MKE wa PROF JAY AELEZA HALI ya MUMEWE, KUHUSU KUPELEKWA HOSPITALI NJE YA NCHI, UKWELI NI HUU...
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- MKE wa PROF JAY AELEZA HALI ya MUMEWE, KUHUSU KUPELEKWA HOSPITALI NJE YA NCHI, UKWELI NI HUU...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Meamin mungu humpa mtu mwenye busara mke mwenye busara pia
Daah Polen sn Familia nzima ya Professor J ....Mm kwa Imani yangu ya Kikristo naendelea kumuombea 🙏🙏🙏🙏🙏 naamini atapona...hakika Mwenyezi Mungu atamponya
Mungu amsaidie sana ndugu yangu Professor J
Allah Atazid Kumughaf Inshaallah Kuugua Sio Kufa Ni Ibada Kutoka Kwa Allah👏
Km anaendelea vizur Mungu ni mwema kila wakati 🙏🙏
Quick recovery healing is his portion in Jesus name, Amen love you Tanzanians following you from Kenya.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ahsante Lilian kwa Upendo toka Kenya.
Mungu aliye juu hakika atamuashaa tenaa
Nampenda uyu baba. Mungu. Amsimamie apone mapema InshaAllah 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Amen
Mungu awasamehe wote ,na nyinyi familia sameheni wote walioamua kuingilia maisha binafsi ya mtu,Tunamwombea profesa J uponyaji ,mkono wa bwana usimpungukie
Ukitaka kuwajuwa wema wako na wabaya wako upate shida/matatizo.
Professor Jay inshaallah allah akujalie shifa ya haraka ameen🇰🇪🇰🇪🇰🇪 from kenya
Mung amfanyie wepes kiumbe wake profesa aamin
Pole sn mwamba, Mwenyez Mungu akupe wepesi upone haraka
Quick recovery ❤️🩹 may God heal you professor. J God loves you is not yet your time 🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪 loves you
Let devine healing be ur portion in the mighty name of our Lord,we love you and pray for speedy recovery here in Kenya
utapona brother mungu yupo
Quick recovery 🙏 legendary 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nawakubali sana wa 🇹🇿 ukifikia wakati wa shida hawajali km ww n tajiri ama maskini wanashirikiana kukusaidia
Mungu ni mwema atakuwa sawa kwa rehema zake
God is every sing, you will be okay soon. unaukumu ni wewe mwenyezi mungu naomba unilinde, it just like among of your song ves ft diamond,
Pole sana hon Jay Quick recovery
Nawapenda sana Watanzania wakijivunia Kiswahili.Imeleta Umoja wa dhati Tanzania.Heko Rais Baba Wa Taifa Nyerere.
Inshallah mwenyezimungu atakufanyia wepesi atapona inshallah 🙏
Inshaallah kwa uwezo wa Mungu Mola Muumba atapata nafuu na wale wanaosambaza taarifa za uwongo Mungu Mola Muumba anawaona na anawasikia hivyo watambuwe Ugonjwa/maradhi hayana mmoja.
Dunia ni mapito na starehe za muda.
Namshukuru Jalali kukulindia afya yako hadi wakati huu wa ugonjwa wako, wakati ule tulisheherekea kwa pamoja na pia wakati huu mgumu, nipo nawe mjomba, nakuombea kwa Jalali tabibu zaidi yao matabibu akuponye! James Spanner Mapwani#kenya
Quick recovery legend ❤️❤️
Mungu ponye prof j tunapenda Mungu. Mponye
mungu wa mbinguni anaweza mm naomba mungu akuponye kaka yangu
Mungu akufanyie wepesi kamanda
Mungu ampe afueni ya haraka inshallah
Get well soon ❤️🙏
Speed recovery 🙏 💪 💯
Pole Sana bro
Poleni sana Familia kwa kuuguza
Jamani msijali atapona 2 kwajina la yesu kikubwa tumuamini 2 mungu kuwa anawesa
Anauguwa nini professor J wetu wakenya twampenda
Mungu ampe wepesi apone
Wa Kwanza Leo Naombeni Like Zenu💪
Professa ni mtu wa watu Mungu yuko nae na naamini atapona nabaki kumuombea.
Faida ya kuwa na mke anayejielewa,sasa wewe pambana kuoa makalio badala ya kichwa
Umenena
🤣🤣🤣🤣
Absolutely well said, Shana William.(Mungu akutunze sanaa mpendwa wangu)!
Najiuliza huyo ni Pr Jay maarufu wale wenzangu na mm inakuaje.? GET WELL SOON PROFESA
Mungu amponeshe haraka.Amen.Huyu bro kijana mdogo lakini anaongea kihekima sana.
Hello.Tuseme na tuambiwe ukweli.Kidney failure haiwezi kupona Kwa dialysis peke yake.inabidi apewe Figo jipya Vinginevyo NI feki na michango itaishia kwa urithi wa familia Kidney failure can never be treated by prayers only A new kidney is needed not moneys only Tuchangie Figo
Mungu ata mponya ila watu wengine wazushi sana kwanini
mtangazaji basi uwe unauliza maswali mhusika awe anaelezea hatua kwa hatua kiundani mfano hapo aliposema yule mzee alimwmbia mama yake vipi suala la kafara basi ungemuuliza je aliwasikiaje wakiongea hayo mamboa au ilikuaje hadi akawa anawasikia hayo mazungumzo yao
Pro Jey tunakuombea upone na ukiludi home kaendelee na dawa kunywa usiache kutumia.
pole
Miii Namuombea Duwa Apone🤲.Lakn Mambo Ya Kuchangia Kuweni Na Huruma Pesa Za Ustafu Ubunge Kazipeleka Wapi?Afu Utakuta Mlalahoi Nayy Anachangia.
Get well soon professor J.
Usitukane mamba hujavuka mto
Mm Mkenya nlishindwa Tz imefikia wapi kumtangaza mtu kinyume na anavyougua
Kwa nini inchi zetu za Afrika hakuna uwazi wakujua ni pesa ngapi inaendelea kuchangwa
Hata me nashangaa mbona hawasemi bei gan wanataka au kunatakiwa vitu hivi na hivi then km anaendelea vizur michango yanini
sababu hawajataka michango ila wameona wasiwazuie wenye mapenzi mema kuchangia. so changia kwa moyo unataka takwimu subiri Malisa atawapa feedback
Nimi ninajua Sana a kidney donation is more important.Moneys are for his family and not for him any more
🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
🇲🇿 pole
Kama India apelekwe usione so siku zimesonga xaxa
Kwani anaumwa nini hasa tatizo ni corona au?
Ivi huyu mke wa profesa j. Ndo yule wa tamthilia ya huba anaitwa samia anamtaka fabrizo au ni macho yangu tuu..!!???
Get well soon regend
Professor inahitaji Figo jipya
No mchango ameupiga mwingi sn nn tatizo tz yetu
Kama nyie ni watu wa kuchangiwa,vipi mlalahoi ambaye hajawahi kuishi maisha kama yenu?
Kwani uliwackia wakiomba msaada??.....c umeckia apo Kuna watu wamewafata wanataka kutoa wenyewe
Kama mm minimziki wake tuu hayo ya vyama mnajua wenyewe I'm hip-hop for life get well soon the m vp profesa j aka niga j
Prof.J anaumwa nini??
🌹🌹🌹🌹🌹🌹💝💝💝💝💝
Afueni ya haraka J,tunakupenda na tunakutakia afya yako irudi
Mtangazaji mbona unaficha uso?
Apone jmn
Anaumwa nn jmn
Mmmh ata hatujui😳😳🙄
Kwani anaumwa Nini mbona hamliulizii hilo
We mwehu unanguvu ata kujieleza mume yuko hoi
Anahakiri saana huyu mm
mke mwenye akili kama huyu ni tunu
Hawa wasanii kumbe huwa hawana hela....
Ugua pole sn the Heavyweight Mc
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
Hv huyu mwanamke kabila gan
utaniambiya nini
WA tanzania muna Umbea Sana kwani amukuwi akili kila leo kwa midia Umbea huyu hivi yule vile duh wacheni Umbea kila moja angalie mambo yake na maisha ya endele mbele
Mbona amsemi nini anaumwa
Point ya msingi ya sisi mashabiki tupo tayali kwa kumchagia PR J. Ila itakua vizur mukituambia kama mashabik anacho sumbuliwa msani wetu
Kwann muambiwe hyo ni siri ya mgonjwa kwann mtangaziwe kisa kusaidia. Kaaa na buku yako bro. Serikal ishaamua kumtibu Sasa ww paka uchangie ujue maradhi
@@fettysankaabdullah5353 nashangaa ukiamua kutoa wew toa ujue swala la anaumwa nin ni la mgonjwa na Dr maradhi ya mtu wew ya nin
ua-cam.com/video/9rK399duqKM/v-deo.html 😊
Ugonjwa wa MTU ni confidential kati ya mgonjwa na Daktar au watu baadhi atakao taka wajue ugonjwa wake..Wewe Mack Ukiumwa GONO au NGOMA ukasikia mtu kwa mfano anasema nahis utakua confortable
Ugonjwa sio siri na ndio maana kuna msemo unasema mficha maradhi kifo umuumbua. Sawaa anaumwa je? wengekaa kimyaaa bila kutangaza munavyozan PR J. Angeshindwa kujiudunia. Pale MTU anapo tangaza ugonjwa razima MTU akujaji anaumwa nini? Sio kosa kujua ugongwa anaoumwa. Kama wao waliweza kututangazia kama anaumwa kwa nini na sisi tusiulize anachoumwa.
We really need a new kidney not only moneys in Money s gonna go to the family not for him
Bible inasemaje khusu Njiti
ua-cam.com/video/SGDsxRGXeW8/v-deo.html
kamili gado
Nyinyi wajingq kweli hamna msaada mnakazi kuwahojiii tyu
Mungu akufanyie wepesi