Siwezi kupoteza hizo fedha zote mfano kama hizo za milioni 80.90 hadi 100 na zaidi ukichukua milioni 100 mara siku 30 za mwezi mzima mfano umekaa mwezi mzima ni sh 3,000,000,000 Na ukika mwaka mzima ni sh 36,000,000,000 Kwahiyo ni bora nijenge na mimi vya kwangu niwe naenda kula raha nasio kwenda eti huko kwasababu tu ni sehemu maarufu wewe Dada bilioni tatu kwa mwezi si mchezo na bilioni 36 kwa mwaka si mchezo hizo fedha kama kweli ukizipata harafu ukasema ujenge hotel au lodge kwa Tanzania unatisha hata ikiwezekana Africa nzima
Dah hata niwe na halisha pesa siwezi kulala kwenye hotel yoyote hapo yani sisi tupo omani tunahangaika miaka 2 kutafuta milioni 8 miaka 2 mtuanaenda kutoa pesa zaidi ya hizi kwa usiku moja 😂😂😁😁😁😬😬😬😬😬hapana kwakweli
Richard Kobero huwo nimdomo waliyo wengi wenu wanapo tajirika hunahau wasiyo jiwezan na mayahima husema pesa lilizo ziangikiya mimi nipale hawezikahi hutalala ni ukosefu huwo ndiyo huna kusemeha hivyo
HUKU KWETU IFAKARA KUNA HOTEL MOJA KULALA KWA USIKU MMOJA NI 3000 WALI WAKK WA BUKU MAJI KILOMBERO YA 500 KATIKA 5000 INABAKI JERO YAKUNUNULIA KONDOM NAMAISHA YANAENDA SAAAAFI
Sound of stupidity. Inawezeka ndio maana hizo hoteli zipo lkn mimi siwezi katakama hayo mabillioni yatakuwepo. Kunawatu wengi tu watahitaji msaada wangu sasa kuliko kujipa Paradise of one single night nibora nijiandalie life time Paradise
Tunauza BP MACHINE (ELECTRONIC BLOOD PRESSURE MONITOR) kwa punguzo la asilimia 20%. Nakuomba uniandikie ulizo lolote DM au PIGA SIM 0715905167. Please kindly LIKE.
AYO TV
the place where future billionaires come to get inspired.I love it
WAOOOOOW mpo vizuri Ayo mnauwezo wa kuchunguza mpana SAAANA big upp
Mko vizuri sana ayo media
Asante sauti nzuri sana
thank u janeth for the list...
Duu mzee baba
Noma sana
Bwana weee mm naenda kulla getoo tuuu... kwa pesaa hizooo Mmh! 😀😀
Na lala Sana tu
😨😨hivi jamani kuna watu wanaishi kweli maana hii ni kufuru kabisa
Msiba huo hizo pesa wangekuwa wanatowa sadaka Allah anasema kusingekuwa na masikini dunia ila kuwa tajiri ni mtihan kwa Allah
Heeeeeeeheeeeee... Chinekeeeee.. Kweli vyuma vimelegea.. Teh Teh.
Oooh nzur saana
Nipewe pesa tu nikatengeneze maisha ya muda mrefu sio ya cku moja
Daah 😀 noma san
Jamana
Nambaaaa 1
Mimi nikiwa nahuwezo hiyo hotel president Wilson ya hususi ndiyo na weza kulala
bora pesa aiseeeeeee
Pesa mpango mzima, wanipe tu hela, kulala hata kwenye mkeka unaweza lala
Silali aisee kwan kitanda hicho kina nn aisee bora nitoe hiz pesa kwa watoto yatima aisee ntapata fadhila kwa Allah subhana na furaha ya milele akhera
Daa
bado sana, sio kwa usiku mmoja
Ningechagua kupewa pesa
Hatar sanaaaaaa
Zambi izo jamani simu Moja tuuuu bado kula nauli nakazalika duuuuuuuu
Bdo sana list yenu Mbna hamjaangazia french Polynesia? Na Maldives je?
siwezi
Ndeni mwetu nimetosheka
Pesa nzenyewe izo natoa wap ningenunuwa gari yangu naishi ndani kuliko kitu kama hicho
Nitakwenda kulala hotel namba 3,1. One
mimi nachagua kulipwa pesa kwa hotel ile ya no 1
Hata ukilala kwenye nyumba ya tembe usingizi si ni uleule tu😂
Kabla ya kulala kumbuka Kuna;
1.ela ya passport
2.ela ya nauli
3. Bado ujala
Mniachee😂😂
Hapo mtu ukienda kuombwa tigo unaanzje kujifanya sijazoea MTU katoa mihela kama hyo duh hata kutamn cwez
Daaaa iyo kufuru Sasa duu being kuwa Sasa
Hilton garden inn Miami,, nimelala pale km 2,days, if you do no that money,, you can't use,,! pesa mwenzie matmiz
Siwezi kupoteza hizo fedha zote mfano kama hizo za milioni 80.90 hadi 100 na zaidi ukichukua milioni 100 mara siku 30 za mwezi mzima mfano umekaa mwezi mzima ni sh 3,000,000,000
Na ukika mwaka mzima ni sh 36,000,000,000
Kwahiyo ni bora nijenge na mimi vya kwangu niwe naenda kula raha nasio kwenda eti huko kwasababu tu ni sehemu maarufu wewe Dada bilioni tatu kwa mwezi si mchezo na bilioni 36 kwa mwaka si mchezo hizo fedha kama kweli ukizipata harafu ukasema ujenge hotel au lodge kwa Tanzania unatisha hata ikiwezekana Africa nzima
Hii ya ugiliki nilishawahi kulal hapo😌😌🙄🙄🙄
Watu maarufu km wachezaji na wana muziki n.k na Watu milionea ndio wanpo kwenda sehem km hz
Kiukwel ata leo nkitabaatsha Ml 500 natoa ML natoa ML 200 naenda kull hl nsafshe nyota
daah hku kwetu mbeya kuna hotel nyng sn,,, kulala kwa ucku moja ni Sh 7500,, sa kwann ntoe mil 100,, hyo ela sunajeng hotel Tukuyu
Jackson osward 😂😂😂😂😂😂😂usiseme
Jackson osward hahahahahaha ndo maana haitakiwi kusema hatuna pesa sema huna hela
😁😁😁😁😁😁
Jackson osward 😂😂
Jackson osward mara nyingi wageni wanatoka nchi za mbali wanataka kuspend iyo pesa yakawaida kwao kwa watu wakubwa
Dah hata niwe na halisha pesa siwezi kulala kwenye hotel yoyote hapo yani sisi tupo omani tunahangaika miaka 2 kutafuta milioni 8 miaka 2 mtuanaenda kutoa pesa zaidi ya hizi kwa usiku moja 😂😂😁😁😁😬😬😬😬😬hapana kwakweli
Huko usiku sio masaa 12 ni zaidi ya wiki yaani usiku ni mrefu sana
😂😂😂😂
Lugha ya masikini utaielewa tu
Lugha ya masikini utaielewa tu
Lugha ya masikini utaielewa tu
jamani nipewe pesa kwani nkilala hapo ndo nakua tajiri au wanipe tuu hizo hela mi nifanye mambo yangu mengine
Mie napanga chumba keko machungwa tu
Sizani
bola nipewe pesa kama kulala hata nyumbani papo........................
hapana kuna hotel apa mbagala kwa siku buku jero aiseee inatosha kikubwa godoro nilale hayo mengne baraka tu
Na Tz ukipita na Sola elfu 9 tuu unakamatwa
Ningetua UGRIC™
Hizo za marekani na Uswiz ndy zaidi
da! mm siwezi kutoa Pesa kwa ajili ya kulala kwenye hoteli hiyo
Me naunga unga hapa nikipata dola 40elfu nalala hiyo hotel
Bora nipew besa mkononi nifanyie project za maana
hzo ela mbona ntajenga yngu apa bongo aiseee
sijaona mimi
Mimi napita tu maana mwenye pesa sio mwenzio
Mi nikiwa na ela nalala kila siku kwan izo ela utakufa nazo
nachukuwa pesa naboresha biahara zangu zikuwe hata nikiwa tajiri siwezi kulala hata
Hata niwe bilionea siwez pes ndefu san unawez kununua vifaa vya mahospital au ukajeng shule kwa ajili ya watoto yatima mung tubark tusitumie pes vibay
Ukiwa nayo wala hutaona gharama
3 bora
milioni mia moja kumi na NNE kwa usiku mmoja ..
gest inanitosha ata niwe billionea vp yn nitoe milioni 90 kisa kulala
Sifanyi ujinga huo
duh nikilala kwenye hoteli kama hizo lbd masaa yawe yanajirudia according to my money
Izi ndio habari ninazo penda kuzisikia kila kuitwapo leo
Wala cwezi kulala kwenye hoteli ya milioni 100..
duuuuh hatar
Wanipe pesa tu
Khaaaa hizo bei aisee siwezi kulala hata niwe na ela vipi,bora hizo ela nikawape masikini na wasiojiweza
Richard Kobero huwo nimdomo waliyo wengi wenu wanapo tajirika hunahau wasiyo jiwezan na mayahima husema pesa lilizo ziangikiya mimi nipale hawezikahi hutalala ni ukosefu huwo ndiyo huna kusemeha hivyo
Richard Kobero bado ujapata pesa ndg ukipata mbona kawwida t
Nipewe pesa tu ila sio kulala uo usiku mmoja kwa izo pesa
Ety elfu 7500
Nahisi ukilla hzo hotel unafuta dhambi
HUKU KWETU IFAKARA KUNA HOTEL MOJA KULALA KWA USIKU MMOJA NI 3000 WALI WAKK WA BUKU MAJI KILOMBERO YA 500 KATIKA 5000 INABAKI JERO YAKUNUNULIA KONDOM NAMAISHA YANAENDA SAAAAFI
Fredy John Waifakara Tz 😂😂😂😂 nmecheka kw nguvu mpk
Sound of stupidity. Inawezeka ndio maana hizo hoteli zipo lkn mimi siwezi katakama hayo mabillioni yatakuwepo. Kunawatu wengi tu watahitaji msaada wangu sasa kuliko kujipa Paradise of one single night nibora nijiandalie life time Paradise
Le meurice mbona haipooo
MUNGU WANGUUUUU
Kwani ukilala humo hautokufa
Sidhubutu kulala huko hata bure🙌😂
Irmgard samia 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
sylivia baruti balaa hili 🙌🙌
Hizo 114M bora nibet tu 😜
pesa ninge chukuwa pesa zita nisaidiya kufanya biashara
gharama nyingine, ni pension za watu, jamani kweli dunia kufuru.
Brightone Fred ...Haaaaahaaaaa yaaniiii weeeee Achaaaa tuuuuu.. Khaaaaaaa..Milioni 114 haayaaa bwanaa
Ya MIL 100
Sik moj nikapotez ela zote izo subutuuuu
Hela za nunuwa nyumba yako wewe mwenyewe ndo pesa za kulala mu hotel siku moja duuuuh Subutuuuuuu.
Emedi Sheba Bin Bawili hahahaha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
neema msanjila ndo manake
kupewates
kulala usiku mmoja napesa bora pesa
😂😂😂c chezei
Ata siku 1 nisingeenda
Million 114 kwa ajili ya kulala one day hahahahaha hatareee hii
Kwa mielaa iyoo si ni bora nijengee home kwetuu pembaa
@@omarkareem2133 mwenye hela wala hafikirii hayo
Duuuuuu
NUMBER MOJA
Tunauza BP MACHINE (ELECTRONIC BLOOD PRESSURE MONITOR) kwa punguzo la asilimia 20%. Nakuomba uniandikie ulizo lolote DM au PIGA SIM 0715905167. Please kindly LIKE.
Kudadeki
Nitalala ndani ya hotel zote
Je za tz?
Lika kitu uwezo tu ndo mana hatufanan wakati unalala lodge ya elf 20 yupo ambaye anaona kubwa pia
Tz hakuna au
Duu mzee baba