3. MALENGO MKAKATI YA KUFANIKISHA MIPANGO YAKO || MWL, CHRISTOPHER MWAKASEGE: ARUSHA 2024
Вставка
- Опубліковано 11 січ 2024
- Semina Ya Neno La Mungu Arusha || Day 3 || Tarehe 12 January 2024
.................................................................................................................
Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako kwetu:-
M-PESA 0754 211 633
TIGO-PESA 0715 511 633
AIRTEL MONEY 0682 657 080
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI DIANA MWAKASEGE
PIA UNAWEZA KUTUMA SADAKA KUPITIA _-:
CRDB BANK
ACC: 01J2032214400
JINA: CHRISTOPHER & DIANA MWAKASEGE
Damu ya Yesu ikufunike mwalimu Christopher mwakasege na mama na huduma nzima ya mana hakika wema na fadhila za Mungu zitanifuata Mimi nami nitakaa nyumbani mwako Mungu
MUNGU akutunze babaetu maana wewe ni hazina ya MUNGU katika Taifa letu TANZANIA na duniani kote
Nefurahi Paul mwangosi tena uzid kuimarishwa kwa jana la Yesu
Hili Somo ni la kurudia mara 2 litamu mnoo , alafu kila nikirudia kusikiliza nasikia vitu vipya
Ninakushukuru Mungu kwaajiri ya Paul mwangosi nampenda Sana Mungu muweke mpaka unyakuo
Awesome GOD ,Yesu wangu Naomba unihongoze peke yngu siwezi kwenye nchi za watu
MWENYEZI mungu naomba ukafungue milango ya biashara
Ibada hii nimeshiliki lakini nimerudia kusikiliza mambili bila kichoka...mungu ukuimalishe Dady unatushibisha hakika
Baba naona mwanga mpya 2024.
Hakika imeamsha roho ya kuabudu ndani yangu. Mungu wa miungu akutunze. Ade
Yesu ulieniona 2023 nione zaidi 2024
Amina Mungu atukuzwe baba na kukubariki zaidi
Yesu akutunze mtumishi wa Yesu
Thank you God for this MAN. Glory to God🙌🏾
Yesu ni mdhamini wangu
hakika hili somo ni zuri sana ila unatakiwa urudie mara nyingi ili uelewe vzr,Mungu tutunzie huyu Baba Yetuu
Asante Yesu kwa ajili ya mtumish wako na kwa neno ambalo umeliachilia kwetu ukimtumia sawa2 na makusudi yako
TICHA 🎉 hands 🙌 👏
Kiukweli somo ni zufi sana Mungu akutunze sana
God connect with me here as I seek YOU in your Word!
Mtumishi mwakasege mungu akujalie hitaji lako akufanyie muujiza mkuu na dunia ijue mungu umwaabudue ndie mkuu barikiwa sana
Praise and worship God bless you more
Amen amen Asante Kwa Jina la Yesu Ninashukuru 🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Mungu akubariki sana Mwl Mwakasege
Amen Amen.....jina la Yesu msaada wangu
Amina
Asante Mungu kwa uwanifu wako Amen
Mtumishi babaangu mungu akutunze unanibarki sana
Amina Mungu awabariki sana
Hakika Mungu anakutumia sasa na mapenzi yake,kwa ajili ya watu wake
🎉Hallelujah God is so Good 🎉
Hakika Yesu ni yote ktk yote💪
Amen mkono wa Mungu umenibeba
Ameen
Ubarikiwe sana Mwalim
Hakika mtumishi ubarikiwe sana kwa huduma hii
Hakika huduma yako mtumishi wa Mungu inatufungua wengi
Amen 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙌🏻🙌🏻🤲🏻🤲🏻
Ameen unainuawa
🙌
🤣Yesu tunamjua, Paulo tunamjua ninyi ni akina nani??