Da white hapo ume nena vema ,unajua hawa wa upande wapili wakiona cc tukipitia magumu hapa duniani wana fikiri kuwa hatuna Mungu lakini ngoja ni kuambie Mungu wetu ni Mungu mwenye nguvu kuliko mungu wao ana acha tuyapitie magumu ili tu komae vizuri kwasababu anajua yatakayo kuja baadae, wao wanafurahia utajiri wanao pewa na majini na wanaona hayo ndio maisha ,hawajui kile ambacho Mungu ame mwandalia yule anae kubali kuteseka au kuuwawa kwa ajili yake ,hapa duniani ukiamua kumtumikia shetani ata kupa kila utakacho taka isipokuwa uzima wa milele lakini jehanamu ya moto ina kusubiri
Da white ngoja nikuambie kitu mimi nikisikiliza ushuhuda wa huyu dada nina ona ni jinsi gani Mungu ana ona uchungu sana shetani alivyo wateka watu wake ktk maswala ya imani yani amejifanya kuwa yeye ndiye Mungu akatengeneza mfumo wake wa kumwabudu na watu waka upokea na wanautumia bila kujua wako kinyume na Mungu alie waumba na ameifanya mioyo yao kuwa migu mu kama ule wafarao na ukijaribu tu kuzungumzia lolote libaya linalo husu imani yao wako tayari kuku uwa kwasababu uuwaji ni sifa moja wapo ya huyo wanae mwamini, wao wanashindwa kutumia ushuhuda huu kujua je ni mungu yupi wanae mwamini wao wana ishia kumlaumu tuu eti ana zalilisha dini na kusema uislamu ndio dini ya haki na wana shindwa kujiuliza hayo walio kuwa wana mtendea huyu dada je hiyo ndio haki? Mimi naona hivi Mungu ana wapenda sana haw jamaa kuliko wanavyo dhani na ameleta huu ushuhuda wa huyu dada ili watakapo sikiliza wapone lakini badala yake wao wameenda moja kwamoja kumshambulia huyu dada kwa maneno ya ajabu yaani mgonjwa kapewa dawa ili apone badala yake akafa,embu tuchukue nafasi ya kujifunza kitu hapa kwenye hili tukio lililo toke kule Boston mareka ,nilikua natizama vidio moja hivi na hii ili niongezea imani kuwa imani yangu ktk kuamini kuwa biblia ni neno la Mungu hakika ni neno la Mungu kweli na nikajua kuwa ina po kuambia chunga sana kile ulicho nacho ina maana gani,tukio lenyewe lili kua hivi, ilikuwa ktk kanisa la waabuduo shetani na ktk madhabahu yao walikuwa wameandika maneno haya church of surtan na mimi nina penda sana kuchunguza mambo kwasababu hizi nisiku za mwisho kila tukio linalo tokea duniani sasahivi limebeba ujumbe wa Mungu kwa watu wake ,kilicho tokea hapa ni hiki ,alisimama dada mmoja akiwa na biblia mkononi akaanza uichana chana huku aki sema hiki kitabu kina tu bugudhi na maneno mengine mengi sana ,sasa cc wakristo tuna iamini biblia na walio kuwa wana ichana ni wakanisa LA SHETANI,je ingekuwa Quran ndio iliyo chanwa na kanisa la shetani si tunge jua basi kuwa hicho ndio kitabu cha Mungu? Ni kwanini wachane biblia na siyo Quran wakati hawa wamejitambulisha kabisa ni wanao mwabudu sheta ambae yuko kinyume na Mungu? Haya embu tuende kwenye hili lingine mpango wa kuwa na dini moja duniani ni wa shetani na wala sii Mungu sasa mwasisi wa hii kitu ni papa anae kaa Italy au roma lakini makao makuu yake yame enda kuwekwa kule uarabuni ,je? Hawa ndugu zetu ktk uumbaji na sio imani hawaja gundua kinacho endelea? Au wanafikiri ni neema inakuja kwao? Ninacho penda kuwa shauri ni hiki ukiona mtu anaizungu mzia imani yako alafu wewe ukapandwa na ghadhabu ujue hakika huyo unae wamini moja kwamoja ni sheta sio Mungu na anampango wa kuku peleka motoni ,pia napenda kuwa shauri hivi hata kama hamu iamini biblia basi jifunzeni kwa yale mnayo yaona yaki yokea duniani basi,au mlinganishe na shuhuja za wengi muone kama anayo yasema ni uwongo au niyakweli,namsiwe kama mashabiki wa simba na yanga kwasababu mshabiki wa yanga ausimba akiona timu yake ime fungwa ana baki kuitetea timu yake hata kama imefanya makosa ya waziwazi, ninge penda nitoe mifano mingi zaidi lakini sasa ninapo andika ujumbe huu ni saa tano na nusu ya usiku acheni nipumzike Mungu akipenda tuta endelea lakini mjue mimi sina chuki na waislamu kwasababu na jua kumchukia mwislam ni sawa na kupeleka gari lililo gonga mtu na kumuuwa magereza badala ya kumpeleka dereva wake
Asee Yesu ni mzuri mno nikikumbuka nilitengwa na familia kwa matatizo flan yan nilkosa msaada kabisa lakin pasipo kutarajia aliniletea watu na kunisaidia yan ambao hata sijawahi tarajia jmn Yesu yupo ten bado Yupo san jina lake libarikiwe
Davstarmata nimebarikiwa sana na hii shuhuda MUNGU amtuze na mm aniongoze nisitende dhambi na nipate pahala pa kumwabudu katika roho na kweli yake KRISTO YESU
3 Atukuzwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, aliyetubariki kwa baraka zote za rohoni, katika ulimwengu wa roho, ndani yake Kristo; Waefeso 1:3 4 kama vile alivyotuchagua katika yeye kabla ya kuwekwa misingi ya ulimwengu, ili tuwe watakatifu, watu wasio na hatia mbele zake katika pendo. Waefeso 1:4 5 Kwa kuwa alitangulia kutuchagua, ili tufanywe wanawe kwa njia ya Yesu Kristo, sawasawa na uradhi wa mapenzi yake. Waefeso 1:5
Imuume nani? Hukumsikia mchungaji ww akisema waisilam huenda msikitini kwa adhana tu ikisema njooni kwenye uongofu lkn wakiristo wao mchungaji mpaka atumie uongo?
Ushuhuda kama huu alafu bado yatatokea Majitu yatasema katumwa kapewa hela aje kuongea uongo bila Aibu utadhani wamelaaniwa kuwa na roho ngumu. Kabla sijakutana na ghasia za Kisomali ukitoa Uislam wao sijawahi kuwapenda hawa watu kwa Roho zao mbaya na dharau walizo nazo kwa watu wasio kuwa Waislam, yanaringaga bure wakati wakati Wanakeketwa na tena wanao Keketwa wanakuwa na Roho Mbaya kuliko ya Shetani
Umegunduaje😂😂😂,kiasili nyie hamna dini ambayo ni imani ndio mana mambo yakiimani yote hamuyaamini,nyie mna mila natamaduni tu basi hamkuwah kuguswa na Mungu wakweli ndio mana huwa mnakimbilia kusema ni uongo mioyo yenu nimizito namigumu
Mimi nina history ya bibi yangu napenda sana nije nisimuliea japo kwa sauti tu , yeye aliponywa ugonjwa wa ajabu uliomsumbua kwa miaka lakini aliponywa akiwa kanisani, ni history fupi lakini hii imenifanya niamini mambo hayo
Wasomali wakishika Ukristo ushika kwa mikono yote. Tafuta ushuhuda wa Shehe Adam Haji watoto wake walichinjwa live huku akionyeshwa Ili wamuharibu saikolojia Ili asiache uislamu.
Kwanza jiulizeni hao alshababu ni kuna nani? Si nyie makafiri ndio mnaoanzisha hivyo vigurupu kwa kudhani mtaupaka matope uisilam lkn baada yake wajinga na wapumbavu ndio wanaoamini na wenye akili zao wote wanavipinga wakiwemo hata makafiri wenzenu wakizungu wanajua km ni mipango tu hiyo😂
Kwa kuwa umefungwa akili yako , huwezi kuelewa Mambo hayo hata sekunde moja , ukristo si dini Ni imàni ole wako kwani jehanam inawahusu wasiomkubali Yesu kuwa mwokozi wao yeye Ni Mungu mkuu Nisha kwa hasara yako ya milele waliomkubali haikuhusu
@@MAONYOTVTANZANIA. Naona km umefungwa akili ww, mtu anakula akienda haja km ww unaambiwa Mungu unaamini? Isitoshe huko kanisani kuanzia mavazi, makuche ya kubandika na manywele, vimini mpaka kucheza ngoma….hujajua tu km unaemuabudu ninshaitwani????
Aisee kumbe kuwa muislam ni vibaya sana yani unakuwa na ujinga fulani wa asili ambao huwezi kujijua kuwa una huo ujinga halafu bahati mbaya unakuwa unajiona upo sawa sana yan ni ujinga fulani amazing sana
@@mazonaone7708 ukiwa mkristo ni zombie kabisa yani unadanganywa kifala unakubali hata kusema ampige picha huyo issa bin mariam kwa simu nasi tumuone hamna loo mazombie
Ssa ikiwa uongo wa wazi wa shuka imetoka kwa Mungu mnauamini mtaachaje kuamini na huo uongo mwengine??? Hamtumii akili zenu ndio wachungaji wanakuleni easy!
Unapokuja Kwa YESU usomali ,uchini ,utanzania nk ambavyo NI utamaduni unaacha unafuata neno la kristo ndio maana ya kuzaliwa upya si Kwa damu,Kwa mwili Kwa mapenzi ya mtu Bali Kwa NENO LA MUNGU
@@aisharazak3511 piko NI rangi pia,Mungu anataka ubaki kama alivyokupa kucha usibadilishe rangi,neno linasema Katka uumbaji aliona kuwa NI vema kila alichkiumba
Asipake vp na kishafika ukafirini? Na ndio anayoyataka? Mana kwenye uisilam huezi kupaka rangi ya kucha swala haikubaliwi na udhu hauingii. Ssa ww umeona rangi ya kucha pengine anamachafu tele ya siri mpaka iblisi akamritadisha.
@@Fear_Allah394 sasa huko mbona huwa mnapaka na kujichora mikono mpaka vidole na wanaume mnapaka rangi ndevu nyinyi ndio mnafanya hivyo ila Sisi maandiko hayaruhusu
Unachekesha kweli , I believe wewe haumwamini Mungu, Mungu akuna kitu ambacho anashindwa sasa kama Mungu amemumba wanadamu anashindwa vipi kukuonyesha mtu wakale ? Bro jitafakari. Mungu hakuna kitu anashindwa kama shetani jini anaweza kufanya miujiza na mbwembwe nyingi jiulize je Mungu si zaidi ya shetani na majini wote bro jitafakari Mungu hapiganiwi Mungu mwenye nguvu kupita chochote, pengine wewe unamzungumzia Mungu mwengine wa mchongo nasi yule Mungu hasiyesindwa na chochote, bro jitafakari
@@bluebrown5566 narudia Tena nafsi haiwez kumtoroka mungu labda huo utakuwa mzim wake kwasababu nafsi zilizokuzim ndio zinaludigi duniani kusumbua watu acheni ukima mungu huwezi kumtoroka na wala hatorokoki yaani yesu afe nafsi iyende Kwa mungu halafu hiyo nafsi ya yesu imtoroke mungu iludi duniani we unaona hiyo inaingia akilini? Acheni danganya watu bwana
@@tauhidajumahamad1218 Kila mtu anajua Mohammed Huyo pedophile ni fake ukitusi maria we unaonekana mjinga wa mwisho.. hakuna dini yoyote ulimwenguni inatambua Mohammed kama nabii isipokuwa shetani na magaidi wa kislamu
Nime mkumbuka Adam Hajji somalia Yesu anawapenda sana
Dadaangu Mungu azidi kukutunza na kukutumia zaidi, ushuhuda wako unahuisha Imani za watu wengi.
Ushuhuda huu wa huyu Dada umenifundisha Sanaa Mbarikiwe Mtangazaji na Dada Amen🙏
Ameen
Dada ubiri ijili hadi wa Somalia 🇸🇴 wote na wa arabu watanzania warundi Wakenya Mombasa waokoke 😊😊😊😊😊❤🎉
Ndoto
Weka hio shuka vizuri..watu wataanza kuigeuzia ibada badala ya Yesu Kristo..
Huu ushuhuda unasisimua mnooo, Ee Yesu nizididishie Imani🙏
Mungu akupiganie katika jina la yesu
Davista kwasasahv unafanya kazi nzuri sana ambayo bila shaka Moyo wa Mungu unaifurahia Sana.
Zidi kubarikiwa Sana na Bwana Yesu!!
Ameeen
YESU anatupenda sana huu ushuuda namuona YESU live
Davistar una bahati Sana kushika shuka la Yesu
Yesu amempenda sana kwa sababu hakumkana hata baada ya kupitia mateso wengi hata mimi panga tu nimemkana ubarikiwe mama, great faith l wish 😢😢😢😢
Sijakuelewa panga tuu umemkana
Davista hii testimony ya huyu dada imeniguza sana,kweli kuna mungu mbinguni,amepitia mazito sana mungu amlide na ambariki Amina!!
Hizi ndizo shuhuda za Kumtukuza MUNGU daah YESU ni mzrii mnoo jamani umenitia moyo na nguvu nakuendelea kumpenda YESU
Hakika
Da white hapo ume nena vema ,unajua hawa wa upande wapili wakiona cc tukipitia magumu hapa duniani wana fikiri kuwa hatuna Mungu lakini ngoja ni kuambie Mungu wetu ni Mungu mwenye nguvu kuliko mungu wao ana acha tuyapitie magumu ili tu komae vizuri kwasababu anajua yatakayo kuja baadae, wao wanafurahia utajiri wanao pewa na majini na wanaona hayo ndio maisha ,hawajui kile ambacho Mungu ame mwandalia yule anae kubali kuteseka au kuuwawa kwa ajili yake ,hapa duniani ukiamua kumtumikia shetani ata kupa kila utakacho taka isipokuwa uzima wa milele lakini jehanamu ya moto ina kusubiri
Amina Hakika Kweli kabisa ulicho kisema
Hakika, maana kuna nyakati tunapitia hadi unaweza hisi Mungu amekuacha, lkn kupitia shuhuda km hizi tunajitia nguvu na kuendelea mbela🙏🙏🙏🔥🔥❤️❤️
Da white ngoja nikuambie kitu mimi nikisikiliza ushuhuda wa huyu dada nina ona ni jinsi gani Mungu ana ona uchungu sana shetani alivyo wateka watu wake ktk maswala ya imani yani amejifanya kuwa yeye ndiye Mungu akatengeneza mfumo wake wa kumwabudu na watu waka upokea na wanautumia bila kujua wako kinyume na Mungu alie waumba na ameifanya mioyo yao kuwa migu mu kama ule wafarao na ukijaribu tu kuzungumzia lolote libaya linalo husu imani yao wako tayari kuku uwa kwasababu uuwaji ni sifa moja wapo ya huyo wanae mwamini, wao wanashindwa kutumia ushuhuda huu kujua je ni mungu yupi wanae mwamini wao wana ishia kumlaumu tuu eti ana zalilisha dini na kusema uislamu ndio dini ya haki na wana shindwa kujiuliza hayo walio kuwa wana mtendea huyu dada je hiyo ndio haki? Mimi naona hivi Mungu ana wapenda sana haw jamaa kuliko wanavyo dhani na ameleta huu ushuhuda wa huyu dada ili watakapo sikiliza wapone lakini badala yake wao wameenda moja kwamoja kumshambulia huyu dada kwa maneno ya ajabu yaani mgonjwa kapewa dawa ili apone badala yake akafa,embu tuchukue nafasi ya kujifunza kitu hapa kwenye hili tukio lililo toke kule Boston mareka ,nilikua natizama vidio moja hivi na hii ili niongezea imani kuwa imani yangu ktk kuamini kuwa biblia ni neno la Mungu hakika ni neno la Mungu kweli na nikajua kuwa ina po kuambia chunga sana kile ulicho nacho ina maana gani,tukio lenyewe lili kua hivi, ilikuwa ktk kanisa la waabuduo shetani na ktk madhabahu yao walikuwa wameandika maneno haya church of surtan na mimi nina penda sana kuchunguza mambo kwasababu hizi nisiku za mwisho kila tukio linalo tokea duniani sasahivi limebeba ujumbe wa Mungu kwa watu wake ,kilicho tokea hapa ni hiki ,alisimama dada mmoja akiwa na biblia mkononi akaanza uichana chana huku aki sema hiki kitabu kina tu bugudhi na maneno mengine mengi sana ,sasa cc wakristo tuna iamini biblia na walio kuwa wana ichana ni wakanisa LA SHETANI,je ingekuwa Quran ndio iliyo chanwa na kanisa la shetani si tunge jua basi kuwa hicho ndio kitabu cha Mungu? Ni kwanini wachane biblia na siyo Quran wakati hawa wamejitambulisha kabisa ni wanao mwabudu sheta ambae yuko kinyume na Mungu? Haya embu tuende kwenye hili lingine mpango wa kuwa na dini moja duniani ni wa shetani na wala sii Mungu sasa mwasisi wa hii kitu ni papa anae kaa Italy au roma lakini makao makuu yake yame enda kuwekwa kule uarabuni ,je? Hawa ndugu zetu ktk uumbaji na sio imani hawaja gundua kinacho endelea? Au wanafikiri ni neema inakuja kwao? Ninacho penda kuwa shauri ni hiki ukiona mtu anaizungu mzia imani yako alafu wewe ukapandwa na ghadhabu ujue hakika huyo unae wamini moja kwamoja ni sheta sio Mungu na anampango wa kuku peleka motoni ,pia napenda kuwa shauri hivi hata kama hamu iamini biblia basi jifunzeni kwa yale mnayo yaona yaki yokea duniani basi,au mlinganishe na shuhuja za wengi muone kama anayo yasema ni uwongo au niyakweli,namsiwe kama mashabiki wa simba na yanga kwasababu mshabiki wa yanga ausimba akiona timu yake ime fungwa ana baki kuitetea timu yake hata kama imefanya makosa ya waziwazi, ninge penda nitoe mifano mingi zaidi lakini sasa ninapo andika ujumbe huu ni saa tano na nusu ya usiku acheni nipumzike Mungu akipenda tuta endelea lakini mjue mimi sina chuki na waislamu kwasababu na jua kumchukia mwislam ni sawa na kupeleka gari lililo gonga mtu na kumuuwa magereza badala ya kumpeleka dereva wake
Mungu azidi kukufikisha mahali ameamua kukufikisha unanitia nizidi kuwa na Imani ubarikiwe sana
Mungu akubaliki sanamama
Najua kuna watu watabisha huu ushuhuda,tusibishane na mtu wale tunaompenda Yesu,na tunaoelewa Nguvu iliyomo ndani yake haleluuya
Watakao bisha ni waisilamu tu
Victoria Ifra hongera kwa kupendwa na Yesu Kristo. Umebeba siri kubwa ya Mungu ubarikiwe sana. Endelea kutangaza matendo makuu ya Mungu
Amen 🙏 🙏 Asante MUNGU akuzidishie na akubariki🙏🙏
Asee Yesu ni mzuri mno nikikumbuka nilitengwa na familia kwa matatizo flan yan nilkosa msaada kabisa lakin pasipo kutarajia aliniletea watu na kunisaidia yan ambao hata sijawahi tarajia jmn Yesu yupo ten bado Yupo san jina lake libarikiwe
Maajabu ya Mungu mkuu amen
Bwana yupo ukimuamini anajidhihirisha kwako,,Lord I need you the rest of my life
Come on🙏
Hakika Mungu Hukaa na mwenye moyo mwaminifu na unyenyekevu nampenda Bwana yesu habadirik Loh jaman
Davstarmata nimebarikiwa sana na hii shuhuda MUNGU amtuze na mm aniongoze nisitende dhambi na nipate pahala pa kumwabudu katika roho na kweli yake KRISTO YESU
Huu ni Ushuhuda mkubwa sana yani kama ule wa Petro alipofunguliwa na malaika mageti ya gerezani. Mungu ni mzuri.
3 Atukuzwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, aliyetubariki kwa baraka zote za rohoni, katika ulimwengu wa roho, ndani yake Kristo;
Waefeso 1:3
4 kama vile alivyotuchagua katika yeye kabla ya kuwekwa misingi ya ulimwengu, ili tuwe watakatifu, watu wasio na hatia mbele zake katika pendo.
Waefeso 1:4
5 Kwa kuwa alitangulia kutuchagua, ili tufanywe wanawe kwa njia ya Yesu Kristo, sawasawa na uradhi wa mapenzi yake.
Waefeso 1:5
Mungu anakupenda sana please part 5
Amen ushuhuda mzuri Sana , BWANA YESU anakupenda Sana ila hayo mapamba yatakuzuilia kuingia mbinguni read Isaiah 3:16
Yesu aliyemtoa huko kote anamjua sana!!!
Kweli yesu asifiwe.
Amen ...God is good all the time
Hakika Bwana YESU anaokoa kwa njia tofautitofauti kwa hiyo dada jitahidi kusonga mbele
Kwa ushuhuda huo hawatabisha bali itawaumaa saana hawana mambo mazur kma hyo kutoka kwa yesu wetu watu amina amina mama waamin wakristo wanapendwa.
Imuume nani? Hukumsikia mchungaji ww akisema waisilam huenda msikitini kwa adhana tu ikisema njooni kwenye uongofu lkn wakiristo wao mchungaji mpaka atumie uongo?
Aki Yesu niwamaajabu
He is loving God blessed be his name
AMEN 😭😭😭😭
Ukweli mtupu.Sasa hivi nafanya kazi Garissa mila ya wasomalia potofu na katili sana.Wanamwita mkristo kafiri na adhome🎉
YESU NDIE NJIA
Duh ushuhuda wa huyu dada umenifundisha nakunitia moyo hakuna kukata tamaa
Kwa kweli hii story ya uyu dada imeniguza sana
Mungu yu mwema anaweza kufanya lolote sehemu yoyote
Mbarikiwe sana Watumishi
Mimi natamani nije Tanzania ili nikusalamie tu kwa mawaidha yako mazuri hakika MUNGU ako na anaishi.
Karibu tanzania;;;;;
kiswahili cha Kenya chenyewe,pole dada kwa mapito mengi
Acheni Mungu aitwe Mungu
Bwana yesu asifiwe
Amen Mungu nimuaminifu
Acha Mungu aitwe Mungu awaajalie neema kuu kwa utukufu wake
Mungu wetu tusaidie
Powerful
Our GOD is a great GOD
Ushuhuda kama huu alafu bado yatatokea Majitu yatasema katumwa kapewa hela aje kuongea uongo bila Aibu utadhani wamelaaniwa kuwa na roho ngumu. Kabla sijakutana na ghasia za Kisomali ukitoa Uislam wao sijawahi kuwapenda hawa watu kwa Roho zao mbaya na dharau walizo nazo kwa watu wasio kuwa Waislam, yanaringaga bure wakati wakati Wanakeketwa na tena wanao Keketwa wanakuwa na Roho Mbaya kuliko ya Shetani
Hata me Mungu aniokoe kwa jinsi nawachukulia waislamu
Wala usiwachukue maana hata ukiwachukia chuki haitawabadilisha lakini maombi na upendo utawabadilisha
Yesu alikuja kwa wenye dhmbi wasemehe Bure Hila kuwaombea
Ushuhuda😂😂😂hv ww na akili yako unaamini shuka imetoka kwa Mungu???? Ama nyie kondoo kweli.
Napenda vile anavyoongea
Ushuhuda mkubwa sana. Naomba dada Victoria anieleze kama hiyo shuka material yake ni ya aina ya linen
Yesu yu hai sio muzimu.cheki maandiko.
Ndio kaleta shuka hiyo😂😂😂
Kumbeba Yesu si jambo jepesi
Wasomali wakiokoka wameokoka ni jasiri nimeona shuhuda zao nyingi wapo radhi kufa tofauti na sisi wabongo
😂😂😂 hiyo shuka amenunua kwangu
Huyo ni Bwana
Victoria nadhani ukijifunika hiyo shuka ukaombea wagonjwa watapona
Dunia mzima ijue Yuko Jehova aishiye mile na anaokoa
Hii story nimerudia mara kumi10
Paulo na sila waliomba mpaka mlango wa gereza ikafunguka Yesu ni Alfa na Omega
Hahahahahahahaha 🤣😂😅😂😂 davista jifunike
Huyu mama ako nabidii kweli anafanya mjengo ndio huyo conductor waa kweli mapastor tufaa tuige mfano wahuyo pastor na kanisa lake
Tunapenda kumsikiliza zaidi anaetoa ushuhuda. Unaehoji au unaemwongoza mshuhudiaji ,naomba uwe unaongea Kwa kifupi Sana.
Tuendelee tena man from Kenya
Salimia "BABA" Raila!
Ninakungoja wewe man kesho tuendelee
Jesus is the Lord Amen
Mwenye akili askie kwa makini hiyo historia yke ya kupewa shuka, utakuj kugundua uongo tupu hpo😮😮😮
Umegunduaje😂😂😂,kiasili nyie hamna dini ambayo ni imani ndio mana mambo yakiimani yote hamuyaamini,nyie mna mila natamaduni tu basi hamkuwah kuguswa na Mungu wakweli ndio mana huwa mnakimbilia kusema ni uongo mioyo yenu nimizito namigumu
Mimi nina history ya bibi yangu napenda sana nije nisimuliea japo kwa sauti tu , yeye aliponywa ugonjwa wa ajabu uliomsumbua kwa miaka lakini aliponywa akiwa kanisani, ni history fupi lakini hii imenifanya niamini mambo hayo
mtafute davistar mata utupatie mavitus ila upande wa pili hawapendi kusikia neno kanisa hivyo watachukia
Bwana akubariki,natamani urudi Somalia ili Bwana awaokoe ndugu zako kupitia wewe
Mwisho wa siku Wasomali wote wataokoka
Washaanz sema wengine wanaogopa isingekuw kuuwawa wote wangekuja kwa yesu hao nilishaona dalili
Rabda ndotoni @Dr Now
Na kila mmoja atapata shuka yake kutoka kwa Mungu😂😂😂
Kabisa wenye machungu aendejahamu
Amen
Hao alshabab kwa nn wasikuuwe huna Faida
Kwan 🙄 mtangazaji ndo Mara yako ya Kwanz kuhoji mtu jamn embu huwe una muacha mtu ashuhudie ushuhuda ucwe muongeaji nawewe sana
Kikuyu hoyee
Wasomali wakishika Ukristo ushika kwa mikono yote. Tafuta ushuhuda wa Shehe Adam Haji watoto wake walichinjwa live huku akionyeshwa Ili wamuharibu saikolojia Ili asiache uislamu.
Kweli alishakuja kanisa la st james anglican arusha ushuhuda ulikuwa wa moto sana
Kwanza jiulizeni hao alshababu ni kuna nani? Si nyie makafiri ndio mnaoanzisha hivyo vigurupu kwa kudhani mtaupaka matope uisilam lkn baada yake wajinga na wapumbavu ndio wanaoamini na wenye akili zao wote wanavipinga wakiwemo hata makafiri wenzenu wakizungu wanajua km ni mipango tu hiyo😂
Kwa kuwa umefungwa akili yako , huwezi kuelewa Mambo hayo hata sekunde moja , ukristo si dini Ni imàni ole wako kwani jehanam inawahusu wasiomkubali Yesu kuwa mwokozi wao yeye Ni Mungu mkuu Nisha kwa hasara yako ya milele waliomkubali haikuhusu
@@MAONYOTVTANZANIA. Naona km umefungwa akili ww, mtu anakula akienda haja km ww unaambiwa Mungu unaamini? Isitoshe huko kanisani kuanzia mavazi, makuche ya kubandika na manywele, vimini mpaka kucheza ngoma….hujajua tu km unaemuabudu ninshaitwani????
Ameen
Davistee wacha utani ati unataka penye malaika alishika haswa. Hahaah
Shuka iyo imetoka kwa Mungu😂😂😂
Anawapanga makafiri wamuamini na kumfuata nguruwe huyu
Tapeli !
🤣🤣🤣🤣eti hicho kidambala kimetengenezwa mbinguni 🙈🙈 jini tu hilo. Nguo ya mbinguni ingeng'ara hapo mpaka kamera zingeszi kurekodi
Aisee kumbe kuwa muislam ni vibaya sana yani unakuwa na ujinga fulani wa asili ambao huwezi kujijua kuwa una huo ujinga halafu bahati mbaya unakuwa unajiona upo sawa sana yan ni ujinga fulani amazing sana
Olee nyinyi waislamu
@@mazonaone7708 ukiwa mkristo ni zombie kabisa yani unadanganywa kifala unakubali hata kusema ampige picha huyo issa bin mariam kwa simu nasi tumuone hamna loo mazombie
@@carolynemutenyo4720 ole makufari
Bona kasema hivi unathibiticho Gani nifanunulie
Ssa ikiwa uongo wa wazi wa shuka imetoka kwa Mungu mnauamini mtaachaje kuamini na huo uongo mwengine??? Hamtumii akili zenu ndio wachungaji wanakuleni easy!
Waislamu ni wakatili hivi jamani
Jesusis coming back soon Jesus loveyou
Ameeen
Shuka ya ajabu hio .punguzeni uwongo. ushuhuda wa upofu
Unalo ,mkumbali yesu
Were shetani mkubwa utaingia motoni tu na hao wenzako
Kwani wewe ni mungu
Wewe unaekata huu ushuhuda unasema mzim kipofu wa kipofu
Hawa Waislam jamaniii mliumbwajeee mnachukuu kweli namijazbar kibao Da Kristu YESU Awasaidiye SANA
@@saramss7262. Shuka imetoka kwa Mungu😂😂😂Ama kweli nyie kondoo
Ati msomali? wa wapi huyu? She is not a somali I can bet on it with my life. her story is just a cloud of smoke with no substance.
Unaposema sio msomali utuambie kabisa ni wawapi? Na utupw reference kam si hivo ww ndio muongo
Dada Safi ila usipake kucha rangi
wasomali wanapaka piko au henna hio mkonononi ni piko katika kucha
Unapokuja Kwa YESU usomali ,uchini ,utanzania nk ambavyo NI utamaduni unaacha unafuata neno la kristo ndio maana ya kuzaliwa upya si Kwa damu,Kwa mwili Kwa mapenzi ya mtu Bali Kwa NENO LA MUNGU
@@aisharazak3511 piko NI rangi pia,Mungu anataka ubaki kama alivyokupa kucha usibadilishe rangi,neno linasema Katka uumbaji aliona kuwa NI vema kila alichkiumba
Asipake vp na kishafika ukafirini? Na ndio anayoyataka? Mana kwenye uisilam huezi kupaka rangi ya kucha swala haikubaliwi na udhu hauingii. Ssa ww umeona rangi ya kucha pengine anamachafu tele ya siri mpaka iblisi akamritadisha.
@@Fear_Allah394 sasa huko mbona huwa mnapaka na kujichora mikono mpaka vidole na wanaume mnapaka rangi ndevu nyinyi ndio mnafanya hivyo ila Sisi maandiko hayaruhusu
Unprofessional liar. Shame on you. Pumzi zinakuhadaa tubu kwa ALLAAH kabla mauti
Mmbona unamachungu hivyo,na yeye ndiye alikutana na haya yote
what a lie! This is a religious con
Eti yesu kakutokea labda mzim wake we umeshaona wapi nafsi iliyokufa ikamtoroka mungu na kurud duniani? hicho sikitakuwa kituko Cha karne ?
Pole mkuu kwa maumivu unayoyapitia!
Hapo sasa muongo tu
Unachekesha kweli , I believe wewe haumwamini Mungu, Mungu akuna kitu ambacho anashindwa sasa kama Mungu amemumba wanadamu anashindwa vipi kukuonyesha mtu wakale ? Bro jitafakari. Mungu hakuna kitu anashindwa kama shetani jini anaweza kufanya miujiza na mbwembwe nyingi jiulize je Mungu si zaidi ya shetani na majini wote bro jitafakari Mungu hapiganiwi Mungu mwenye nguvu kupita chochote, pengine wewe unamzungumzia Mungu mwengine wa mchongo nasi yule Mungu hasiyesindwa na chochote, bro jitafakari
Hata Korhani inasema yesu hajafa na atarudi waanzaje kumita nafsi ilio kufa? Basi anarudije kama yeye ni nafsi?
@@bluebrown5566 narudia Tena nafsi haiwez kumtoroka mungu labda huo utakuwa mzim wake kwasababu nafsi zilizokuzim ndio zinaludigi duniani kusumbua watu acheni ukima mungu huwezi kumtoroka na wala hatorokoki yaani yesu afe nafsi iyende Kwa mungu halafu hiyo nafsi ya yesu imtoroke mungu iludi duniani we unaona hiyo inaingia akilini? Acheni danganya watu bwana
Watz mnaona wakenya vile tumezuia wimbi la uislamu wanitikadi Kali kufika kwenyu toka Somalia... Tunapigana nao Kila kuchao Ili uislamu usienee
Mpumbavu sana ww Mshenzi walevi tu nyie wakenya mnajua uislamu ni wa kweli kenge nyinyi ndo mana hamtaki uenee 😏😏
@@tauhidajumahamad1218 Malaya ya Mohammed we ghasia ni ni
Malaya ya Maria ghasia ni nn pia😏
@@tauhidajumahamad1218 Kila mtu anajua Mohammed Huyo pedophile ni fake ukitusi maria we unaonekana mjinga wa mwisho.. hakuna dini yoyote ulimwenguni inatambua Mohammed kama nabii isipokuwa shetani na magaidi wa kislamu
@@samutykuntathebantu8402 pole na yenu naona inatambuliwa na akina freemason na wajinga kama nyie.We kwani ni mwerevu unayetusi Mohammed?!?!