mwanae unamuonaje,sisi watoto wa dar city uswaz tunaona kawaida2,labda ww from nangurukuru ndo utaona ajabu.ila tuliosoma madenge primary school,Mabibo,Mwananyamala,mchikichini,lumumba,mnazi mmoja,sandali vetenary,kiwalani,bwawani,yombo dovya,hekima,buguruni B na A,tandale,mburahat nanyingine nyingi kama hizi,hatuwezi shangaa hata kidogo,hasa ss millennium na gainz.i@@ReginaManyangu
Watanzani tuache mambo ya kishamba natuache mambo yakutumika pare msanii mkubwa kama diamond kuenderea kumchafuachafua kwenye mtandao kwakitu ambacho si chakweri huyu ni msani wetu mkubwa😢 0:06
Pole sana Mzee wetu ! Kijana tamaa za kidunia zilimponza ! Yani Pdiddy alimdurumu kijana wetu Bikra ya makalio kwa Cadilac Iliyoandikwa Platnum tu 😢😢 Kijana hakujua kumbe CADILAC PLATNUM ni brand tu ya gari imetoka hivyo hivyo kiwandani 😂😂😂 kimasai sana Diddy kababua Kisoda cha Simba
Mwijaku anamponda Dogo Monday, ni wivu tuuu.,.kimsingi vijana Kwa Wazer Mchukulieni Diamond kama MFANO WA mtu MWENYE ichungu na maisha Kwa hiyo ni icon ya kuwa maisha ni vita yataka kuyapigania na pia kama una mawaxo FULANI basi UWE na uwatafutae watu walotoka Kwa njia kama ya kwako wakupe mwanga zaidi.
Mbona nywele tu ndio munaona angalieni roho nywele haipeleki mutu mahali nyinyi wakosoaji muogopeni God..kuna wenye wamenyolewa vzuri roho chafu..mwili n hekalu la Mungu lipamben..i
Mzee mwenzangu mbona hivyo tena. Umerudi kuwa kijana tena. Wakati juzi tu ulikuwa waumwa na minguu.ulikuwa un milia M.mungu akuponye.umetupoka na familia yako. Leo umejisahau unafuga fidodido ili ufanyane na mwanao aliye kukataa.😢asee.
Hongera sana bwana Abdul kwa maelezo na misemo ya busara na kujiamini na kutokujipendekeza kwa mtu kwa kutaka vitu.Ujeuri wake wa kujiamini na kutokubembeleza mtu.
Why everyone is against his outfit, outlook etc and you are the only one siding with him???? This is Tanzania, a country whose citizens have strong cultural backgrounds firmly attested and passed on through generations!!!
Siku hizi watu hawataki Uzee, Nasibu eeehh mzee mwenzangu vaa kanzu nunua fimbo nzuri na uvae walai mwisho wacha kabisa mijiwani ya kihuni. Halafu tukutane maskani tuongee maswala muhimu kuhusu ni vipi tutatoa muongoza mufti kwa jamii.
Mzee Mtu Anapokuuliza Kuusu Daimond Kwenda Kwa P.DD Nawe Muulize Kwani Daimondi Alienda Kwa P.DD Baada Ya Kukamatwa Au Kabla Ya Kukamatwa P.DD Mana Watu Wanajua Kuonfea Bila Kutafakali
Abdul Mzee mwenzangu hapo ulipofikia kimunekano umefel sanaaa😂😂😂
😂😂😂😂😂😅😅😅
😂😂😂😂😂uyu mzee noma iyo nywere dah!
Mzee ushakua kufunga hivo vilasita ifike pahali umrejee Allah ujana unamwisho
Uwe umekua au hujakua mambo ya rasta hayafai.
Daah mzee Abdul Kaweka na virasta dunia iko mbio sana aisee daah😂😂😂😂🙌🙌
Mzee mrudie mungu achana na muonekano wa ajabu haufanani na maadili
Mzazi ni mzazi tu mzee abduli kasimama kama mzazi bigup mzee
Kumbe mzee nae ni msanii safi sana wafasi wa p..... Mungu tunusuru
😂😂
Mzee mwenzangu kubali kwamba ushakuwa mzee
Za masiku mzee Mungu akujalie umri
Huyo mzee nae akitoswa kdg na diamond anamrudia mungu sasa yuko krb na diamond anajisahau
Allah sw anamchukia snaa mzee ambae bado anaangalia mambo ya kidunia
Nhuele sioo imany,imany hippo moyoni, nze yupooo Smart sana.
We mzee kumbe muhuni ndo style gani ya nwele hiyo
Mshenzi huyu baba kama washenzi wengine
Umenichekesha eti kumbe muhuni😂😂😂
Mhhh😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
mwanae unamuonaje,sisi watoto wa dar city uswaz tunaona kawaida2,labda ww from nangurukuru ndo utaona ajabu.ila tuliosoma madenge primary school,Mabibo,Mwananyamala,mchikichini,lumumba,mnazi mmoja,sandali vetenary,kiwalani,bwawani,yombo dovya,hekima,buguruni B na A,tandale,mburahat nanyingine nyingi kama hizi,hatuwezi shangaa hata kidogo,hasa ss millennium na gainz.i@@ReginaManyangu
Du mzee kachanganyikiwa kweli
Mzee ngojea mali sasa twangoja harusi diddy kawa shemeji sasa😂😂
Baba na yeye anasuka nywele kama mwanamke hivyo atakuwaje mshauri wa watoto wetu, kwenda
Huyu mtu mzima kapotea anafuga nini kichwani masaa yashakwenda😂😂
Sasa imagine izo nywele una wafundisha nini wajukuu zako mbwa wewe
Namba yako hishaondoka fanya ibada kabla hujahaza kunya babu
Watanzani tuache mambo ya kishamba natuache mambo yakutumika pare msanii mkubwa kama diamond kuenderea kumchafuachafua kwenye mtandao kwakitu ambacho si chakweri huyu ni msani wetu mkubwa😢 0:06
Nakushauri Mzee nyoa nywele kama muislamu wakweli Baki kipara
Kilakitu duniani nimtihani mzee mwenzangu vp unamaanisha nini ,kujirejesha udogoni ,ivo unaona safari yakurejea kw Allah ikombali sana kwako ,itoshe ulipopata yakidunia ,sàsa jiandae namarejeo yamilele ,tafadhali
Analaana huyu kweli ni muislamu kweli mjinga kabisa like fother like son ugopa Allah wewe mzee mshenzi kusikiza nini haswa ujinga mtupu
😂😂😂😂 baba mzazi mzee abduli iyo staili gani tena mzee.
Kaka yangu mimi mdogo wako seif zenji watu wanaongea sana achana nao hayo ni maamuzi yako tu broo big up
Eti baba anasokota nywele amakweli hii ni dunia ya sasa mungu akusamehe bule
ENZI ZA UHUNI ZIMEKUPITA, haipendezi mzee kuvaa hivyo na pia kuwa na nywele za kihuni
Hapo ndipo ulivyo kosea mwenyezi Mungu anatama roho yako tu mwengine ww uawzi kuamua yeye pekee
Mzee kumbe unajielewa na Mungu unamjua sasa huo mchicha wa nini kichwani umri huo unatakiwa kushinda sana msikitini
Babu na dread daaaah
NYWELE C ISSUE ISSUE NI MOYO KUHUSU IMANI. HUMSIKII AKITOA NASAHA KUHUSU MUNGU???MUNGU HAANGALII NYWELE WALA VAZI ANA DILL NA MOYONI MWAKO IMANI YAKO.
Msikitini unaendaje mzee mwenzangu sio kwa denge iloo😅😅😅
😅😅😅😅
😂😂😂😂😂eti hii shigimbi
Ss huyu mzee kusema tu ukwelii 😂😂😂😂😂😅😅
Hilii Jizee kumbe jinga angalia alivo vaa
Shida nini Mzee unamuogopa mwanao Kwa pesa zake mpaka unasokota nywele umfurahishe😂😂😂 kuwa kama baba bwana hasta ukitoa nasaha ueleke
Duu nimechoka Mimi.🤭🤭🤭
😂😂😂😂😂 Hakubali uzeeee
Ss sijui wale wachumba wa didy wataruhusiwa kumvisit jela😂
Mzee acha bange acha uhuni.mche ALLAAH umri unaenda na kifo unakikaribia
Mzee ana Komwe balaa
Kazi na umri mzee
Wewe mzee umeweka dunia mbele kuliko akhera
Pole sana Mzee wetu ! Kijana tamaa za kidunia zilimponza ! Yani Pdiddy alimdurumu kijana wetu Bikra ya makalio kwa Cadilac Iliyoandikwa Platnum tu 😢😢 Kijana hakujua kumbe CADILAC PLATNUM ni brand tu ya gari imetoka hivyo hivyo kiwandani 😂😂😂 kimasai sana Diddy kababua Kisoda cha Simba
Bado utoboe maskio tu apo mzee Abduli 😅😅😅
😂ni msanii jamani😅😅😅😅
Kweli Mtoto wako alifanya mbaya Sana kukukana😢😢 munafanana mpaka mapozi..😅😅
Jamani mnataka avae nguo za kuchanika au nywerle ziwe hazina ushilikiano au vipi Mzee Yuko sawa
Huyu mzee vipi ndo kawa hivi, du! Njaa jamani
Mzee wa mjini tena baba wa wasanii wakubwa nchini, lazima awe na mwonekano kama huu mimi napenda sana. Mzee amerudi kijana, wanae wanamsapoti
Mwijaku anamponda Dogo Monday, ni wivu tuuu.,.kimsingi vijana Kwa Wazer Mchukulieni Diamond kama MFANO WA mtu MWENYE ichungu na maisha Kwa hiyo ni icon ya kuwa maisha ni vita yataka kuyapigania na pia kama una mawaxo FULANI basi UWE na uwatafutae watu walotoka Kwa njia kama ya kwako wakupe mwanga zaidi.
MANENO ya maana San mzeeh Abdul Nasibu😢
Wewe Mzee Abdul Wacha aibu ndogo ndogo myaka yako haikurusu Na vile unafanya, hizi nywele zavijana wadogo🤣🤣🤣🤣 Mzee ovyo😂😂😂😂
Well stated
Huyu mzee vipi nahisi huyu ndio alikwenda kwa p Diddy
mzeee kapendeza sana hizo nywele hatari
Hii familia vipi jamani mama baba wototo wote wawe wahuni 😂😂?hii dunia inachosha
Mwacheni aenjoy Kwan yupo kaburini? Kama yupo dunian hivo vitu vipo Kwa ajili ya nani, mwacheni aenjoy nimependa anavyojikubali safi sana baba
Mzee umenena kweli ila twakuomba achana na music rud Kwa Mollah plz mzee
Mbona nywele tu ndio munaona angalieni roho nywele haipeleki mutu mahali nyinyi wakosoaji muogopeni God..kuna wenye wamenyolewa vzuri roho chafu..mwili n hekalu la Mungu lipamben..i
Pamoja sana umeongea point sana tabia na uyatendayo ndio yatakayo kuangamiza sio muonekano
Kwanza imebidi nicheke huyu mzee nae amekuwa msanii kwani dunia imeisha nawatu wazima wameisha
Mzee mwenzangu mbona hivyo tena.
Umerudi kuwa kijana tena.
Wakati juzi tu ulikuwa waumwa na minguu.ulikuwa un milia M.mungu akuponye.umetupoka na familia yako.
Leo umejisahau unafuga fidodido ili ufanyane na mwanao aliye kukataa.😢asee.
Hongera sana bwana Abdul kwa maelezo na misemo ya busara na kujiamini na kutokujipendekeza kwa mtu kwa kutaka vitu.Ujeuri wake wa kujiamini na kutokubembeleza mtu.
Domo hawezi kuwa hata tajiri namba 1 tanzania bado sana tena sana
Mnakumbuka zamani tulivyokuwa tunavaa (tulikuwa tunavaa magome ya miti)
Wewe mzee mtoto wako na wajukuu zako waige nini kutoka kwako😂😂😂ama nyinyi mnafaa katika party ya pamoja kwa didy
Sula imemkauka hatali wew mwenyewe siulikuwaga humutaki ulimtelekeza leo kwasababu ana hela kawa mzuli wewe mzee acha uhuni
Kafae na heleni kabisa Mzee
Mzee kumbe bado ana uhuni cheki mnyoo wake
Huyu mzee bila shaka angealikwa kwenda kwa didy asingepindua😂
😂😂😂😂😂😂 Nacheka kama maxuri wemzee huoni haya usanii uzeen makubwa
Mzee siuliambiwa sio baba diamond 😢
Mama Diamond alimshikisha uchawi Hamisa Mobetto sasa leo mwanae anatangazwa ushoga atakua ameiona aibu waliyomtia Hamisa imemruďìa.
Usiendele na ivo vitu mzee wangu pls jihurumie umetoka vizuri utotoni
Mzee kumbe maisha yalikuwa magumu tu usharo palepale
Point Mzee Abdul Mondi mnamuonea
You guys should stop judging someone because of the hair style please that’s not good respect him just the way you respect your fathers
Why everyone is against his outfit, outlook etc and you are the only one siding with him???? This is Tanzania, a country whose citizens have strong cultural backgrounds firmly attested and passed on through generations!!!
Baba D ushakuwa babu cheni mwachie bibi avae
Mzee kapigwa na short ya umeme. Nywele zimesisimka.
Siku hizi watu hawataki Uzee, Nasibu eeehh mzee mwenzangu vaa kanzu nunua fimbo nzuri na uvae walai mwisho wacha kabisa mijiwani ya kihuni. Halafu tukutane maskani tuongee maswala muhimu kuhusu ni vipi tutatoa muongoza mufti kwa jamii.
Mzee mbona unakuwa kachala Tena😂😂
Punguza usela dingi badilika Mimi niko na 40 lkn siwezi fanya unavofanya dingi
HUYU MZEE ARUDI KWA ALLAH S W KUTOKANA NA UMRI WAKE BADO ANAHANGAIKA NA MAMBO YA KIDUNIA
Wanaokusema baba D ni wivu wao umependeza lkn ungeongeza kipini puan na kihelen sikion duh ungepeza zaid
P didy 😂🎉 mwambino
Sasa mzee abduli nenda na umri badilika hizo nywele na umri wako tofauti
Mzee Kaenda saloon...kapaka piko kichwan..kisha kapakwa na piko kwenye mustachi kwenye lip ya juu ya mdomo...kapitishwaaa piko..hatari...
Lakin ww Mzee na ww ujaenda kweli kwa P DD
😂😂😂
km kwl kaliwa anaweza kua
Mzee Mtu Anapokuuliza Kuusu Daimond Kwenda Kwa P.DD Nawe Muulize Kwani Daimondi Alienda Kwa P.DD Baada Ya Kukamatwa Au Kabla Ya Kukamatwa P.DD Mana Watu Wanajua Kuonfea Bila Kutafakali
Jiweke kiustaarabu na kiheshima na kiisilam. Pia umri umeenda.
Mzee mwanao kaliwa kiboga
3:56 3:56
Mzee wahovyo
Alikuwa sahihi kimkataa mwanae enzi za ujana wake,huyu muhuni
Ww mfagilie mondi ila hakusaidii huyo kagongwa bwana😊
Uyu mzee ajitambui
Mzee aitwe basata viraster hatuvielewi
Akaolewe na p dd kabisa awe mrembo
Mzee ushakuwa maji ya jioni
Alichokosea ni kusema kwa "Waliyoyafnya na p Diddy, hawez hata kuyapost".
Diamond kamkataa dingi yake kabisa! Hii midomo mbona niyeye?😊
Mmmh,kumbe jamaa ashamkana baba yake eeeh
Mzeee wahovyo vinywele
Huyu ni mtumzima gani mpuuzi sana amevaa vipi tabia kama shetani mzee mshenzi sana