HAJI MANARA AFUNGUKA KUMUOA MSAIDIZI WAKE/HII NDOA YANGU YA MWISHO/NNAOA WAKE WAZURI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 262

  • @happygideon4861
    @happygideon4861 2 роки тому +21

    Mlioona rushayna anamimba mlike hapa

    • @Niyiturinda
      @Niyiturinda 2 роки тому +1

      Akiwa na mimba nikai..haitikiwi.....itakuwa ni makisa...itabidi. irudiwe....

  • @halimamimarich3799
    @halimamimarich3799 2 роки тому +23

    MashaAllah mwaka moja manara umeowa wakake wawili 🤣🤣🤣🤣

  • @sabrinamasoudy6426
    @sabrinamasoudy6426 2 роки тому +8

    Huyu haji mwisho wake sio mzur si sifa hiyo..

  • @wallaceexpert4081
    @wallaceexpert4081 2 роки тому +39

    Sasa Nimeamini maneno ya Khan "akunaga urafiki kati ya mwanamke na mwanaume "

  • @maryammdoe5801
    @maryammdoe5801 2 роки тому +5

    MashaAllah ❤ lkn huyu mwamba anaopoaga visu balaa

  • @malak-lz6kx
    @malak-lz6kx 2 роки тому +4

    Mashaallah Mashaallah mwanamke mzr snaaaa.

  • @hafsahajiabeid5768
    @hafsahajiabeid5768 2 роки тому +5

    Mashaallah TabarakaRrahmaan tunawatakia maisha mema ya kheri na kizazi chema Amin Yaa Rabb

  • @mwashashasaid3700
    @mwashashasaid3700 2 роки тому +7

    Masha Allah ☺️ dume la mbegu la tz

  • @kulthumbashiru864
    @kulthumbashiru864 2 роки тому +3

    Mwanaume kwenye ubora wake maashallah tabaarakallah unajua kuchagua

  • @magrethmbangama1199
    @magrethmbangama1199 2 роки тому +2

    Kwani haji si alioa mke mwingine juzijuzi tu hata miezi mitatu haijaisha Leo kaoa Tena heee hongera mwanangu wewe kiboko.

  • @sikukuuchuo3093
    @sikukuuchuo3093 2 роки тому +2

    Barakallah fikum.Alf Mabrook .Allah awafanyie wepesi

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 2 роки тому +10

    Huyu jamaa asipo badilika kitabia kilasiku ataoa na kuacha pumbavuuu

  • @happygideon4861
    @happygideon4861 2 роки тому +6

    Hongera msemaji wetu wa mataifa tupo na wewe mwanzo mwisho iwe jua iwe mvua

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 2 роки тому +7

    Kila la kheri kwenu nyote barikiwa Sana

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 2 роки тому +1

    Mashaallah huyu mjamaa ANA bahati sana, kisha kila anaempata mzuri kuliko mwenziwe.

  • @shamsakiobia6421
    @shamsakiobia6421 2 роки тому +4

    Manshaallah mzuri kweli

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 2 роки тому +7

    Hapa baba sasa umeoa maana vitenge vyetu vya kimanyema vitakaa vizuri maana shape ipo🔥🔥🔥🔥

    • @Awatee
      @Awatee 2 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🏃‍♀️

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 роки тому

      mwanamke ni dini c shepu

  • @hamidayanga8224
    @hamidayanga8224 2 роки тому +17

    Manara tulia baba wazuri hawaishi duniani utaoa hadi lini jmn

  • @alimarezi3613
    @alimarezi3613 2 роки тому +4

    Huyu mwamba anaoa kila mwaka 🤣🤣Yuko vizuri 🇰🇪

  • @womanofsteel1402
    @womanofsteel1402 2 роки тому +8

    Huyu manara Ana tamaa sana labda kwa vile Ni mremavu wa ngozi anataka kuonyesha watu kuwa anaweza Pamoja kuwa Ni mlemavu.maana Mimi sielewi kila kukicha ndoa Nini hii Sasa hata Kama dini inaruhusu Hapa naona hata taamaa inaruhusu sio dini khaaa!!!

    • @zulfahussein6784
      @zulfahussein6784 2 роки тому +3

      Rekebisha hiyo kauli yako hana ulemafu wa ngozi kuna watu Allaah kawaumba hivo ndio asili yao yaani na Allaah ndio mjuzi wakumba waja wake

    • @neemayatosha1618
      @neemayatosha1618 2 роки тому +1

      @@zulfahussein6784 Sasa kaumbwa hivyo lakini si ni mlemavu kweli tatizo liko wapi?

    • @womanofsteel1402
      @womanofsteel1402 2 роки тому +1

      @@zulfahussein6784 Basi tuseme Mzungu ,🤣 ,

    • @michilita2959
      @michilita2959 2 роки тому +1

      Uelewa watu uko finyo sana hio hali yake ni ulemavu coz hawezi ishi Bila msaada ya madawa na body cream Ila hizo ndoa kazidi jamani hata km ni uislam ndoa tatu Kwa mwaka moja ye rejali vipi au ndio Hana uwezo wakiingia ndani wanachomokabio hao mabinti coz this is too much

    • @zulfahussein6784
      @zulfahussein6784 2 роки тому

      @@womanofsteel1402 nasema sio umemavu sababu mwenye ni ndungu yako na haitaji cha madawa aiza cha crem yoyote na yuko tu kawaida Kama watu wangine hila kwa manara tabia yake ndio mbaya sio ngozi yake ndio muweke eko hoja

  • @zennahmtoto1867
    @zennahmtoto1867 2 роки тому +5

    Mzee majuto alisema anatoa white anaingiza black🤣🤣🤣

  • @zuhuraadinani5452
    @zuhuraadinani5452 2 роки тому +1

    Ehee kashakua king mswati! Bt simshangai manara nawashangaa hao wanawake anaowaoa.

  • @asinathmuhidini5083
    @asinathmuhidini5083 2 роки тому +2

    Natak kuliza ana watoto wangapi. Uyu haji manara.

  • @abdulyabubakar6247
    @abdulyabubakar6247 2 роки тому +4

    Akitokea assistance mwengine tunaoa tu ✍🏾

  • @kiri5807
    @kiri5807 2 роки тому +4

    Basi km unaoa wake wazuri hiyo haijawa ya mwisho maana wazuri bado wanazaliwa .

  • @najmaally7556
    @najmaally7556 2 роки тому +2

    Mashanllah hongera sana

  • @sabrinamasoudy6426
    @sabrinamasoudy6426 2 роки тому +1

    Dalili mbaya uzeen kupata shida ni kuoa wake wengi, now utaona raha na sifa tuh! mana wengi hawafat sheria za din wanajiolea tuh kukomoana na ukiangalia hata hawa wazee wetu utuzimn hawaenjoy maisha uzeen ni kwa sabab ya mambo ya wake wengi chunguzen

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 2 роки тому +14

    Bi harusi naona 🤰soon 🤱

    • @winfridagama5832
      @winfridagama5832 2 роки тому +1

      Mama kijacho waliaza kuzinii

    • @nicerjoseph2904
      @nicerjoseph2904 2 роки тому +1

      Tayali ana mimba uyu me nimeona nyie chunguzeni pale alipofika apo wanapofnya mahojiano wakati amesimama

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 2 роки тому

    Haji Manara, basi tn babangu itoshe kheri inshaallah, pesa inachangia

  • @sabinaluyego4408
    @sabinaluyego4408 2 роки тому +4

    Poor African, Mwanaume wa kiafrika akipata pesa anawaza kuongeza wanawake badala ya kuwekeza kwenye maendeleo. Inachosha sana mke wa kwanza anavumilia shida Lakini mwanaume akipata pesa hafikilii kumpongeza mkewe kwa kumvumia wakati wa shida, yeye anawaza kutafuta warembo wa kuoa

  • @alexwizeboy2251
    @alexwizeboy2251 2 роки тому +2

    nimependa tutafute Hera aisee hongera semaji la dunia umeupiga mwingi

  • @stevenclaud6648
    @stevenclaud6648 2 роки тому +3

    Aminini nawaambie na maneno haya yawakae vinywani mwenu hakuna urafiki wa simba na swala ikitokea hivyo labda simba awe kashiba lkn ikimpata njaa hawezi enda pori kukimbiza wakati yupo anacheza nae hivyo hakuna urafiki wa mwanaume na mwanamke niamini hivyo

  • @rehemamejja8342
    @rehemamejja8342 2 роки тому

    Hongera dada ,,,mama take pia Hana radhi ya ndoa

  • @RandB_Channel
    @RandB_Channel 2 роки тому +2

    Jamani huyu Haji ana matatizo gani mbona una owa sana du .halafu una owa mbio kisha mna achana kimya kimya

  • @faustinesamani6359
    @faustinesamani6359 2 роки тому +10

    Kaza buti bro bado wengi tu ni wewe na urafi wako tu.

  • @tatutatu1570
    @tatutatu1570 2 роки тому +2

    Hongera sana bugati 🙏🏾

  • @hemedyawadhi2935
    @hemedyawadhi2935 2 роки тому +6

    Na anaonekana kama mama kijacho ivi au macho yangu

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 2 роки тому +2

    Kwan ulio waoa mwanzo walikua wabyaaa Manara inaonekana una ila mbyaa ndio wanawake ukiwaoa wanakukimbia

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 2 роки тому +4

    Huyu nae kutwa yeye ndo bwana harusi! Au wanawake wanakimbia kibamia????

  • @saidsalim4524
    @saidsalim4524 2 роки тому +3

    Bingwa wa kuoa na kuacha jamaa kilasiku aoaaa

  • @tinabapemacho8650
    @tinabapemacho8650 2 роки тому +2

    Hongera sana semaji ladunia

  • @gaudencehaule7398
    @gaudencehaule7398 2 роки тому +6

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌MWAMBA HUYU HAPA

  • @biubwasuleiman2983
    @biubwasuleiman2983 Рік тому

    Miminafurahishwa na koment zawatu baasi kashawambia mutafte pesa wanawake wazuri wapo hhh

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 2 роки тому +1

    Allah akubariki

  • @waheedaw1953
    @waheedaw1953 2 роки тому +8

    Allah Ampe maisha mazuri nyiye woote

    • @ayshajeffa7343
      @ayshajeffa7343 2 роки тому

      Maisha mazurgan anataaa na kilakukicha wazur huzaliwa ataowa mwengine alivokua na tamaaaa

  • @aprow2059
    @aprow2059 2 роки тому +2

    Muzinzi tu huyo na hafai kwa jamii ana tamaa huyo

  • @mercypeter162
    @mercypeter162 2 роки тому +1

    Umezidi kuoa oa unachezea hisia za wake zako unawaumiza wanawake

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 2 роки тому +3

    Nampenda haji

  • @mwanajumamohammed6327
    @mwanajumamohammed6327 2 роки тому +19

    Ubaya wa wanawake wanadhani ni mzungu...Sababu wana muona ako na pesa za yanga...baada ya miezi miwili wanakuja gundua kumbe sie mzungu na anaowa akitoa talaka

  • @winfridagama5832
    @winfridagama5832 2 роки тому

    Alumino umetishaaa

  • @kazkaz1943
    @kazkaz1943 2 роки тому +1

    Mke mwenyewe hayupo comfortable kabisa kama aanataka kukimbia

  • @nuruelmada2877
    @nuruelmada2877 2 роки тому

    Isee Haji anaoa bhana Kama doctor kumbuka😆😆

  • @elinagideon6259
    @elinagideon6259 2 роки тому +1

    Nyie nani kaona bibi harusi akimgusa Kwa chini huyo kaka anayehoji baada ya kumuuliza Haji swali kuwa mke mkubwa ameridhia yeye kuoa huyo Dada amemgusa Kwa chini kama kumnyamazisha hivi kuhusu Hilo swali 😂

  • @pendomasalu5844
    @pendomasalu5844 2 роки тому +1

    Duh hatari. Wake wawili miaka kumi c mbaya 3 na 4 ina swiii

  • @teshamsofe7742
    @teshamsofe7742 2 роки тому

    Bab naomba suppor jn Tasha msofe

  • @winfridagama5832
    @winfridagama5832 2 роки тому +2

    Mbona mama kijachooooo

  • @catherinemasiga6666
    @catherinemasiga6666 2 роки тому +3

    Haji anajua kuchagua jamani

  • @bethjohn928
    @bethjohn928 2 роки тому +3

    Bibi harusi kitumbo ndiiii Ina mana alikua anamchepukia mke wake wa pili kha

    • @habibakhalfan1065
      @habibakhalfan1065 2 роки тому

      Umeona_kama_mjamzito_hivi_loh_kama_Alianza_nae_kuzini_mbaya_wallaihi

  • @safiyatheonlything7848
    @safiyatheonlything7848 2 роки тому

    Mmmmh we kaka wajina wa kaka angu haji unaowa asubuhi na jioni

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 2 роки тому +4

    Kumbe ulikuwa unamkamua muda mrefu,,,,,

  • @mariamkibindo1741
    @mariamkibindo1741 2 роки тому +1

    Hongera sana HMB mashaallah

  • @isunga1964
    @isunga1964 2 роки тому +1

    Mange kashesema ana mimba na nimeona 😜😜🤣🤣🤣

  • @ahmedymasimba1096
    @ahmedymasimba1096 2 роки тому

    Mabrook Alfa Mabrook Br Bugatti

  • @beatricemshiu2816
    @beatricemshiu2816 2 роки тому +1

    Huyu slay queen hamna ndoa hapa

  • @mwikamwika4851
    @mwikamwika4851 2 роки тому

    Kwahiyo msaidizi wake alitumia mbinu za Hali ya juu kumtoa mke wa awali? Hatari sana. Msomali mtu huyo tayari

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 2 роки тому

    Masha'allah

  • @Am-vo5cu
    @Am-vo5cu 9 місяців тому

    Onja onja ya Haji manara aache. Juma Orstzi ashasema. Hiyo onja onja ya manara si dini

  • @babyhamisi1437
    @babyhamisi1437 2 роки тому

    Mabrouq alfu mabrouq

  • @wisumangili2712
    @wisumangili2712 2 роки тому +1

    Aniwei hongera bwana

  • @suleimanrashid3918
    @suleimanrashid3918 2 роки тому

    Kama umeona kama mm kwenye dakika ya 2:30 presenter alipo uliza swali."jee unapo oa mke wa pili unamshauri mke mwengne."bibi harusi alimfinya mtangazaji 😂kwa maana ache hilo swali?😂😂😂. Tuna wajuaga hawa hukubali tu ila hawaridhiki wanaumiaga. Hongereni Allah awajalie uelewano muishi na kudumu.

    • @IVOSports20
      @IVOSports20 2 роки тому

      😀😀😀nilikuwa natafuta mtu aliyeona kama mimi..hatimaye nimekupata

    • @suleimanrashid3918
      @suleimanrashid3918 2 роки тому

      @@IVOSports20 nipo makini kwenye vitu kama ivo ila bibi harusi mwepesi wa kufinya hadi kwenye camera 😂😂

    • @vickiemasua3823
      @vickiemasua3823 2 роки тому

      Imebidi niplay video nihakikishe tena

  • @consolatamedard6593
    @consolatamedard6593 2 роки тому

    Nikwer Baba Dini yako inaluhusu lakin mm naona kama utachoka mapema sana Baba tulia

  • @anithasanga5388
    @anithasanga5388 2 роки тому +9

    Huyu hata wanao mchangia watakuwa wamechoka 😂😂 kila siku ndoa

  • @ummimohamed2148
    @ummimohamed2148 2 роки тому

    Mtangazaji hooo usiseme mambo usokua na elimu nayo hakuna kitu ruhusa kwa mke hata wazazi sio. Lazima kuwambia ikiwa hawatoi idhini Dini nyepes watu tu wanachoyo hawataki wenzao kustiriwa

  • @getrudamaswa6471
    @getrudamaswa6471 2 роки тому

    Mmmh mim kimya

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 2 роки тому

    😂 😂 😂 😂 😂 Mmmmmmmmm
    Hatar

  • @allenmhando8443
    @allenmhando8443 2 роки тому +2

    Wanawake wanakazi.

  • @saumsaum1916
    @saumsaum1916 2 роки тому

    Wake 2. Au watatu?

  • @rhoidakippa163
    @rhoidakippa163 2 роки тому +4

    Anauzuri gani,? Tamaa tu utakufa na kuoa Haji

  • @setiseti5281
    @setiseti5281 2 роки тому

    Maashaallah

  • @shancyskitchen3044
    @shancyskitchen3044 2 роки тому +3

    😂😂😂mwaka Huu Tuu Ndoa 2 Baba Anapenda Kuteleza Kila Mahalia Huyu

  • @ashminaabdulla8946
    @ashminaabdulla8946 2 роки тому

    Kama hujafa utayaona mengi mmmh lakn hongera 😷

  • @tabuomary1016
    @tabuomary1016 2 роки тому +3

    Ya nne hiyo.

    • @priscachale5646
      @priscachale5646 2 роки тому

      Ya kwanza ilishazeeka.... Ni miaka kama kumi Sasa haipo

  • @theclambiki110
    @theclambiki110 Рік тому

    Naomba mawasiliano yenu

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 2 роки тому

    Ameshamjaza..le bugatti linapiga mashuti balaa.. alikuwa anazini naye

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 2 роки тому

    Anajiamin Bugatti ka Bugatti tz yuko mmoja tu🤣🤣🤣hongera kwake.mkeo mrembo.ila wanaume watz wakiwa na pesa wao hawaeki kuwekeza wao ni wanawakee tu.hasaraa

  • @latifamadai1716
    @latifamadai1716 2 роки тому

    Dah bib harusi anaongea huyo,.

  • @samirysharifu8649
    @samirysharifu8649 2 роки тому +9

    KWA KUCHAGUA HAJI NO 1 MAANA AMEOWA NIKIWA NAJITAMBUA HATA MIMI NIKITAKA KUOWA NAMUTAFUTA HAJI ANITAFUTIE MKE

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 2 роки тому

    Wa Ngapi huyoo kunavitu unavikosa inaonekana!

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 2 роки тому +3

    Tazania bila kiki mujini apaikaliki😂😂😂😂

  • @josejoseph8888
    @josejoseph8888 2 роки тому +3

    Malaya uyo kataeni hawez kukaa na mwanamke

  • @iradukundamike5370
    @iradukundamike5370 2 роки тому

    😂😂😂😂😂😂mwaka 1 unaowa wake 2 aise haji manara kiboko😆😆wanaume mtafute hera😂

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty 2 роки тому

    Tabia za bibi arusi tumeshazijua kwenye camera jaman atulihi watu wanahongea😂😂😂😂utani jaman

    • @naomipeter8093
      @naomipeter8093 2 роки тому

      Kwa majibu ya haji anayojibu anatuliaje xaxa?

  • @musaabdalla8746
    @musaabdalla8746 2 роки тому

    BUGATI UADILIFU MUHIMU SAIVI WANGAPI HUYO MZEE WA KUWAKERA

  • @happycarloss6726
    @happycarloss6726 2 роки тому +2

    Bibi Harusi kamkonyeza mtangazaji asiulize swali

    • @mimahally8025
      @mimahally8025 2 роки тому

      Kweli ata mm nmeona

    • @cosmasluwanja7394
      @cosmasluwanja7394 2 роки тому

      Duuuu hongera sana semaji langu ungekuwa upande ule hiyo chombo usingeipata ng'ooooo

  • @mwamuziwaamani7608
    @mwamuziwaamani7608 2 роки тому

    Dini hizi zinasingiziwa Mengi Mno!!

  • @kaziiendelee4663
    @kaziiendelee4663 2 роки тому

    Haji nakuambia punguza kuoa kuoa acha mambo ya ovyo

  • @fatumajumanne5961
    @fatumajumanne5961 2 роки тому

    Oa weeeeh kuacha maamuz Maana watt wazur waoaj hakuna

  • @mdetetv6050
    @mdetetv6050 2 роки тому +3

    hajji mswat malaya mbwa hiiii

  • @ummiramadhan5144
    @ummiramadhan5144 2 роки тому +2

    MashALLAH

    • @calistustitus4566
      @calistustitus4566 2 роки тому

      Hii dini ya ajabu hii hakuna ndoa apo

    • @jumakassim8718
      @jumakassim8718 2 роки тому

      @@calistustitus4566 ukisema dini ya ajabu unakosea kuoa wake wanne n sunah kiislamu Ila manara kuoa na kuacha hovyo hovyo haifai kabisa bro

  • @AliMuhammad-um1uy
    @AliMuhammad-um1uy 2 роки тому

    Honger