Na ndio maana hatujataka hii aina ya comedy usipotee bora tuiendeleze kwasababu ina watu wake bado. Cha zaidi ni kuiboresha tu na kuiandikia jokes za kusadifu nyakati hizi
@@AFYA_COMEDY hapo nimekuelewa sana. Nilikuwa nasikiliza kanda ya wale jamaa kila siku. Nilipowaona hawa kwa mala yakwanza nilizania ni wale lakini nikagundua sio wenyewe kwa majina yao. Niko pamoja na nyie ntawafatilia sana hawa jamaa maana wananikumbusha redio yangu ya kaseti daah!... Tuko pamoja sana kaka
Kazi fresh and safi. Big up from Uganda. Peace.
Kazi zenuj nzuri big up,Liwawa jr Tanga
Angalau nimecheka nimepoteza mawazo ya Simba
Mko vizuri sana mtatoboa nyie nime wapenda sana comedy ni kipani chenu
Asante saaana. Tunashukuru sana sana na tupo pamoja 🙏
km
😂😂😂😂😂tunaokufa sisi wanaume kwani wao awafi😅😅😅
😂😂 Hili la mke limenigusa kweli kabsa
Kazi safi wangwana❤
Kasato tunduma hongelen sana wazee wangu
Asante sana kaka
Kazi safi..,, ....Much love from KENYA
Asante sana kaka, endelea kuwa nasi
Niko morogolo malinyi nawakubari sana wajomba comedy yenu nzul sana
Nimefurahi sana jamani na afya comedy
Safi sana, from Cedar Rapids Iowa state USA 🇺🇸
Asante sana kaka. Tupo pamojaa
Iko vizuri sanaaaaa 😮😅😅😅haiseee mubarikiwe sanaaa
Amen. Asantee
asante yan duh
Karibu sana🤗
😂😂 kucheka ni afya ndugu bigup😊
Powerful
Toka kenyaa nakubaliii😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥💯
Asante sana mkuu
Kazi nzuri sana Kaka. Naku tazama kutoka Kenya 🇰🇪 ❤❤
Asante sana dada Debora. Tuendelee kuwa pamoja burudani nyingi zinakuja
You got my support from Kenya
Ko vzr San 😅😅😅😅
Asante saaana
Nakubali afya komed
Achana na Dr mjus and prf kazi kulikua na Ndimbe na nyau
Nipo manyara babati nakubali kazi nyenu
Sana
Nawakubali Hawa komed tuendelee kupeana afya😂
Mambo ya Mzee Ndimbe na Bwana Nyau.
😂😂😂😂
Muna tutukani sis waa african jamani
Aaaaaaah tumetoa stress sana .🙏🙏🙏🙏
Ma doctor sio poa
Shukran wasanii
Osundwa
Mumias
Kenya
Kazi safi sanaa
Hii kali jaman ❤ from kenya
❤❤❤
Nipomanyaramagugunafuraiyakaziyako😂😂😂😂😂
Chai jaba nimekuona kaka
naomba kujiunga naji nakazizang yutubu fulahai nas tv
❤
Mume tisha sana
Nimecheka na nimefurahi sana, hongera endeleeni hivyo hivyo.
Mnatufunza mengi
Nimecheka balaaa
Hana mchepuko ATI anamwenzake huyowanaeigizanae...!!!?.
Mungu awabariki sana 😂😂😂😂
Nimewapenda. Sana
Mko sawa from Kenya ❤❤❤❤
Asante saaana
Big up sana
Shukraan sana kaka
Nyieeeee
Balaaaa
Nanyie mutoesumu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Awa wasee wako sawa😂😂
Kazi safii 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kazi yenu nzuli tunapunguza mawaxi kwa kucheka
Daa mnatisha baba
Nimekubari wana 😅😅😅😅😅😅😅😅😅
🤍🤣😅😂😅🤣😂😂😂🫶🫶🫶🥰🥰🥰🫡🫡🫡🫡 Nimewamiss sana hawa watu
Wapo vizuri sana
😂😂😂😂 mi nahitaji kujuwa jina la account yaoo nawakubali sanaa.
Wanangu nawakubali kinoma
Nakubari.wanaaaa
Asante sana
Nawapenda sana
Asante saaana. Tunakupenda piaa
kazi zuri bidii kweli kwanini tusiwashabikie toka Kenya?
Hongereni sana
Afya comedy
Mko vizuri sana 😅😅
Asante boss
Asantee
Nipo songea nafurahi sana
tuna wasikiriza iritucheke kidogo
Karibu sana mkuu
Kwel kbs
Nakubali San
hatali😅😅
😂😂😂😂😂😂😂 Asibasi
Ipo saf
😅😅😅😅😅😅😅😂😂mtatuua
Fanya na ww
Kweli kucheka dawa
Mimi na Wapa maua
Asante saaana ndugu yangu. Ubarikiwe sana
Mau yenu kutoka hapa kishapu shy toun
Asante sana kaka. Endelea kufuatilia na vipindi vijavyo
Hongereni wazee wakomed
Asante sana kaka
Nice❤❤❤
Nice😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂ok
Sasa ingia kwenye kipindi ww mbavu zako kwahiyo unataka kuwazibia eeh haya mkongwe
Hahaha
Punguzeni hiyo background noise, inatudestruct. Au mnasemaje wadau
Asante sana mdau kwa maoni yako. Tutalifanyia kazi
😢Mmetixh
jaman yan hawa
🤣🤣🤣🤣
Sawa
Good
Thanks
❤❤
nakubali
😂😂😂😂
Tafuteni hela wazee 12:57 13:17 😂😂😂
Wale yuliozaliwa kitambo tunaona hii ni kopi na pest yaakina Doctor Mjuzi na Profesa Kazi. Walivuma sana na kanda zao
Na ndio maana hatujataka hii aina ya comedy usipotee bora tuiendeleze kwasababu ina watu wake bado. Cha zaidi ni kuiboresha tu na kuiandikia jokes za kusadifu nyakati hizi
@@AFYA_COMEDY hapo nimekuelewa sana. Nilikuwa nasikiliza kanda ya wale jamaa kila siku. Nilipowaona hawa kwa mala yakwanza nilizania ni wale lakini nikagundua sio wenyewe kwa majina yao. Niko pamoja na nyie ntawafatilia sana hawa jamaa maana wananikumbusha redio yangu ya kaseti daah!... Tuko pamoja sana kaka
@@DonMooSTUDIO_Express Shukraan kaka, tunaomba uendelee kitupa support yako kama hivi kwa kitupa maoni yako na kufuatilia show zetu☺️🙏💪
@@AFYA_COMEDY😮😮
Wivu2 kwnn msiwe ninyi? Cyo lazm ww uangalie acha 2angalie kizazi kipya bac.
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Jamani naombeni munipe jina Ra you tube channel yenu please 😂😂😂😂😂😂
inaitwa AFYA COMEDY
na madocta wachukue nguo zao!!
Si ndio hahaha
😅😅😅
Mnatisha kiukweri
Asante sana kaka Venas
hii maingeituma yote mngekata vipandevipande nzur sana lkn
Asante sana. Endelea kuwa nasi, mazuri mengi yanakuja🙏
❤❤❤❤😂
❤❤🎉
nakubari
Safsafii
😅😅😅😅