Це відео не доступне.
Перепрошуємо.
PASTOR EZEKIELI WA KENYA AMUWASHIA MOTO GEORDAVIE KUPANDISHA MAMISI NA WASANII MADHABAHUNI
Вставка
- Опубліковано 12 лип 2023
- PASTOR EZEKIELI WA KENYA AMUWASHIA MOTO GEORDAVIE KUPANDISHA MAMISI NA WASANII MADHABAHUNI
Tafadhali tufatilie kwenye mitandao mengine ya kijamii kwa jila la Msomi news...
Napenda pst ezekiel vile unavyo hubiri God bless you ❤
Uko sahihi kabisa Mtumishi wa Mungu, walio katika mwili hawataelewa ila walio katika Roho nadhani wamekuelewa Sana, Mungu azidi kukutunza na uendelee kuyanena maneno ya Mungu kwa ujasili
Wewe nimtumishi, uyo Dev sio mtumishi wa Mungu aliyeumba mbingu na nchi, uyu mtumishi ni wakara wa sheitani.
Watumishi jitaidi kuwajua manabii wa uwongo na wakweli, utamuitaji wakara wa sheitani kusema ni mtumishi wa Mungu
That's true pastor.
Hallelujah 🙏🙏🙏 umesema ukweli mtubu kwa sababu ukiangalia hizo video mwanadada atembea mbele akiwa uji nusu
Roho ipi
Uko vizuri Pastor shida watumishi wengine wako kimwili zaidi kuliko kiroho,huwezi kuchanganya mambo ya Mungu na ya dunia,huwezi kufanya hekalu la Mungu km soko au mahali pa michanganyo,sasa hapo anahubiri Yesu au anaubiri muziki wa kidunia?Mungu amrehemu
Nabarikiwa nawew pastor wangu mungu akutunze maelfu ya miaka
Ubarikiwe mtumishe Ezekeli
Hakika mungu unibariki sikuzote hunipa uzima Asante mungu piya naomba unibariki zaidi sikumoja niweze Toka Tanzania nifike Kenya katika nyumba Yako mungu inayotumiwa na huyu mtumishi wako Ezekiel ni imani yangu🙏 Amina🙏
Huyu Pastor Mungu ampe siku nyingi za kuishi na zenye furaha chini ya jua akizihubiri habarii za Bwana
Pastor Ezekiel Watumishi wote wa Mungu wakusikie na wawe kama wewe, uko vizuri sana pastor Mungu akutunze
MaPastor wote hawwezi kuwa kama ezekiel kila mtu ana mwito wake.kwa mfano ezekiel anavyouza maji na vitamba,Mchungaji mwingie hawezi
@@praisehappiness8312Hilo neno analoongea wasikie na wazingatie
Madhabahu ya Goege David haimuhubiru Yesu Kristo wanazareti definitely So, yanayoendelea hapo nisawa tu
uko rohoni sana mchungaji kutoka Kenya umejibu vizuri 🎉🎉🎉🎉❤
Hiyo siyo kanisa ni sinagogi la shetani ,Wala usimumunye maneno.Amen
@@magretomondi8312haitaji kutumia akili sana , Yesu alisema utawajua kwa matendo Yao kama ni washetani au wana wa Mungu
Pastor Ezekiel Mungu Akubariki sana.nitakuja Kenya.
Merci excellence pasteur pour tes conseils afin d'hériter la vie éternelle depuis DRC( Lubumbashi)
Dah Mungu atusaidie mkewake anapitia changamoto sana basi tuu anashindwa afanyaje. Mchungaj G hapana kwakwel
Waana wa ULIMWENGU huu, watakubeza!! Ila tunaoipenda Mbingu, tunakubaliana 100% na wewe!
Naitwa james anton nipo tz mchungaji ukweli mungu akuongezee baraka ktk huduma zako zote zaibada nk,ubarikiwe pamoja na sis amen
Aminaaaa
God bless you pastor 🙏
Nihatari, heshima ya Mungu imepewa mwanadamu
Very true, man of God
Amen watching you from Zambia Lusaka 🇿🇲
Truly said man of God. Educative.
Mungu akutunze pastor kwa kusema ukweli
ubalikiwe pastor ezekiel kwakusema ukweli Mungu akuongezee nguvu zaidi
Kwa dalili nyingi, zinaonyesha Geordavie amepoteza mwelekeo.
Sema ukweli pasta napenda nije kuimba kwako mwimbaji naitwa Obadiah Jackson toka tanzania
Amen sana mtumishi Bwana aizidishe hekima ya utakatifu ulionao
it's very true man of God
Ameen pastor ubarikiwe sana mungu azid kukueka zaid na zaid ameeeen naiwe ivyooooo kwa jina la yesu
Me too isay may God bless you so much man of God
Kweli Amezidi sana anapiga bongo flavor kanisani😱😱😱 Ni hatari sana
Geo dave aombewe rehema. Kamuacha Mungu zamani
Nabii WA uongo aliwahi Kua WA ukweli. Geordavie ashakengeuka
Uko sahihi mtumishi Mungu akubariki sana
Mungu akubariki sana pastor umeeleza sahihi kabisa uje na tanzania
Ubarikiwe Mt...
Amina baba ubarikiwe sanaa baba
Amina baba umeogea vizuri sana pasta ezekili
Asante sana baba yangu.Mungu aendeleye kukutulindiya
Ev. Ezekiel ubarikiwe sana!
Sawa Kabisa Mtumishi wa Mungu, huo ndiyo Ukweli Kabisa, Kabisa.!
Emen barikiwa Baba
Uko vizuri mchungaji,Mungu akutunze
God bless you pastor.
Wenye macho wanajua kuwa hii ni agenda ya shetani,tatizo sisi binadamu hatujui majira na nyakati, haya lazima yatokee ili kuyatimiza mandiko maana kila kitu lazima kitokee ili YESU KRISTO arudi ila ole wao.
Kabisa
I got you pastor
Huyo godevi mpuuzi tu , hajitambuwi siku zote Giza na Nuru havifungaman, hyo ,ama abudi miungu sio mungu, mungu ampe mocho yarohon,
Mungu azidi kukuongezea hekima mtumishi
God bless u .. Big Postor
Hakika mtumishi wa Bwana Yesu sisi ndo wa kuigwa na kufatwa na sio sisi wana wa Mungu kuwafuata wao
Ubarikiwe sana Ezekiel
Asante Prophet Ezekiel
God bless you man of God
Neno zuri mchungaji, hello from Dar es Salaam
Mungu akubariki Ezekiel
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu nakuombea mema kama ww uniombeavyo mema Ichi za ugaibuni Aki ww Mungu alikutuma Kwa makusidi yake Be blessed dady
Pasta Ezekiel, asante kwa mwongozo mzuri ktk jambo hili. Swali; ikiwa yuko msichana katika kanisa na anatumia uchawi ili aweze kuzini na mvulana wa kanisani nini kifanyike
Mungu akumbariki sana pastor
Mungu anipe piya nafasi nimtumikie kwa roho na kwa kweli kama wewe BABA YANGU EZEKIEL
Amen barikiwa Sana Pastor huko sahihi kabisa YESU Azidi kukutunza
Mungu akutunze
You speak the truth
Neno sana
Barikiwa Pastor
God bless you pastor
Mungu wangu tuhurumie
Ubarikiwe
God bless pastor 🙏
Ila jmn tuwe wakweli mtumishi unaweza weka mambo umiss madhabahuni?
Uko sahihi baba yangu Mungu akuweke
Uko saa ii man of God🙏🙏
Daaaah shida sana...Kanisa limevamiwa .
Dunia ni dunia na ufalme ni ufalme wa Mungu kwanini tufanane na wadunia ndani ya kanisa Mungu akubariki mtumishi wa Mungu sana
Amen Pastor Ezekiel
Barikiwa saaana
❤❤barikiwa sana mtumwa wayesu🎉🎉
Mafunzo unayofunza yako sawa mtumishi wa Mungu Ezekiel.
Mungu akutie nguvu zaidi.
Asante pastor Ezekiel sema baba
Amina pastor Ezekiel Amen 🙏🙏🙏
Kweli kabisa pastor wangu
Kweli kabisa pastor 🙏🙏🙏
Mungu akutunze nakuelewa sana
Mmmmh ni wakati wa kumutafuta MUNGU kuliko chochote shetani anadanganya watu na manabii wa uongo ni wengi mno
Educative talk.
Jamani mathabahuni mamisi ni wa nini jamani. tutawatambua kwa matendo
amen pastor
Daaah roman catholic hatunaga huu usenge 🙌🙌🙌🙌
Uko sahihi mtumsh wa mungu
Mtumishi upo sawa kabisa tulitoka wapi na tuenda wapi
Nakupenda sana pastor
Great projection....
Huo ndo ukweli kabisa hujakosea mtumish Asante
I support you pas
Amina
Amen 🙏
Asante baba yang wa kiroho
Yani huyu nabii mungu amsaidie
Hii kanisaaa😢😢😢😢
Hatariiii.
Ukristo ni Shiddah😮😮
Be blessed our true man of God❤
Huyu mchungaji anasema kweli kbsaaa wote mnaopinga nivipofu wa rohoni
Sqfi sana Pr nadhani amekuelewa
Kizazi cha nyoka.tukiombee.Amen
Mungu akubariki baba yangu ukweli utabaki kuwa kweli sio kupaka fatuta mauvu hekalu la bwana sio ibada ya byashara tuone mbali jamani ata kama ni baba yako uanapo kosea nilazima umupokeye kisha kweli na watu wana aza kuimba nyimbo za kidunia kani sani na wa misses kani sani kweli kisha watu wana sema Ezekiel ni frima kweli anaye ona iyo vituko Mungu atusaidie kwakweli