Usikate tamaa ndugu yangu endelea mbele na Mungu atakusaidia mateso yote atavuta kwa wakati wake .Asante kumukubari Yesu mimi niko Rwanda nakusikiriza sana and love you so much
History yako ni ndefu na Inasisimua na inatia moyo sana hakika YESU KRISTO nimuaminifu sio kama binadamu kama aseme urongo hallelujah Bwana asifiwe SANA.
Thanks so much sister Victoria you give me so much strength and I can relate every story I have been there...May our Good Lord continue Blessing you..Jesus above all Names🙏Thank you Davistar Stay Blessed.
YESU ni Yule Yule Jana na Leo na hata MILELE Ubarikiwe sana mama Simama na YESU KRISTO anaweza yote kwa yote . Utabezwa lakini Amini tu . YESU hajawahi shindwa hata siku moja .
Ndo maana neno la MUNGU linasema usihukumu ukaja kuhukumiwa wewe huyu ni mutumishi wa MUNGU Ubarikiwe sana mama kwa mapito uliyo pitia YESU kritor akubariki sana na mapito uliyo pitia kote ni MUNGU tu alikuwa pamoja na wewe
Saa inakuja utatamani neno la mungu hutalipata tena wala kulisikia mpendwa neema bado ipo usiichezee mwamini yesu uokoke hapana njia ya kumwona mungu pasipo kumwamini kristo yesu
@@avitusmichael5Usiwe na wala usipende kutusi watu namna hiyo. Ni bora ukasisitiza kujifunza kitu! Nampenda mama yangu, siwezi nikafanya kama ulivyosema. Hata kama hujapenda nilichosema, huko umefika mbali sana kaka. Mungu akusaidie! Mungu akusamehe!
Davistarmata, ktk shuhuda zoote ulizowahi ku-present, huu ni kiboko. Ee Bwana Yesu Kristo, Nisamehe na nisaidie kutokuamini kwangu. Ole ole ole wangu, nisipojali Wokovu mkuu namna hii! Ole wetu! Naomba namba ya huyu Mtumishi wa Mungu. Tafadhali.
😂😂😂😂😂😂😂 story kali mama macho meupe ya kusema urongo.mbona anaeritadi huwa anatokewa na yesu😅😂😂😂.Allaah akuongoze in shaa Allah.waeza kuwa na macho lakini ni kipofu
Mimi ni David Njogu niko Somalia tafadhali tengeneza mahubiri kwa lugha ya kisomali,kisha unitumie nitaiweka kwa whatup yangu na kutuma kwa group ya wasomali
@@avitusmichael5 Jane ajifunze kuandika Mungu siyo mungu✂🚫 maana hiyo yenye m ndogo ni sawana miungu ya duniani, na pia ajifunze kuandika MUNGU wakati wote, kumaanisha Mungu wa Mbinguni. Au Jane ajifunze kuandika BWANA kumaanisha Mungu wa Mbinguni, au Bwana kumaanisha YESU KRISTO aliye Bwana na Mwakozi wetu.
Dada hongera sana umepata bahati ya kumuona kamanda mwenyewe yaan king jesus mwenyew mi naomba sana hyo bahti ni bora ukose mali upate kutokewa na king jesus mwenye hongera sana👏
Allah ﷻ says in Surah Al-Baqarah: "And We will surely test you with something of fear and hunger and a loss of wealth and lives and fruits, but give good tidings to the patient, Who, when disaster strikes them, say, 'Indeed we belong to Allah, and indeed to Him we will return.
We unajuaje kama ni maajabu ya yesu kweli?au unajitia hamnazo ? We umeshaona tangu lini nafsi iliyokufa ikamtoroka mungu ikarudi duniani ?labda huo uliomtokea utakuwa mzim wa yesu kwasababu kamwe nafsi yeyote iliyokufa Haina uwezo na wala haitakuwa na uwezo wa kumtoroka mungu na kurud duniani ? Labda mzim wake acheni ujinga kuweni na akili
@@husseingabo5497 Sasa km we unaakili timamu unasikiliza story ya upuuzi ya nini? Nadhani we ndo kichaa zaidi maana wenye akili hawafatilii kabsa story za Davistar.
Glory to God .Jesus is Lord and Savior off all Nations may God bless you sister .wewe ni muchaguliwa. Waalikwa ni wengi lakini wachaguliwa ni wachache Matayo 22:14🙏
3 Atukuzwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, aliyetubariki kwa baraka zote za rohoni, katika ulimwengu wa roho, ndani yake Kristo; Waefeso 1:3 4 kama vile alivyotuchagua katika yeye kabla ya kuwekwa misingi ya ulimwengu, ili tuwe watakatifu, watu wasio na hatia mbele zake katika pendo. Waefeso 1:4 5 Kwa kuwa alitangulia kutuchagua, ili tufanywe wanawe kwa njia ya Yesu Kristo, sawasawa na uradhi wa mapenzi yake. Waefeso 1:5
Hakuna kitu kibaya kama ushabiki,yaani wewe majini Yale kwamba yanamsaada kuliko yesu ambaye Quaran ametajwa Mara nyingi kuliko hata Mohammad,ni mtume pekee ambaye mama yake ametajwa,mzee Imran babu yake,kuna Surat Mariam,Surat Imran kwenye Quaran hamna mama wa Mohammad yakutajwa kivile .........
Ndio maana nampendaga sana Yesu,,yaani Mimi mtu haniambii kitu kuhusu Yesu hata siku moja.I Love you Jesus.
🙏🙏 nnko generation nakubali my blood🙏🙏
Amen 🙏
Hallelujah
❤
Barikiwa sana Dada Victoria upo sehem sahihi Mungu atabadilisha maisha yako wewe ni malkia wa Bwana Yesu Kristo wa Nazareth amen 🙏
Wote waliompokea waliwapa Kuwa Wana hongera Sana Dada mzuri umeniongeza kiwango Cha Imani Yesu Ni njia kweli na uzima
Nashkuru ukai kichwa wazi alhmndulilahi
Zumared two
Dada msomali lisilowezekana kwa binadamu Mungu analiweza . I love Jesus 💓
Amen
Ameeeen
🙏🙏 Nimebarikiwa sana na ushuhuda wako dada.
My sister Somalia great to almighty GOD. Amazing story.
Asante mchungaji kwa ajili ya hii ushuhuda wa kujenga, waiting for part 4..........
Usikate tamaa ndugu yangu endelea mbele na Mungu atakusaidia mateso yote atavuta kwa wakati wake .Asante kumukubari Yesu mimi niko Rwanda nakusikiriza sana and love you so much
History yako ni ndefu na Inasisimua na inatia moyo sana hakika YESU KRISTO nimuaminifu sio kama binadamu kama aseme urongo hallelujah Bwana asifiwe SANA.
Habari hizi za Yesu huwa Zina sisimua roho sana,Dada Asante kwa ushuda umeguza roho za wengi.
Hallelujah
Naendelea kupata ujasiri mkuu juu ya Yesu
Barikiweni watumishi wa mungu kwa ushuda muzuri akika yesu ni muzuri sana
Nashukuru Mungu Hats wasomali tunaokolewa,,,, tunatokewa NA Yesu,,,mwanaume wa wanaume,,,,,,,amen
Amina dada mbalikiwe
Thanks so much sister Victoria you give me so much strength and I can relate every story I have been there...May our Good Lord continue Blessing you..Jesus above all Names🙏Thank you Davistar Stay Blessed.
YESU ni Yule Yule Jana na Leo na hata MILELE Ubarikiwe sana mama Simama na YESU KRISTO anaweza yote kwa yote . Utabezwa lakini Amini tu . YESU hajawahi shindwa hata siku moja .
Yesu ni Mwamba
Yesu ndiye njia....najua hilo kanisa sister wetu anasema
huyu ni mungu mkuu wa matendo na ishara hallelujah
Saivi wasomali wakristo wanaongezeka sana Yesu anawaokoa sana uzur Yesu wetu anajitetea mwenyewe
Kabisa point sifa na utukufu ni kwa Yesu
Movie ya kihindi
Mumepotea Aki mrudi Kwa Kwa njia Ya haki Ya kiialamu
@@astolafisto5660Wewe njoo kwa yesu
Nabado watarud kwa Yesu kristo mnazaret@@astolafisto5660
😭 Mungu wangu nisaidie kutokuamini kwangu Mimi 😭
To GOD be all the glory! Thank you Davista Mata and I thank GOD for my sister in CHRIST Victoria.
Bless you.
Ndo maana neno la MUNGU linasema usihukumu ukaja kuhukumiwa wewe huyu ni mutumishi wa MUNGU Ubarikiwe sana mama kwa mapito uliyo pitia YESU kritor akubariki sana na mapito uliyo pitia kote ni MUNGU tu alikuwa pamoja na wewe
Waoooo😢😢😢😢😢😢😢 hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah so amazing
Ameeeeen
Yesu kristo aliye hai apewe sifa dadangu usiogope na tuzidi kuonba waokoke wote haswa jamii Yako yote na Dunia mzima iokoke
Saa inakuja utatamani neno la mungu hutalipata tena wala kulisikia mpendwa neema bado ipo usiichezee mwamini yesu uokoke hapana njia ya kumwona mungu pasipo kumwamini kristo yesu
Amazing story Mungu akubariki sanaa dadangu
Be blessed sister Victoria....This is a testimony that Jesus is Lord.Hes the true son of God hata watu wakatae
Hongera dada yetu Mungu azidi kukutunza...
Hallelujah to the KING of Kings Jesus Christ Mighty NAME:🕊️
Ushuhuda mzuri sana mpaka machozi yananitoka uzuri wa Yesu. Wangeandika vitabu; hata wa yule mtumishi Yohana Ramadhani.
Msomali anaeongea kiswahili zaidi ya mswahili ,kali sana hiyo
Amina ,nimependa sana ushuhuda Yesu wetu ni kiboko
Jamani Yesu aliipenda hii familia kweli hope walioka wote
Bwana yesu asifiwe
Following. . See what pple go through to stick with Jesus .. we have all the freedom and grace yet we take it for granted. .
Hallelujah Hallelujah Hallelujah AMEN YESU NI BWANA Utukuvu kwa yesu
Huyo dada ushuhuda wake unaguza sana soma zaburi 139:1_24
Innalillahi wains ileyhi raajiuun
Yesu yupo kazini haombewi wala kutakiwa Rehema yeye anarehemu na kutenda
dada mungu akupe nguvu na akulinde kwa kila jambo maaa nasi ni wkristo lakini mambo haya tunaysikia kwenu wasio kua wakristo amina twendele
Yesu mtamu jamani, hata nami niliwahi kusonga ugali bila mafuta ya taa kwenye jiko!
YEYE ni mweza; anaweza!
Penda sana huyu Yesu mimi!
ww unasema kweli au watania bila mafutataa kweli
Kama mtam mpe uone jinsi atakavokupapanyua
@@husseingabo5497 we umewahi kumlala mamako mzazi ndo maana hamnazo msengerema mkubwa
@@barakawilson1814 Ni kweli. Nilikuwa High School!
@@avitusmichael5Usiwe na wala usipende kutusi watu namna hiyo. Ni bora ukasisitiza kujifunza kitu!
Nampenda mama yangu, siwezi nikafanya kama ulivyosema. Hata kama hujapenda nilichosema, huko umefika mbali sana kaka.
Mungu akusaidie! Mungu akusamehe!
Davistarmata, ktk shuhuda zoote ulizowahi ku-present, huu ni kiboko.
Ee Bwana Yesu Kristo, Nisamehe na nisaidie kutokuamini kwangu.
Ole ole ole wangu, nisipojali Wokovu mkuu namna hii! Ole wetu!
Naomba namba ya huyu Mtumishi wa Mungu. Tafadhali.
YESU NI BWANA KWELI!🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana
Waislamu upitia mateso Sana kuingia Ukristo. Tofauti na Mkristo kuingia uislamu Hakuna mateso
Yatupasa kuteseka pamoja na Yesu Kristo..
Blessed be the name of the Lord
Yaani wewe dada muongo sana kuliko ibilisi
Yesu anawatokea wengi tu sikiza hiyo ua-cam.com/video/EX4BTD8g40M/v-deo.html
Njooni kwa Yesu kuna raha tokeni kwenye dini za majini...
Dada karibu sana katika kiristo
God bless you.
😂😂😂😂😂😂😂 story kali mama macho meupe ya kusema urongo.mbona anaeritadi huwa anatokewa na yesu😅😂😂😂.Allaah akuongoze in shaa Allah.waeza kuwa na macho lakini ni kipofu
God is great
.mungu akumbariki sana dafa
Mbona bado unava kisilamu kamakweli umependa ukiristo
Ahsante Mungu wa mbinguni.
Mwacheni mungu ayitwe mungu
ameni mtumishi kwa kwazi hii nzuri
Mimi ni David Njogu niko Somalia tafadhali tengeneza mahubiri kwa lugha ya kisomali,kisha unitumie nitaiweka kwa whatup yangu na kutuma kwa group ya wasomali
Pole songs mbele zidisha imani yako sana
Yesu ni mkuu nampenda sana ni mungu wa huruma na msamaha ❤❤
Mungu cyo mungu acha dharau za kipuuz
@@avitusmichael5 Jane ajifunze kuandika Mungu siyo mungu✂🚫 maana hiyo yenye m ndogo ni sawana miungu ya duniani, na pia ajifunze kuandika MUNGU wakati wote, kumaanisha Mungu wa Mbinguni. Au Jane ajifunze kuandika BWANA kumaanisha Mungu wa Mbinguni, au Bwana kumaanisha YESU KRISTO aliye Bwana na Mwakozi wetu.
Jesus is good hallelujah
Tuwache tabia yakuozesha mabinti mapema pole dada songs mbele
Glory to God Amen
Dada hongera sana umepata bahati ya kumuona kamanda mwenyewe yaan king jesus mwenyew mi naomba sana hyo bahti ni bora ukose mali upate kutokewa na king jesus mwenye hongera sana👏
Ahsate sana dadangu Mungu azidi kutuokoa,
Yesu unastahili
Dag dada wewe ni shujaaa kbsa💪
Yesu akikutaka utaokoka wewe ,huna chakupinga.
Bwana Yesu mwokoe na huyu anayesikiliza na kuituzama hii video
This lady is talking the truth about garissa.
Pole sana dada, umepitia mateso makubwa
Kunawatu wameokoka ktk mazingira magumu. Mungu atusamehe sisi kama wakati mwingine tunachukulia poa inasikitisha sana
Poleni sana dada Yesu wako yupo
Allah ﷻ says in Surah Al-Baqarah: "And We will surely test you with something of fear and hunger and a loss of wealth and lives and fruits, but give good tidings to the patient, Who, when disaster strikes them, say, 'Indeed we belong to Allah, and indeed to Him we will return.
Happy New month
Maajabu na miujiza ya majini watu huamini bila taswiswi,ila haya maajabu ya Yesu watu watasema ni uongo.
We unajuaje kama ni maajabu ya yesu kweli?au unajitia hamnazo ? We umeshaona tangu lini nafsi iliyokufa ikamtoroka mungu ikarudi duniani ?labda huo uliomtokea utakuwa mzim wa yesu kwasababu kamwe nafsi yeyote iliyokufa Haina uwezo na wala haitakuwa na uwezo wa kumtoroka mungu na kurud duniani ? Labda mzim wake acheni ujinga kuweni na akili
@@husseingabo5497 Sasa km we unaakili timamu unasikiliza story ya upuuzi ya nini? Nadhani we ndo kichaa zaidi maana wenye akili hawafatilii kabsa story za Davistar.
@@husseingabo5497 huna akili fala ww
@@husseingabo5497 Nafasi iliyokufa ni ipi au umekurupuka?
Sorry nafsi iliyokufa ni ipi
Amen Amen dadangu
Je inawezekanaje mtu akatunga story yote hii yenye matukio na mtiririko? Tuache upuuzi wa kusema story ni ya uongo.
Huo si uwongo bro , Mimi mtu akiongea uwongo namshtukia fasta tu
Uisilamu ni mpinga kristo ndiomaana hua wanapinga sana
Kabisa yani
@@biblicalknowledge2734 Sasa km Quran imekuahidi pepo iliyojaa ngono na ulevi si shangai mumumini wa dini km hiyo ukimkataa Yesu.
@@Mpakauseme ua-cam.com/video/TGhFVX37S6M/v-deo.html
Mwisho wa siku Wasomali wote wataokoka!!
Wataokolewa ni wale tu ambao Mungu amepanga kuwaokoa. Bila Mungu kumchagua mtu hata iweje hawezi kuokolewa.
Kila kinywa kitakiri kuwa yesu kristo ni bwana.
ni kweli kabsa mungu anaokoa kwa namba yake barikiwa sana
Hallelujah
@@josephngunzu6473 Ameen Hakika
Nakupenda
Sifa zimurudi Yesu, anastahili!!!
Pamoja mtumishi, Niko makini😁
Kama ni kweli Mungu akuongoze katika Kila hatua unayopiga
Mungu aongozee huyu msichana shetani kwa dini ya Hali.its sad
Hallelujah
Glory to God .Jesus is Lord and Savior off all Nations may God bless you sister .wewe ni muchaguliwa. Waalikwa ni wengi lakini wachaguliwa ni wachache Matayo 22:14🙏
Glory be to God hallelujah 🙏🙏🙏🙏
Sister umenitia nguvu sana
Huyu Mungu wacha aitwe MUNGU
YESU HUA HATUTAFUTI SISI TUNAOITWA WAKRISTO KWA UKARIBU KAMA ANAVYO WATAFUTA WANAOMPINGA
Ushuhuda mzuri Sana...
sawa, lkn jua kuwa wengine wanapata maumivu makali huku wewe ukifarijika!
Tuko pamoja sana
Mimi binafsi yesu alishanitendea mambo ya kutisha sana.kazi ni kumwamini na kumtegemea.
God is Faithful
Mungu ni mwema sna jamani
Huu ni ushuhuda Kali sana.
3 Atukuzwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, aliyetubariki kwa baraka zote za rohoni, katika ulimwengu wa roho, ndani yake Kristo;
Waefeso 1:3
4 kama vile alivyotuchagua katika yeye kabla ya kuwekwa misingi ya ulimwengu, ili tuwe watakatifu, watu wasio na hatia mbele zake katika pendo.
Waefeso 1:4
5 Kwa kuwa alitangulia kutuchagua, ili tufanywe wanawe kwa njia ya Yesu Kristo, sawasawa na uradhi wa mapenzi yake.
Waefeso 1:5
Acheni Mungu aitwe Mungu hakika hamna wakulinganisha naye hutenda mambo ya ajabu??
Innalilahi wainna illah rajiunn hajui majini yanavyo msaidia anazani ni Yesu. Yesu hawezi penda misalaba kamwe
Okoka weye achana virajiunn vyenu vya kishetani hivyo. Nenda kwa Yesu
Hakuna kitu kibaya kama ushabiki,yaani wewe majini Yale kwamba yanamsaada kuliko yesu ambaye Quaran ametajwa Mara nyingi kuliko hata Mohammad,ni mtume pekee ambaye mama yake ametajwa,mzee Imran babu yake,kuna Surat Mariam,Surat Imran kwenye Quaran hamna mama wa Mohammad yakutajwa kivile .........
@@victorbeno jini hilo linamjia usiku
@@wazomyakinifu2301 niokoke kwani niko kwa mv bukoba?
@@reubenbushiri1753 kama unaakili ungegundua emeandika Quruan Issa kwa utukufu kwanini we utukane wanaifwata eti wapotofu. Wewe ndio shabiki wa hovyo
Ni uwongo mtupu
Mungu nimsaidie na uninusuru kuamini haya mambo 🤲👏na ninaimani mungu utaninisuli❤👏
ua-cam.com/video/EX4BTD8g40M/v-deo.html
Waislam jamani yesu anawapenda,okoka,yeye ndo njia na uzima,this is reall ni shortcut
Yeye mwenyewe uzima anapewa na Allah, Ambaye hakuza wala hakuzaliwa. Wala hakuna anofanana naye.
@@rauhiyasaad5384 yesu wamepewa mamlaka mbinguni na Dunia I, yeye ndiye atakuhukumu, na yesu ni msaliwa wa Kwanza sio Mohamad
interviewer unazinguaaa daaaa 🤣🤣🤣🤣🤣
Amen