Wa bunge hamkupata 2020, walioshinda wana haki ya kutunga sheria kwa namna wanayoona ni sawa, hukubaliani shinda uchaguzi. Walioshindwa hawawezi kuwapangia walioshinda hiyo itakua kinyume cha demokrasia. Kama ni maendeleo Tz imekua na inflation ndogo kuliko nchi nyingine zilizo kwenye top ten ya afrika. Tz nchi ya 9 kwa kuzalisha thamani. Kabla ya maandamano watuambie wana wananchama wangapi nchini, na wangapi wanataka hayo mabadiliko wanayotaka. Demokrasia ni uongozi wa wengi sio wachache, CDM ni wachache wanaotaka kujifanya ni wengi
Unahitaji kupata hata elimu ya ngumbaru tu ili watu waweze kusoma sms zako. Wameikumbatia nchii hii na kunyea vinyesi vya familia sasa inanuka. Siyo nchi ya mama zao, tunataka mabadiliko- katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Tupase sauti tuko nyuma yenu
Sauti
Vizuri sana
Ssuti hatukusikiii
Saf sana
Kama huna positive coment kaa kimyaa umetumwa nini!
Nauli kaka zawatesa wananchi
Sauti hakuna
Alishawai kukaa mstali wa mbele kinondoni umesahau
mume omba au mliamrsha serikali kufata mnayoyataka
Mbowe nakuomba hiyo tarehe uwe mstari wa mbele kuongoza
Wewe mjinga tena ni Bora ukakaa kimya...watu wanashughulika na Mambo ya kitaifa unaleta ujinga
wewe joga kaa nyumbani
Wa bunge hamkupata 2020, walioshinda wana haki ya kutunga sheria kwa namna wanayoona ni sawa, hukubaliani shinda uchaguzi. Walioshindwa hawawezi kuwapangia walioshinda hiyo itakua kinyume cha demokrasia.
Kama ni maendeleo Tz imekua na inflation ndogo kuliko nchi nyingine zilizo kwenye top ten ya afrika.
Tz nchi ya 9 kwa kuzalisha thamani.
Kabla ya maandamano watuambie wana wananchama wangapi nchini, na wangapi wanataka hayo mabadiliko wanayotaka.
Demokrasia ni uongozi wa wengi sio wachache, CDM ni wachache wanaotaka kujifanya ni wengi
Unahitaji kupata hata elimu ya ngumbaru tu ili watu waweze kusoma sms zako. Wameikumbatia nchii hii na kunyea vinyesi vya familia sasa inanuka. Siyo nchi ya mama zao, tunataka mabadiliko- katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.