Salama Na Jokate Ep 3 | KAMISHNA Part 1
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- #YAHStoneTown #SalamaNa #PodCast
KAMISHNA
Maana halisi ya ’nyota njema huonekana alfajiri’, najua sikuwepo hiyo ‘alfajiri’ wakati Mh Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe anazaliwa lakini hakika nilikuwepo wakati anamaliza wa pili kwenye mashindano ya Miss Tanzania mwaka 2006. Nilikuwepo pia kushuhudia jinsi alivyokua anapangua mikuki na mishale iliyokua inarushwa upande wake kwa zaidi ya miaka kumi na mitatu kabla hajapata cheo alichonacho sasa.
Jokate amekua muerevu toka siku ya kwanza na kwa mazungumzo haya nilifanya naye bila ya shaka yatakupa mwangaza zaidi juu ya haya niyasemayo. Focus alokua naweka kwenye kila afanyalo ni funzo tosha kwetu sote na maana halisi hasa ya adui wa ndoto zako ni kupotea njia na kusahau nia na madhumuni ya mambo yako ulojiwekea kuyakamilisha.
Ni msomi, mrembo, mwenye huruma, mwenye kumjua Mungu, mwenye connection zake, mwenye kutafuta na asichoke na mwenye akili zake timamu haswa. Kama rafiki, nikaona nisiwe mchoyo na kwa ruhusa yake ambayo tuliifuata Kisarawe tumeweza kukaa nae mezani na kuzungumza juu ya siku ya kwanza alipopata tarifa ya kwamba ameteuliwa kuwa Mkuu wa wilaya ya Kisarawe, usomi ndani ya familia yao, kwenda chuoni baada ya kugombea taji la urembo wa Miss Tanzania, jinsi anavyopambana kuijenga Kisarawe na kumbukumbu zake za utotoni.
Please Enjoy.
Love,
Salama.
Listen our Podcast on
Boomplay Link boomplay.lnk.to/SalamaNa
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm
ApplePodcasts Link apple.co/2Ou1bru
UA-cam Link bit.ly/UA-camS...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown
Muheshimiwa she is such an empowerment , I love her so much . Nimejifunza sanaaa ameongeza nguvu yangu flani ivi
Jokaty umeongea poit saana. Naimenigusa saana kuhusu ulezi wawatt nikiwepo mimi wanagu wanalelewa na bibi yao illa nitalifanyia kazi. Asante
I admire this woman soo much she has inspired me to be in government some day,not a politician but as a public Servant.Wewe ni Shujaa Jokate
Jokate is such a role model to be looked up to.
indeed
yan uzuri wa mtu akae bila kujipamba kama muheshimiwa, yan muheshima mashaallah mzuri had maneno yake mazuri
Hata salama yuko good hapaki makorokoro usoni
Kweli mtoto WA nyoka ni nyoka mashallah jokat karith uheshimiwa kutoka kwa wazazi wake watu wasimchukie
Kipindi kizur sana najifunza sana kwenye kila Episode, salama next level sana, production kali sana naiman wengi wanatakiwa kuja na ubunifu km hivi. Hongera sana 👏👏
Salama anafanya serious interviews na serious people ,Big chawa mwanangu Sana ye anafanya makuuz flan hiviiii na watu ama wasanii waliopoteaaa
Yhj
Elly Mtima
Jokate ni jembe since day one na anajitambua sanaa. Keep going Jojo ✊🙌
Yaani yupo vizuri mno..angekuwa ni msichana mwingine hapo na hicho cheo tungekoma kwa mamekup na makope kila kona
Ujembe wake ni nn
@@marthascmahl5787 🐵🐵🐵🐵
Am a Kenyan but jokate is a good role model to young women.
True❤️❤️❤️
Kweli kabisa leo nime mpenda sana
Soook true! I love what she does!
Najifunza mengi kwa watu wanaopita kwenye kiti cha salama🙌🏽 ur the best cheupe😀
Anaweza salama mashallah
Safi sana Mheshimiwa J Mogelo umekua shujaa katika wananchi wa Kisarawe katika kubust Elimu ya Kisarawe Endelea kupambana Usisikilize kelele za Mlango Endelea kutanua Mbawa Zako katika kukabiliana na Upepo Angani
Safi sana salama,nakupenda sana hiyo huyo tu hata Mhe Majaliwa tunapenda sana Waziri wetu na viongozi wengine pia.
Nimecheka msosi ulipokuja Jojo anamwambia Salama "ukianza wewe na mimi nitafata" Salama alivyoanza tu uwii Jojo akamaliza, seems she is a food lover.
Best interview ever.
😀😀😁 uko makini
Hvgty
Jokate you're the best, inspirational to others.. role model to young ladies
Natamani viongozi wengine wajifunze toka kwako,ndani ya muda mfupi wa uongozi wako umefanya mengi Kisarawe,natamani siku moja nikuone waziri kwenye wizara fulani
Mungu Aendelee kukupigania na kukupa hekima Mh. Jokate Mwegelo, ahsante Salama kwa kipindi
Hakika, Jokate wewe ni sawa na mimi. Watu wamekuwa wakijaribu sana kunipiga na mawimbi mazito mazito, lakini wameshindwa kabisaaaa, kwani Mungu wangu amekuwa akinipigania kwa nguvu nyingi sanaaaa. Mungu wangu ndiye njia na kimbilio yangu kila sekunde hapa duniani.
Doing a good job Salama. As for Jokate...she is an amazing woman.
She oz mm real model for us
🔥🔥🔥
I'm Rwandan napenda kipindi hiki,tunajifunza mengi, kutokata tamaa katika maisha, be blessed Salama .
Hi Liliane, uko poa wewe?
I real appreciate Miss Joket. You state on Personal Consistance and Confidence on your plan/dream,absolutely nimekuelewa koz if you keeps listen each people reacts kwakwel hutofika katika lengo au ndoto husika. Let me keep and work upon my dream. Be blessed Mh.Mwegelo Joket.
Joket mhesimwa umeongea point za maana Sana na leo umenipa kitu kwenyew maisha
Hakika yupo vizuri na tumejifunza mengi
Binti kidoti nakuelewa sana. Salama big up with good interview jamani. Na huo msosi jmn unavutia
Yuko vizurii sana kujibu kwa hakili na umakini i like
Allah anatosha,Allah ni mjuzi wa kila kitu kikubwa ni kumuanini kwa kila kitu.
naicheki SALAMA NA nkiwa na fakamia msosi wamtamu nliondaliwa na mke wangu kipenz
Adam Idrisa Hongera
Very intelligent woman, wanaume sijui huwa mnaangalia ninii kwa mwanamke yaani mwanamke kama joketi ati unamwacha aende,yaani unaacha pure silver nachukua pure mabati 😁 kweli usichokijua ni sawa usiku wa giza, 😂 hope werevu wamenielewa.Hongera mheshimiwa joketi ,hongera mheshimiwa Rais magufuli kwa kuchagua chombo hujakosea,salama your the best woman presenter bila kigugumizi.👍🤝
Wanamwogopa, ila mumewe yupo.Wanaume wetu wa kibongo wanapenda watukute mamburula ili wale vyetu wasepe.
Ndoa nindoa na maisha ni maisha
Hakina kizur kisichokina kasoro huwez jua kasoro yake
Salama na Jokate. Love u so much guys.
Ali kiba mjinga Sana kaliacha toto zuri tenalinaakili 🥰🥰🥰
Nakupenda saaaana mh jokate
Nakupenda sana Joket uko vizuri
beauty wid brainz big up sizzz
Mm ni raia wa kawaida sana na wala so staa or what but infact I started admiring this lady ever since she was a little star I admire her alooooot
NYINGINE TENA YA UHAKIKA, KUBWA YA HESHIMA YENYE MAFUNDISHO
Binafsi Mimi namkubali sana Dada jokeite she is so good
Uyu mungu kamjalia kama masiara tu
Mimi kwangu Salama ni mtangazaji bora wa kike wa misimu yote.
Hakika
Wawoo kumbe umarecan kidg upo, Mungu awatunze mnafaa kuigwaa na jamiii
Salama nimefurahi sana kuona interview yako na Mh. Jokate Mwegelo...namfurahia sana...she is young very energetic and surely she is growing with Responsibilities asante kwa interview...young people should take time to be inspired and even parents should listen to this....moulding kids should be the first priority to parents....as we have seen it family pushed her to where she now....and for Kisarawe big thumb up for her...she is changing it to the whole new level...now naona miradi ya maendeleo inafanyika....maji ....shule the most part we needed it(I am from Kisarawe),hopeful in five years to come more and more will come....Asante sana salama....hongera kwa kipindi kizuri...."Yahstonetown is the thing "....endelea kuleta rahaa.Asanteee
Namkubali Sana Jokate
Ni moja ya interview Bora kabisa nilizowah kuzishuhudia
Thanks i love you Salama I love Jocket congratulations
Salma upo tofautii nahichoo sio kipindiii ni chuo chama funzo
From now you are the 👑 of hoster
well done salama, yani nakukubali kinoma noma mwana toka kitambo.
Natamani sana kuwasiliana na muheshimiwa kuna vitu natamani kumshauri kuhusu kisarawe
Salama you're the best dearest🙌🙏🙏
Kipindi kizuri,wewe ni mbunifu
Vipindi vyako vyote huwa ni vizuri sana na vinagusa jamii na watu tunapata mafundisho💕💕
Aliyesikia mifupa kama mimi na anapenda alike hapa😀😀😀
Nimekupenda bule Dada joketi umajielewa sana 😽😽
Salama i wish siku na ww uwe interviewed tujue kuhusu ww i think you have a looot to share to us, please do for us
Ibra from 254 napenda Mheshimiwa Joketi anavoongea👏👌💪
Kiukweli nimevutiwa na kipindi chako da salama.....nakuwa inspired sana
Salama ukivaa baibui unakuwa mrembo Zaid MashaAllah
Unadhani ni anaweza
Jokate, you are a role model!
Nakupenda jojo na kweli unatuinsepare sana kama vijana sijutii kuangalia kipind sweety
She's so smart MashaAllah
Jokate mashaallah mzur jaman
Jokate ni beautiful sna kwakweli🌹❤.
Bora ww,wallah
Wallah,ww nimzuuri kuliko yyte hapa Duniani
Kama wewe sema wasoma comment lazima kuonana nakuona kwenye kila habari auachwi
Hyu jokate hakuleta siasa yy alikuja na vitendo nampenda sna hyu dda
Tunaoisubir kwa hamu gonga like 😀😀
Kama umegundua kila kipindi Salama anavaa nguo nyeusi gonga like twenzetu
Ye mweupe sa ulitaka avae sanda
Uko juu mwanangu💪💪
Joketi kujieleza siyo mzuri kaniangusha
Am really inspired by this interview
Salama hujawahi kuleta MTU hasiyekuwa na kitu cha maana thanks
Yuko bright sana kushinda muonekano.
Nampenda saana Jokate
Mweshimiwa movie yako ya mikono salama ni movie ambayo ni emotional sana
Jokate is smart &bright..anajielewa sana
Hongera kwa hlo
Safi sana Salama long time
Joket my role model forever ✨
My favorite show .....
nakukuabali salama may god bless u
Yu a strongest leader jokate!!!
Jamani nampenda salama
Jokate is so matured siku hizi
Mpo very nice
Natangaza rasmi kumuoa Kidoti.This lady has some brains
Her lifestyles have been inspired us a lot...
Nakupenda Sana dada mheshimiwa joketi plz Kama hutojali naomba nipate namb yako dada
Jokate your amazing
Napenda hiyo 'black dot' karibu na mapua.
Salama kila kitu sawa kabisaa 😚😘but wish u used zile mic ndogo za ku weka nguoni n not those big ones kwa Meza na vitambaa . Waiting fr AY n FA / Professor J on the show
Kweli
Salama nakupenda mipango.yako.yote ni mizuri.lakin leo umechemsha na hiyo style ya kufunika mic sikupenda hayo matambara 😀
Fatma Abdallah 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
I really enjoyed and I learned many things through this interview!!!
Salama nimewakubali ww na Jojo kula msosi Jojo😃😃
Hongera Sana salama
Watu wenye sauti ya muheshimiwa wanakuwaga na sauti nzuri sana wakiimba
Yes MAMAJJB hiyoooooooo street Myangayanga village kulimaaaaa road Mbingaa
Dah mtt mzur
Nimependa sana hii ya joketi natamani tena umludie kumuoji ili azidi kutufundixha zaidi
Jokt ww ni mzuri sana
Nakupenda jokate unaongea point 2pu
Mheshimiwa Joketo salute
Best female presenter in this era ie more creativity,innovative and self determination salama ur the best
5:42 toys hatari sana 💯✅✔️
Salama hivo vitambaa mavofunika navyo mike vipi bana, hembu tumieni vitambaa vyenye swag sio hizo kanga, hazileti shwangwe.
Simon Mwakio yaan kila nikikutana na comment kuhusu hvo vitambaaa yan nachekaa sanaaa😂😂😂
hata mi nilitaka kusema
Najifunza vitu vingi kupitia joketi nampenda sn
🔥🔥🔥
Safi salama na Mh jokate.
Yaaan watu kama hawa ndio wakuwasikiliza sio wakina Amberlulu sijui 🤣🤣🤣
Kweli kabisa
😂😂😂😂😂
😁😁😁😁😁
Kweli kabisa
KWELI dia na Hamorapa...tunataka watu kama hawa.
Ameeeeeeeeen
uyo dada wa chakula anatako jaman mmmmh wa jikoni
😂😂😂
😂😂😂😂heee
😍😍 salama