Kwa kweli ni burudani sana, nipo Dar, nampongeza mzee ameimba vizuri,nampongeza aliyeanzisha idea hii,Wahehe taifa kubwa sana, na kwa sasa tumeenea duniani kote, bado tunahitaji vibao/nyimbo nyingi zaidi ili kuudumisha utamaduni wetu huu adhimu. Iyena iyena ni moja kati ya nyimbo nzuri sana za kihehe, hata JWTZ na brass band nyingi huwa wanapenda sana kuzitumia, ila jamii haijui kama hizi ni nyimbo zetu. am proud of being Mhehe kwa kweli. Maoni yangu kwa mtu wa video editing, umetumia sana Slow motion kiasi kwamba hakuna mahali tunaona watu wanadua kabisa kwa kufuata ile bit ya kudua. natumaini utanielewa(hii ni kitaalamu zaidi ukitaka ushauri zaidi 0713 370 553). ahsanteni. Wahehe daima juuuuuuu!
Elisamehe Charles uongo huziba njia ya kuja kwako kwahivyo utakufanya ukae pekee yako. Yaan ukiwa muongo watu hawatataka kushirikiana nawe watakuacha ukae pekee yako kwa hivyo yafaa kuacha tabia za uongo
Hamjui kudua, tafuta wanaojua kudua vizuri sio hawa wa kuigiza maana wamepoteza radha yake, hujui kwamba kuipata ile radha halisi ya kudua unaweza kusahau hata kula
Weka nyimbo nyingi zaidi za kihehe kwenye chanel yako hii. ujue hizi nyimbo za kabila letu kwa sasa zinekuwa zikipotea kabisa itafika kipindi watoto wetu watashindwa kabisa hata kudua. Tafuta nyimbo zaidi weka hapa kwenye chanel yako indembwe ya kumilanzi nunza avana iva nene baba afwilye mulugendo kuna zile nyimbo za Mzee Chavalikungu weka zote yaan tafuta zote za kihehe za azamani weka kwa chanel yako utapata views wengi sana.
hadi raha jaman wangapi wanaangalia kila mda like hapa ili tujuane jamani wairinga tuko wa ngapi ??
Pamoj
Ndaiwenda hilo ulwimbo ulu
Mpaka rahaaaaa weweeee
Ndimgaya sida segto
Tupo wengi
Kama kweli ve wimuhehe comment twikagule twivalinga kumwambu
Nimekumbuka nyumbani wahehe oyeeeeeee♥️
Oyeeeeee. Uwudesi widinda ng,asi pede se wikalaga wi yena hela 😂😂😂😂😂😂😂oyeeeeee
Jamani huyu aliyeimba wimbo huu mbona kama nnamfahamu anaitwa felix alisoma iringa mlangali pr school, big up sana, anakipaj8 hicho tangu ujana Wake
Mimngoni lakini huu wimbo unanibariki vibaya mno ❤❤❤
Ndiwike kukaye silwaipa
Uwudesi widinda ng' asi pede se wikalaga wi yena hela 😂😂😂😂😂 se wikalaga wi yena x2😂😂😂😂
Uvudesi vuhonga mpelela kiba nu mhavi alahavila mwinga good song
Nipo Oman nasikiliza mahome
Nitumie nmb zako😂😂😂tafadhaliiiiii
Pamoja sana
Hahaha nyele
Kama mimi nipo omani nasikiliza zakwetu
❤❤❤❤raha sana
Nava mwalubava twikagule beh
Kukaye yekukaye helaa! vayawenye,
Ukwetu uko
Namefurahi sanaa
Wulekage wudesi be sewikalag wiyens myawe
Wimbo lunofu be mm mm
Kwa kweli ni burudani sana, nipo Dar, nampongeza mzee ameimba vizuri,nampongeza aliyeanzisha idea hii,Wahehe taifa kubwa sana, na kwa sasa tumeenea duniani kote, bado tunahitaji vibao/nyimbo nyingi zaidi ili kuudumisha utamaduni wetu huu adhimu.
Iyena iyena ni moja kati ya nyimbo nzuri sana za kihehe, hata JWTZ na brass band nyingi huwa wanapenda sana kuzitumia, ila jamii haijui kama hizi ni nyimbo zetu. am proud of being Mhehe kwa kweli.
Maoni yangu kwa mtu wa video editing, umetumia sana Slow motion kiasi kwamba hakuna mahali tunaona watu wanadua kabisa kwa kufuata ile bit ya kudua. natumaini utanielewa(hii ni kitaalamu zaidi ukitaka ushauri zaidi 0713 370 553). ahsanteni. Wahehe daima juuuuuuu!
Hongera Sanaa Kwa wimbo mzuri nimeinjoi sana
Nzuri Sana
mi naona Mzee umetupatia kitu kizuri sanaaaaa
Iringa oyeeeeeeeeeee,hatuna mpinzani
Euloo nzao
Nzuri Sana imenibariki ssna
Ndala vee!!aka sewikalaga wiyena.
Uwudesi wudinda ng'asi sewikalaga wiyene hela
Uudesi si Kasi mweee sewikalaga wiyena...hahaha tulipamwinga veyaaaaa
Jamani tunaomba tuweke nyimbo za kihehe tunazikiliza kutoka england.
Ondoa shaka
hajui kudua.simuuseli ukuduva
Jamn nimekumbuka kukae nduriii mwanyamba Nene nyee
jamaan wahehe wezangu mzid kulusha nyimbo kwan tukiziona nyimbo hz nahisi NP numban iringa
......
..
Iringa njombe tunaraha sana
Nimefurahi safi sana
Iringa ndo home
Lukani lunodzile,,,pe wihegelela pa vayago vatige mkatuke ilyoo likudza,,,,,,vayawe uhuloooooo
Ndauli myawe
@@philbertmyinga6344 ndahiho hela ,,,,
Twivolofu hera
Ndilwendite ulwimbo loo!
Nimeipenda sana hu wimbo
Iringa oyeeee
Jamani nimesikia raha sana wahehe oye
dah umenikumbuxha mbar kwel yan
Hadi raha
Apo kweli newiheha va yago wikala wiyena hela
Nahitaji mkopo
Mtuya
Eulo nano
NOMA SANAA WAHEHE KUTOKA IRINGA BIG UP SANA 😂
Nafrahisana machozi yafraha nanitoka nikisikiriza izikabila mbili mbena mhehe
Uwudesi wubi nyeeeee
Asante sana mzee kwaujumbe wako mzuri sana
Bonge la nyimbo nzuri ya tamaduni.
Nyeeee ndikwiyangasula kweli
Haaaah wailonga insya nene insyako ufuniche aah sewikalaga wiyena
Kweli
Eti ugumama ugu gumbea wahehe hoye me mubena ila naelewa mwanzo mwisho
Safi sana nyumbani kumenoga kukaye kunodzile
Hivyo hivyo!!
Mbalamaziwa moja,,jamn❤❤❤
Nyela nofuu kwelii umenikumbusha mbaliisanaa kakaa
Jamani hadi raja,vakunyumba mbevali Ng,'ani
Kabisa sewikalaga wiyena
Kweli baba kazi nzuri
Uwudesi ndio wuhavi,,pede sewikalaga wiyena
Raha sana
Kuduwa wahehe wa katanga
Ujumbe upo vizuri
ndivawene nyelaga💥💥
Safi hongereni saanaa
Tulipamwinga msehe Lusasi
Ogaaah!
Naomba kujua maana ya huu wimbo plz
Elisamehe Charles uongo huziba njia ya kuja kwako kwahivyo utakufanya ukae pekee yako. Yaan ukiwa muongo watu hawatataka kushirikiana nawe watakuacha ukae pekee yako kwa hivyo yafaa kuacha tabia za uongo
Hamjui kudua, tafuta wanaojua kudua vizuri sio hawa wa kuigiza maana wamepoteza radha yake, hujui kwamba kuipata ile radha halisi ya kudua unaweza kusahau hata kula
😢😢😢hii nyimbo sio ya kuduwa kwa hisia Kali hii ni slow slow 💃💃
Huoni ipo taratibu sana beat yakee??😢
Safi sana Numbani
Uwudesi waidinda ingasi!!
safi sana hadi raha
Winbo mnofu Hilo.
Mamb
Vizur sana
Uwuniya mwiko
❤❤❤❤
Asili ina raha yake jmaan nmekumbuka mbali
Nimependa sana naomba CD au flashi, weka na vinanda zinoge zaidi
Dumisha vazi LA kihehe kaka nimependa sana, mngevaa wote hilo vazi, wanawake nao wangevaa wote vazi lao
Lulo lwandolo kabisa baba
nyimbo nzuri sana kwa wahehe tumefurahi
Waoo nc song'
Very nice song 2021
Malangali moja iyo
Hakika
Tutafurahi sana kama utatusaidia kutuwekea nyimbo hasa za chavalikungu mwana wa igula na wanamuziki wengine wapya
ua-cam.com/video/L9u5PWyXgc4/v-deo.html
Nyimbo ya Kihehe Wachawi noma
Farida Abdulkaree huwa namtafta sana chavalikungu
🙏
Hatari mzur sana
RAHA SANA KENYA ZIWIKE KUKAYE 🙏
babu ulikunoga safi sanayawe
Ilifaa huu wimbo uwe mseya kuliko kuduwa namna mziki unavyosikika
Wiyena
#lukaniii
😂😂
Weka nyimbo nyingi zaidi za kihehe kwenye chanel yako hii. ujue hizi nyimbo za kabila letu kwa sasa zinekuwa zikipotea kabisa itafika kipindi watoto wetu watashindwa kabisa hata kudua. Tafuta nyimbo zaidi weka hapa kwenye chanel yako
indembwe ya kumilanzi
nunza avana iva nene
baba afwilye mulugendo
kuna zile nyimbo za Mzee Chavalikungu weka zote yaan tafuta zote za kihehe za azamani weka kwa chanel yako utapata views wengi sana.
Nafanyia kazi ushauri makini
ua-cam.com/video/L9u5PWyXgc4/v-deo.html
Safi sana jamani
Siwe karagawinyena
Uwudesi udinda ng'asi
Wailonga isanene neki utagalise neki sako uniche
Duùuu wanambalamaziwa oyeeeee
Oyeeee
Nofu Sana vayawe
💖💖💖💖💖
Lukani vayawe
DAH raha tupu naomba nijiunge nanyi
ua-cam.com/video/ohm5f7hsI6o/v-deo.html
KIDUO kutoka Ikongosi Mafinga Iringa
Safi.pamoja
2021
P1
Neke tukwinoma twevahehe
Neke winomite we muyawe
Nainjoi