PART55:BINADAMU MWENYE ASILI YA JINI ALIEISHI GAMBOSHI YA UCHAWI/NAKULA WATU/NAISHI NA JINI/NILIKUF

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 275

  • @zettyhassani2244
    @zettyhassani2244 4 роки тому +11

    Alafu nalalamika mm nnamatatizo kumbe wapo zaidi yangu,ahsante mungu wangu

  • @AMQarol
    @AMQarol 4 роки тому +26

    1st viewer here,wapi likes zije hadi UAE?

  • @fridahkarimi5510
    @fridahkarimi5510 4 роки тому +1

    zablon ndugu yangu geukia mungu kwa ukweli,msabato ni jina lakini kwa matendo na imani yako sivyo,Geukia Yesu kristo,mpe maisha yako naye atakumpuzisha,Tafadhali enda kanisa la kiroho lenye watu wanaombewa ukombozi(Deliverance)mapepo haitibiwi na dawa ni maombi pekee,John 10:10

  • @elizabethfregrin
    @elizabethfregrin 4 роки тому +2

    Zabron. .naomba usome ujumbe huu..Mungu ana haja nawe KUBWA sana..kuepukana na majanga yooote hayo ni funzo kwako ili Umkiri yeye.na siyo mizimu wala waganga..ni Mungu pekee ndiyo kakuokoa kote huko..hakuna mganga hata mmoja aliyekusaidia hadi sasa ukapona 100%..Amini nakuambia siku utayoamua kumrudia Mungu..tafuta kanisa la kiroho..mpokee Yesu kama bwana na mwokozi wako..HAYA YOOOTE YATABAKI KUWA STORY..wake up..Amka Zabron..Amka..nakuambia TENA AMKA ZABRON MUNGU ANAKUITA MRUDIE YEYE PEKEE NDIYO NJIA HALISI.NDUGU MWANDISHI NAOMBA UMFIKISHIE UJUMBE HUU.NATUMAI UTAUONA.THANX

  • @marysteven605
    @marysteven605 4 роки тому

    Jaman Zabron,hayo mateso,njoo kigoma Kuna mhungaji mwombaji ana nguvu za Mungu anaitwa mchungaji Baraka,achana n'a huyo ustadhi,

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 4 роки тому +1

    Pole sana Zabron huko kupata kichaa mara kwa mara nazani ni mizimu ya kina chief kigwalo au kule Gamboshi kwasababu umetoa siri zao au baba ako anakuchezea.

  • @geraldrobert1801
    @geraldrobert1801 4 роки тому +2

    Zabron, kuludishiwa kivuli hakujakusaidia chochote, pole sana rafikiangu 😭😭

  • @happykajeli5453
    @happykajeli5453 4 роки тому

    Unajua ss Mwenyezi Mungu katuumba tuishi maisha ya raha hapa dunia sio mateso

  • @caimedia
    @caimedia 4 роки тому +8

    Nice.. Davi nakuombea uwe na jumatatu Njema yenye nguvu na Furaha. Mpe hi Bwana Zabron

  • @martinmaryogo6081
    @martinmaryogo6081 4 роки тому +8

    Huyu jmaa asubir kuwa chief maan sio kwa maajab haya, ila mizim yake haitaki awe na maisha mengine

  • @monicasimpilu6257
    @monicasimpilu6257 4 роки тому +1

    Kwa kweli inasikitisha sana inaonyesha mdogo wako na baba yako lao lilikua moja. Hawapendi uwe na maisha maxuri. Ila Mungu anawaona.

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 4 роки тому +1

    Dhuuu, umepigwa chale kichwa kizima pole sana kk Zabron ndio manake kila mda unakuna kichwa

  • @ChristinaChristina-y9p
    @ChristinaChristina-y9p 5 місяців тому

    Okoka kaka angu mpokee YESU Kristo awe Bwana na Mwokozi wa Maisha yako

  • @zefamange7281
    @zefamange7281 4 роки тому +11

    MIMI NILIKUA NAJIONA NIMEPITIA MATATIZO MAKUBWA KUMBE KUNAWATU KAMA ZABRON WENYE MATATIZO MAKUBWA MNOOOO

  • @ryhislamminamuonamsengetu9111
    @ryhislamminamuonamsengetu9111 4 роки тому

    Pole san kaka kwa mitihani mungu anakupend azidi kuku pigania

  • @awadhrajab9527
    @awadhrajab9527 4 роки тому

    Kosa Kubwa Kwako Wakati Ulipopata Pesa Nyingi Ukukumbuka Sadaka Kwa Nyumba Za Ibada Na Sadaka Kwa Yatima Pesa Zinaweza Kukufanya Ukawa Mtumwa Kwa Kumsaliti Mungu Na Pesa Inaweza Kukueka Kalibu Sana Na Mungu Kosa Kubwa Ukupaswa Kuacha Kutoa Sadaka Vituo Vya Yatima Na Kwa Nyumba Za Ibada Kununua Viti Na Vitu Muimu Zaidi Ibadani

  • @susannyamwitha1354
    @susannyamwitha1354 4 роки тому +1

    Pole Sana zaburon, sikupenda, kwako pole pole ni family ilikuchezea

  • @venahsithole6463
    @venahsithole6463 4 роки тому +2

    Daah! pole sana

  • @omarymalenge4856
    @omarymalenge4856 4 роки тому +1

    kila mtu anamapito yake ktk maisha ila yako nimazito kiukweli.. Alhamdulilah umetumia stor yko hyohyo kufanikisha maisha yako.. big up!

  • @happykajeli5453
    @happykajeli5453 4 роки тому

    Pole nakusihi usali sana anza kufunga na kuomba mwenyezi Mungu hashindwi. Yaani mpaka huruma binafsi inaniuma sana umekuwa mtu wa matatizo kila Mara Zabron mdogo wangu funga na kuomba

    • @agnesayubu9900
      @agnesayubu9900 4 роки тому

      Kweli kabisa aombe toba Mungu ni mwaminifu sana ukimwamini kila kitu kinawezekana

  • @levinamwanakulya9379
    @levinamwanakulya9379 4 роки тому

    Duh Ila inawezekana ulichanganyikiwa kwa sababu ya makubwa yalokupata maishani kwakweli kwa binadamu wa kawaida changamoto ulizopitia lazima uxhanganyikiwe duh

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 4 роки тому +2

    Hili episode Ni huzuni tupu! Ama kwa hakika Zabron umeteseka aisee japo sura yako imejaa basha sha mda wote

  • @Lilly-hk9ql
    @Lilly-hk9ql 4 роки тому +1

    Nimefuatilia visa ya zabron from part 1 now part 55, like anakuwa successful just for a moment and again the devil steal all his success and joy.kama ukweli yule mganga anamsifia yule marastas aliye mpea dawa za kinga,bahati why again he suffered that's why I only believe in God through His son Jesus christ . When God heals He heals completely because the devil come to steal kill and to destroy. I really feel his pains what he has gone through only Jesus christ can set him free. Hizo matibabu za waganganga ni photocopy tu instead znamwongezea mikosi zingine kwa maisha yake. He has to kneel down in prayers to cancel every cain thet the enemy has caused him to suffer,cancel all the witchcraft of his grandmother that caused him to suffer and God will hear his prayers.

  • @marthamaligo458
    @marthamaligo458 4 роки тому

    Mungu akusaidie sana zabron kifungo cha shetani kishindwe

  • @suleymanally4729
    @suleymanally4729 4 роки тому +2

    Sidhan km kuna story itakayovunja rekod hii 🔥🔥🔥🔥

  • @amachatabora1504
    @amachatabora1504 4 роки тому

    Kibuli umerudishiwa lakini hakuna mwanga wowote.
    Hukuwaza kabisaaa kurudi usabatoni, kujitosa mojakwamoja kwa Yesu mnazaleti!!!!

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 4 роки тому +3

    Alhamdulillah w kwanza💃🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 4 роки тому

      Hongera kidada changu. Love you😘😘😘

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 4 роки тому

      @@pilimusa7770 shkuran chidada changu mpenzi ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @biambarak5298
    @biambarak5298 4 роки тому

    Pole sana zabron mungu atafanya wepesi ishallha kheri

  • @mbarikiwambarikiwa3988
    @mbarikiwambarikiwa3988 4 роки тому +1

    Rudi mikononi mwake Mwenyezi MUNGU, hakuna kitu kinachondikana kwake ukienda kwa imani na majuto.

  • @emmanuelmasanja3897
    @emmanuelmasanja3897 6 місяців тому

    Pole sana kaka zabron hadi haloperido ulikula

  • @amanimyolo1478
    @amanimyolo1478 4 роки тому +2

    Story ni nzuri sana lakini nikwamba habari ya nyumbani kwenu imekuletea madhara ukitaka utulivu kaa mbali na nyumbani kwenu utafanikiwa bro,usifosi na nyumban utaendelea kusaga

  • @massvpro
    @massvpro 2 роки тому +1

    We Zabron hii Clip ni ya nyuma nimeangalia kuanzia 1 Hadi hapa 55 hii 55 inajulidia

  • @remmymhalla9925
    @remmymhalla9925 4 роки тому +2

    Jamaa akawe mchungaji sasa.

  • @gladysngami9685
    @gladysngami9685 4 роки тому +1

    Maisha ya brone ni movie tupu ,thanks God mimi sina ata story ya kitabu kimoja

  • @joycejoseph8863
    @joycejoseph8863 4 роки тому +1

    Pamoja sana! tunawapenda wote😘😘😘

  • @aliaalooya3896
    @aliaalooya3896 4 роки тому

    Duh ww kaka pole sana. Mungu akupiganie tu

  • @ahmedkandoro9594
    @ahmedkandoro9594 4 роки тому

    Sasa nimeelewa Tatizo Lipo Wapi , Pole Sana .Muweke MUNGU mbele atakuvusha Daima .

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 4 роки тому

    Pole sana kwa mitihani

  • @elizabethhonere2931
    @elizabethhonere2931 4 роки тому +1

    Wewe hii story ndio inakufanya hela zipotee sana unatakiwa kwanza ukiweza uokoke kwa kumaanisha halafu uendelee kuuza vitabu huku ukiwa uko busy na Mungu hutachanganyikiwa tena

  • @neemalambo9790
    @neemalambo9790 4 роки тому +2

    Zabron Mungu Kuna kitu amekuandalia kikubwa sana, si kwa mateso haya jamani!!

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 4 роки тому +1

    Zabron pole sana umepitia misuko suko walaah 😔,but your very funny 😁❤🇹🇿🇨🇭

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 4 роки тому

    Shukran kwa muendelezo

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 роки тому

    Utumbo ulikuwa namadonda tiyari hapo ulipoa epuka vitu vikali mzee babaz Mungu anakupendaa

  • @mussamgonda8953
    @mussamgonda8953 4 роки тому

    Asante kk kwa mwendelezo

  • @mariammgombayeka1824
    @mariammgombayeka1824 4 роки тому +2

    🤭🤭pole saana hyo mizimu noumaa xaana

  • @finiasfidelis1475
    @finiasfidelis1475 4 роки тому +2

    Kwa mara nyingine chifu Gikalo akafanye yake, akakuokoa na kifo!

  • @popoali6641
    @popoali6641 4 роки тому

    Duh pole Sana zablon mitihani sana

  • @violinenyakara5028
    @violinenyakara5028 3 роки тому

    Pole sana, umeyapitia

  • @saidhamad533
    @saidhamad533 3 роки тому

    Pole ssna

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 4 роки тому

    Somoe pili Aisha Amina Aiyam Fatma Hamis mimi Elic suleiman malima sapna blessed Nura Nguwalo cute emmy violine Fm morn Aisha Fatma na wengineo njooon mambo tayar💃💃🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭💕💕

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 4 роки тому

      Ndiyo nimefika kipenzi changu. Asante😍😍😍

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 4 роки тому

      @@pilimusa7770 karbu chidada changu 💖💖💖

  • @yasimintinzan5144
    @yasimintinzan5144 Рік тому

    Yaan nina mtian wa mwanangu lkn Inafikia kipindi unaweza jiona ww una mtian au matatizo kumbe kuna Mwingine ana matatizo mkubwa zaidi ya kwako pole sana zabroni C Mwita

  • @sallo27.70
    @sallo27.70 4 роки тому

    Pole sana Ndugu.

  • @susannyamwitha1354
    @susannyamwitha1354 4 роки тому +1

    Ooh my God, bure tena kuchanganyikiwa, zaburon mateso tupu,

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 4 роки тому

    Right on time tuned 🇰🇪 🇰🇪

  • @maryamumapenzi1257
    @maryamumapenzi1257 4 роки тому

    Aisee pole sana umepitia magumu sana kakangu

  • @salmasalma8203
    @salmasalma8203 4 роки тому +1

    Pole sn zblon umeptia matatz makubw sn pmj sn dsvstr makin snaaaa

  • @didasrichard3068
    @didasrichard3068 4 роки тому

    Dope

  • @suleymanally4729
    @suleymanally4729 4 роки тому

    Bas akasmam akasem:uza laptop na bufa upate pesa uende kwa ustaz. Akajib saw huku akiw uchi mzee akiw analewalewa huk akiw anamud mref hajapig misosi.

  • @charlesmapunda5905
    @charlesmapunda5905 4 роки тому

    Twende sawa wadau Zabrani kaja

  • @عباسعباس-ش9ه4ت
    @عباسعباس-ش9ه4ت 4 роки тому

    Mmh kaka pole saaana

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 4 роки тому +1

    Pole sana 🇪🇭🇪🇭❤❤

  • @gharibislam1586
    @gharibislam1586 4 роки тому

    Jamaa la misosi

  • @winnyenockwinnyenock6986
    @winnyenockwinnyenock6986 4 роки тому

    Ahaaa nimewah nakuywa chai huku nasikirza lkn dv jitahidi namchana utuwekee ya 56

  • @gladwellkaringa7819
    @gladwellkaringa7819 4 роки тому +1

    Yani zabron unafaa umwamini Mungu ila usimchangany'e Mungu na waganga maana umejaribu waganga na bado matatizo ebu mjaribu Mungu utafanikiwa kaka

  • @hellymsigala9852
    @hellymsigala9852 3 роки тому

    Daah

  • @aminsalimali793
    @aminsalimali793 4 роки тому

    Ubarikiwe davistar mata mtu makini kabisa

  • @aminaismail4221
    @aminaismail4221 4 роки тому +2

    Asanti kutuwahishia na asubui hii

  • @vellarose2596
    @vellarose2596 4 роки тому +1

    Umewumia sana waaa😢

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 4 роки тому +3

    Duuhhh zablon bhana sema bata sana ilkuwa inakurudisha nyuma

  • @fatmamucha4419
    @fatmamucha4419 4 роки тому +1

    Leo umetufurahisha na mapema

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂Mata mataa alikaa juu ya mattress kisha akawashaaa🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️👣👣👣ulichoka na maisha

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 4 роки тому +2

    Daaah mtengezaji achari uyoo 🤣🤣🤣

  • @elizabethauma2260
    @elizabethauma2260 4 роки тому

    Pole sana zabron

  • @suleimanmustapha101
    @suleimanmustapha101 4 роки тому

    Bint Mahariq alqiswat qad badaat aatiy yaa rawhanatiy ❤️❤️❤️❤️!

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 4 роки тому

      💃💃💃💃💃💃💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖

    • @shiaochang1335
      @shiaochang1335 4 роки тому

      Bahet mahal muntri bohot mara dilko parrry

  • @rebeccapmashauli2648
    @rebeccapmashauli2648 4 роки тому +2

    😍

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 4 роки тому +1

    Hahahaaaa mganga anatumia pilipili kama kuku wa mdondo ndo Dawa yake duh pole sana

  • @bintimrope
    @bintimrope 4 роки тому +1

    👌👌👌😍

  • @florencerose859
    @florencerose859 4 роки тому +1

    Hayo ni mateso bila chuki familiar ya Zablon wakwua watu wazuri kabisa pongezi davista

  • @charlesdanga6437
    @charlesdanga6437 2 роки тому

    Fimbo uliyopigwa na babayako kichwani imekuharibu ubongo na mizimu pia inachangia. Rudi Kwa Mungu kupitia Yesu kristo utafanikuwa chief

  • @ashurajuma4837
    @ashurajuma4837 4 роки тому +2

    Kweli we bwana misosi hadi kwenye kujiua umetumia msosi 😂

  • @emmanuelmasanja3897
    @emmanuelmasanja3897 6 місяців тому

    Manko wa bugarika ( mgambo) rafiki wa zabro

  • @badymsuya6093
    @badymsuya6093 4 роки тому

    Yeah

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 4 роки тому

    Chief Gikalo ni mzimu wa kichawi na sio malaika km Zabron anavyozani. Haiwezekani malaika akushauri uwende kwa mganga kutibiwa badala ya kwenda kanisani.

  • @shanizshanta7787
    @shanizshanta7787 4 роки тому

    Ndaaaaaaaani 💃💃💃💃💃🇰🇪

  • @suleymanally4729
    @suleymanally4729 4 роки тому +1

    Hich kidad kinajipitish tako wenyew han 😞😞😞😞😞😞😞😞😞

  • @sapnaabdallah1084
    @sapnaabdallah1084 4 роки тому

    Inasikitisha Sana

  • @emmanelly6864
    @emmanelly6864 4 роки тому

    Locked ...... pole sana kwa mapito yani this is just too much. Halafu Davistar kuna mahali hapo mwisho mwisho wa hii part umeruka info fulani.

  • @evasaimon2101
    @evasaimon2101 4 роки тому +1

    Du kutoka kwenye mamilioni ya shilingi mpaka kwenye kuuza dawa za mbu pole sana Kaka lakini uliambiwa babaako sio mtu mzuri usingekuwa kalibu nae Kaka lisemwalo lipo kaka

  • @cosmaslagat5023
    @cosmaslagat5023 4 роки тому +1

    Zabron unatuchanganisha, jela miezi 6, kuishi na kufungwa kwa mganga alafu nyanya kuiva shambani, ama nyanya za kwenu inachukua miezi 8

    • @kimsamespa8490
      @kimsamespa8490 4 роки тому

      Jela hesabu niusiku na mchana Yani alika a 3months napia alipata msamaha warais akatoka jela

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 4 роки тому

    Pilipili na mganga anaganguwa nayo huyo alikuwa sio mganga aiseee

  • @khadijaomari9344
    @khadijaomari9344 4 роки тому +4

    uyo mganga atengeneza chachandu sio kwa pilipili iyo 😀😀😀😀😀

  • @maryamevarista9473
    @maryamevarista9473 4 роки тому

    Jamani zabroni mbana majanga hivo😪😪😪😪khaa nimeshindwa kujizuiya unapanda kimaisha unashuka

  • @ellyswema2113
    @ellyswema2113 4 роки тому +2

    Huyu jamaa alikuwa amechanganyikiwa, lakini anakumbuka mpaka vitu ambavyo alikuwa anafanya alipokuwa hana ufahamu... nnaimani story ishaisha hii, imeanza ya kutunga

    • @dashyajulius5513
      @dashyajulius5513 4 роки тому +1

      cyo kutunga mm nna ndugu yakabsa aliwah kuchanganyikiwa kabsaa..lkn alivopona alikuwa anakumbuka yote..ndomana kama umemskia vzr Zabron kaelezea hapo mwanzo kuwa ukichanganyikiwa unakuwa na uelewa wakufanya jambo flan lkn huwazi madhara ya baadae..had kesho ndugu yangu ako na cheti cha uchizi......!!so there's no drama hapo

    • @Misha-ep1wf
      @Misha-ep1wf 5 місяців тому

      Yes.Considering he was exposed to many stories akiwa jela...I mean,sijui mbona I feel something is off...
      Vibe ni different.Nilikua nadhani ni mimi tu nimenotice.
      Thanks Elly!

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 4 роки тому +3

    Alafu zabroni unajisifu kama ostaz anasaidia tumeona jini yule alikuambia uende kwa ostaz na ukaenda tumeona chef anakuokoa sehemu unayo taka kujiua na unamtegemea kbs kumbe ujui chef sio chef Bali ni shetani alie jigeuza na kua chef ili akuumize si unaona unavyo angaika unaumwa unachanganyikiwa kwann ostaz asikusaidie basi ugonjwa ukapona milele au matatizo yakaisha kwann kila siku ni ww tuu na wkt unae mganga unae mwamini??umeenda jela mala kibao unateseka mpaka Leo umechanganyikiwa mala kibao kwann ostaz asikuponeshe au chef kwann asikuponeshe??kwann bado unateseka na wkt wanao kusaidia kama akili yko inavyo kuaminisha wpo hai na wanaona mateso unayo pitia kwann kama kweli wanakupenda kwann wanakubali uteseke..umesema chef alivyo ingia ndani wkt unajiua aliingia na utukufu kumbuka ata shetani nae ujigeuza kama malaika ww ndo umeona utukufu Bali jua chef alikuja kinguvu za giza zabroni kukutoa ktk moto ili umuone kama msahada lkn yy sie msahada wanajalibu kukuua ila Mungu wa mbinguni ajaruhusu ilo.ndio maana wanakutumia pepo la mauti ili ufe uludi gamboshi uwe msukule wao kama wezio ulio waacha kule gamboshi nazani ww umeshuhudia mazito yanayo tendeka gamboshi kwa macho yko lkn bado unaamini waganga na uyo chef mpaka mtoto wako umempa jina la mizimu ujui kama umemfungulia malango ya giza jua na yy atakua na maisha kama yko kama Mungu atogusa maisha yko na ya family yko ili uokoke...chief kakutoa ktk moto kwann akukupeleka mpaka kwenu kimiijiza ili usitembee uchi barabarani lkn chief amekusaidia kutoka ktk moto ili usife then amekutembeza nchi mpaka ndugu zko wameona utupu wako jee uoni kama iyo laana ??alafu bado unamshukuru chief. .uyo chief ndie anae mtumia ostaz ndio maana akakuambia nenda kwa ostaz atakusaidia so kwann bado ukupona??kwann chief asiekuambie uende kwenye maombi ila yy akakuelekeza kwa mganga. .jiulize jini alimjuaje cheif?jini alimjua chief kwakua wote boss wao ni shetani wanajuana waganga wotee wachawi majini mizimu wotee Lao ni moja ..ndio mana amna alie wahi kukuambia nenda kanisani wote kanakuelekez kwa waganga ili uzidi kualibikiwa...upo kwa mganga aya niambie nani alikunyoa nywele mpaka kichwa kikaanza kuoza?jua mganga uyo uyo ndie anakualibu. Ata ostaz yy anakuumiza zabroni ndo mana uponi..bado tuu unajisifu umepeleka watu wengi mpaka ostaz amejenga mijengo Joe ujui kama unaendelea kumkosea Mungu?unawapeleka watu kwa ostaz ili wasimuamini Mungu bali tumaini lao liwe kwa mganga??kaka unapotea sana .ona mpaka Leo bado unachanganikiwa mali zote zile ziko wp???sasa msahada gan wamekupa..ostaz kaludisha kimvuli jee kwan bado unaangaika???amka zabron amkaa shetani anataka akuchinje tuuu na uende nae jehanamu..ww ni msabato kaka ludi soma maandiko kaka...natamani Mungu akukumbuke uone ukuu wake na upendo wake kwako

    • @elizabethfregrin
      @elizabethfregrin 4 роки тому +1

      Aisee..nilikuwa nimekaa mkao wa kuandika nikakuta umemaliza kila kitu..well on point..Yani Zabron aamke amrudie Mungu aende kwenye kanisa la kitoho aombewe,ampokee Yesu na akulie wokovu haya majanga yote yatakuwa story

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 4 роки тому

      Kabisaa

  • @frankcharles3881
    @frankcharles3881 3 роки тому +1

    NAONA HIYO SALOON YA KWNZA WALITAKA UENDE NA PF3🤓🤓🤓

  • @fatmaalrshdii7615
    @fatmaalrshdii7615 4 роки тому +1

    Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli ulipo Nipo

  • @davidfred6061
    @davidfred6061 4 роки тому

    👌👌👌

  • @marychacha7084
    @marychacha7084 4 роки тому

    Umenichekesha Sana. Aliposema anadhani walitaka kumpiga Roba..kumbe na wachawi wanapiga Roba😂

  • @dotosalim5090
    @dotosalim5090 4 роки тому +1

    Pole zabron mm nina magumu ila iiyako mmmmm

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 роки тому

    Wewe pia unamikosi kila mahali pole sana yani yale yale ya minyororo mara yakwaza kwani hao wazazi wako kwann hawakukataaa