka ya 2011 umekuwa baraka sana kwangu, hii ni ibada tosha na nahisi kufunguliwa pindi tu niusikilizapo. Uendelee kubarikiwa minister J Benty❤❤🎉
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU Benty kwa toleo hili maana ule wa zamani ulikuwa unakwama. Naamini Roho Mtakatifu anazidi kukufariji kwa habari ya mke wako. Hakika nyie watumishi wa enzi hizo mlijua maana ya nyimbo za kuabudu
@@jacksonbenty Amina. Ni wimbo ambao unagusa moyo wa Bwana. Bwana anatamani sifa. MUNGU akubariki sana mtumishi wa YESU Kristo. Mimi niko Nairobi, Kenya.
Huu wimbo tangu nimeujua kwangu haujawahi kunichosha, kunikinaisha wala kuuzoea... Kilasiku umekua mpya kwangu, hakika Mungu alikupa kibali cha kuutunga huu wimbo kwaajili yetu maana siku zote umekua wimbo wangu, mashairi yake ni yakipekee sana.. nashindwa hata kuelezea namna unavyo nifariji, nibariki, nisogeza katika uwepo wa Mungu.... Jackson Benty Mungu akutunze sana sana sana.
Asante sana kwa wimbo huu.. unanitafakarisha sana... Napenda Sana nyimbo zako naomba uzi upload kwenye platforms nyingine za digital music tafadhali Ili tuweze kuzisikiliza na kuzipata kwa urahisi, Mungu akubariki🙏🙏
Hi son, congratulations on this new song, I lost all your contacts, please keep in touch if you still have my number, if not Fred in Arusha will give you my number, keep up the good work, God bless you
4
Amen Amen ❤
Najiuliza kwa nn nyimbo zenye mguso mkubwa kama hizi kwa nn hazina watazamaji wengi? Ndio maana Yesu Kristo alisema yeye si wa ulimwengu huu😢
Tunaweza kuwasaidia kwa kuwepa link wengine wabarikiwe pia. Asante sana mtu wa Mungu
Huu wimbo tangu niko High School miaka ya 2011 umekuwa baraka sana kwangu, hii ni ibada tosha na nahisi kufunguliwa pindi tu niusikilizapo. Uendelee kubarikiwa minister J Benty❤❤🎉
Huu wimbo unanikumbusha Nilipo kuwa form 6 Tambaza High school...Matron wetu kila asubuhi alikua anaupiga, aaah Umejawa na Nguvu ya Mungu Sana ...
Asante sana kwa kuendelea kuwa nami kwa namna hiyo
Mungu wa Ibrahim,isaka na Israel atutendee amen amen 🙏🏿 2024 nipo hapa kubarikiwa
Amen🙏
Mungu akubariki na kukuinua viwango vya juu zaidi mtumishi wake.
Amen🙏
Huu wimbo nilikuwa nawazia umeimbwa na muimbaji mwingine kabisa
Labda kuna aliyewahi kuurudia
mtumishi napenda nyimbo zako ubarikiwe
Amen,utukufu kwa Bwana Yesu
Amen
ubarikiwe mtumishi wa mungu
Amen!
Hii ilikua alarm yangu ya kunismsha kusoma, nilikua na rafiki yangu anaitwa Lilian, ikiita tu lazima tuamke
Amen
❤ Mungu wa mbinguni akunyanyue
Kwakweli BWANA wewe ni Mkuu
This is absolutely amazing!!!! We worship the Lord our God
Amen
Kama uko hapa 2024 tusalimie kwa jina la yesu
Nyimbo zako hazichuji nikama za Jenifer ngendi. MUNGU akupe maono zaidi amen❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU Benty kwa toleo hili maana ule wa zamani ulikuwa unakwama. Naamini Roho Mtakatifu anazidi kukufariji kwa habari ya mke wako. Hakika nyie watumishi wa enzi hizo mlijua maana ya nyimbo za kuabudu
🙏
Huu wimbo unanibariki sana
Amen,utukufu kwa Yesu
Umenikumbusha my childhood ❤ barikiwa sana mtumish
Mungu anatutoa mbali
@@jacksonbenty Amen.
@@jacksonbenty kuna kazi yako ile ya ‘..mimi ninae rafiki, pendo lake la ajabu..’ nimeitafuta sana sijaiona
Amen 🙏
Amen 🙏 ubarikiwe
Natafuta audio yake sijaipata
Unaweza kuipata 0623125411
, ameen kubwa
Barikiwa mtumishi huu wimbo unanivusha mahali❤❤
Amen,amen
Huu ni wimbo bora sana.
Jina la Bwana litukuzwe
@@jacksonbenty Amina. Ni wimbo ambao unagusa moyo wa Bwana. Bwana anatamani sifa. MUNGU akubariki sana mtumishi wa YESU Kristo. Mimi niko Nairobi, Kenya.
Hongera kwa wimbo huu Jackson. Ni mpya kila iitwapo leo.
Utukufu kwa Bwana Yesu
Ameen
Amina 🎉❤
Mungu akubariki sana mtumishi wa Bwana 🎉❤
Amen
Hakika ni matendo makuu ya Mungu tu...
Nazpataje audio
0747104190
Amen 🙏 unireheme ee YESU
TikTok imenileta hapa. Amen
Karibu sana
Ameen pastor wangu na mwalim wangu
Naupenda sana uu wimbo
Amen🙏
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu
Amen
In my condition of giving up I feel strengthened when i listen to this song.
Amen,Glory to Lord Jesus
Huu wimbo tangu nimeujua kwangu haujawahi kunichosha, kunikinaisha wala kuuzoea... Kilasiku umekua mpya kwangu, hakika Mungu alikupa kibali cha kuutunga huu wimbo kwaajili yetu maana siku zote umekua wimbo wangu, mashairi yake ni yakipekee sana.. nashindwa hata kuelezea namna unavyo nifariji, nibariki, nisogeza katika uwepo wa Mungu.... Jackson Benty Mungu akutunze sana sana sana.
Amen,utukufu kwa Bwana Yesu
Asante sana kwa wimbo huu.. unanitafakarisha sana... Napenda Sana nyimbo zako naomba uzi upload kwenye platforms nyingine za digital music tafadhali Ili tuweze kuzisikiliza na kuzipata kwa urahisi, Mungu akubariki🙏🙏
Amen,asante sana
My best song
Thanks
Mungu akubariki mtumishi wa MUNGU
Amen asante sana
Hi son, congratulations on this new song, I lost all your contacts, please keep in touch if you still have my number, if not Fred in Arusha will give you my number, keep up the good work, God bless you
Amen,thanks mama
0623125411
YESU KRISTO umnyanyue tena mtumishi wako Jackson Benty pamoja na mapito yote..I feel to cry
Still Blessed at 2024 June
❤❤❤ my lovely song barikiwa sana
Amen,asante sana
Nyimbo zako hunibariki sana, halafu nakumbuka mbali sana. Mungu akubariki sana.
Amen,utukufu kwa Bwana Yesu
Ameen Ameen
This guy is gifted,
Glory to God
AMEN Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU
Amen