JINSI YA KUFAHAMU PIKIPIKI YA WIZI, MADHARA KUINUNUA, BODABODA WENGI WANAZIUZA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 32

  • @bensontimoth1466
    @bensontimoth1466 3 роки тому

    Asante sana

  • @recardorodrick1886
    @recardorodrick1886 3 роки тому +1

    Umesahau kumuuliza kadi original iko vp na feki iko vp

  • @fatmaahamad633
    @fatmaahamad633 3 роки тому +3

    Yani kunawatu hawataiona pepo kunamtu kamuzia baba yangu pikipiki ya wizi hadi kufikia kufungwa miaka 3 nawachukia sana wanaiba pikipiki na kuuza,,,,mungu akusimamie bro

    • @pikipikiusedtanzaniacoltd4596
      @pikipikiusedtanzaniacoltd4596 3 роки тому +4

      Pole sana boss changamoto hizo zimeshaumiza watu wengi sana Ndio maana nikalipeleka media wajue wasiojua

    • @fatmaahamad633
      @fatmaahamad633 3 роки тому

      @@pikipikiusedtanzaniacoltd4596 Asante sana umetufikishia ujumbe kwa ss ambayo tumeathilika na vitu vya wizi ubarikiwe 🙏

    • @frankliganga8327
      @frankliganga8327 3 роки тому

      Pole Sana dah

  • @leonardbartalome265
    @leonardbartalome265 3 роки тому +2

    namkubali sana huyu jamaa ,kwasababu anafanya kitu poa sana, kwasababu hali ni ngumu sana hatuwezi kununua kipya kabisa

  • @farhatfarhat3816
    @farhatfarhat3816 3 роки тому

    Mimi mumewangu kaibiwa pikipiki lake lipyaaa adi leo atujalipata na mwizi tumemjua lakini ufatiliaji mrefu kaamua kuachananalo

  • @pikipikiusedtanzaniacoltd4596
    @pikipikiusedtanzaniacoltd4596 3 роки тому +1

    Shukran ayo tv kwa kunifikishia ujue kwenye jamii
    Kwa wanaohitaj pikpik used wanaweza kunitafuta kupitia Instagram yangu naitwa @pikipikiusedtzcompany Au Facebook piki piki used tz company au whatsapp pia +255714917777

  • @babasuleiman3012
    @babasuleiman3012 3 роки тому

    Naomba nipe namba zako ninayo kinglion toyo mpya.

  • @asifiwekomba1567
    @asifiwekomba1567 3 роки тому

    Hapana alivyoongea ni sawa lakini mbona kila siku zinaibiwa kaka hii mvua ya juzi kuamkia jumatano nimebiwa nilikua nmelowa kuingia ndani kubadili nguo natoka nje hamna pkpk na ufunguo ninao mm

  • @bossadam2252
    @bossadam2252 3 роки тому

    Aya ww ujui kitu kuusu pikipiki zq wizi

  • @BaleleBuluma-cx1mx
    @BaleleBuluma-cx1mx Рік тому

    Je pikipiki zilizo kituoni zinazo uzwa kituoni ni haki ya mnunuzi kisheria?

    • @highvoltages4169
      @highvoltages4169 Рік тому

      Kwa njia ya mnada baada ya kukidhi vigezo vya kishria vya Kutaifisha

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 3 роки тому

    Huyu anashawishi watu kupata tamaa yakuiba pkpk na kumpelekea hebu mchunguzeni ananunua anabadilisha anauza kivipi utaibiwa unatafuta kumbe ilishabadilishwa na kuuzwa

  • @mtabeagusti4553
    @mtabeagusti4553 3 роки тому +2

    ngoma unanunua haojue kadi inasoma T better

  • @2116-n
    @2116-n 2 роки тому

    Kifo chake kimenifanya nirudi tena kusikiliza

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 3 роки тому

    Dawa ni kwenda KWA songoma atakayeiba usiku inakuwa inamuita fulani nirudishe KWA baba mbona wataambizana kudadeki zao.

  • @hekimampinga587
    @hekimampinga587 3 роки тому

    Nisaidie milad Ayo namba za huyo kaka nimuagizie pkpk nipo ifakara

  • @kiumbemussa9231
    @kiumbemussa9231 3 роки тому

    wasenge hao wauza pikpik zawiz2

  • @aishaaisha2224
    @aishaaisha2224 Рік тому

    Naomba namba za uyo kk muuza pkpk ikiwezekana anitumie pkpk mkoa