Fact brothers sababu viwanja vyetu vyote vya mchangani vinafungwa so huwezi kuza vipaji kama huku chini viwanja vyote vimefungwa pili viwanja vinajengwa nyumba .foundation mbovu nyumba lazima itadondoka tu
Nina waelewa sana ila watz wengi hawatawaelewa wataona kama mnaponda mama ila kiukweli mko sahihi ukitaka kuinua na kusapot michezo lazima uanze na misingi ambayo ni kuwa na sera nzuri za michezo kwa hili la mama anatafuta kura kweny uchaguzi 2025... Ccm ni noma wanajua kutumia ujinga wetu kuendelea kututawala.
Katka nchi raisi duniani kuiyongoza ni tanzania hii nchi siyo mimi tu ata kama atakabidhiwa mke wangu na ataiyongoza fresh tu mana kikubwa siyo elimu kikubwa na utashiwako tu.
Ujinga wa taifa letu halijuagi namna ya kuwatumia watu kama nyie ktk secta za maendeleo ya taifa,,,,,,badala yake sasa mmh!! Kuna aliekua kama nyie anaitwa,,,Roma,,,,hii inamaana nchi yetu haitaki wenye maarifa inataka mambumbumbu😮😮😮😮
Mko vzr sana ktk uelewa wenu ila nina Shaka na nyie ktk kuendelea hasa kwa namna ya serikali yetu na mifumo ya taasisi zetu za kidini visiyo penda ukweli
Inaniuma saana Kodi yangu kuifanyia michezo wakati Mimi natoa Kodi kwaakili yakupata madawa kujengewa bala bala huku vijijini kwetu kupunguza galama za kuvuta umeme inauma saana lais kutoa Kodi zetu kuzipa Kodi zetu timu ambazo wachezaji wanaotoka nchi mbali mbali badala ya kuwekeza kwawatoto wanchi hii ilibadae tuwe na timu nzuri
Mbali na kusapoti michezo rais kuwasaliti polisi kuna mamilioni yalitolewa hiyo nayo ikoje. Maana polisi wamekua tishio kwa wanasiasa maana wamesha sapotiwa.
Mengine yote nakubaliana nanyi isipokuwa na ninyi UPUMPAFU WENU unaonekana pale mnapopinga kuwa MUNGU yupo hapo ndipo mnapofeli, sasa hata mengine ya muhimu mnayoongea yanaonekana ni wazimu tu kwa sababu mnamkana Mungu hadharani kama vile pumzi mnayotumia mnajipulizia wenyewe. Acheni ujinga wa kumkana Mungu Ili watu wapate elimu mliyonayo otherwise your loosing your energy without any arhievement of educating the society
Safi sana kwa kuwaweka watu huru kifikra nakuwaondoa kwenye utumwa kwenye kila nyanja mnayo chambua ✅
Fact brothers sababu viwanja vyetu vyote vya mchangani vinafungwa so huwezi kuza vipaji kama huku chini viwanja vyote vimefungwa pili viwanja vinajengwa nyumba .foundation mbovu nyumba lazima itadondoka tu
Big up akili kubwa
Kabalo mdogo wangu.....umekuwa Safi sana pigeni kazi
Leo nimekuelew sana broo umeongea pwenti san siasa zakitoto izzooo😂😂😂pamoja
Nina waelewa sana ila watz wengi hawatawaelewa wataona kama mnaponda mama ila kiukweli mko sahihi ukitaka kuinua na kusapot michezo lazima uanze na misingi ambayo ni kuwa na sera nzuri za michezo kwa hili la mama anatafuta kura kweny uchaguzi 2025... Ccm ni noma wanajua kutumia ujinga wetu kuendelea kututawala.
💯 nondo
Uyu mwamba big blain 🤛
Nice
Huyu mwamba ni Genius sana
Akili kubwa
Katka nchi raisi duniani kuiyongoza ni tanzania hii nchi siyo mimi tu ata kama atakabidhiwa mke wangu na ataiyongoza fresh tu mana kikubwa siyo elimu kikubwa na utashiwako tu.
Wachokonoz mko juu sana kila sekta
Wachokonozi🔥🔥🔥"acn
Genuine things are true or authentic
Dah, nahofia siku mtaambiwa wana shaka na uraia wenu onesheni vyeti vya babu wa babu zenu...NAWAZA MENGI HADI NAOGOPA KUHUSU KESHO YENU.
Bloo bigap sana umenyooka saidi ya lula
Oya mtekaji yupo hapo nje anakusubiri...😊
Acha uoga wewe mbeha
Naomba mzungumzie kuhusu betting.
Anyway naskia kuna academy Mama anaijenga kule visiwani.. naamini yupo kwenye mlengo wa maoni na ushauri wenu....WACHOKONOZI BIG BRAINS SANAAAA❤
Awa jamaa nawaelewa sana lakini Tanzania kueleweka ni pagumu sana
Wako VZR kikubwa muongeaji awe anatumia lugha
SIO za kutukana atafiika mbali
since day niliwaelewa sina mashaka na uwezo wenu, heshima iwe kwenu
Hawa jamaa wanakitu kizuri❤.
Point bro
Point umeongea
Yanga na Simba, et acha tuzitaje tu😂😂
Sanaa
Ujinga wa taifa letu halijuagi namna ya kuwatumia watu kama nyie ktk secta za maendeleo ya taifa,,,,,,badala yake sasa mmh!! Kuna aliekua kama nyie anaitwa,,,Roma,,,,hii inamaana nchi yetu haitaki wenye maarifa inataka mambumbumbu😮😮😮😮
Mko vzr sana ktk uelewa wenu ila nina Shaka na nyie ktk kuendelea hasa kwa namna ya serikali yetu na mifumo ya taasisi zetu za kidini visiyo penda ukweli
Hakika
Mr uko na ukweli sana
Wachokonozi Naomba namba zenu
Oya msiyumbishwe nawaelewa sana
Sana
Mwamba namyerewa saaaaaana ❤
Akili kubwa sanasana
Inaniuma saana Kodi yangu kuifanyia michezo wakati Mimi natoa Kodi kwaakili yakupata madawa kujengewa bala bala huku vijijini kwetu kupunguza galama za kuvuta umeme inauma saana lais kutoa Kodi zetu kuzipa Kodi zetu timu ambazo wachezaji wanaotoka nchi mbali mbali badala ya kuwekeza kwawatoto wanchi hii ilibadae tuwe na timu nzuri
Mbali na kusapoti michezo rais kuwasaliti polisi kuna mamilioni yalitolewa hiyo nayo ikoje. Maana polisi wamekua tishio kwa wanasiasa maana wamesha sapotiwa.
Madini muhimu sana
Nondo juu ya nondo
Mwamba cku ya kwanza ilikuwa ngum kukuelewa saiv ndo nakuelewa
@@EmmanuelMarco-j4c iko hivyo!
@@wachokonozi_😅😅😅😅
Oy ww nimutu poa sana kama nahii wamekuelewa
Tanataka katiba mpya
KIJANA NAKUKUBALI SANA UNATUFUNGUA WATANZANIA
Kwani na wewe ulikuwa hujui mama kama anafanya siasa
yani izo pesaa watukope ss wahangaikaji situna NIDA
Ni kile kile kizazi ambacho viwanja vingi vya wazi vimeuzwa na kujenga nyumba...
Mengine yote nakubaliana nanyi isipokuwa na ninyi UPUMPAFU WENU unaonekana pale mnapopinga kuwa MUNGU yupo hapo ndipo mnapofeli, sasa hata mengine ya muhimu mnayoongea yanaonekana ni wazimu tu kwa sababu mnamkana Mungu hadharani kama vile pumzi mnayotumia mnajipulizia wenyewe. Acheni ujinga wa kumkana Mungu Ili watu wapate elimu mliyonayo otherwise your loosing your energy without any arhievement of educating the society
❤❤❤
Mbona comet chache aaf unaongea vitu vya msingi sana
Wakiongelea dini tu ndo utaona koment za kutosha
Watu wanawaza kubet
@@jeremiahblazio4781😅😅😅😅
KWELI KBS
Endelea kutugunguwa kifikra sasabu tujuwe wajibu wetu na wapi tumetekwa kiakili
Nyie majamaa mko na akili tricks mingi
Kwa vichwa vya vijana wa tz sidhani kama watakuelewa maana wanawaza kamali tu (kubeti)
😂😂😂😂
uyuu jamaa yuko mbele ya mda
hii nimeielewa😂😂😂 da akili kubwa sana ma bro
Wachokonozi😂😂😂😂.
😂😂😂😂😂😂😂😂 ccm woyeeeeeee
Tatizo lugha uliyoanza nayo mwanzoni wakati unaanza ilikuwa ya matusi kama unaongea point matusi ya nini
aloooo nimejifunza kudadisi kila jambo linalofanywa na selikal
😂😂🎉🎉
wachonozi.sijawajua bado ila naomba utambuzi kuhusu .waha wanaojita wachonoz
😁😁😁😁😁
😅😅😅😅😅
WACHOKONOZI