HUU NDIO MUONEKANO HALISI WA SHULE YA MH. JOKATE MWEGELO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 сер 2024
  • Hii ni Ziara Maalum ya kuonesha Matokeo chanya ya Kampeni ya #TokomezaZero iliyofanikishwa na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mheshimiwa #JokateMwegelo katika kuinua Sekta ya Elimu kwa Mkoa wa Pwani
    #KisaraweMpya #TokomezaZero #TanzaniaMpya

КОМЕНТАРІ • 150

  • @ramamanyama2944
    @ramamanyama2944 4 роки тому +35

    Kama unaikubal serikal ya magufuli gonga like apo chin

  • @mrbweichum
    @mrbweichum 4 роки тому +130

    *Kama unampenda Joketi Mwegero Achia LIKE Yako*

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 4 роки тому +5

    Kiongozi kijana anaefanya kazi inayoonekana kuliko hata baadhi ya vigogo..
    Nampendaga zaidi kwa kuwa ni mwanamke kijana..mchapakazi..
    mabinti wengi wanatamani kufuata nyayo zake..
    Songa mbele na Mungu azidi kukubariki..😍

  • @janethchacha1953
    @janethchacha1953 3 роки тому +1

    Big up jokate kwa kazi nzuri natamani viongozi wote wangekuwa kama jokate Tanzania tungekuwa mbali sana

  • @dicsonernest4446
    @dicsonernest4446 4 роки тому +13

    Duuuuh hii Ni shulee au chuoo Mh. Jocket mbon utawafanya hao wanafunzi wakifika chuo wajione sana..lkn hongera Sana kwa kazi nzuri

    • @queenwinnie256
      @queenwinnie256 4 роки тому +2

      Hapo ndio tunajua kuwa kila ki2 kinawezekana kufanya tz kila kona ila wanaofanya ubovu ni viongozi wanakula tu pesa wanashindwaje kufanya vijiji ving'ae,

    • @dicsonernest4446
      @dicsonernest4446 4 роки тому

      Kabisa Kama huyu ameweza kushirikiana na wananchi na kufanya kitu Kama ichi kwanini wengin washindwe au ye ndo anaongoza malaika.

  • @elshaarawymuhabesh316
    @elshaarawymuhabesh316 4 роки тому +24

    Tuliopenda Sauti hii ihusike kwenye Story book..

  • @challowilson1791
    @challowilson1791 4 роки тому +11

    Huyu ni kiongozi ninae mtaka sio maneno tu safi sanaaaaaa my jokate

  • @ibrahimshilinde6129
    @ibrahimshilinde6129 4 роки тому +2

    Hongera mh,nimefurahi Sana,shule iko vizuri,mungu akubariki

  • @popperkuch669
    @popperkuch669 4 роки тому +9

    Hakuna mh raisi Dr john pombe magufuli alipowahi kuniagua ktk uteuzi wake wala utendaji wake na utendaji wa wasaidizi wake
    Hakika mungu ni mwema viva tz viva magufuli na wa tz wote tumuunge mkono kwa kufanya kazi kwa bidii na tumuombe mungu amjalie afya njema na uzima raisi wetu

  • @vveronicamakori2297
    @vveronicamakori2297 3 роки тому +1

    Jokate very smart best work ever providing the better education for a girl child watching from 🇰🇪🇰🇪

  • @kelvin8324
    @kelvin8324 4 роки тому +11

    ✋🏿👩🏽‍🎓Madam district commissioner ..the knowledge n wisdom(leadership)in you is unbelievable..one of smartest girl in Africa..she was born a leader #💖from254

  • @sofiaoman
    @sofiaoman Рік тому

    Mashallha ss umeenda kuimamia tanga allha akusimamie muheshimiwa Kira unapoenda unaacha arama umetengeneza muembe yanga kiwacha cha mpira hongera mama

  • @mwantumhemed8625
    @mwantumhemed8625 4 роки тому +9

    nice dada mungu akuongoze inshaallah🙏🙏

  • @benonkalenzi1969
    @benonkalenzi1969 4 роки тому +3

    Muheshimiwa DC kazi yako inaonekana kabisa mungu akubariki sa shule nzuri sana lakini mungeweka matenki yamaji yanvuwa matenki yare plastic ya liter elifu 20.000 yangekuwa yanasaidia sana

  • @smwansasu8605
    @smwansasu8605 4 роки тому +3

    Uko creative mami na uko vizuri sana. Umeprove watu wrong. Umeweza!!!!

  • @husnahassan4771
    @husnahassan4771 4 роки тому +4

    Jokate mungu aendelee kukuongoza mama👊👊

    • @paulmarley953
      @paulmarley953 4 роки тому

      Hongera sana Mh DC Jokate. Ulichofanya kisarawe ni kitu kikubwa saba

  • @salmaahumansalmaathuman5190
    @salmaahumansalmaathuman5190 4 роки тому +5

    Mungu akuzidishie palipo pungua mw/shimiwa joket

  • @edithhassan4196
    @edithhassan4196 4 роки тому +1

    Hongera Mh mwenyezi Mungu akuongoze songa mbele waliobeza jibu hilo barikiwa

  • @subirachrispin9209
    @subirachrispin9209 4 роки тому +1

    Hongera sana dada

  • @blandinamnyinga8318
    @blandinamnyinga8318 4 роки тому +3

    Beauty with brain.big up sweet J

  • @prospermbawala1139
    @prospermbawala1139 4 роки тому +9

    Mtangazaji unasauri nzuli💥💥

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 4 роки тому +4

    🤝 mheshimiwa jojo

  • @adijaniyonkuru9731
    @adijaniyonkuru9731 4 роки тому +7

    Ongereni japo mimi ni from Burundi ❤🔥

  • @hassanparamana2215
    @hassanparamana2215 4 роки тому +12

    Ok mheshimiwa hongera sana kwa juhudi zako tunaziona lkn kingine zingatia wapatikane walimu walio bora na wazalendo ili tuitikemeze kweli hii zero kisarawe na tanzania kwa ujumla.

  • @annachuma247
    @annachuma247 4 роки тому +2

    Hongera muheshimiwa

  • @emmymgotta8830
    @emmymgotta8830 4 роки тому +1

    Good gerl Mungu Akuongoze Mngoni wangu.

  • @gloryjohn4717
    @gloryjohn4717 4 роки тому +1

    Nakupenda sana we Dada hongera kwa jitihada unazofanya Mungu akusimamie

  • @mrbweichum
    @mrbweichum 4 роки тому +53

    *KAMA UNAIPENDA WASAFI ACHIA LIKE YAKO NA COMMENTS CHOCHOTE*

  • @evakiwia1052
    @evakiwia1052 4 роки тому +1

    Hongera bi dada pamoja wadau wote kwa maendeleo

  • @felchesmmassawe7480
    @felchesmmassawe7480 4 роки тому +6

    Much respect to you mheshimiwa

  • @violetshio2613
    @violetshio2613 4 роки тому +1

    Agombee ubunge kwenye jimbo lililolotawaliwa na wapinzani kwa kipindi kinachomalizika. Utazoa kura kama siyo zote .Upo vizuri dada.Mungu aendelee kukutia nguvu

  • @irenechuwa9185
    @irenechuwa9185 4 роки тому

    Well done Jokate kwa jitihada Zako za kuinua elimu Kisarawe hakika Mwenyezi Mungu atakuacha bure. Wana Kisarawe tunazidi kukuombea na tunamuomba Mh Rais asikuondoe huko uzidi kutuletea maendeleo Kisarawe yetu. Mungu akubariki sana

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 4 роки тому +1

    Big up dear Jokate

  • @mouzarashidd
    @mouzarashidd 4 роки тому +6

    Maasha Allah

  • @kamanda007
    @kamanda007 4 роки тому +1

    Jokate umeanza mzigo umeanza kutoka vizuri 😁 and I like you.. keep it up

  • @lulufrance7482
    @lulufrance7482 3 роки тому

    Nampendaaaa snaa huyu mdada jmn khaaaa Mungu anawapa wenye hekimaa kweli😍😋😘😘😘😘😘

  • @najma3268
    @najma3268 4 роки тому +1

    Hongera sana Mh Joketi

  • @mashashijumanne4791
    @mashashijumanne4791 4 роки тому +6

    Safi sana

  • @josephnyalusi634
    @josephnyalusi634 4 роки тому +3

    Best school 🙋🙋🙋🙋🙋

  • @gagedamoursarusaru8079
    @gagedamoursarusaru8079 3 роки тому

    Congrats mheshimiwa Joket Mwegelo❤️🇨🇦❤️

  • @rehemasehaba4665
    @rehemasehaba4665 4 роки тому +1

    Hongera sana

  • @happymamuya808
    @happymamuya808 4 роки тому +9

    I predict utakuja kuwa waziri🥰

  • @gospelgal9059
    @gospelgal9059 4 роки тому +15

    This confidence rahaa

  • @mwalamik
    @mwalamik 4 роки тому +2

    vitu vimesanifiwa kitaalam, mtangazaji anawasiwasi wa eneo dogo la maktaba,,,
    hongera sana Mh. Jokate Mwegelo, #Kisarawe Yetu Sote

  • @hadijahmwajombe9588
    @hadijahmwajombe9588 4 роки тому +6

    mashaallah

  • @aaliyia9721
    @aaliyia9721 4 роки тому +9

    First ku view from🇰🇪

  • @nicksonbakuza820
    @nicksonbakuza820 4 роки тому

    Yaani Jokate mim najifunza sana kwako, hope 2020 after October i will be the next.

  • @abelnorbet6459
    @abelnorbet6459 4 роки тому +4

    Mungu nimwema

  • @rahmamuhidini2446
    @rahmamuhidini2446 4 роки тому +4

    Eeeh jamani hadi raha 😘

  • @elshaarawymuhabesh316
    @elshaarawymuhabesh316 4 роки тому +1

    Jamaa unajua... Nimekubali....

  • @janatahmad7048
    @janatahmad7048 4 роки тому +6

    saf sana

  • @josephinemwakidebe6129
    @josephinemwakidebe6129 4 роки тому

    HONGERA SANA MH.
    NAPENDA ULIVYO NA UNACHOFANYA.

  • @ibrahimsigir7364
    @ibrahimsigir7364 4 роки тому

    Hongera sana mweshimiwa jokate

  • @magrethurembo1834
    @magrethurembo1834 4 роки тому

    Hongera sana mdogo wangu mimi pia natokea Kisarawe. Ni furaha sana kuwa na mkuu wa Wilaya kama wewe. kuongezea tu kutakuwa na uzio unaozunguuka shule ?

  • @sautiyaagapetanzania4598
    @sautiyaagapetanzania4598 4 роки тому +1

    Love u jokety

  • @stevenleonard9120
    @stevenleonard9120 4 роки тому +10

    Kijana ameaminiwa na yeye ameonesha uaminifu, viongozi wote wangekua waaminifu Kama huyu DC kijana Tanzania tungekua mbali Sana

  • @geraldlazaro4523
    @geraldlazaro4523 2 роки тому

    Congrats

  • @TheAfricanmusica
    @TheAfricanmusica 4 роки тому +3

    Mashallah joketi

  • @abubakarmzee3985
    @abubakarmzee3985 4 роки тому +1

    hongera DC ila ukipambana kwenye barabara hiyo ya kutoka kisarawe mbaka msanga

  • @hassanchauluwa7308
    @hassanchauluwa7308 4 роки тому +5

    wakina sabaya mjifunze kwa huyu mwanamama joketi siyo Kila siku kuweka watu ndani na kupambambana na chadema.hngr jket.

  • @yusuphfute5013
    @yusuphfute5013 4 роки тому +3

    Aiseeee mh jimbo la kawe hakuna kitu huku tuna mbunge kimvuli xo njoooo uchukue nafasi bwana na sisi watu wa kawe angalau tupate maendeleo # wcb4life

  • @nassorsada213
    @nassorsada213 4 роки тому +7

    Joketi mungu akubariki kila utakacho shika kigeuke pesa

  • @butondodavid2105
    @butondodavid2105 4 роки тому +4

    Akir yangu wala haipo kwenye habar npo kumuangalia mh jokate tu nampenda sana

  • @leonardmavele1148
    @leonardmavele1148 4 роки тому +5

    Hivi Awa watu wanao dislike wanatokea mkoa gan? 😂😂

  • @elishankandajonathan4265
    @elishankandajonathan4265 4 роки тому +13

    Natamani ajira zikitoka nipelekwe Jokate Girls High School nikagonge hesabu zero iishe, wangapi mnataka niende

  • @winniedavid5051
    @winniedavid5051 4 роки тому +1

    Love jojo 🦋

  • @khamisjuma6505
    @khamisjuma6505 4 роки тому

    Hongera mss jokate

  • @osodowilberforce2321
    @osodowilberforce2321 3 роки тому

    Kweli kabisa,huyo DC ana maono ya maana sana.Congratulations.

  • @queenwinnie256
    @queenwinnie256 4 роки тому +10

    Wadada wengine masuperstaa wakibongo wanashindwaje kujikip busy japo kwenye biashara zao kama huyu Joketi hadi anaheshimika na kuigwa, sasa hawa wengine wanatuangusha sana zaidi ya interview za kubadirisha mabwana tu na ngono hakuna jingine,

    • @abubakaryalmas7673
      @abubakaryalmas7673 4 роки тому

      Hawana jipya mpaka wanaboa kazi kudanga tu nakuvishwa Pete fake 😁😁😁

    • @doreenmalesi6039
      @doreenmalesi6039 4 роки тому

      Na kuongea vizungu fake na binua binua mikope na fashieni Tu

    • @fredylucas2484
      @fredylucas2484 4 роки тому

      @@abubakaryalmas7673 Jamani si wote mbona Shishi Baby na Snura wa Chura ni wajasiriamali zaidi ya Jokate?

  • @adijaniyonkuru9731
    @adijaniyonkuru9731 4 роки тому +5

    🙏🙏👍

  • @jamesmbegeze4122
    @jamesmbegeze4122 4 роки тому +3

    Sauti tamu sana

  • @muniraalrashdi7403
    @muniraalrashdi7403 4 роки тому +3

    Ongera

  • @atikanyomakoi7235
    @atikanyomakoi7235 4 роки тому +1

    Congrats for her

  • @sarahtaste2876
    @sarahtaste2876 4 роки тому

    Ukuu wa mkoa unamuita😍😍

  • @blandinamnyinga8318
    @blandinamnyinga8318 4 роки тому +2

    Jamani naomba kazi Mimi ni matron wa shule fulani ya binafsi natamani Sana kufanya kazi serikalini.

  • @jumahamidu362
    @jumahamidu362 4 роки тому +1

    Speechless

  • @rukiaissah4990
    @rukiaissah4990 4 роки тому +7

    Huyu kaka ndo atangaze storybook

  • @ngwanafabian7532
    @ngwanafabian7532 4 роки тому +2

    Ndiyo maana Magufuli ni habari ya mjini tawala zilizopita usingeona mambo kama haya yakifanywa na mkuu wa wilaya

  • @slimsan3859
    @slimsan3859 4 роки тому +6

    GONGA LIKE KAMA UNAAMINI VIJANA TUKIAMINIWA TUNAWEZA.

  • @lizzydilas9201
    @lizzydilas9201 3 роки тому

    Mheshimiwa nilikua naomba uongeze comb ya CBN katika shule yako please 🙏🙏🙏

  • @neemambega4752
    @neemambega4752 4 роки тому +1

    MDADA UNAJITAMBUA SANA,HIYO NAFASI RAISI HAKUKOSEA.HONGERA KWA WAZAZI WAKO NAAMINI WANAJIVUNIA SANA ,HAWAJAPOTEZA KUKUPELEKA SHULE.

  • @Allykoroshotv
    @Allykoroshotv 4 роки тому +6

    Kwangu we ni bint wa mfano

  • @massvpro
    @massvpro 4 роки тому +5

    WCB Mmefanya kitu kizuri kuonyesha Miradi ya nchi endeleeni hivyo

  • @leynadamwasanga4451
    @leynadamwasanga4451 4 роки тому

    Nmependa Joket

  • @safarikikaadrien108
    @safarikikaadrien108 4 роки тому +2

    Munao lilia sauti ya mutangazaji uyo ndie anaesoma kila siku taarifa za habari kwenye wasafi tv

  • @deograsmbilinyi6236
    @deograsmbilinyi6236 4 роки тому +9

    Joketi mwendo wa kijeshi naona mwaandishi anavyo kimbizwa

  • @auntyjj2754
    @auntyjj2754 3 роки тому

    Nice nice and ni e

  • @abigaeljotham8936
    @abigaeljotham8936 4 роки тому

    Pongezi zake Dc

  • @queenwinnie256
    @queenwinnie256 4 роки тому +5

    Na hao viongozi wengine wanashindwaje kufanya hizi kazi, kupiga kelele tu bungeni hakuna kinachoendelea vijijini, hakuna maji hasa mbeya vijijini serikali sijui anafanya kazi,

  • @dianamalingumu4516
    @dianamalingumu4516 4 роки тому +1

    Hadi machozi ya furaha yamenitoka kuona vitu ambavyo joketi anabyofanya ni vikubwa Sana kushida waliopita maeneo hayo pongezi kwake

  • @stanfordjeremiah8943
    @stanfordjeremiah8943 4 роки тому +3

    Good ideas from Joket but wandishi hamkujiandaa kuandaa content, it is like mlikua picknick

  • @lishuamisi4146
    @lishuamisi4146 4 роки тому +1

    uko vizur joketi chapa kazi

  • @aristotemohamedmz5979
    @aristotemohamedmz5979 4 роки тому +2

    ✌🏽💪🏻

  • @blandinalukole5535
    @blandinalukole5535 3 роки тому

    Jokate wanafikil wanakuchafua kumbe wanakupaisha

  • @lawrencegwerino1656
    @lawrencegwerino1656 4 роки тому

    Safi sana ila hivyo vitanda bolts zinatakiwa zikatwe ziwe fupi maana ni hard kwa watoto

  • @shamsishaaban6695
    @shamsishaaban6695 4 роки тому +4

    Mondi achukue huyu mtoto bwana hata media zake ataziendeleza vizuri kabisa

  • @yahyamkone5601
    @yahyamkone5601 4 роки тому +1

    Joket oyeeeee

  • @maopangyas3381
    @maopangyas3381 4 роки тому

    link for new different audio
    ua-cam.com/video/WiKAVQ07wXY/v-deo.html

  • @mohamedfakili3376
    @mohamedfakili3376 4 роки тому

    Mh.tunakuomba urudi songea uchukue jimbo

  • @rajabuseleman6012
    @rajabuseleman6012 4 роки тому

    Daaah kiukweli viongozi wakiume wangekuwa kama huyu dada ingenoga zaidi dada wangekuhamisha ukaja hata kwetu