BALAA LA MRISHO MPOTO AINGIZA MILIONI 20 NDANI YA MIEZI MITATU, ATAJA SIRI..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • BALAA LA MRISHO MPOTO AINGIZA MILIONI 20 NDANI YA MIEZI MITATU, ATAJA SIRI..
    Msanii Mrisho Mpoto amewataka watu waingie kwenye kilimo kwani kinalipa sana ambapo kwa ushuhuda wake katika kilimo amelima shamba dogo la nyanya na kuvuna zaidi ya milioni 20 kwa muda mfupi sana wa miezi mitatu tu.
    UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982)
    ( +255 676 229628)
    HABARI MPYA DAILY:www.youtube.co....
    HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:www.youtube.co....
    GLOBAL RADIO TV:www.youtube.co....
    EXCLUSIVE INTERVIEW:www.youtube.co....
    Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania Subscribe bit.ly/globaltv...

КОМЕНТАРІ • 21

  • @KhalidKhan-ud9cz
    @KhalidKhan-ud9cz 6 місяців тому +1

    Mzuri Sana kweli 💖

  • @frankdaudi3203
    @frankdaudi3203 4 роки тому +1

    Ok, kumbe ni imara! Ahsante kwa hamasa

  • @gladysalbinus7646
    @gladysalbinus7646 4 роки тому +2

    Asantee

  • @rahimuhamisi8129
    @rahimuhamisi8129 4 роки тому +2

    Safi mpoto, unafaa kuigwa

  • @amanistephano5208
    @amanistephano5208 4 роки тому +5

    Mi mwenyew nime kuelewa mpoto lkn umekosea mahesabu sio milion 20 ni milioni 28 na mia8. Ata ukifuga kuku wakienyej inakutoa kabisa na unakua don mjini.

  • @innocentmtavangu5466
    @innocentmtavangu5466 4 роки тому +2

    Asante mpoto kwa kunitia hamasa,hivi hiyo mil 20 ww umewekeza sh ngapi?naomba kujua

    • @emanuelmwanga4
      @emanuelmwanga4 4 роки тому +3

      Acha mi nikuambie pia mi ni mkulima wa nyanya ten mzoefu apo so zaidi ya milioni tatu

  • @ireneushaule7711
    @ireneushaule7711 6 місяців тому

    ❤❤❤

  • @filbertnashon7160
    @filbertnashon7160 4 роки тому +2

    Ebu nambie Aina ya mbegu uliyopanda

  • @frankdaudi3203
    @frankdaudi3203 4 роки тому

    Hebu tutajie aina ya mbegu uliyozalisha Mr Mpoto

  • @judithbomola5498
    @judithbomola5498 4 роки тому +2

    Habari mjomba naomba unitajie jina LA hiyo mbegu

  • @williamprosper7251
    @williamprosper7251 3 роки тому +1

    Ametumia mbegu ya Imara F1

    • @allymkobelo7888
      @allymkobelo7888 Рік тому

      Mpoto naomba sapoti yako kuhusu hao watalam nipo mkuranga eneo la goko nalima nyanya

  • @firstlevelcatering2538
    @firstlevelcatering2538 2 роки тому

    Ulifanyaje na ulitumia mbegu gani,pia ulihudumia kwa madawa gani mpaka utarajie kuvuna cret250 ndani ya eneo dogo hivyo!?

  • @richardmpuya5379
    @richardmpuya5379 3 роки тому

    Je hao eastwest seed ili wakupe mbegu zenu na masharti yenu yakoje ili kupata mkopo wa mbegu na madwa

  • @ndogoroedsonsign7145
    @ndogoroedsonsign7145 4 роки тому +2

    Mpoto napataje namba yako Kaka? Nipo mbeya tafadhar.

  • @weymarmtembo9120
    @weymarmtembo9120 Рік тому

    Mjomba mimi natamani kuwa kama wewe

  • @hpp3729
    @hpp3729 4 роки тому

    Mm niunganishe nae anipe kazi ya kusimamia kazi namba yangu 0746086651