EXCLUSIVE: PART 2 :SIWEZI KUWA KWENYE MAHUSIHANO NA LUKAMBA/NIMEPEWA URAIA WA MAREKANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 жов 2024
  • #7MEDIA #SUBSCRIBE

КОМЕНТАРІ • 52

  • @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
    @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k День тому +5

    Muogo bhn mwaka mmoja uwezi kua na urahiya

  • @cdeleo9336
    @cdeleo9336 День тому +9

    Huwezi kuwa citizen maybe kama umepata greencard. Sisi tupo huku huwezi kupata uraia ndani ya mwaka

    • @hajikhamis-od1no
      @hajikhamis-od1no День тому

      Mwenzio ana sponsors ambae washakuwa kama mke na mume we nawe dume unataka shindana nae we unataka sponsor pia au?

    • @sisu-r1b
      @sisu-r1b День тому

      Everything is possible with connection and money😊😊

    • @nafisamnondwa5998
      @nafisamnondwa5998 23 години тому

      still kuna process mpaka kuwa raia. pengine ni permanent resident wa marekani ana working permit tu kwa sasa

  • @BabyFaceNday
    @BabyFaceNday День тому +9

    Uongo, hawezi kua Citizen kwa miezi ao mwaka 1 ,apa USA. Acha uongo

  • @IbniAbbas-yz3kt
    @IbniAbbas-yz3kt День тому +12

    Dada hajitambui na hajui nn maana PR na work Permment!ukiwa raia wa Marekani una change kila kitu kuhusu utambulisho wako!ina maana huwezi kuwa na passport ya nchi nyingine zaidi ya yakwao!kwaiyo wewe ni mzamiaji kama wazamiaji wengine waMarekani sio wapuuzi wakupe uraia ndani ya mwaka mmoja tuu

    • @joycemashikolo9096
      @joycemashikolo9096 День тому +1

      😂😂😂😂nami nilikuwa nashangaa mwaka 1 wakupe uraia imekuwa karanga😂😂

    • @homeandaway2811
      @homeandaway2811 День тому +1

      Yaani hajitambui halafu hajitambui tena 😂😂😂😂 eti raia nyoooooo

    • @christinembeye5489
      @christinembeye5489 День тому +1

      Halafu ni Model asiyejuwa kutamka R na L.
      Bora angekaa Kimya tu. Hajafikisha hata Mwaka Marekani na bado hajajuwa Vitu Vingi vya Marekani.
      Jifunze kunyamaza kuliko Kuongeaongea Unajiaibisha Ceccy.

    • @JeannetteManirambona-o6m
      @JeannetteManirambona-o6m День тому +1

      Hovyo kabisa

    • @AbdallahCharles-n1b
      @AbdallahCharles-n1b 5 годин тому

      Mwenzio yupo new york wewe unakazi ya kupiga makelele huko kwenu shinyanga mbali mbali kakutana na Chriss brown macho kwa macho wewe piga mikelele tuu

  • @gracelendsey3400
    @gracelendsey3400 День тому +6

    Hakuna citizen ya mwaka, muongo huyo

  • @esthermatisho2604
    @esthermatisho2604 9 годин тому

    Uraia pacha ni muhimu. Serikali ya Tz ni ya kikoroni,too much controlling people! Mimi mwenyewe nina ishi miaka mingi Ulaya ila sina passport ya Europe kwa sababu sitaki kupoteza passport ya Tz 😢

  • @FeisalKhatija
    @FeisalKhatija День тому +1

    Oya mbn hamsemi kma kapauka wabongo auseee😂😂😂😂😂 wanaumbuka dk 1 tu 😂😂😂

  • @uwimanacitegetse9926
    @uwimanacitegetse9926 16 годин тому +1

    Citizen ya US nimpaka myaka 5 Uwongotu 🤣

  • @kassimrajabu7805
    @kassimrajabu7805 День тому +1

    Ana marengo😂😂😂😂( Malengo bana)

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 День тому +1

    Babalevo mshamba eti ana viza uraia wa marekani😂

  • @Ajijji12
    @Ajijji12 10 годин тому

    Mama work permit sio Citizenship

  • @kimah9855
    @kimah9855 День тому +5

    This woman anatudhani sisi ni wajinga Ati Citizen??? I don’t think even Permenet hata labda hana, Hata kama mme wake ni mtu akona Citizenship si just like that ati anapatiwa ivo tu. Kuna process lazima apitie, so awache kutupima😂😂😂😂😂Hatuko wajinga. Hata sio kingeresa yake ni mbaya afu anaringa naye, because anajua anamshinda Babalevo😂😂😂😂

  • @fathers19991
    @fathers19991 День тому +1

    Bangi kbs uraia nyoko

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk День тому +3

    Kwani kuwa raia wa marekani ndio mafanikio katika maisha watu wapo huko maisha yote wanabeba maboksiii tu warehouse job hawana ata maendeleo huku africa washazamia huko huko

    • @gracelendsey3400
      @gracelendsey3400 День тому

      @@FredrickMatiku-xf2uk ulimbukeni unawasumbua watu

    • @official_dicksonmunga
      @official_dicksonmunga День тому +2

      Muwage na adabu na mnacho coment. Huyo huyo anae beba ma box anamshahara mkubwa zidi hata anae fanya kazi TRA 😂😂😂 weka heshima weweeee

    • @FredrickMatiku-xf2uk
      @FredrickMatiku-xf2uk 23 години тому

      @@official_dicksonmunga uwo mshahara mkubwa kwa uchumi wa marekani na tanzania ni tofautiiii unaishia kwenye kula na kulipa kodi tu

    • @MagrethCharles-ne2ts
      @MagrethCharles-ne2ts 22 години тому

      ​​@@official_dicksonmunga
      Mi nasemagaa moyonii watu Wanaopondaa hivyo, walishatamani wakakosaa na hawawezi kuja hukuu yaani kifupi ni maneno ya wakosajii, kama kweli mpambanaji kujutaa kuwa Ulaya ni Ulofaa! Miakaa 500 huwezi linganishaa maisha ya Ulaya na africa ! Waache kupondaa wasivyovijuaa !
      I sign out here 😂 !✍️✍️🤷‍♂️

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 День тому

    Hakuna mtu anajua raia Marekani ndani ya mwaka 1. Kupewa karatasi za kufanya kazi sio uraia. Amesanganya. Amepewa green card ambayo inaruhusu kufanya kazi na work authentication card. Nimekua raia tangu 2017 baada ya kuingia 2008. Amewadanganya sana

  • @akibabadette5373
    @akibabadette5373 День тому +1

    Haiwezekani hawazi kupata passport ya marekani ni muongo Tena sana

  • @digital-d2t
    @digital-d2t День тому

    Baba Levo hujui kingereza unasema2 yaaaa

  • @namelockmaasailady8002
    @namelockmaasailady8002 День тому +2

    Marengo😂😂😂😂

  • @HekimaPatient
    @HekimaPatient День тому +1

    huyo ni muongo saaaaana tena sana ili kupata uraia wa usa mpaka uwe na umeishi usa miaka mi5 kabla ya kupata unatakiwa na uwe na green card na kuhipata hiyo ndo shida unafikiri hapa marekani ni tanzania kupata urahia kiraisi raisi

  • @ClassicUsed-jg6ri
    @ClassicUsed-jg6ri День тому +3

    Baba levo unatafuta kiki

  • @furahaneema920
    @furahaneema920 День тому +2

    Wamarekani wanapana uraiya ila nyiye watanzania munarombaya asie kuwa mtanzania hapewi uraiya acha rombaya watanzania

    • @fathers19991
      @fathers19991 День тому

      Tatizo la taifa maskini km Tanzania

  • @pena_tz
    @pena_tz День тому

    Dada hajui anataka nini

  • @joeljoetz3582
    @joeljoetz3582 16 годин тому

    huu ni ujinga wa kiwango cha juu ..

  • @kulyaboyforex4
    @kulyaboyforex4 День тому

    walikuw wanasema huyu kiumbe kichwa kikubwa sikujua kikubwa vp 😂

  • @neemakalugila7674
    @neemakalugila7674 День тому +2

    Baba Levo, interview utani mwingi, try to be abit serious. Unamchanganya unayempa interview....

  • @mapishiyetumazuri2312
    @mapishiyetumazuri2312 18 годин тому

    Niwongo hakuna uraiya wa merakani kwa mwaka kupatika

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 День тому +2

    Watanzania wengi washamba kwenye mengi. Kwanini wakiwa wanaongea lazima waweke English?

  • @JescaHwati
    @JescaHwati 21 годину тому

    Wote hamjamuelewa hana passport ila anakibali cha kufanya Kaz

    • @christinembeye5489
      @christinembeye5489 17 годин тому

      @@JescaHwati 🏃🏾‍♀️🏃🏾‍♀️🏃🏾‍♀️🏃🏾‍♀️🏃🏾‍♀️

  • @TefleKoja-p9c
    @TefleKoja-p9c 23 години тому

    Ungo

  • @akibabadette5373
    @akibabadette5373 День тому +1

    Uyo ni Mongo siyo rahisi kupata uraiya

  • @Lxkdemon
    @Lxkdemon 22 години тому

    Citizen in one year?Uongo jamani

  • @JulesWilondja-w5x
    @JulesWilondja-w5x День тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂