Acha mungu aubiliwe na watumishi walioitwa kwa jina la Yesu,Mungu aziidi kukulinda maana bado shetani anapanga hila ili kumpiga Mchungaji na kondoo watawanyike.
Ndio naamini ila lazima tujue sisi wakristo Atuna imani kubwa maana sisikwasisi tunaanza kubishana ila lazima ujue atawaganga Wana vituvyao je wewe mtu wa mungu unanini mkononi mwako? Ukweli manabii wa uongo wapo sikatai ila mungu alitupa maandiko mengi mfano yesu alikua awaponyi wanaomjua ila alikua akiwaponya wenye Imani haba wewe mwanadamu umpewa vitu vyote na mungu ukiwa na Imani unaweza ukauambia mti huu ng'o oka nayo ika toka kikubwa angalia mungu kakuita kwa wito upi msianze kutupiana vijembe mtu wakwe wamungu una aja yakubishana Kama utumishi wako unaonyesha mwanga kwa koondoo wako kwanini watawanyikee? Yesu tusaidie tuijue kweli na iyo kweli ituweke huuru.
Vitu vya upako ni uganga hata kama vinaponya haimaanishi umeponywa na Yesu sababu hata kabla hatujaokoka tulikuwa tunaenda kwa waganga kutibiwa. Tunahitaji uponyaji wa Yesu kisha tukifa tupelekwe mbinguni
MMMMMH hapa patamu mno yaani kila keki na KWENDA KUZINI ULEVI uuaji AAA na vitambaa majivu mamichanga Ni uganga na hakuna amani huko Ila MUNGU ndio YOTE ktk yote na mafuta yapotelee mbali mafuta Ni ushetani tumutafute YESU na NGUVU zake
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu sema tupone baba
Baba mungu akurinde
Amina baba sema kweli yote watu tupime barikiwa sana na Mungu akutie nguvu amen
Amina baba mungu akubariki Sana sema tupone
Yesu juu baba,barikiwa kabisa
Yes mifuta ya NN kuomba TU kutubu dhambi hakuna kuipenda DUNIA hii unatesa
Baba mungu akuwe
Du Kuna wababe wa INJILI. Songa mbele my pastor, tunakuelewa wengi
KWAKWELI Hapa Ni Ubabeubabeeeee
Amina
Unahubili ukweli by Charles fute igwachanya njombe nimwanafuzi wachuo chabibili mwaka 3 Mungu akubaliki
Amen 🙏🙏🙏🙏 mungu akubariki saana
Acha mungu aubiliwe na watumishi walioitwa kwa jina la Yesu,Mungu aziidi kukulinda maana bado shetani anapanga hila ili kumpiga Mchungaji na kondoo watawanyike.
Amen baba mchungaji, Mungu akubariki kwa ujumbe mzuri unaoponya nafsi zetu
Ukweli ni mzuri sana ata kama unauma lakini unaponya
Hakika Mungu yumo ndan mwako pastor
Ohoooooo Keki Ya Mwamposaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
Chungu lkn dawa🙏🙏
Lazima YESU ABUBILIWE NA SIO MICHANGA AAAA
Ngumu kumeza nimeipenda hii
Mungu akubariki Mtumishi wakristo hatusomi biblia ndio maana watu wanaangamia
Hymeen
Ukimpata yesu umepata miujiza
Kwa jina la Yesu, tutawajuwa kwa matendo yao,
Shida watu wanataka miujiza badala ya yesu
Amen ubarikiwe sana Mtumishi
Amen,Sema tupone baba
Mungu akubariki mtumishi WA Mungu
Mashine ya kaz sana baba utunzwe sana
Amen sema baba tupone
KWA JINA YESU MUNGU AKUTIE NGUVU UENDELEE KUPATA MAFUNUO NA AMANI YA KRISTO IWE NAWE
Amen mtumish wa mungu ubarikiwe
Hakika tumepewa damu ya yesu tuu
AMEN ubarikiwa
Haleluyaaaa...!!
Ndio naamini ila lazima tujue sisi wakristo Atuna imani kubwa maana sisikwasisi tunaanza kubishana ila lazima ujue atawaganga Wana vituvyao je wewe mtu wa mungu unanini mkononi mwako? Ukweli manabii wa uongo wapo sikatai ila mungu alitupa maandiko mengi mfano yesu alikua awaponyi wanaomjua ila alikua akiwaponya wenye Imani haba wewe mwanadamu umpewa vitu vyote na mungu ukiwa na Imani unaweza ukauambia mti huu ng'o oka nayo ika toka kikubwa angalia mungu kakuita kwa wito upi msianze kutupiana vijembe mtu wakwe wamungu una aja yakubishana Kama utumishi wako unaonyesha mwanga kwa koondoo wako kwanini watawanyikee? Yesu tusaidie tuijue kweli na iyo kweli ituweke huuru.
mtumish unaelimu juu ya keki ya upoko inatoka wap? mbona haya mambo kale hatukuyaona? au kale kulikua hakuna Mungu mathayo24, 24
Sema waponeee me nishaponaaa
Mtumishi umenibaliki saaana, tunaitaji watumishi kama wewe, ni adimu saaa.
The sad truth Bishop 💪💪💪
Neno laupako kabisa, kweli tupu
Vitu vya upako ni uganga hata kama vinaponya haimaanishi umeponywa na Yesu sababu hata kabla hatujaokoka tulikuwa tunaenda kwa waganga kutibiwa. Tunahitaji uponyaji wa Yesu kisha tukifa tupelekwe mbinguni
Hakika ni Roho Mtakatifu anakuongoza, sema baba ili tupone
Aminaaa sema baba ulimwengu ujue yesu hachanganywi n chochote
Amina wambie
Mungu aendelee kukutunza
Panamapatano gani kati ya mate na udongo nakuponywa kwa kipofu.
MMMMMH hapa patamu mno yaani kila keki na KWENDA KUZINI ULEVI uuaji AAA na vitambaa majivu mamichanga Ni uganga na hakuna amani huko Ila MUNGU ndio YOTE ktk yote na mafuta yapotelee mbali mafuta Ni ushetani tumutafute YESU na NGUVU zake
Hiyo ndio changamoto ya wachungaji wengi kwann kuhubir kumuhusu mtu
Amen
Ndo hapo mnapo niudhi wachungaji kwanini usihubiri ya kwako tu hadi ukosoe wachungajiwenzio
Ayayayayaya limekutach ee ndo upone
Ukweli unuma siku zote
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa soma bibilia vzr neno la Mungu ni Amina na kweli
Kwaiyo nibora kupotezwa kuliko kuwekwa njia ilio sahii kwenye maisha yako
Umeona
dawa chungu ndiyo inaponya kwa haraka
Wambie hao wapenda mafuta maana hawasomi biblia wakaelew
Ujinga tu mungu haishi kwenye mikate Wala chumvi
Amen
Amen
Amen