Where is the government intervention in this youth's ideologies..?! These guys make Arusha unique and unstoppable for raising talents ...Asanteni sana machalii wa R....more like .....
Vijan wamekosa wateja. Vijana wamekosa ajira. Wanahatarisha maisha yao. Wakishapata majeraha hawana hela za kulipa gharama za hospitali. Wataanza kuomba serikali iwasaidie.
Mchezo mzuri. Ila hawa vijana hawana vitu special vyakuvaa endapo mtu ataanguka kwa baati mbaya asiumie. Jamani chunge vichwa, migongo, magoti na mikono. Saaaana vichwa na migongo. Vikipata shida ni hatari sana kwa maisha.
Mm ni mkazi wa dar es salaam ni kijana , ila hakuna watu nawaelewaga kama watu arusha nawaogopa sana wanajiamini kila sector wapo youtu.be/uJU-l2Zb ua-cam.com/video/uJU-l2ZbMio/v-deo.html
machali ya R vpaj ni vingi na tunafanyaga mengi hiyo ni sample ya eneo moja tu. kama wajuba wanafanya hiv na bodaboda ambazo ni nzito na cyo special kwa michozo wakipata pikipiki za michezo ni kisanga kilo2 hivi.
The special clothes for the game is cost almost 300$ ,,,,and I think due to they're spoken,, say no money due to corona ,,,actually they need support such as management
@@mariamjuma3071 Musijisifie ujinga kinachofanyika huwa hawana cha kufanya tu wake wanakazi ya kufanya kuwezi kuharibu mafuta kiasi hicho bila ya sababu.
An kwa vipaji walivyonao hawa jamaa ajira ipo Njenje hususani kwa wasanii. Maana yangu unaweza andaa project moja hivi then hiv talent walizonazo unaweka kipande kwenye muv hususani zile character za maisha ya vijana kama city gangsters hilo picha linaweza kutikisa Africa au hata dunia sema, bahati mbaya wenye ujuzi hawanaga pesa na wenyepesa sio wabunifu. But waweza ni follow instagram kama @haroun_jc
Where is the government intervention in this youth's ideologies..?! These guys make Arusha unique and unstoppable for raising talents ...Asanteni sana machalii wa R....more like .....
Arusha ni yetu, tuachen tupige dede
A city for the life
Nakubar!
Watuache na dede Yetu 😂 😂 😂
@@daboyrastafarian7900 ni mchezo wa kifo siungi mkono ujinga uo
Huku ndiko mambo ya pikpik yalipoanzia buana! Chuga hoyeeee...👍👍👍🙌🙌
Huh maajabu haya
Arusha city ni Marekani iliyopo Tanzania 🏍🏍#dede4life
Hii kitu nilikua naonaga mambele tuu, big up sana Chuga Boyz mko vizuri sana mnaweza shindana ata na watu wa mambele(ulaya).
NAWAOMBA WAVAE HELMET TAFDHARI👏🏾
Waendesha pikipiki hawavai helmet. Askari washaachana nao
Ulizeni tuwaambie mmeona wapi Marekani wafanye picada bila casco kichwani.Nyie chezeeni uhai wenu!!!!!
Michezo ipo mingi saaana ..waziri wa michezo inabidi aangalie sio Muchezo wa mpira miguu tu.. kama unakubariana na mm gonga like
Vijan wamekosa wateja. Vijana wamekosa ajira. Wanahatarisha maisha yao. Wakishapata majeraha hawana hela za kulipa gharama za hospitali. Wataanza kuomba serikali iwasaidie.
Na michango ya ndugu
Arusha haiko Tanzania arusha ni nchi knayojitegemea😐🤨🤛🤛🤛🤝🤾♂️🤸♀️🤸♂️🤸♂️🧗♀️🧗♀️🚶♂️🚶♂️🚶♂️🕺
simoo big up chuga my home town
Mbuguni moja iyo
Machalii wa R-chuga ni shidaa, shedede, hawaogopi kitu wowote, respect sana arifu!!
Mm sishangai kabx maana chuga mhhhh maana bangi ya chuga tofauti na ya mwanza 😂😂😂😂😂😂😂
hahahahahahah
😂😂😂
We ni bangi tu unawaza
Acha ujinga ihivyo ni vpaj sio bang
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
A can call them cowboy's
Like those in Texas *USA* keep it up machalii zang
Hongera Sana Millard Ayo
1: kufikisha viewer's billion 1
2: kufikisha subscribers millions 3
Viva Ayo Viva
Ni lil Puppy hapa- natazama kutoka kenya..Kisumu..
Mimi ni CEO PUPPY TALES ENTERTAINMENT 💥💥🥂
NIMEFURAHIA
Naweza kunyayua Thairi mojaaa fresh😀na kupata kipatho
Dereva Bodaboda wangu yuleeeee....
Napenda anavyoniwaisha job na tairi moko ....😀😀😀😃😃😃
Daaahh hawo wasenge wa chuga wanatisha Aiseee .big up kwaoo
Stanley mwanangu huo mchezo siyo mzuri unahatarisha maisha yako nakuona ujue
United Republic Of Chuga ✌️
Jamaa anaclaim pikipiki itaharibika ikapata ajali ila sio yeye daah🍁🍁
Big up vijana, ukiwa na kipaji inabidi ukifanyie kazi na sio kukaa ndani. Pamoja sana.
Big up bro we need to join you from uganda
Yaan akipiga mweleka hapo haamki, harafu hawavai mavaz speshow kama wazungu hata element hawavai, wanachukulia poa kweli bang sio chai🙌🙌🙌🙌🙌
naomba mwenye mbegu ya bangi za chuga nipande mwaka kesho mtaniona kwenye mashindano ya dede huko 😂😂
Mambo yente aipingwi aikatai_Kama vp gonga like a po chini twende sawa wajuba
In Kenya if you try such things be sure u will find yourself in court ....very entertaining Arusha mko sawa
Why naa😅😅
Hapo mzee baba mnachezea maisha
A-Town much respect from254
❤️ 💃 🤗
🤝🤝
Kifo mkononi polen wazazi maana hiii kitu mda wowot 😭😭🙏🙏🙏
Mchezo mzuri. Ila hawa vijana hawana vitu special vyakuvaa endapo mtu ataanguka kwa baati mbaya asiumie. Jamani chunge vichwa, migongo, magoti na mikono. Saaaana vichwa na migongo. Vikipata shida ni hatari sana kwa maisha.
sure..hata pikipiki zao sio rafiki kwa michezo hiyo
Hi ndo kitu naipendeaga chuga yangu, hainaga kuiga bongo👌
Dede kweli wahuni wangu mmekimbiza Ila ngadu sjaona kabisa yani
Mm ni mkazi wa dar es salaam ni kijana , ila hakuna watu nawaelewaga kama watu arusha nawaogopa sana wanajiamini kila sector wapo youtu.be/uJU-l2Zb ua-cam.com/video/uJU-l2ZbMio/v-deo.html
aweee bora nikatafute michezo mingin☺☺
Madingiwesee piga kelele Tanzania bila Arusha haijakamilika...huo ndo mkono wa budah
Acheni kucheza na maisha
machali ya R vpaj ni vingi na tunafanyaga mengi hiyo ni sample ya eneo moja tu. kama wajuba wanafanya hiv na bodaboda ambazo ni nzito na cyo special kwa michozo wakipata pikipiki za michezo ni kisanga kilo2 hivi.
kuna nini tena dingiii
Hiyo hela mnayolipwa ni ndogo sana 🔥🔥🔥
Mwanangu RASI umetsha sanaaa 👊,,,,,,,Hyo kwel Dede Imeisha hyooo 👊
Hii ndo chugastan
Kelvn Gabriel ndo juuu zaid nimemkubal kinomama style yake imezid wenzie
Michezo iyo ni hatari sana. Dodoma mmoja alisagika kama nyama ya kusaga. Mungu mkuu awasaidie wote. Amen
Safiiiiiii sema helmet kidogo mazeee
Nawakubali wana Kaskaz @simoo na mwenetu Kelvin kwamaretu moja
😂😂😂😂 Hakika hakuna mji naupenda kuutembelea kama Arusha Wenyeji wa Arusha Nikaribisheni Basi
Chuga kama chuga hiyo hatari na nusu 😂😂😂😂💥💥💥💥
Hatar sana sana kuna kjana yuko hosp kavunjika mgongo kwaajili hii Mungu awalonde🙏
Kitu ya Arumeru hiyooooo😂😁😁
Wako vzr ila wavae vitu vya kujikingia sasa
Awa wakija dar akikwapua kibegi chako ata auwezi kufukuza
Hahahaha!!!
Kma nawaona vile😁😁😁😁
Sizani.. maana kunyanyua pikipiki sio kukimbia na pikipiki..
Cyo waiz mkuu watake radhi
Watake radhi kaka zangu
So funny but too risky. They need special clothes and special bike for this game.
Actually
Of course
Fact
The special clothes for the game is cost almost 300$ ,,,,and I think due to they're spoken,, say no money due to corona ,,,actually they need support such as management
Point elimu inahitajika eti tumeangalia watu wa ulaya kazi ipo
Hahah raska apo sakina kama umepasoma gonga like
Duh wako vzr sana had raha sana
Tupo na millardAyo🤣🤣🤣
Nakubali
Show nnzuri sana hiyo ila ungewashauri wavae da headment
Wazanzibar tukitowa fani munatwambia ni ushamba wabongo ban muache choyo
Daah jamaa noma san
Nimewapenda bureeeee,..wasonge mbele,..noma tumekwenda nje kidogo ya nchi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂z
E bwana eee Ras umetishaaa...
Usalama Hawa Kuzingatia
Ni Hatari Kwa Usalama Wao
Mm kam fund wa mibaiki ka hyo nawelewa sana. Wana.
Chugamaica wahgwan wote monsterbraaaaaap hapa wakilisha Sana
Home kama home🤤🤤🤤🤤🤤🤤🤤
Mbona mnachezea kifo????
Ao ni machaliii wa kwamaretu na pic pont nawaelewaga kinoma yani. Chuga raha sana ndo home
Dingiweseeeeeee ngingange wanaume wa darfreede hawauwezagi huu mzezo yedede
Nakubari wanangu wa arusha 🤟🙏🙏🚴🚴🏍️🏍️
Wanaoogopa kama mimi gonga like hapa
Waje zanzibar tuwafunishe style za kibabe hata kichwa halazi chini tako moja tumekatazwa na serekali yetu ya mapinduzi zanzibar island
Arusha oyeeeeeeeeee
Duuh noma 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nakubal saana
Mimi nasikitika tu maana akiteleza ni hatari sana da!
Alafu wanakufa, lakini ndo hawakomi.
Hawa noma wapo vzr ktk bike.
Ulaya hiyo daah kweli Ulaya shikamoo
Watu bhna sehem ya comments wanaomba like duuh sijui mnataka kuzifanyia nini hizo like
Manshallah vizuri
mungu wangu akidondoka apo mavi kule hahaha sio vywakufulahia ivo msiba
Nimependa
Nimependa
Muje na Huku Zenji, tunanyanyua mpaka Vespa
D nihatali mzee naona mambo ni moto
Umeona ee zenj pia
🤣🤣🤣
@@mariamjuma3071 Musijisifie ujinga kinachofanyika huwa hawana cha kufanya tu wake wanakazi ya kufanya kuwezi kuharibu mafuta kiasi hicho bila ya sababu.
Ma-Home boy mmeongea kama mpo Ungalimi😆😆😆, em jielezeni vizuri mkae kibiashara!
Nice
Kali ya mwaka
Nimependa sana hiyo
An kwa vipaji walivyonao hawa jamaa ajira ipo Njenje hususani kwa wasanii. Maana yangu unaweza andaa project moja hivi then hiv talent walizonazo unaweka kipande kwenye muv hususani zile character za maisha ya vijana kama city gangsters hilo picha linaweza kutikisa Africa au hata dunia sema, bahati mbaya wenye ujuzi hawanaga pesa na wenyepesa sio wabunifu. But waweza ni follow instagram kama @haroun_jc
😀😀😀😂😂😂😂😂😂😂😂kweli hawa ni chuga boyz 😀😀😀hawapatikani popote pale Tanzania zaid ya A town😀😀😀😀
Vizuri lakini vyaheni elements vichwani kwa protection just in case mukianguka
Watakapo piga chini akili itasogea
Ayo mnajitahidi kwamatukio sana ila ongezeni camera mnaweza sana
Iga uwaishe Mochwar
Jamaaa wanatisha
serikali ingewatengea mazingira ili wawe na misimamo na sheria na usalama,maana hii ni sehemu ya vipaji visiporutubishwa vitapelekea majanga ya ajali.
Aaaaa nimeipenda hiyo😄
Alafu ubebwe na m2 wa bodaboda Kama huyo😂😂
Imeisha Hiyo big up to my City R-chuga
Ni original sana
A wametisha sana
The danger thing is no protective gears lol!
Hayo ni madawa tu, Msidanganywe na msijaribu kuiga! mtakufa!
Duuuu mpaka fekon na Toyo uwiiiiiii mmeua kinyamaaaaa aiseee
Aruxha moto fire
Hatari bb Gabriel