MSICHANA HUYU ATAMAN KUANGAMIZA WANAUME WOTE DUNIANI, ILA ABAKI BABA YAKE MZAZI TU. SABABU HII HAPA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 вер 2024
  • Msichana huyu anaetamani kuangamiza wanaume wote duniani, abaki baba yake mzazi tu, Ni baada ya mchumba wake kuoa mke mwingine wakati alikuwa ameshajitambulisha kwao kwa ajili ya kumuoa,
    Siku anaenda kuoa mwanaume huyo alilala kwake usiku kucha wakishiriki tendo ndoa. Aongea na mkoi tv

КОМЕНТАРІ • 23

  • @chidybwax8080
    @chidybwax8080 11 місяців тому +1

    Mzr sana ndo changamoto

  • @hellenshani1614
    @hellenshani1614 11 місяців тому +1

    Pole sana Dada. Siku zite mwisho
    Wa ubayq ni aibu.

    • @MkoiTvTz
      @MkoiTvTz  11 місяців тому

      Ahsant Hellen toka Us tumuona ujumbe wako mzuri

  • @zulfajuma8394
    @zulfajuma8394 7 місяців тому +1

    Ingewezekana tungesaidiana, nawachukia sana wanaume ipo kua mwangu tu wakumzaa, waname wanaboa sana

  • @soeurbetty7667
    @soeurbetty7667 Місяць тому +1

    Sote tuliwachukiya wanaume zamani lakini sasa tumeolewa na tupo vizuri.
    Kila kitu na mda wake dada. Wakati wa kuliya na wakati wa kucheka.

  • @lilianmnyanyi1854
    @lilianmnyanyi1854 Рік тому +1

    Huyo alikutafuta ww tiar alikuwa na mchumba wake alikuwa ana kuenjoy tuu

  • @hawakiza6067
    @hawakiza6067 Рік тому +6

    Bint ilaumu nafsi yako
    Kijana kaja kutaka kukuchumbia,
    Alafu unatoka kwa dada yako unapanga, kwa nini usikae kwa dada yako hadi uolewe uende kuishi kwa mumeo
    Kwa nini utakae uhuru na kukubali tendo la ndoa kabla ya harusi
    Wanaume wanatabia ya kumzoea mwanamke na kumkinai
    Huyo aliyeolewa anaonekana alikataa zinaa.

  • @ibraoman2745
    @ibraoman2745 8 місяців тому

    Aikua ridhiki yako dada funga mkanda songa mbele kikubw uko salama shukulu mung

  • @queenesther2639
    @queenesther2639 Рік тому +2

    MUNGU alilijua hili akakataza uasherati uasherati ni sumu ni kifo ni jehanum

  • @kilogreekachananawatuwasio4054

    ShikaAdabu yako madam bola Angekuua tu kama Aliyokua Anakufila wewe Ufanye kutuchukia wote babayako ndio bola mbwa wewe madam pamaja na Uziri wako Auna Eshima kauli zako chafu bola Angekuua👃👃🖕🖕🇹🇿🇹🇿🇬🇷🇬🇷

  • @deborabwire3580
    @deborabwire3580 Рік тому +2

    Daah pole sana ila ushauri wangu Binti ama mwanamke yeyote usikubali kumvulia mwanaume nguo kisa kakudanganya eti atakuoa ukidhani ya kuwa kumvulia nguo ama kushiriki tendo kabla ya ndoa kivutio cha ndoa hapana mwanaume yeyote mwenye Nia ya kuona kwanza hawezi kukwambia et mshiriki kwanza ndo baadae ndoa ukikuta wa hivyo jua kabisa kuwa huyo Hana uoaji anataka tu kukuchezea

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 Рік тому +2

    Uwaangamixe walikushikia miguu wakati unafanya malaya,eti uwaangamixe wanaume wote,tena koma kutoa nux ktk family xa wa2,Kufa nyoko weye.Muuwe huyo babako unalotaka libaki duniani.

    • @msaysha5886
      @msaysha5886 8 місяців тому

      Warangi umalaya kawaida yao

  • @avelinaandrea5031
    @avelinaandrea5031 Рік тому

    pole mndogo wangu

  • @queenesther2639
    @queenesther2639 Рік тому +1

    Umeokoka na kifo ambacho kingekutupa kuzimu Mpokee BWANA YESU Sasa awe Bwana na Mwokozi wako atakupa mme mwema atakulipizia kisasi kwa adui yako

    • @MkoiTvTz
      @MkoiTvTz  Рік тому

      Ni kweli

    • @hawakiza6067
      @hawakiza6067 Рік тому

      ​@@MkoiTvTz kati ya Mwenyezi Mungu na Yesu nani wa kuombwa???

  • @kalssambaboo9932
    @kalssambaboo9932 Рік тому +1

    Hasa alikuacha vp kukuoa hali yakua weye mzur sana misifa yote alikua anakusifia mmh chezea wanaume weye nahuko kwao hata hakuifiwa alikwenda kwamambo hayo ya ndoa yake

  • @chancesholdan342
    @chancesholdan342 7 місяців тому

    Tutolee hii umbwa

  • @samsonbenardmpinga7950
    @samsonbenardmpinga7950 Рік тому

    Habari, naomba Mawasiliano yenu

    • @MkoiTvTz
      @MkoiTvTz  Рік тому

      +255713575718 MKOI T, KARIBU BOSS

  • @DM_15
    @DM_15 Рік тому

    Hii nikotekotetuu wanaume wapo walio pitia kuumizwa kwamawewe nivile tuu wanaume sio waongeaji usiseme wanaume nihuyo mwanaumewako tuu. Viumbe siowanaumetuu hatawanawake niviumbe tushatesekasana nawanawake niviletuu hatuongei usitujumuishe nyau wewe kwanza ninahasìra unavyo tulaumu wanaume wote.