Familia ya Nyerere Yatoa Wito kwa Steve: Kuacha kutumia Jina la Baba wa Taifa.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 жов 2024
  • Madaraka Nyerere, mtoto wa sita wa Mwalimu, amesisitiza umuhimu wa wasanii kutumia majina yao halisi ili kuepusha mkanganyiko kuhusu familia yao. Anatoa mfano wa Steve Mengele, maarufu kama Steve Nyerere, akieleza kwamba matumizi ya jina hilo yanaweza kuleta kuchanganya kati ya wasanii na wanachama wa familia halisi.
    Aidha, familia hiyo inaelezea kutoridhishwa na tabia ya viongozi na watu wengine wanaotembelea Butiama kwa ajili ya kumuenzi Baba wa Taifa, lakini kisha kukosekana mawasiliano baada ya kutimiza malengo yao. Madaraka anasisitiza umuhimu wa kudumisha mawasiliano na familia hiyo ili kuonyesha heshima na kumuenzi Mwalimu Nyerere kwa dhati.

КОМЕНТАРІ • 99

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6op 14 годин тому +7

    Yaani ameongea point nzuri sana! Waandishi wetu bado hawajielewi, huo ndio ukweli.

  • @karakairasa2161
    @karakairasa2161 12 годин тому +5

    Sawa sawa, chawa hafai.

  • @AronAnselemi-he4vk
    @AronAnselemi-he4vk 13 годин тому +10

    Family ataki uchawa ndomaana awataki ajiite jina lao Kama mumemsikiliza vizuri umesikia kusifia sifia selikali ,

  • @Gaynor1234
    @Gaynor1234 14 годин тому +9

    Ni kweli kabisa. Maana inaonyesha naye analitumia kama jina la ukoo wake. Ni wengi inatukera. Afadhali aambiwe aliache.

  • @dennisezakiel3380
    @dennisezakiel3380 6 годин тому +6

    Hilo ni kweli steve atumie jina lake

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 2 години тому +2

    Huyu ni Steve Nyerere siyo Steve Julie's Kambarage Nyerere

  • @rahjah5882
    @rahjah5882 4 години тому +2

    Uko sahihi kabisa

  • @JAMBOBoy-v3k
    @JAMBOBoy-v3k 14 годин тому +7

    Kweli mzeeee kasema ukweli mtu amezidisha uchawa mpk anatumia jina la baba wa TAIFA 😂😂😂😂 kweli baba Mzee haikuw chawa yeye 🤝🤝

  • @RichardbituroMakole
    @RichardbituroMakole 4 години тому +3

    Safi kabisa Huyu stv anaharibu sifa ya mwl.

  • @deogratiashaule8958
    @deogratiashaule8958 4 години тому +2

    Ni kweli atumie jina Lake badala ya kujibrand kwa jina la watu wengine.

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja 11 годин тому +6

    Mtoto wa Nyerere ana haki kuzuia kwa mtu yeyote mwenye nia mbaya na chochote kinachoohusu familia yao .Mfano huyo Steve,siyo kijana muungwana,siyo mfano Hata wa kuigwa na wenzie ( Chawa) Mdudu mchafu.

  • @AronAnselemi-he4vk
    @AronAnselemi-he4vk 13 годин тому +6

    Kwani we stivu chawa huna wazazi wako

  • @ChrisantJohn-d3l
    @ChrisantJohn-d3l 13 годин тому +5

    Safi Sana nimekuelewa point kabisa 🙏🙏🙏

  • @thelivingwordchannel9027
    @thelivingwordchannel9027 8 годин тому +4

    Chawa mkuu na chawa mashuhuri wamekataliwa na familia ya nyerere kutumia jina la baba yao.

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 12 годин тому +5

    Roho mbayaa

    • @shafee9128
      @shafee9128 12 годин тому +1

      Mukiambiwa ukweli munasema roho mbaya

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu 12 годин тому

      @@shafee9128 nyerere wapo tele jia si lolote lishakufa huko jina silake tena wsitake sifa kwani nani bwanaa

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 Годину тому

      Kama yako

  • @ZAMANI-2n
    @ZAMANI-2n 15 годин тому +9

    Hpn kijana anapaswa kupongezwa na sio kuvunjwa moyo kuitwa jina la steve nyerere hakuwez kuongeza chochote zaidi ya jambo jema mwache kijana anufaike na kipaji chake isije ikaonekana km ni roho mbaya au chuki binafs

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 15 годин тому +3

      ana vigezoo msenge msenge baba wataifaa akua msenge msengee wewe boy chawa 2 ajiitee juna kubwaa kama ilooo wewe

    • @margaretswai8229
      @margaretswai8229 15 годин тому +5

      Wenye jina Lao wamekataa

    • @Zuwenamachela
      @Zuwenamachela 14 годин тому +2

      @@RomanMwinyi hizo ni choyo na roho mbaya yeye ameitwa Nyerere kwa kuigiza sauti ya Nyerere kuna shida gn kuna watu Wanaitw God yanga kwaajili ya ushabiki wengine wakina simba nk tatizo sisi wa Tanzania tunaroho chafu tukiona mwenzetu anafanikiwa kwann sijui

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 13 годин тому +2

      @@Zuwenamachela kuigiza na sio ndio baba yake kwelii co ajiiite jina la baba yake alafu atafasilii nikama naigiza kama nyelele nyelele ana mtoto mugizaji balii WA toto wanyelele wasomi Wana jitambua sio walopokaji lopokaji ovyooo

    • @abednego3876
      @abednego3876 13 годин тому +1

      @@ZAMANI-2n kipaji kipi, taja muvi moja ya uyo steve, anakipaji cha kulamba matako tu

  • @ndannahkashindye19
    @ndannahkashindye19 Годину тому

    Hana sifa za Mwl J.K Nyerere, aache kutumia jina la hayati baba wa taifa.

  • @tumlakimwaitumule
    @tumlakimwaitumule 3 години тому +1

    Kwani jina hilo lina hatimiliki?

  • @hatimmohamed4299
    @hatimmohamed4299 9 годин тому +4

    Kwani huyo nyerere jina alinunua?

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 3 години тому

      Sizani kama alinunua ni chawa flani tu

  • @user13375
    @user13375 7 годин тому +1

    Anaitwa STIVEN CHAWA😮😮😮

  • @ShamsiKasoma-fn4cl
    @ShamsiKasoma-fn4cl 5 годин тому +5

    Shida co kutumia shida ni kutumia jina kipumbavu saiz amekua chawa sana.anaharibu jina la baba wa Taifa

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 3 години тому +1

      @@ShamsiKasoma-fn4cl kweli kabisa asee

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 Годину тому

      Yaani ni chawa mkubwa . Ni mnafiki na chawa mkubwa.

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 3 години тому

    Huyu Stivin inatakiwa ashtakiwe kwa kujineemesha na kilipa fidia kwanza kwanza anatumia vibaya jina la familia ya watu chawa mkubwa wa ccm

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 12 годин тому +5

    Mwakani nikipata mtoto wa kiume nampa jina Nyerere 🎉🎉🎉😂😂😂

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 3 години тому

      Hilo halina shida lkn je? Huyu stivin babake siyo Nyerere Tena hiyo familia inaroho nzuri ingekua familia nyingine wangemshtaki Ili alipe fidia Kwa kujinufaisha na jina la familia ya watu

  • @DavidSemu-gu6wp
    @DavidSemu-gu6wp 9 годин тому +5

    Kwani lazima atumie Ubin wa watu? Wenyewe hawataki mlevi na mropokaji una wachafulia haya naajiite steve lbilisi kama atatokea mtu wa kumuuliza.

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 3 години тому

      Haaa haaaa asee 😂😂😂😂😂 Sina mbavu

  • @Hamisi-y2j
    @Hamisi-y2j 7 годин тому +2

    Mzee yupo sawa kwnn usaliti jina lako utumie jina la mtu

  • @HadijaKilagule
    @HadijaKilagule 12 годин тому +4

    Safi sana jamani aliekaribu na Steve Nyerere. Feki atufikishie ujumbe huo kuwa familia hawataki ajipendekeze kwao Kwan Hana wazazi akatumia jina lao ?

  • @HassanSaid-e1w
    @HassanSaid-e1w 14 годин тому +1

    Saawa kabisaa jina la mzee kubwaa

  • @efraimjohn4956
    @efraimjohn4956 3 години тому

    Ila anatumia jina vibaya aache. Hlo ni jina la muasisi wa hili taifa . Afanye sanaa na sio kutumia jina la Nyerere kama ni baba ake au ametoka huo ukoo.

  • @felixmwayeya6716
    @felixmwayeya6716 3 години тому

    Acheni kijana aendelee kutumia hili jina mtaonekana kama mna chuki mzuie leo wakati kaanza kulitumia miaka kibao sio vzr

  • @TheGospel-jh5zc
    @TheGospel-jh5zc 3 години тому

    Mwalimu nyerere hakuwahi kuwa chawa

  • @gililwise
    @gililwise 8 годин тому +3

    Duh kumbe siyo ndugu ni chawa tu.jamani acheni kutumia majina ya watu bila idhini ya familia

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 3 години тому

      😂😂😂😂😂 umenichekesha asee huyu stivn ni chawa tu wa ccm Wala hanaundugu Wala ukoo wanyerere kwanza alitakiwa ashtakiwe Kwa kujineemesha na jina la watu wengine pumbavu kabisa

    • @adamlubawa1281
      @adamlubawa1281 Годину тому

      Mi ninavyoona hili ni jina kama yalivyo majina mengine kuna watu wanaitwa
      MANYERERE
      NA KUNA WATU WANAITWA HILO JINA LA NYERERE
      JE? HAYO MAJINA WAYAONDOE
      MADARAKA AMECHEMKA
      HATA ENZI ZA UHAI WA NYERERE MBONA HAKUGOMBA KUTUMIKA JINA HILO
      AU MFANO JINA LAKE LA MADARAKA
      NI LAKE PEKE YAKEEEE
      AU MTU AKITUMIA JINA LA MADARAKA AMELENGWA YEYE

  • @Am-vo5cu
    @Am-vo5cu 14 годин тому +2

    Unaongea mambo mengi na hakuna hoja yeyote .

  • @Sarah-e1o9k
    @Sarah-e1o9k 11 годин тому +1

    Jina tlimpa sisi wananchi kama nyerere mwenyewe hakumkataza wewe nani haswa tmeshamzoe ivyo na litakywa ivyo 😂😂😂 pole kwa maumivu

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 години тому

      Huyu chawa aliibuka wakati Nyerere ameshafariki

  • @VictorKahangwa
    @VictorKahangwa 15 годин тому

    Hajakatazwa, alichoshauri Madaraka ni kuwa kijana Steve jina lake liandikwe Steve Nyerere ajulikanaye pia kama Steve Nyerere (i.e A.K.A)

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 14 годин тому +1

    Itakuwa siyo rahisi kama usemavyo Madaraka ukweli ni kwamba Watanzania wanamjua kabisa kama huyo siyo mtoto wa Nyerere hilo ni jina la usanii tu kama aluvyoigiza jina la huyo baba yenu kwa kuiga hiyo sauti yake muache tu usimkatishe ndoto zake za uigizaji mpendeni tu familia

  • @janetchinga695
    @janetchinga695 9 годин тому +1

    No comment 😂😂😂😂😂😂😂

  • @himanmwalwala7569
    @himanmwalwala7569 12 годин тому +3

    Kwanza tabia yake ni mbaya,
    Kwanza chawa wa Wala rushwa hafai kulitumia

  • @LeodegardRutakyamirwa-hg9hu
    @LeodegardRutakyamirwa-hg9hu 25 хвилин тому

    POLENI FAMILIA KWA HILO

  • @aediayumgo8546
    @aediayumgo8546 14 годин тому +1

    Steve waachie jina lao lenye laana 😂 tumia jina la babako labda mama atakuona

    • @MrA24G
      @MrA24G 13 годин тому

      Jina halina tatzo Steve atumie jina Lake.Hana sababu ya kutumia jina la baba wa taifa.Kwanza unapochukuwa jina la mtu hata personality yako basi ifanane na ya nyerere unakuta mtu hata nyerere hafanani nae hata elimu hawafanani.Atumie jina la babaake sawa sawa madaraka

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 11 годин тому

      ​@@MrA24G Basi hata msimamo

  • @MgazaMhina
    @MgazaMhina 9 годин тому

    Sioni hoja hapo kwani amejiita mwenyewe,watu wanajiita majina tofauti mpaka yameua majina yao ya asili kila kitu kinasababu,kwani hili la Nyerere liko peke yake

  • @YoshuaSeverino
    @YoshuaSeverino 12 годин тому +3

    Mzee Madaraka ukumbukwe baba yako alikuwa baba wa Taifa la Tanzania, kila mtu anahaki ya kutumia jina la baba wa Taifa kwa nia njema

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 3 години тому

      Sasa je huyu Stivin anatumia hiyo jina vizuri? Maana amekua chawa tu wakutetea majizi

  • @GilbertMasukila
    @GilbertMasukila 14 годин тому +1

    Steve Mengele upo ?

  • @YoshuaSeverino
    @YoshuaSeverino 12 годин тому +1

    Stive Nyerere atiwe moyo, kuna shida gani? Au umaarufu wa Stiven Nyerere unamtesa Madaraka?

  • @MwajabuShabani-p2f
    @MwajabuShabani-p2f 4 години тому +1

    Kweli mzee madaraka yaani mpaka kero utafikiri mtumwa aibu kweli

  • @anthonymgina3893
    @anthonymgina3893 14 годин тому

    Haina shida jina ni jina tu wakina Nyerere wapo wengi sana mtaani, umaarufu wake labda ndo tatizo na haizuii kulitumia. Mtu akiamua hata kuitwa Kisiki au kinginecho ni sawa, mmh watu watie juhudi si kutegemea majina ya wazee wenu kuwainua bana 😂😂.

  • @Ajijji12
    @Ajijji12 13 годин тому +1

    Watu anaitwa majina ya mitume na hakuna mkanganyiko kina Ibrahim baba wa walimwengu

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 11 годин тому

      @@Ajijji12 Ni kweli kabisa, hao mitume tunasoma maisha yao. Mwl Nyerere ni wa hivi kitambo watu wanajua aiba yake ilikuwaje. Ndio maana hata hao wanaweza kuiga sauti yake. Kimsingi unavyotaka aiba yako kuifinyanga iwe kama ya Mtu kama Mwl Nyerere inahitaji uangalifu wa hali ya juu sana.mfano wa huyu kijana zinapoibuka hoja za kitaifa, ujitokeza kutoa hoja na mawazo yake kwa Aiba ya ki Mwl Nyerere. Basi tatizo huanzia hapo. Fikra na matinki za maneno na maono yake huyu Kijana. Hayafanyi Mwl Nyerere halisi kuishi katika nyoyo Zetu. Mwl Nyerere alikuwa mtu wa hoja sio vioja vya Steve. Ni sawa aache atumie ya kwake majina.

  • @djfunk255
    @djfunk255 10 годин тому +1

    Kama ni baba wa taifa munavosema so kila mtanzania ana haki ya kujiita ivo c ndio baba wetu wa taifa na vile vile stive Nyerere tulimuita sisi hajajiita yeye kwanza .,au family na serekali acheneni kumuita baba wa taifa

  • @FadhiliLesha
    @FadhiliLesha 4 години тому

    M nadhan Steve hakujiita ila watu walimuita

  • @meckytossy9160
    @meckytossy9160 11 годин тому

    Kwani jina ni ukabila au unataka ukatambike😢😢😢😂

  • @husseinsalehe6506
    @husseinsalehe6506 12 годин тому +3

    Nilidhani ukiwa mtu mzima unakuwa na busara kumbe hapana,mzee hilo jina la Steve Nyerere hakujiita yeye,amepewa na watu kama ilivyo desturi yetu wa Tanzania kupeana majina kutokana na haiba yako,pili hakuna asiejua kuwa Steve ana baba yake na sio Mwalim Nyerere,lakin ni kama umekusudia kumuaibisha na kuonyesha kama hilo jina la Nyerere ni very special.Mimi nilidhani Steve ametumia jina hilo kutapeli watu kumbe analitumia kwenye sanaa yake ambayo ndio inampa rizki,Busara itumike,MUOMBE RADHI NA UWAOMBE RADHI WATANZANIA.

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 11 годин тому +2

      Wenyewe awataki sasa atumie jina la mamake

    • @pena_tz
      @pena_tz 11 годин тому

      Mzee kuna jambo analisema bila kwenda direct.

    • @pendongowi3508
      @pendongowi3508 10 годин тому

      Atumie jina lake, mana wakati mwingine anaongea vitu vya kuudhi watu , atumie lakeeee.

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 10 годин тому

      @@pendongowi3508 kwanza mimi nilifikiri ni mtoto wa nyerere kikweli kumbe kenge kama mimi kumbe alikuwa chawa wa family ya nyerere

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 14 годин тому +1

    Mmmh

  • @RichardLyamuya
    @RichardLyamuya 5 годин тому

    Uchawa

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 11 годин тому

    Wazeee wa TZ mikun😂😂😂😂😂😂😂duu

  • @mtummoja6882
    @mtummoja6882 14 годин тому

    Huyu naye. Jina imekuwa nongwa? ANA KAUMIMI NDANI YAKE

  • @ibrahimdaudi5823
    @ibrahimdaudi5823 15 годин тому +1

    roho kubwa

  • @SirajiAbdalah
    @SirajiAbdalah 7 годин тому +2

    Jina halina mwenyewe

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q 10 годин тому

    Ni jina la kazi hilo. Asikatishwe tamaa. Baba wa Taifa nyerere alifanya mengi mazuri lazima aenziwe. Steve nyerere ni kitukuu kinachotukumbusha Sauti za nyerere. Ingawa wewe ni mtoto lakini bado hutukumbushi hata sauti ya baba yako ilikuwaje.
    Michael Jackson alikufa lakini wapo wanaoitwa marina ya michael Jackson kutokana na kazi wanazozifanya zakumwenzi Michael Jackson.
    Mzee uwe na point. Hii uliyosema ni point less

    • @moodyzanzibar4336
      @moodyzanzibar4336 4 години тому

      MIMI NAONA HUYU ANAONA WIVU TUU NI ROHO MBAYA TUU

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 години тому

      Kwahiyo unataka aenziwe na huyo chawa?

    • @rajabukitego1662
      @rajabukitego1662 19 хвилин тому

      Kama,hi yo,ndivyo,,stiv,,tumia,jina,,la,baba,yako,,wameona,mmefanana,saut,hamja,fanana,tabia,,maana,nyerere,,kwel,hajaiba,pesa,za,lambi,lambi

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 2 години тому

    Hata mimi naunga mkono jina la Nyerere liheshimiwa hasa ukizingatia mwalimu alivyotutumikia wa Tz na wa Afrika kwa ujumla.