MAAJABU: DUKA LISILO NA MLANGO WA MBAO WALA CHUMA NA HAKUNA ANAEJARIBU KUIBA "USIKU NAZIBA NA PAZIA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • #Ripotizamillardayo #AyoTV

КОМЕНТАРІ • 1,2 тис.

  • @fitnesslifestyle.7859
    @fitnesslifestyle.7859 4 роки тому +31

    Jamaa ana imani kubwa sana ndani yake afu ni mkweli, hope wengi wetu tutajifunza kuhusu imani kupitia interview hii. Big up Bro. Millard

  • @KA-yz2ld
    @KA-yz2ld 4 роки тому +2

    Mwenyezi Mungu na mimi nakuomba unizidishie imani kwako yakumpita huyu kaka by your grace🙏🏿... Kaka Nakuombea M/Mungu azidi kukuendeleza kwa kila namna 🙏🏿...

  • @giovannygracious3434
    @giovannygracious3434 4 роки тому +7

    Bwana asipolinda Mji waulindao wafanya kazi bure!! Unaweza ukawa na mageti makubwa na kufuli za alam na bado wez wakavunja na kuiba!! Unaweka turubai unafunga Duka lako unaenda nyumban unalala usingiz mtammmmm kabisaaa Bwana analinda!! Barikiwa mnoooo kaka kikubwa Iman yako na Mungu wako!! Mungu akuinue mnooo katika viwango vya juu.

  • @mbotwambotwa2186
    @mbotwambotwa2186 2 роки тому +2

    Majibu mazari barikiwa sana

  • @jihadabdi7754
    @jihadabdi7754 4 роки тому +3

    Nampenda sana huyu msela Millard ayo big up bro unamaswali yakueleweka

  • @Queen-be1uf
    @Queen-be1uf 4 роки тому +4

    Mashaallah. Allah atakujaalia utaswali pia. Jitahidi uswali sala tano.

  • @winnermariah
    @winnermariah 4 роки тому +7

    Huyu Kaka 🙌🙌Imani yake Kali sana na MUNGU anampenda mnoo..ila Aanze Kusali Abarikiwe Zaidi

  • @hannansdeliciousfood4261
    @hannansdeliciousfood4261 2 роки тому +3

    Hamim sasa uswali bila swala unamuuzi Mungu...Allah hapendi mtu asiependa ibada....lengo tuliloumbiwa ni kumuabudu Allah...S.W....

  • @nalyismail9915
    @nalyismail9915 4 роки тому +4

    Jamaa uko vizuri Ana jiamini Sanaa,kubwa kulikoo sio muongo anaongea ukweliii wenginee wanacheka halii ya kuwa hata msikitin ama kanisani hawajawahii fikaa miaka mingi zaidi yakee,imanii tuu kuamini kwa kila jamboo kuwa mungu yupoo na sio kila anae swalii ndio msafii Sana kuliko wenginee mungu tuu ndio anajuaa

  • @eriqemarson2362
    @eriqemarson2362 4 роки тому +30

    Kuna kitu kaongea huyu jamaaa...."Hatua ya kesho huijui na kikubwa kumuamini sana Mungu" aseee hili swala ni kubwa sana maana huyu mjuba kaelewa kwamba Mwenyezi Mungu ndie mlizi wetu sana wa kila siku....
    may our almight one God bless this Guy truly! maana kama kweli amekiri kwa ndimi zake kwamba Mungu yupo na ndiye mlinzi wetu sisi wanaadam basi Namuombea sana azidi kumfanikisha.
    Inshallah!!!

  • @harounali9057
    @harounali9057 4 роки тому +3

    Kijana chapa kazi uko mbali sana kidunia na Allaah aku ongoze zaidi katika twaa yake uapate kumsujudia.

  • @mutheekigwaci4871
    @mutheekigwaci4871 4 роки тому +2

    Huyu Ni mtunguyaz budaboss Mungu akubariki njaro zako zakubarika👊👊👊👊🙏💪

  • @eliuthamangula1791
    @eliuthamangula1791 4 роки тому +49

    Millard uko vizuri utangazaji: nice questions flow. Mtangazaji mwingine apate mtu anajibu kimkato hivi interview Haizidi dakika moja.

  • @thobiasmwambeta6990
    @thobiasmwambeta6990 4 роки тому +73

    Acheni Iman mbaya, Nampa big up jamaa anaiman Kali Sana kumuamin Mungu .

    • @seifchembela4346
      @seifchembela4346 4 роки тому +1

      Kwaiyo wanao weka milango awa Amin mungu

    • @farajakasikile8846
      @farajakasikile8846 4 роки тому +1

      Sio kwamba awaamini ila imani yake pia ni kubwa

    • @happyjohn5882
      @happyjohn5882 4 роки тому +2

      @@seifchembela4346 kuna tofauti kati ya imanii na kumwomba Mungu, ukiwa na imanii yaan hata kumwabudi Mungu nikitu simple coz maandiko matakatifu ynasema "" Tukiwa na imanii kama punje ya diliani basi tutauwambia mlima ng'ooka na unang'ooka tuu.so hongera sana kwakee brother

    • @sidratybinkhamis2837
      @sidratybinkhamis2837 4 роки тому

      Kwel

    • @shamilanunu4045
      @shamilanunu4045 4 роки тому

      Ana lolote.....Mzee wa Miba huyu

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 4 роки тому +35

    Subhan Allah, interview nzuri sanaa, Mmmh Yuatisha Jamaa.Millard Mfayie Suprise Ya Mlango wa duka.

  • @adremapanya1759
    @adremapanya1759 4 роки тому +3

    Respect kwako Braza Millard Ayo

  • @Mjingafaki
    @Mjingafaki 4 роки тому +4

    Jamaaa kanichekesha sanaa majibu yake

  • @hassanmkungile6021
    @hassanmkungile6021 4 роки тому +9

    Uyu Jamaa anaailkili Sana na wamekutana wote Akil mingi 😂😂😂

  • @maidasaid9449
    @maidasaid9449 4 роки тому +7

    "Sauti y mke wangu uisikie ww...iyo haipo" hata dini inakataz...safi kijana hapa umejali thamani y mke na mwanamke

  • @Intertainment-z1x
    @Intertainment-z1x Рік тому +1

    Kweli mungu ana nguvu sana bro

  • @arushijuma6056
    @arushijuma6056 4 роки тому +26

    Genius Allah akujaliee uanzwe swalaaa brother

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 4 роки тому +1

    Karibu zanzibar wapo wanao fanya ibada lkni ktk biashara zao hawamuamini Mungu wanafanya ushirikina wapo wanaofnya ibada maisha yao hawamwamini Mungu wenye imani mbovu watakuchukulia vingine ila mlizi wa anaefanya ibada na asiefanya ibada Mungu peke yke

  • @mbarakabdallah4631
    @mbarakabdallah4631 4 роки тому +4

    Hyu jamaa anajielewa..ila kwenye ibada ndio mtihani...Allah swt amuongoze ktk hili.

  • @sospetermathias4253
    @sospetermathias4253 4 роки тому +2

    Noma sana Millard sijawahi kuzichoka habari zako

  • @lizburton9833
    @lizburton9833 3 роки тому +4

    Wow! This is God an God is every where , every one believe Tanzania their tough on witch craft but u cant imagine how believe he is

  • @abasisabuni3883
    @abasisabuni3883 4 роки тому +2

    Ma Shaa Allah
    Best interview
    Kuna kitu cha kujifunza kwa huyu jamaa tuchukue mazuri yake especially vile anaamin katika Mungu naamin atakuja kua Muumin mzuri
    Big Millard Ayo
    Leo umepatikana brother

  • @prudencecharles8980
    @prudencecharles8980 4 роки тому +10

    Hata Mimi naamini sane mungu he can move mountains...i just love his faith mungu na amubariki

  • @suncheofficial5827
    @suncheofficial5827 4 роки тому +11

    Huyu jamaa toka dk 1 ya interview kamtaja mungu zaidi mara 20 imani kubwa san

  • @jobaisyrainer711
    @jobaisyrainer711 4 роки тому +13

    km unaamin uyu jamaaa ni mafyaaa wa ndumba gonga like twende sw

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 4 роки тому +1

    Millard umepatikana mpaka anataka kurudia maswali eeeeeh hii kali😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
    Huyo MTU msijaribu kumuibia aisee atakuja kuwatoa mabusha

  • @ismailmajala2802
    @ismailmajala2802 4 роки тому +43

    🤣🤣🤣🤣🤦🏽‍♂️ mlinzi ninaye Mwenyezi Mungu 🙏 Allah akupe nguvu na iman thabit

    • @brobabuu3973
      @brobabuu3973 4 роки тому +4

      Kwa yeyote anayesoma hii..
      nakuombea Baraka na maisha marefu yenye mafanikio tele. siku njema iwe kwako na kwa familia yako YOTE.! Ikikupendeza waweza pita kwenye channel yangu napost mada mbali mbali za biashara na mafanikio uweze kujifunza jambo siku ya leo. Kwa pamoja tutafanikiwa!!

    • @erickevarist8738
      @erickevarist8738 3 роки тому

      Hata mungu anasema usimruhusu ibilisi nafasi wewe

  • @MauFundiElectronics
    @MauFundiElectronics Рік тому

    Interview za Millard ayo TV ni mzuri sana yaani anajua kuuliza maswali yale ya muhimu ni mzuri sana interview

  • @dumelatembo6802
    @dumelatembo6802 4 роки тому +56

    HII IMANI NI KALI SANA NAAMINI MUNGU YU MWEMA NA anapotajwa na anaye mwamini humbariki mara dufu.

  • @mwanahamisisaidihamisi6239
    @mwanahamisisaidihamisi6239 3 роки тому +2

    Mashaallah mungu akuzidishie imani

  • @estatekisombola9251
    @estatekisombola9251 4 роки тому +10

    Jamaa ana akili nyingi sana love from Australia 🇦🇺🇦🇺

  • @djsumahassan2623
    @djsumahassan2623 4 роки тому +2

    juu ya yote ALLAH ndie muweza wa kila jambo brother uko vizuri ALLAH akupe maisha marefu

  • @saidabdullah7273
    @saidabdullah7273 4 роки тому +56

    Mungu ndio kila kitu jamani... ukimuamini kikweli haswa utashangaa ulinzi wake hakuna mlinzi zaidi ya mungu...maneno yake sahihi kabisaa

    • @baltzrluus3287
      @baltzrluus3287 4 роки тому +4

      nawewe amini halafu usifunge mlango

    • @allthingdranabeauty
      @allthingdranabeauty 4 роки тому +1

      Sometimes sio uchawi sababu anajiamini na hao walimzunguka hawawezi sababu wameshajiwekea kuwa ni uchawi sio hawawezi kuiba kwa kuogopa

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 4 роки тому

      Angefungua huku kwetu huyo Mungu ndio angemtwika Mwizi mzigo.

    • @gloryjulius1108
      @gloryjulius1108 4 роки тому +1

      Hakika hakuna kinachomshinda Mungu aminini tu

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 4 роки тому

      Hakuna imani ya mtu kumuamini Mungu halafu uikate miaka 7 hujasujudu. Kwawaida ya imani ya kumuamini Allah/Mungu inakupeleka kwenye khofu ya kutokutenda aliyoyaamrisha na kukupa mapenzi ya Mola wako. Ssa yy imani yake iwe inampeleka wapi miaka yote hiyo? Na anaimani kubwa ya kuacha duka lisiguswe. Allah anajua yaliyokwenye nafs yake lkn ndugu zangu tofauti ya muisilam na asiekua muisilam ni swala.
      Na alipojiwa Nabii Mussa (A.S) na mwanamke aliyezini na kuua mtoto akamfukuza kwa kukhofia adhabu za Allah zisishuke naye yupo pamoja na yule mama. ALLAH alimtaka amrejeshe yule mama na akamuuliza Nabii Mussa kwani hakuona mtu mwenye makosa zaidi kuliko huyo mama na akaambiwa ni twariqu swalaa ambaye kinaingia kipindi cha swala na yy anaamua kwa makusudi kua haswali.
      Swala ni mkoba wa kutia amali zako bila ya swala ni sawa na kwenda kuokota maembe halafu ukawa huna cha kutilia.
      Kama kweli anamuamini Mungu na anajua Mungu anamlindia mali yake imani ingekwenda kwenye kurejesha shukurani/swala na ingemtengeneza hadi akaingia masjid kujumuika na wanaume wenziwe na pengine adhana ya sala anaisikia na anaipuuza imani gani hio kubwa?
      Allah amuongoze yy na sie, Amiin.

  • @moonfmoontv
    @moonfmoontv 4 роки тому +2

    Am from German.. I don't understand Swahili... But huyu jamaa katisha sana

    • @erickdonick6485
      @erickdonick6485 4 роки тому

      Kuma makoo unakaa buza

    • @adamally6
      @adamally6 2 роки тому

      hhhhhhh ss umemfahamuje na huelewi kiswahil

  • @marywillium7471
    @marywillium7471 4 роки тому +5

    Nakupenda Millardayo kwa Kaz Zako..GOD BLESS YOU KTK KAZI ZAKO...♥️♥️♥️😍😍

    • @stellashore3104
      @stellashore3104 4 роки тому

      Mmh,kuswali haswali,labda kama ni mtoaji mzuri wa sadaka na kusaidia wasiojiweza ,Mungu analinda kweli.

  • @epafrangweshemi4014
    @epafrangweshemi4014 4 роки тому +2

    Kama anayosema ni kweli, Ndio imani tunayopaswa kuwa nayo yani mahusiano ya moja kwa moja na Mungu. Kanisa, misikiti na mahekalu yanasaidia tu kutufundisha na kutukumbusha juu ya kumjua Mungu na uwezo wake. Kuna la kujifunza kuhusu Imani hapa kuwa Mungu anaweza kila kitu isipokuwa sisi wenyewe tunamwekea mipaka na kujitia unajisi ndio tunapotetereka.

  • @jamalmohamed4058
    @jamalmohamed4058 4 роки тому +3

    MASHA ALLAH... AMEMTANGULIZA ALLAH

  • @ayubujohn7621
    @ayubujohn7621 4 роки тому +2

    Nimependa sana interview yako mungu akubaliki kazi yako

  • @angeljasson4376
    @angeljasson4376 4 роки тому +77

    Hyu jamaa inawezekana hana lolote ila kwakua sio kawaida watu wanaogopa2 alf ana akili nyingi sana

  • @tumtumkhan3115
    @tumtumkhan3115 4 роки тому +2

    Jamaa amenifurahisha kweli. Nilikuwa na tafash zangu nimezisahau

  • @allyhussein6363
    @allyhussein6363 4 роки тому +78

    Angekuja kufungua uku mtaan kwetu. Nadhani akil ingemkaa xawa tu. Wangap wanakubal kuwa mtaan kwao amnaga uzembe kama uwo? Like hapa na ku comment

  • @mgendimussa7224
    @mgendimussa7224 4 роки тому +2

    Maisha yana siri kubwa sana hata mtu afanye nini jambo la kwanza utasikia namuachia Mungu kwani Mungu ndo kimbilio lao ila matendo yao ni siri kubwa sn

  • @swahibsinjo8439
    @swahibsinjo8439 4 роки тому +5

    Kuna kitu ya pazia huyu jamaa anatudanganya, hata Mungu anataka ujisaidie kwanza ili akusaidie sasa wewe jaribu kuacha milango wazi halafu useme Mungu atakulindia, kama ndo hivyo tusingekuwa tunaenda makazini Mungu anatudondoshea tu biriani gheto!!!

  • @mbarakabdallah4631
    @mbarakabdallah4631 4 роки тому +1

    Daah milad blog yako inapendwa kichizi..hadi laki zako one m na zidi ...hongera kwanza

  • @kijonalusay
    @kijonalusay 4 роки тому +5

    Nimempenda jamaa jinsi anavojibu maswali Allah azidi kumsimamia ila kazingua kua ana zaidi ya miaka 7 hajaswali hakika huu ni mtihani kwake Allah amjalie na imani yake izidi na aanze kusali

  • @tawfiqahmadbakari4314
    @tawfiqahmadbakari4314 4 роки тому +1

    Jamaa ana maconfidence hatr

  • @hawabilali4837
    @hawabilali4837 4 роки тому +11

    Hakika Mungu anaangalia moyo wa mtu, kumuamini Mungu kupo ndani ya mtu sio watu wanavyokutazama.

  • @mtukwaomedia
    @mtukwaomedia 4 роки тому +1

    Milad ayo unamaswali mazuri sana

  • @khadhoujjojo338
    @khadhoujjojo338 4 роки тому +7

    Astaghfirullah muislamu na huswali na wamuamini mungu..."kumuamini Allah(M. Mungu) ni misingi ya dini zote.

    • @rukiamussa9509
      @rukiamussa9509 4 роки тому +1

      Unaweza usali na matendo yako ya ovyo ndio mana unaambiwa UISLAM UNAANZA IMANI MASHALLAH KAK MUNGU AKUONGEZEE IMANI ZAID SIKU MUJA UTASWALI INSHAALLAH

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 4 роки тому +1

      @@rukiamussa9509, Tofauti ya kafiri/asiemuisilam na muisilam ni swala

    • @mariammuscat4300
      @mariammuscat4300 4 роки тому +1

      Aallah amjaliye aswali

    • @khadhoujjojo338
      @khadhoujjojo338 4 роки тому

      @@mariammuscat4300 Allahumma Ameen

  • @ml-elisante-kwayayavijanai6570
    @ml-elisante-kwayayavijanai6570 4 роки тому +1

    Kweli Kama anamwamini Mungu itakuwa anaiman kubwa Sana. Big up bro

  • @iddyshabani5942
    @iddyshabani5942 4 роки тому +29

    KAMA UMEGUNDUA MILARD AYO ANA WASI WASI /KITETE /MTERO GONGA LIKE

  • @paradisefelix1218
    @paradisefelix1218 4 роки тому +1

    Duuh! Noma kwa dunia hii ukodi duka bila mlango ni majanga utaibiwa mpaka utachukia biashara bado nashangaa hilo duka na musika anasema haswari lkn duka linalindwa na Mungu aise kweli Mungu yupo kwa msiojua km Mungu yupo duuuh! Ila kaka ungefunguka tu tujue ulichokifanya mpaka ujiamini hivyo kuacha duka wazi duuu!

  • @katibatanzania3089
    @katibatanzania3089 4 роки тому +27

    Uyu jamaa yy amemuamini sana mungu ndiyo mana amejiyamini na wa tnzna awajawahi kuona mayisha ya namna hiyo ndiyo mana wanashindwa kuiba

    • @mcctz3672
      @mcctz3672 4 роки тому

      Mmmh ametisha

    • @titusmayala4658
      @titusmayala4658 4 роки тому

      Hahaha, ana confidence sana na anajibu kwa kujiamini, nachojiuliza haendi kuswali kuna nn hapooo?

  • @grecioussilas9885
    @grecioussilas9885 4 роки тому +1

    milard kweli unatupasha habari sina cha kukupa ila ...# mungu atakupandisha viwangoooooo

  • @idreamfoto
    @idreamfoto 4 роки тому +8

    God First!

  • @tricemollel6739
    @tricemollel6739 Рік тому

    Jmn millard hilo ni bonge la interview ♥️🙏💪

  • @kibonaamenye6878
    @kibonaamenye6878 4 роки тому +9

    ebwanae Mungu yupo na anaishi na watu wake, amini Mungu yupo na nguvu zake na miujiza yake inatembea nasi., Amim kunakitu umenifunza

  • @eliajuma9012
    @eliajuma9012 4 роки тому +2

    Et duka unaacha waz arafu unamwachia mungu ukulindie! Mungu humsaidia yule anaejisadia mwenyew

  • @d.m453
    @d.m453 4 роки тому +23

    Ujasiri wake umewafanya watu kuwa waoga wanahisi kunanguvu ya ziada,wanashindwa kuiba.

    • @lizzydiy4590
      @lizzydiy4590 4 роки тому

      Mmmh sio rahis kua na ujasir huo pengne Kuna kityuu

    • @mustaphyassin9743
      @mustaphyassin9743 4 роки тому +1

      Debora nicheki kwa no 0629908339

    • @d.m453
      @d.m453 4 роки тому

      @@mustaphyassin9743 Kuna nini?

  • @rahmahersi6584
    @rahmahersi6584 4 роки тому +2

    Ishi uone mengi ya dunia.
    Millard Ayo.

  • @allisonmadii7620
    @allisonmadii7620 4 роки тому +16

    Ntwara Njini kwa Nkuu wa Nkoa..hahaha nimekubali.

  • @violetpaulsen1741
    @violetpaulsen1741 3 роки тому +1

    Tumuamin sana Mungu ndugu zangu

  • @mwinukafundibombanjombe
    @mwinukafundibombanjombe 4 роки тому +54

    Wezi lazima wanamjua uyu jamaa ivyo wanaogopa kuingia kwenye 18 zake

  • @mwinyicostantino9862
    @mwinyicostantino9862 4 роки тому

    Hahaha! mr milard apa uligonga mwamba broo ulikifata sicho ulichokipata;pole ila unapambana 4sure broo,kip it up

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 4 роки тому +18

    Kumbuka mwenyezi Mungu aliyetuumba ndiye alietuamrisha tuchukue tahadhari.Uinzi muhimu

  • @paulmtungalyambo2065
    @paulmtungalyambo2065 4 роки тому +1

    Hakika ndomana ata neno là Mungu lishasema ata wachawi na mashetani Wanamjua Mungu na jina lake likitajwa wanatetemeka

  • @fedelinamahenge6649
    @fedelinamahenge6649 4 роки тому +3

    tanzania kuna watu wana akili sana huyu ni hatari akili yake sio ya kawaida ila du nabii hakubariki kwao

  • @healthchoicewithluciebern8741
    @healthchoicewithluciebern8741 4 роки тому +1

    Anamfanana na Mama Diamond bien Sandra

  • @gracetiampati2170
    @gracetiampati2170 4 роки тому +5

    Millard Ayo.
    Nakupongeza kwa kazi nzuri unayo fanya. But ningomba uweze kua unawesa simu ya mwanchi maskini Kama huyu kwenye habari zake unapo zizimua, ili walinwengu wapenda wema na wanao sikia Kama wamependezwa na juhudi na Imani ya mtu Kama huyu na kutaka kumchangia kitu kidogo pengine akaweza kuongeza biashara yake au kununua matunda akala na familia yake Basi anawesa kuwapatia. Please

  • @asiajuma8330
    @asiajuma8330 4 роки тому +1

    Mungu ndio kila kitu kaka uko vizuri alafu ni mtafutaji sana

  • @bmpondamussa3624
    @bmpondamussa3624 4 роки тому +12

    Maa sha llah kama unamuamini Allah kweli nikila kitu ila namshauli aswali.

  • @mshindinewtvshow705
    @mshindinewtvshow705 4 роки тому +1

    Ukiona hvyo ukoo mzima unaimani nzito kama hata nyumba ya mamaake haina madilisha😍

  • @sweeteverline4592
    @sweeteverline4592 4 роки тому +3

    Hyo inaitw guswaa unaswee jamaa anaaakili n anasiriii sanaaaa hkun mtu ataiba km hajakuta kanaswa na ulimbooo😂😂😂

  • @fatmaahamadabass8080
    @fatmaahamadabass8080 Рік тому

    Nitakuja Nalingu nikuone kakangu Inshallah si mchezo salut kwako.

  • @hajielmi7518
    @hajielmi7518 4 роки тому +12

    Anatafuta mtu amtoe kishipa😂😂😂

  • @favourkind3746
    @favourkind3746 4 роки тому +1

    Imani ya kumwamini Mungu tu

  • @breackychangwe7326
    @breackychangwe7326 4 роки тому +7

    Daaaaah Jamaa Akili nyingi sana

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 4 роки тому

    Hongera sana kwa kweli maongezi yako Yana hekma sana ila hapo kwenye ibada ndio katuangusha ila mungu atamfanyia wepesi inshaAllah

  • @husnamahadhi7437
    @husnamahadhi7437 4 роки тому +5

    Hakujiombea nafsi yake ameiombea jamii huyu kaka Mungu amsahidie in sha Allah

  • @fatmastawbry6090
    @fatmastawbry6090 4 роки тому

    angeswali mungu angebariki biashara yake.imani bila kuswali haina barka

  • @kingwatabata4230
    @kingwatabata4230 4 роки тому +9

    Kama umesikia SISWARI twende sawa😂

  • @amoskitiku4418
    @amoskitiku4418 4 роки тому +2

    🤣🤣🤣🤣 Iman ya kumuamin Mungu ulianza mwaka gani🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @zabibumunis673
    @zabibumunis673 4 роки тому +12

    Baada ya interview baadae hao Majamaa wanaotizama hapo watakujakujaribu kuiba

  • @pickmaxtv7689
    @pickmaxtv7689 4 роки тому +1

    Kikubwa kumuamini mungu anayosema yanawezekana

  • @amaniamani1129
    @amaniamani1129 4 роки тому +3

    Nimependa hekima ya majibu yake yupo vizurii Sana'a
    Na katika maisha ujasirii ni dawa toshaaa

  • @jjdamimi7234
    @jjdamimi7234 4 роки тому +2

    Sasa ukitaka kujua tofaut ya namna yakuhoj watu nenda kaangalie mahojiano ya wasaf tv bana w wale watu wanamaswal yakijinga sana ila millad n konki

  • @georgewilliam1944
    @georgewilliam1944 4 роки тому +9

    Milllard Ayo hatari ameuliza mpak mwisho Media zingine zikija hazina maswali😁😁😁😁😁😁😁

  • @alliymohamedalliy6524
    @alliymohamedalliy6524 Рік тому

    🤦‍♂️ Samahani hii video ndo naiyona leo,naomba nitimize ndoto za huyu mtu.nipo Zanzibar nimkaaz wa huku na Nahitaji aweze kuyafikia maisha yke anayo yahitaji. MILAD Wasiliana nami kwanjia ya email .Ahsante 🙏

  • @husnahassan6289
    @husnahassan6289 4 роки тому +10

    Muhojiwa yupo seriously mpka anatisha kha hahahahah

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 4 роки тому +2

    Yaani Unaweza ukaswali sana Na usiingie mbinguni lakini Huyu asiyeswali akaingia mbinguni sababu kaongea Kweli Toka moyoni,Yaani Ni msafi hana makorokoro kabisaaa

  • @rachelhozza7047
    @rachelhozza7047 4 роки тому +3

    haaah shikamoo mzee wa mungu

  • @hannansdeliciousfood4261
    @hannansdeliciousfood4261 2 роки тому +1

    Karib znz Hamim tunakukaribisha

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 4 роки тому +30

    Hiyo Technology tunaihitaji bro
    Wala mimi siiti kitu hicho uchawi
    Jamaa ana camera 🎥 ya kidizaini🇹🇿🤣🤣🤣
    Kama huamini gusa pale uone bara🤣🤣🤣

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 4 роки тому

    Nakhofia ni mshirikina ingawa anapinga lkn kama ningekua mm ningemlisha kiapo asidanganye watu.
    1) Twariqu swalaa kwa muda wa miaka yote hiyo na tofauti ya muisilam na asiekua muisilam ni swalaa. Na ww unasema unamuamini Allah! Unamuamini vp wakati hata humshukuru kwa neema alizokupa?
    2) Duka linatoka watu wanalipa, korosho mpaka milion 10 lkn mtaji wa kwenda Znz huna. Hio ni moja ya sign ya washirikina hua muflis kwa kuendekeza shirk/mihanga na mengineyo.
    3) Change usiku hutoi.
    Ndugu yangu muogope Allah, Maisha ni mafupi na unaeza kudanganya wasiokuona lkn Allah anakuona na anajua uliyoyaficha na ipo siku utarudi kwake. Allah atuongoze sote, Amiin.

  • @bintiiddy7043
    @bintiiddy7043 4 роки тому +24

    Kijana yuko vzr mjengo wake wamaona insha Allah kijana utamalizia😍👌

  • @Angobiztz
    @Angobiztz 4 роки тому +1

    Millard Ayo moja ya interview kali ulizowahi kufanya na watu hii ni mojawapo kwa sababu umekutana na mtu ambaye yupo serious na anachozungumza anamaanisha kweli. Hata wewe mwenyewe imekufanya uwe mtulivu sana na kumsikiliza kwa umakini sana