ALBERT CHALAMILA - MUFINDI YETU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 295

  • @ceciliamfuko8045
    @ceciliamfuko8045 3 місяці тому +1

    Nazipenda nyimbo zako. Umenikumbusha Igowole na Malangali baba yangu Mwalimu Kambanyuma alikofundisha enzi hizo. Mungu azidi kukutunza 🙏🏿

  • @manfighter5313
    @manfighter5313 3 роки тому +44

    Kama umekuja kusikiliza njimbo baada ya kupata taarifa kuwa anajua pia kuimba tena vizuri.likes za kutosha

    • @Alamatvonline
      @Alamatvonline  3 роки тому +2

      Shukran kwa Maoni yako Subscribe channel yetu kwa mengi zaidi

    • @nicholausmlawa3843
      @nicholausmlawa3843 3 роки тому

      Nyengule we wihosa nimeipenda hiyo🤣🤣🤣😋

  • @katikitv9586
    @katikitv9586 11 днів тому

    Nice song zaidi ya mala 30 nasikilizi ujumbe huu tujitafafakaki Iringa

  • @petrojohn.8156
    @petrojohn.8156 3 роки тому +7

    Yaani siku zote maisha ni kupambana ,Chalamila ametisha.

  • @manenomwalumwalusasi3088
    @manenomwalumwalusasi3088 3 роки тому +4

    Mh.Chalamila ujumbe uliopo kwenye huu Wimbo ni mnzuri sana na inafaa sana kwa kizazi cha leo wakaelewa maana ardhi imeisha kwa kuuza bila kujua wapi wauzaji wa ardhi hiyo tunakwenda zaidi tutakuwa watwana wa hao walionunua ardhi tuliyoachiwa na babu zetu

  • @SamwelKihongos-p8c
    @SamwelKihongos-p8c 11 місяців тому

    🎉ulonzile myawe.

  • @SubiragaKabango
    @SubiragaKabango 4 місяці тому

    MH ALBART hongera sana kwa Uimbaji wako! Tunakukaribisha MBEYA SOKOINE tar 29/6/2024 Twende kwa Yesu! UBARIKIWE SANA!

  • @emilkawala6563
    @emilkawala6563 2 роки тому +4

    And finally, umeteuliwa tena. Hongera.

  • @melchiadgodwine9192
    @melchiadgodwine9192 3 роки тому +4

    Hongera sanaaaaa kamanda Chalamilaaa daaa wee ni mwamba

  • @mselumonica3046
    @mselumonica3046 3 роки тому +11

    Chalamila umeachwa na mwanadam siyo mungu subiri mungu atakuinua kwenye viwango vingine

    • @Alamatvonline
      @Alamatvonline  3 роки тому +1

      ua-cam.com/video/t0c2fICi9bU/v-deo.html
      Chalamila - Mola Mola (official audio)

  • @WendePeter-py8og
    @WendePeter-py8og Рік тому

    Kukaye❤

  • @mainguburemo6186
    @mainguburemo6186 3 роки тому +8

    Wimbo una maudhui. Chalamila ni filosofa mwalimu na mwanasosolojia. Mwalimu mzuri. Wengi hawakumuelewa. Nilimuelewa mimi tu.

  • @RehemaMgeni-k6m
    @RehemaMgeni-k6m 3 місяці тому

    Mcheza kwao Hutunzwa Watu wa Mufindi Tuko juu

  • @clementmwaitebele7687
    @clementmwaitebele7687 3 роки тому +4

    Mh.Chalamila una akili sana huu wimbo una maana kubwa sana.. Big up Chalamila

    • @Alamatvonline
      @Alamatvonline  3 роки тому

      ua-cam.com/video/t0c2fICi9bU/v-deo.html
      Chalamila - Mola Mola (official audio)

  • @ibrahimmalekela6295
    @ibrahimmalekela6295 2 роки тому +2

    Kiukweli chalamila unatisha baba nyimbo zako nazikubari sana ne ndimwamalekela bwana

  • @ditrickmbilinyi3224
    @ditrickmbilinyi3224 3 роки тому +3

    Hongera sana Mh. Chalamila kwa kazi nzuri na elimu inayo komboa jamii yetu

  • @angelsambala5579
    @angelsambala5579 Рік тому +1

    myawe twisukuru kweli kwa ujumbe huu

  • @yusuphmkapa934
    @yusuphmkapa934 3 роки тому +10

    Mwalimu wangu Asante sana kwakunifundisha fom2nafom4 Tabata high School shkrani Sana Mungu AKUBARIKI SANA

  • @MajorsMicrocredit
    @MajorsMicrocredit Місяць тому

    Kwe kwavi ngudi kuve wunyambe mstari pendwa huu

  • @amoszacharia5647
    @amoszacharia5647 3 роки тому +7

    Mkuuu hongera sana una kipaji , labda Mungu aliruhusu yatokee hayo yote kwa kuondolewa nafasi yako, kuna nafasi Mungu amekuandalia

  • @nikutusyamsokwa3476
    @nikutusyamsokwa3476 3 роки тому +5

    It is very very in fortune,muda wote Niko na chalamil mbeya sikujua kama tunashea fani ya music.NIMEMPENDA GHAFLA.

  • @sengakijumiletv8125
    @sengakijumiletv8125 3 роки тому +3

    Mheshimiwa Chalamila Ndeeti.shukuru kila jambo.

  • @salamanauthar5261
    @salamanauthar5261 Рік тому

    Nyimbo nzuri sana' Hongera Chalamila

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 3 роки тому +15

    Ndio uzuri wa kuwa na vipaji vingi! Hongera!

  • @peterbayo4677
    @peterbayo4677 2 роки тому +1

    Huyu jamaa ni kiraka wa vipaji vingi!!!
    Hongera sana!!! Unogage baba!!
    Msanii halali njaa....

  • @muhammadhussain449
    @muhammadhussain449 Рік тому

    Duu jamaani kweli kamtowa uyu jaamaa mama machozi yamenitoka

  • @frankmgunjimgunji9261
    @frankmgunjimgunji9261 3 роки тому

    Yan nakulilia sana chalamila wangu hakika mweshimiwa Samia kwa kukutoa kwenye ukuu wa mkoa kafanya haraka sana utadhan alikiw na ugomvi na ww tafadhali rais umrudishe chalamila mkoa wowote Tanzania.

  • @salamsabdullah-st9pt
    @salamsabdullah-st9pt 4 місяці тому

    Hongera baba vidio

  • @gawedambogo5078
    @gawedambogo5078 5 місяців тому

    Jitaidi utoe vidio huu ni mzuri sana mkuu

  • @jamesmalyeta2433
    @jamesmalyeta2433 2 роки тому +1

    Jembe langu big up🤝🤝

  • @pollworke8642
    @pollworke8642 3 роки тому

    Mkuu mungu akuinue sana huyo mama vipi??

  • @badenbensoni7516
    @badenbensoni7516 3 роки тому +10

    Alikuwa kiongozi bora sana. Hasa mi binafsi namuombea asiachwe hivi hivi kuna mema aliyoyatenda

    • @Alamatvonline
      @Alamatvonline  3 роки тому

      Shukran kwa Maoni yako Subscribe channel yetu kwa mengi zaidi

    • @zumbeshauri8114
      @zumbeshauri8114 3 роки тому

      Kabisa sema mama anpenda kusikiliza miluzi

    • @radhiambwana3353
      @radhiambwana3353 3 роки тому

      Ulimi mwanadamu nikawaida kuteleza.

  • @isayamwasile3103
    @isayamwasile3103 2 роки тому

    Hongera Kwa uteuzi wa kuwa RC Kagera

  • @lawrencekipaule4977
    @lawrencekipaule4977 Рік тому

    Hongera sana Mheshimiwa kumbe unaweza kuimba

  • @emmanueljengo8103
    @emmanueljengo8103 3 роки тому +5

    Mtegemee Mungu mkuu utaxhinda cmxapoti kbxa mh Rais kukutumbua ww yani nakuelewa na cion koxa la ajabu kwako

  • @athanasevarist9635
    @athanasevarist9635 3 роки тому +3

    Hahaha hahahah chalamila bhana ana mambo

    • @Alamatvonline
      @Alamatvonline  3 роки тому

      ua-cam.com/video/t0c2fICi9bU/v-deo.html
      Chalamila - Mola Mola (official audio)

  • @veronicangwale7159
    @veronicangwale7159 Рік тому

    Hatariiiiiii sanaaaaaaaaa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @dorymedia187
    @dorymedia187 3 роки тому +6

    Duh kumbe wa nyumbani kabisa.Mungu akubariki popote ulipo kiongozi Kamwe usipungukiwe na chochote.

  • @stephanolumato
    @stephanolumato 4 роки тому +9

    Hongera Rc Mbeya kwa wimbo mzuri pia kwa kuisifia Mufindi yetu

  • @xurrencebchema1669
    @xurrencebchema1669 8 місяців тому

    Hongeraaa saaaaaanaaaa

  • @KhamisUssi-y7z
    @KhamisUssi-y7z 8 місяців тому

    Kamwene myawe ndipulikisa izimbo neke nofu be

  • @KisagasiLuyangi
    @KisagasiLuyangi 9 місяців тому

    Nimeipenda nyimbo mukwi Yu mukami de! 😂😂😂

  • @joycephillip8926
    @joycephillip8926 3 роки тому +2

    Mungu hatokuacha lipo fungu lako mwamini Mungu ndiye mpango yote

    • @Alamatvonline
      @Alamatvonline  3 роки тому

      ua-cam.com/video/t0c2fICi9bU/v-deo.html
      Chalamila - Mola Mola

  • @miltonsante4767
    @miltonsante4767 3 роки тому +2

    Uuuuiiii!!! Samia🤣🤣

  • @M7-Band
    @M7-Band 3 роки тому +6

    Huyu jamaa nampenda sana,hili ni jembe kweli kweli

    • @Alamatvonline
      @Alamatvonline  3 роки тому

      ua-cam.com/video/t0c2fICi9bU/v-deo.html
      Chalamila - Mola Mola (official audio)

  • @mfindepeter1445
    @mfindepeter1445 3 місяці тому

    iringaa oyeeeeeee

  • @bisekoc.k.jenjela7936
    @bisekoc.k.jenjela7936 3 роки тому +7

    Ukiweza zunguka au tembea nchini kote, uelimishe jamii yako itakuinuwa tu, sauti yako bado ipo ndani ya jamii pia majambo na maono yako kwa watz yaendeleze, njia na nafasi bado unayo, wazo jepesi tu.

    • @Alamatvonline
      @Alamatvonline  3 роки тому

      ua-cam.com/video/t0c2fICi9bU/v-deo.html
      Chalamila - Mola Mola (official audio)

  • @AgnessKomba-qg1es
    @AgnessKomba-qg1es Рік тому +1

    Mungu aendelee kukutunza akuagizie Malaika zake wakulinde

  • @MsafirGervas
    @MsafirGervas 26 днів тому

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉brother chalamila

  • @esteromary2102
    @esteromary2102 3 роки тому +1

    Hongera broo,nakupongeza Sana,raha kuwa na vipaji vingi

  • @nelsonzakayo496
    @nelsonzakayo496 3 роки тому +1

    Kumbe unaweza kuimba, Mungu akuinue uanze kumuimbia yeye

  • @hajijuma4160
    @hajijuma4160 3 роки тому +3

    Big up, imekaa vizuri na ujumbe umefika

    • @Alamatvonline
      @Alamatvonline  3 роки тому

      ua-cam.com/video/t0c2fICi9bU/v-deo.html
      Chalamila - Mola Mola (official audio)

  • @pastoryjoseph7540
    @pastoryjoseph7540 3 роки тому +1

    Pongenzi mhshmiw chalamila mungu akuongozw ilikuwa kiongozi Bora

  • @drisayaambulatoryvetclinic1514
    @drisayaambulatoryvetclinic1514 3 роки тому +5

    Safi sanaa chalamila the great ..bonge LA nyimboo .humyeeeeee ifideo ya ulyimbo uluu tuduveee twiyangasule

  • @usamsonwilson1178
    @usamsonwilson1178 3 роки тому +1

    Kamwene abahehe Bose?

  • @nasrahassanmasesa3745
    @nasrahassanmasesa3745 3 роки тому +5

    Mtani wangu weee upo vizuri sana mh chalamila mungu atakuinua katk kazi zako kama ipo. Ipo tu mtengemee mungu

    • @Alamatvonline
      @Alamatvonline  3 роки тому

      ua-cam.com/video/t0c2fICi9bU/v-deo.html
      Chalamila - Mola Mola (official audio)

  • @neemajulius1256
    @neemajulius1256 3 роки тому +4

    Yesu awe pamoja nawe utakapo na uingiapo asikuache

  • @kingkim3817
    @kingkim3817 Рік тому

    Sawa baba angu

  • @shekinahrevivalinternation6614
    @shekinahrevivalinternation6614 2 роки тому

    ,nyalukilo utuminiki numbula yangu meme ndimmyakumugagao nyongidze mtwa nutakuombea siku zote Askofu mkuu Ngoda

  • @wilhardvawunge9330
    @wilhardvawunge9330 3 роки тому +2

    Wiimba lunofu be myawe

  • @johnbernad3407
    @johnbernad3407 3 роки тому +1

    Saut yako ni ya kuimba nyimbo za injili anza kumuimbia Mungu utafika mbali sana

    • @Alamatvonline
      @Alamatvonline  3 роки тому

      ua-cam.com/video/t0c2fICi9bU/v-deo.html
      Chalamila - Mola Mola (official audio)

  • @dorisnzogolo1476
    @dorisnzogolo1476 Рік тому

    Twishukuru kwa ujumbe wenye nguvu

  • @joharially2950
    @joharially2950 2 місяці тому

    Mimi wa kilolo ila nafrahi wote ni iringa na mbekuli kuna mibiki na malunguru😂

  • @siyabongakzn9864
    @siyabongakzn9864 3 роки тому +3

    Chalamila omba musamaha kwa Mama atakusamehe. Najua unapenda utani sanaa ambao unachangamusha ila angalia maneno yakutamuka kwa watu. I nguluvi yinya lusungu.

    • @pascaskisengo2111
      @pascaskisengo2111 3 роки тому

      Chal amila umetisha hongera

    • @Alamatvonline
      @Alamatvonline  3 роки тому +2

      Shukran kwa Maoni yako Subscribe channel yetu kwa mengi zaidi

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 3 роки тому

      Jamaa alilewa madaraka... Upumbavu mkubwa...

    • @marcbiroturo4937
      @marcbiroturo4937 3 роки тому

      Yes kuteleza siyo kuanguka bado ni kiongozi mchapakazi.Mama kumpeleka mwanza jiji ilikuwa ni Imani kubwa sana kwake.Soon atakuwa bungeni mbunge wa kuteuliwa

  • @mainguburemo5947
    @mainguburemo5947 2 роки тому

    Wimbo mrua. Tutaupiga tutakapochukua nchi chini ya Umoja Party

  • @festomlowegypsum8214
    @festomlowegypsum8214 3 роки тому +3

    Mh Munguakubari kazi yamikono yako Nakupenda sana baba

  • @uzogolemasanja8338
    @uzogolemasanja8338 3 роки тому

    Mungu yupo upande wako kazi nzuri sana

  • @happydavid6708
    @happydavid6708 3 роки тому +3

    Kaka safii sana. Nimependa sana

    • @happydavid6708
      @happydavid6708 3 роки тому

      Kaka usivunjike moyo kwa hayo unayopitia yana sababu. Nahitaji namba yako ili tufanye kolabo moja hatarii ambayo itakuwa ya kumshukuru Mungu. Na kila atakaye isikia masikio yake yatawasha. Nadhani unaifahamu mundo band?mimi ndiye mwalimu wa hiyo band

    • @Alamatvonline
      @Alamatvonline  3 роки тому

      ua-cam.com/video/t0c2fICi9bU/v-deo.html
      Chalamila - Mola Mola (official audio)

    • @Alamatvonline
      @Alamatvonline  3 роки тому

      ua-cam.com/video/t0c2fICi9bU/v-deo.html
      Chalamila - Mola Mola (official audio)

  • @jeanmubemba1204
    @jeanmubemba1204 3 роки тому +4

    mmeona gharama ya kifo cha magu,huzuni yote hii imeletwa na kifo cha magu

    • @Alamatvonline
      @Alamatvonline  3 роки тому

      ua-cam.com/video/t0c2fICi9bU/v-deo.html
      Chalamila - Mola Mola (official audio)

  • @jongosalehe1036
    @jongosalehe1036 3 роки тому

    Safiiiii xn.

  • @jimmysunch2088
    @jimmysunch2088 3 роки тому

    Daah na kumbuka 2013 ebon fm Edwinny bashili mtangazaj aliusifia sana wimbo

  • @boscomfundo7953
    @boscomfundo7953 3 роки тому +3

    Kumbe alikuwa mtu mwenye talent ila aliharibiwa kwa kuiga sifa za mtawala

    • @Alamatvonline
      @Alamatvonline  3 роки тому

      ua-cam.com/video/t0c2fICi9bU/v-deo.html
      Chalamila - Mola Mola (official audio)

    • @peterbayo4677
      @peterbayo4677 2 роки тому

      Huyu jamaa yuko timamu kiakili
      🦒🦒🦒🦒🦒

  • @fransiskamkalawa6745
    @fransiskamkalawa6745 3 роки тому +4

    Hogera sana Babangu Chalamila

  • @nasrahassanmasesa3745
    @nasrahassanmasesa3745 3 роки тому +3

    Hongera mh DC

    • @Alamatvonline
      @Alamatvonline  3 роки тому

      ua-cam.com/video/t0c2fICi9bU/v-deo.html
      Chalamila - Mola Mola (official audio)

  • @uzogolemasanja8338
    @uzogolemasanja8338 3 роки тому

    Hapo ndio watajua haukuwa na maana mbaya

  • @issashabani9840
    @issashabani9840 3 роки тому +2

    Nakukubali sana fanikiwa kaka

    • @Alamatvonline
      @Alamatvonline  3 роки тому

      ua-cam.com/video/t0c2fICi9bU/v-deo.html
      Chalamila - Mola Mola (official audio)

  • @bonifaceiloma1824
    @bonifaceiloma1824 2 роки тому

    Nakubali Sana mheshimiwa lkn naipataje ile nyimbo yako ya hodi?

  • @mwajumabakari3730
    @mwajumabakari3730 3 роки тому

    Yaan huo nampenda huyu jamaa Allha akujalie natamani nihamie mafinga tukachague ukawa mbuge bado binafsi yangu nakukubali mno🥰

    • @Alamatvonline
      @Alamatvonline  3 роки тому +1

      ua-cam.com/video/t0c2fICi9bU/v-deo.html

  • @yahayapozi3405
    @yahayapozi3405 3 роки тому +7

    Hongera Sana mtani wangu mungu atakulipa mema nimeuelewa Sana ujumbe wako kupitia huu wimbo wako kumbuka ya kwamba mungu ndio anajua liziki za waja wake

  • @onesmomashembo4123
    @onesmomashembo4123 3 роки тому

    Bonge moja la ngoma kiukweli mh kakuonea tu kukutumbua binafsi sikuona kosa lako nilichukulia Kama utani tuliozoea kuusikia kwako all in all mungu atakulipa

    • @erickmsigwa88
      @erickmsigwa88 3 роки тому

      Mama ange mpa mda jmn yupo vizr ktk kujenga uchumi but Mungu ni mwema vyeo ni dhamana tuu.

  • @ibrahimlubwaza6534
    @ibrahimlubwaza6534 2 роки тому

    chalamila nikiongozi Mzuri tatzo lake akilizake zinaingia nakutoka, zikitoka ndio pale huropoka upuuzi mbele zawatu.hongera mama kumteua tena atakua amejifunza sasa.

  • @lilianluhasi5053
    @lilianluhasi5053 3 роки тому

    Uko vizuri mwimbo

  • @velejilyomhongole1641
    @velejilyomhongole1641 Рік тому

    Mukwi se yudada mwanchalamila wimbite lunofu hilo.

  • @CheMataka_official
    @CheMataka_official 3 роки тому +1

    Iko vzr ngoja tufanye Colabo

  • @messiahmlyuka8734
    @messiahmlyuka8734 3 роки тому +2

    Hongera kwa ujumbe umefika hasa makabila ya mikoa ya kusini

  • @majaliwamsigwa6206
    @majaliwamsigwa6206 3 роки тому +4

    Makasi Nyalukolo,kumutili Mufindi moja hiyo imibiki gyetu

  • @shalomizrael667
    @shalomizrael667 3 роки тому

    Ili ing'ae dhahabu lazima ipite kwenye moto. Mlingane YESU atakuheshimisha mpaka washangae.

  • @happymsaki1720
    @happymsaki1720 3 роки тому +1

    Ndgu zangu ya Mungu ni Mengi ,Mungu akitutoa mahali tunalaumu ni Mungu anampeleka viwango vingine tumuombee Ulinzi wa Mungu na Mapenzi ya Mungu yakatendeke juu yake

  • @gladsontimoth3446
    @gladsontimoth3446 5 місяців тому

    Safi😂😂😂

  • @ovetykilasi4254
    @ovetykilasi4254 3 роки тому +4

    Ataimba safalii hii mpka tushangaee nakwambia

    • @Alamatvonline
      @Alamatvonline  3 роки тому +1

      Shukran kwa Maoni yako Subscribe channel yetu kwa mengi zaidi

  • @nassibuduma7162
    @nassibuduma7162 3 роки тому +2

    Mwagito sikujua kama hizi nyimbo zako nitazipataje nyingine ninayo ile ya finyungu fanya nipate bana Mwagito.

    • @Alamatvonline
      @Alamatvonline  3 роки тому +1

      Subscribe channel yetu zote tutaziweka hapa zipo tatu

  • @anamayala8896
    @anamayala8896 3 роки тому +3

    Shukuru kwa kila jambo unawezakung'ang'ana na nafasi kumbe sio riziki ukakutana na jambo zito zaidi kumbe sio riziki najua unatufaa sana baadhi ya watu ila hila za shetani ndo zimetawala ulimwengu

  • @salamsabdullah-st9pt
    @salamsabdullah-st9pt 4 місяці тому

    Kamwene chalamila

  • @separatebetres5315
    @separatebetres5315 3 роки тому +3

    Heeee huyu ni RC chalamila wee?
    Safi

  • @sabatosabibi2191
    @sabatosabibi2191 3 роки тому

    Aliyeogelea hazami

  • @davidlelo6192
    @davidlelo6192 5 місяців тому

    Safi sn

  • @sagataps9477
    @sagataps9477 3 роки тому

    Mwenye kipaji halali njaa

  • @mizaeljaphet8862
    @mizaeljaphet8862 2 роки тому

    Ndi lumba ulwimbo lunofu hilo bele wimbite.

  • @mariamm2724
    @mariamm2724 4 роки тому +1

    Haaa kumbe ndoo ameimba huyu duh hongera mkuu wa mkoa mbeya

  • @johnsonbagambi1908
    @johnsonbagambi1908 3 роки тому +1

    Komaa kk maisha yanaendelea saf sana