Huu wimbo ulitakiwa uwe na at least 1M views ndani ya hizi siku 2, sijui wabongo tunakwama wapi kum support huyu jamaa kisawasawa, maana kwenye singeli yeye ndio number 1 na sisikilizagi singeli za msanii mwengine yeyote zaidi ya huyu jamaa. Big up Dulla
Am from Malawi, but I love Dulla Makabila songs. He is a genius, his creativity is top notch 🎉🥰🥰🥰... Every African who loves good music , should support him❤🎉... #Moyo #OneLove
Walio uona mwaka 2025 wakiwa na afya njema ,naomba like zenu tafadhari
Aamiin
Sio kwel
ua-cam.com/video/PvE-DLBMAQg/v-deo.htmlsi=VOB_4p0nDSyJNPDH
Huyu jamaa nifundi San Kam unamkubali gonga like
Duh dullah wew kweli King of singeli salute kwako mzee
ua-cam.com/video/HrWolnIYMDg/v-deo.htmlsi=KTsCA23QLqtk691S
Mfalme wa singeli kudadeki we ni atariiiiiiiiii❤❤❤❤❤❤wanangu dondosha like kwaangu na kwa dullah
ua-cam.com/video/HrWolnIYMDg/v-deo.htmlsi=KTsCA23QLqtk691S
Makabilla hatoi nyimbo kila mra ila akitoa nyimbo ni bonge la hit song na lazima iwe trendingi chukuwa mauwa yako unajuwaa saan dullah ⚘❤🙌💥🔥
Alishakwamby msaniii mpenda waganga nd yeye, mganga hajamtapeli huyo
Na mkimbali Sana kijana 🎉🎉🎉🎉
Dulla Makabila ndo msaniii Bora wa singeli na kuingia trending no 1 kwake ni kawaida
Anaitwa Dulla Makabila ...nakupenda sana morioo toka enzi za "Pita Huku" MUCH LOVE FROM kENYA
Huu wimbo ulitakiwa uwe na at least 1M views ndani ya hizi siku 2, sijui wabongo tunakwama wapi kum support huyu jamaa kisawasawa, maana kwenye singeli yeye ndio number 1 na sisikilizagi singeli za msanii mwengine yeyote zaidi ya huyu jamaa.
Big up Dulla
Sema Dullah Unajuw Kuliko Kawaid Aya Kam Unamkubal King Of Singeli Gusa Hachiya Twende Kwaho❤🎉✅✅✅✊
Anaeamini makabila ndo king 👑 of singeli like hapaaa...
Moyoo wánguu hukuu dulla makabilaa saiz umeanza kusukuma matoroli
😂😂😂Umeuza mwana
Aliyesikia neno Mzungu akifa tujuane 😂😂 Dulla maua yako kaka 🎉🎉
🎉😂😂😂😂😂
😂😂😉🙃
Asa huyu jamaa 😂😂😂 , DUA' gani anaomba mwenzake afe 🙌
mimi imebidi nirudishe tena nyuma ili nisikie tena😂😂😂😂
😂😂
Yaaani kajitolea kutoa moyo kwa ajili ya mziki wapi likes zake😂😂
Atoe moyo abki hai
@GiddyAfrica 💯🙀
😂😂
Ameutoa kisha akautusi😂😂😂😂
😂 uwongo to 😂😂😂
Oya dulla respect kaka😂😂moyo kubabake
DULLA BRO MI SIO SHABIKI YAKO SANAAA ILA LEO NIMEKUELEWA KWANN WASANII WENZIO WANAKUPIGA VITA KAKA UNAJUA 🎉🎉🎉🎉YOUR KILLED
Your killed😂😂
Walio uina mwaka na niwazima nijambo ra kumshukuru mungu gonga like kama tupo pamoja
Jaman kuna hii MOYO YA MAKABILA NI HITS SONG NAN ANABISHA🎉🎉🎉🎉
Nomaaaa
Noma
Makabila
Moyo
Hili dude
Kiukweli TUZO ya singeri nimekupa MAKABILA duuh👑✅ very innovator
Kama unamkubali dulla gonga like twende sawa
ua-cam.com/video/HrWolnIYMDg/v-deo.htmlsi=KTsCA23QLqtk691S
Kama umeiludia kuangalia zaidi ya mara moja kama mm weka like apo goma kali sana brother dulla unajua sana ....❤❤❤❤❤❤❤
ua-cam.com/video/PvE-DLBMAQg/v-deo.htmlsi=VOB_4p0nDSyJNPDH
Mbosso
Sijawai kupinga uwezo wako unajua sana kaka wewe ndio msanii wangu Bora 2024
Huyu jamaa ni next level yan na director wake ni next level yan!!! Huu wimbo nmeupenda
Mzungu mtu mzima tusubiri afe Zai tutamrudia🔥🔥
😅😅😅😅😂
😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂😂
bonge moja la idea kubabaake 🙌🙌✊️✊️
Sipendi singeri ila napenda singer zinazoimbwa na makabila,,, creativity
king anajua sana aise
🙏🏾🙏🏾
2025 unaweza kubeba moyo nakutamba nao barabaran 😂😂😂😂
Dullah nakukubali San kaka yangu unaweza San yan❤❤😂😂😂
Mipia singer hapana lkn za huyu natazama
From kenya naombeni likes zk🇰🇪 ❤
Za nini sasa
😂😂😂 Wa Kenya Bwana haweshi kujitangaza from Kenya… unataka like za nini sasa!!????
Hello
Jaman moyo huu daah kama unataman moyo wako uwe kama jiwe like jaman namm
Hiii nyimbo tuipushi ifikishe 10M ndani 10days🫡🫡 am musician lkn hii ni next level ya utunziiii thankyu director kwa good video dulla 🫡🫡🫡
Wabongo hawajuagi nyimbo nzuri, ila wanapenda nyimbo za kipumbavu ndo wanaziona nzuri
ua-cam.com/video/HrWolnIYMDg/v-deo.htmlsi=KTsCA23QLqtk691S
Kaka wewe KING wa singeli tena mfalme ambae anamiliki imaya zaid ya moja bonge moja la ngoma✊️✊️
Am born and raised in Zambia but you are my favorite artist dulla
Jmn zai na mdhungu wake chonde msiniulie msanii wangu
King wa singeli nakubali sana nyimbo zako dullah
Moyo by king of singeli ni ngoma kali sana na hii nyimbo ndio funga mwaka 2024 🔥🔥🔥💪
Sema we msenge unajua mpka unajua tena,,,king of singeli,,,Na mzungu atakufa tuu Wala usijali zai ni wetu,,,😅😅💪🏿💪🏿💪🏿🙏🏾🙏🏾✍🏿✍🏿👍🏿
😂😂😂😂 moyo sameheni mumetoa talaka wenyenu
@FatimaAli-of4gh atakufa tuu
Ila Dulla Huyu Jamaa Hafai Kwenye Tungo
Singeli kwenye mikono salama kabisa ya *MAKABILA*
Gonga like kama unaamini huyu ndio king wa singeli na creativity Kali
Kwa creativity ungali number one big up saaana 🎉
chinooooo wanamannnnj
Eti moyo nina kikao na wewe
Unapenda hela kufanya kazi hutaki
Moyo pumbavu zako
Moyo toka zako
Love from Burundi 🇧🇮 ❤️ 💕 💖
We jamaa hufai..... Big up brother
Wee kaka kweli umefikia pabaya mungu akudamehe tuu
Sa kafanyaje😅
Kwa creativity hii hata ile nyimbo kweli naamini alikuibia yule kipara
Hongera makabila kipaji kikibwa hapo
Uko juu Mungu akubariki,shabiki yako kutoka 🇰🇪 hapa
Moyo wangu jamn ❤😂
😢 makabila atengwe kabsa 🔥🔥🙌🙌
Msenge hajawah kukosea daaaah hatar sanaaaaaa❤
Nampenda saana Dulla makabila ❤❤ moyo mashine daaah
Unajua sana kaka kwenye uandish tu 100 💯
Parfaite music bro happy new 2025🎉🎉❤❤
Kali kinoma umetisha mzeeeee
@Dulla makabila🌹🌹maua yakooo Kaka anqu mm😅😅sinqeli zakoo mtaani watuu wananikomaaaaaaaaaaa😂😂😂😂
Noma sana, kwenye ubunifu upo mbali sana.
Familia, umetisha sana Kaka Dulla makabila
King of singeli🙌🙌🙌🙌
Sijaona msanii mbunifu kama huyu ❤
Kaka mkubwa 🥰 from 🇨🇩 naomba like
Akika dula makabila kwenye singeli ana kipingamizi
Huyu jamaaaa hafaiiiii
you are so creative man,napenda sana nyimbo zako
Mzungu mtu mzima tusubiri afe zai tutamrudia(nmecheka jaman)😀😀😀😀ila dulla umenishinda tabia 😀😀😀
Khaaa😅😅 ameua show
Nikajua hamjasikia
Asingetaja jina anataka kesi uyu😂😂😂😂
😂😂😂😂😂@@mumyomary1812
Moyo pumbavu kweli hunae mpenda kampenda mwengine.....hila pole na mm pia naumia❤❤❤❤
Am from Malawi, but I love Dulla Makabila songs. He is a genius, his creativity is top notch 🎉🥰🥰🥰... Every African who loves good music , should support him❤🎉... #Moyo #OneLove
Super artist creator
Japo sipendi singeli
Dulla👐👐👐👐👐🙌🙌🙌🙌
Dulla una ubunifu mzuri wa nyimbo ila ningekushauri acha kumtaja Mzungu kwenye nyimbo zako ht km ilikuuma ipotezee tu !
The most and Best creative Artist in EastAfrica✅🙋♂️👊👊🇹🇿BigUp brother #Dullamakabila #Trestartz
#Trestartz #Dullamakabila #MOYO✅
Tatizo melody ni moja kila ckuu
Umetisha sana abdallah
Moyo tumbavu zako 2025 tujuane ❤
Umeweza saanaa singer King ndo huyu hapa sasa
🇲🇿🇲🇿2025 nimerudia zaidi ya mara 10 you are king....
Dulla baba yangu we nuatari ❤❤❤❤❤ nisaidieni nifikishe 25k wana dulla makabila ❤❤❤❤❤
Kazi kubwa sana ndugu yangu
Dullah kwa ubunifu tu big up
Dulla we Ni Noma saana Mr Creativity Unajua SANA aisee 💯🎶🎵🎼🔝💥🔥
Umetisha kaz mzur sana 🎉
Oya Mzungu anakufa zai anarudi😅😅😂😂
Bonge ngoma bigup dulla
Kama unamkubali dulla gonga like hapa❤
Nani Anajua kuandika Sengeri kama Dulla . Oya bro unajua kubuni vitu🎉🎉🎉🎉🎉 Happy New mwakaaaaa
Daah dulla umetisha bro kwamba mzee anakaribia kufa tumchukue zai sio😂😂😂😂😂
Wallah bado anampenda😢😢😂😂😂
Huruma bado anaumia 😢😢
Kazi nzuri big brain
Ofcourse unajua kaka MyG 🙌🙌🔥🔥
Dah jamaaa anatisha noma sana
Hivi ndo tumevuka mwka ❤
Dulla ❤❤❤ mm sipendelei singers ila kwako huwa sichomoiii
Kama unamkubali dulla ni king of singeli gonga like hapa, the song is 🔥🔥🔥🔥👏👏🥰👌
Huyu ndo mwenye singeli kwa sasa tBongo❤
Mzumu huu naukubali anaitwa dula
Always uwa nasema dulla kwenye singeli ana Dunia yake ❤ big up my artist
Kma umefka mwaka shukur Mungu
Mwanangu sana dulla makabila .magomeni kagera unatuwakilisha vyema hili ni bonge la ngoma.CHidy vava wakunyumba hapa.
Tukiacha unafiki kwa mwaimbaji wa singeli Dulla ni mbunifu Sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉hongela sana
Mnooo
Haswaaa❤
Yaan hata tusipoacha unafiki bado ni number moja mbunifu
@@upendommbaga7070 ila ww😂😂😂 yani ata tukiwa wanafiki ni mbunifu😊
Kaka hii umeua an ❤myao mwenzetu unatupa kitu roho inapenda
unajitahidi sana mzee my favourite sing in singel
mungu akuweka baba unakipaji chapekeyako❤❤❤❤
yan unajua had unajua tena 🙌🙌🙌
namkubali sana dulla ila uhuu yimbo ameferi
Kafeli wap
Am from kenya i feel pain.. aky moyo mbna wantesa sana😢😢😢
Namkubali huyu mwamba 🇹🇿