Siyo sir ndoa yenu ilipendeza sana kwakuwa umi went ni umi sahihi kwa wanandoa sas kule naenda kumlea yule babubu kwa kifuata pesa tu n.a. ukweli kwa sushi wanawake znajikaza tu kwasababu us pesa lakini dip baba wa kutamba nae upo zao huyo bwana h Hali dip type yako wew ni tapeli wa mapenzi naka Gekuwa Ana pesa usigemkubali ukweli ndio huo
Dulla njoo unowe mm am from Kenya 😂❤
Kwenye ndoa hii alipendeza Masha Allah ila kwa manara hajapendeza
Mwanamkee ni nyokaaa mbayaa sana Leo hiii yupo Kwa mzunguui aseeee nishidaaaa😂😂😂😂😂😂😂
Unyoka wake nin
Dula njoon union mm. Asikuzingue
Asipokua albino utafanyajeee😂😂😂😂😂
Ndoa Kwa mwanamke yakwanza allwahu hunyoosha mkono wake hata ikiwa yamaskini hupendeza Kwa baraka za allwahu
Yaan ninyi waislam mnaojiita mastar mnadhalilisha sana uislam
Mmmmh mahali huwa sili imekuaje hapo shekhe magali tulokubaliana imekuaje ikatajwa bey 😂😂😂 kwani ni nyanyahizo au
Mashallah in next six months anaolewa na Manara😊she is lucky
Yaaani ni hatar
Imagine
Haha Zai anafuraha sana kama mapenzi ya kweli .kwa Haji hayuko comfortable 😅
ncheke miue kumbe wanataja na mahali 😀😀😀😀😀
Siyo sir ndoa yenu ilipendeza sana kwakuwa umi went ni umi sahihi kwa wanandoa sas kule naenda kumlea yule babubu kwa kifuata pesa tu n.a. ukweli kwa sushi wanawake znajikaza tu kwasababu us pesa lakini dip baba wa kutamba nae upo zao huyo bwana h
Hali dip type yako wew ni tapeli wa mapenzi naka Gekuwa Ana pesa usigemkubali ukweli ndio huo
Ludi shule ukajifunze kuandika
Kumbe wana majina mazuri mashallah .Abdullah bin Ahmed na Zeinab bint Said
Pole sana mdomo unaumba
Dah 😂😂ligi ya Manara na Dulla balaa
Ila wasanii mama vituko😂😂 kesho Manara jamani.
😀😀😀😀😀😀 dhambi lkn 😀😀😀😀kiranga is typing........ Albino is delete 🙌🙌🙌🙌
Ndoa zanusa utoke kama anaingia chooni hana hata aibu uso hqunahata kope zaibu
😂😂😂😂😂 acha nicheke miye kaenda kwa munzungu jamani wabongo mnavituko acha ibaki story kuowa nakuacha sio shida zenu
Dua haiwezi kupanda Bi harusi yuko uchi Kiislaam
Ila mkali wenu yalikushuka
Walipendeza na zai karelax Kwa dullah kuliko manara
Ndoa za siku hizi hazi dumu kwasababu muna dhalilisha uisilamu .ma bibi harusi wanavaa uchii
Naomba Mungu mtoto ajaye wa Zaiy awe Albno kilanga kimuishe
😂😂😂😂😂😂
🙄
Kumbuka Mungu ndio muumba 😊na apo ulipo waweza geuzwa wewe albino 😊Mungu ndio mpangaji kwaiyo ukikaa omba Mungu na sio kuombea mwenzio mabaya
@@fatumamwanginimumbo796 wewe hata shule kljikwenda kabisa yani unachekesha
Wewe ndio ukusoma mshenzi sana waweza vipi kuombea mwenzio mabaya 😜mjinga sana
Hii ndoa imedumu mda gani
Mwez 6
Wk2
Mashallah ❤
Stanbakora😅😅😂
Xilipendwa huna pesa ,unatia huruma broo, llakin huku dada anaonesha anakupenda kizati, kule kwa mzungu kapenda pesa tuuuuu
MC ni Yule yule
Mkali wenu muhuni
Hii ndio ndoa. Co ya mzungu
Ndoa yakihun
Yani Dulla hapo kamtaja Manara kumbe ndio km alikuwa ana mtabiria kuja kuwa mume wa mkewe😂
yaani da
Hiii ndo ilikua ndoa OG sio hii ya manara yamasifa tu
Iko wapi sasa hiyo ndoa
❤❤❤❤❤❤
Sasa mbona mumetaja mahari??
Itabaki stori tuu
Hiyo gauni ilikua waiche tu. Kuburutika ndie fashion yake
Sahiv washa achana mhhh
😅😅😅😅😅😅😅
Hatr