Wewe ni ndo Makonda, nakufananisha na Mnara wa Babeli kamwe hautikisiki. Ni nani kat yao aliridhika na kazi yake ya kwanza kuajiriwa? Na kama yupo achukue hatua juu yako...!
Wewe mwanaume wachana na maneno mengi, ushamaliza uongozi hutakiwi kusononeka, Alhamdulillah unahata akiba yakujisimamia mwenyewe huitaji kusononeka,tukumbuke cheo nidhamana tu kuna siku hata hao marais ikifika muda wanawaachia wengine,Wewe nijembe Huna sababu yakusonona
Makonda mungu yupo nawewe atakusimamia.kwakila jambo tumwachie mungu ndio mwamuzi
Mungu yu nawe kaka Makonda
Jaman
Kaka wanahsi wanakukomoa acha mungu atasimama
Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe
Mwanaharamu wew bora umeacha kazi
Wewe ni ndo Makonda, nakufananisha na Mnara wa Babeli kamwe hautikisiki. Ni nani kat yao aliridhika na kazi yake ya kwanza kuajiriwa? Na kama yupo achukue hatua juu yako...!
Nakukubali kaka
Asante Nazi zuri baba mungu atakupa njia nyingine
Wewe mwanaume wachana na maneno mengi, ushamaliza uongozi hutakiwi kusononeka, Alhamdulillah unahata akiba yakujisimamia mwenyewe huitaji kusononeka,tukumbuke cheo nidhamana tu kuna siku hata hao marais ikifika muda wanawaachia wengine,Wewe nijembe Huna sababu yakusonona
Hayo sasa maneno ya kanga!!!?
Unavolia mitandaoni hadi unanikumbushia baba yake Diamond alivokua akijiliza mitandaon kuhusu Mwanaei😪
Wacha uwongo