Kama si Bwana aliyekuwa nasi Israel na aseme Sasa, tulipopita katikati ya maji tungegarikishwa mara, tulipopita katikati ya moto tungeteketea upes, lakini sisi ni wale tunaotetewa na Mungu, oooo my God 🎉
Nabarikiwa sana na mtumidhi naisi naitaji kujifunza vitu vingi ili niupate utakatifu wa kwl nmekua mtu wa kuhama sana makanisa moyo wangu hauna amani ya kuabudu hasa nkifikiri kuhusu wachungaji wanao fanya kazi na shetani direct ningeomba nipate namba ya mtumishi utanisaidia sana mtu wa mungu
Kwani hawezi simlia kuanzia kwa baba hadi yy alianza kuwa mganga mpaka kuokoka ana luka luka sana 😢😢😢😢Afu kuna vingi anasema atafafanua baadaye sijui kama atakumbuka
@ProphetJofreyKaigarula Hatulatai mafundisho na neno la Mungu lakini pale linapokuwa niswala la kutowa ushuhuda basi utoke ushuhuda tu hayo Mengine atapewa Muda tu jamanii
Davistar mko vizuri sana,damu ya Yesu juu yenu.❤hakika jina la Yesu Kristo inaweza mambo yote.
Aiisee tunapata uhondo,tuwaombee sana waislam wamepandikizwa Roho mbaya juu ya wakristo 😢😢
Amen
Davista rusha crip 2 kwa siku
Kama si Bwana aliyekuwa nasi Israel na aseme Sasa, tulipopita katikati ya maji tungegarikishwa mara, tulipopita katikati ya moto tungeteketea upes, lakini sisi ni wale tunaotetewa na Mungu, oooo my God 🎉
Davistar record vyote anavyosema ataelezea umkumbushe kama unavyofanyaga
Nabarikiwa sana na mtumidhi naisi naitaji kujifunza vitu vingi ili niupate utakatifu wa kwl nmekua mtu wa kuhama sana makanisa moyo wangu hauna amani ya kuabudu hasa nkifikiri kuhusu wachungaji wanao fanya kazi na shetani direct ningeomba nipate namba ya mtumishi utanisaidia sana mtu wa mungu
Christ the king ❤
Ooh mchungaj Katekela alisemag kikombe cha babu ni agenda ya kuzimu na yule alikua agent na jamaa nae karudia 😂😂
Mtumishi anaushuhuda mzuri Ila na hisi kwa mwendo Kasi wa usimlizi wake point nyingi anaruka
Kwani hawezi simlia kuanzia kwa baba hadi yy alianza kuwa mganga mpaka kuokoka ana luka luka sana 😢😢😢😢Afu kuna vingi anasema atafafanua baadaye sijui kama atakumbuka
Hi story ninzuri lakini mchungaji anarukaruka sana vipengele atiririki kama alivyo kuwa pastor Issack naivi anachanganya na mafundisho ndyo kabsaaa
Kuna namna ladha inapotea kabisa
@ProphetJofreyKaigarula Hatulatai mafundisho na neno la Mungu lakini pale linapokuwa niswala la kutowa ushuhuda basi utoke ushuhuda tu hayo Mengine atapewa Muda tu jamanii
@ProphetJofreyKaigarula Mi hata nimeacha kusikiliza na subri wa kaka yake
@@edithaeugeni9695 Ni kundi la haiba ya SANGUINE, huwa wanaongea bila utulivu
@ProphetJofreyKaigarula 😂😂😂😂🙌