KWA UCHUNGU PROFESSOR JAY AKIFUNGUKA MAGUMU ALIYOPITIA / SIKU 462 ZA KUZIMU NA PEPO
Вставка
- Опубліковано 28 гру 2023
- Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB...
Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5
Professor you are a fighter, Makumi needs you, Tanzania needs you, and East Africa needs you. Get well soon. Lots of love, light and prayers from Nairobi Kenya 🇰🇪
Kaka Grayson Gideon unajua sana kuhoji🙌🙌🙌🔥✌️
Heavy weight MC pole sana kaka Mungu ni mwema sana na inshallah utarejea katika afya yako kamili
Mungu ni Mwema
What happened to my favourite artist??.... prayers from uganda
Pole.sana kaka.nakuunga mkono kwa kusema huku tupo kusmu nikweli atakae kuelewa.amepata somo kubwa sana kupitia maojiano haya.
Pole sana brother mungu azidi kukupa uzima nipo live kutoka Geita
Praise the almighty God we are very blessed coz God answered our prayers 🙏
Matangazaji anajua Sana kuoji 👍👍
Siyo kweli anaomgea sana kuliko kuhoji
Hamna mtangazaji hapo😢
Kaka pole Sana
Mpumzisheni nyie watangazaji huyu mtu hajawa sawa
Ongera kaka unazidi kuimalika
Pole sana
Pole Sanaa prfs Jay!mtangazaji aangalie head status!sio hayo anayohoji😮😮
Hapa hamna mtangazaji aisee, East Africa tafuteni watangazaji, huyu ni mzigo mkubwa😢