PAULA sio mzuri kama mimi, ashukuru mama yake ni star, mimi sitegemei mwanaume kuishi; MREMBO DOLLY

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 411

  • @OfficialBlanco796
    @OfficialBlanco796 2 роки тому +21

    Alafu huu dada anajiamini sana and she’s smart and intelligence…anyways much love to you wana sns all the way from USA 🇺🇸

  • @priscaphedrick2396
    @priscaphedrick2396 2 роки тому +10

    Daaah paula ningazi eee haya pandeni mfike mnapo taka kufika lakini msiitipe ngazi mnayo pandia PAULA BG UP

  • @hannansdeliciousfood4261
    @hannansdeliciousfood4261 2 роки тому +29

    Kawaida saana mzuri asaa haweki makeup wala makope bandia......yy aseme tuu kila binaadam ni bora mbele ya Muumba....mzuri hajisifu...mzuri husifiwa....

  • @uwimanacitegetse9926
    @uwimanacitegetse9926 2 роки тому +16

    I love interview but If you say I’m so beautiful Namkumbuka ma sogange She was Beautiful 💕💕💕🔥leohi yikowapi Last in peace😭💕

    • @njmahn3262
      @njmahn3262 2 роки тому +3

      Mm nadharau mtu anaongelea mwenzake vibaya nakujiona yeye ndo yeye ety paula sio mzuri mm nimrembo kumliko mmh asubir kwanza asifiwe....

    • @miriamwinston9908
      @miriamwinston9908 2 роки тому +1

      Hata sisi wote tutareast in peace alietuumba uzuri ndio yeye atauchukua

    • @miriamwinston9908
      @miriamwinston9908 2 роки тому +1

      @@njmahn3262 kabisaa bora usifiwe ila sio ujisifie

  • @pamelawanderaofficial6257
    @pamelawanderaofficial6257 2 роки тому +9

    Very true Fahyma is a good vibe n kudos if you got inspired by her. She is a brilliant and hard working lady too

  • @pamelawanderaofficial6257
    @pamelawanderaofficial6257 2 роки тому +9

    Very good . Being independent gives you liberty. No one owns you. Alhamdululai.... Great vibes

  • @anicyaedward5605
    @anicyaedward5605 2 роки тому +8

    The true speaking she is beautiful and attractive .. sema hasiwe anasema oooh am cute than cjui nn ... ila fayhma pia ni mzuri wanafanana kweli

  • @agneskadzo6105
    @agneskadzo6105 2 роки тому +10

    kafanana na Fayma kweli kweli.Beuthfull and cleaver young Lady

    • @divinebernard1047
      @divinebernard1047 2 роки тому

      Tena ana confidenty kama fayma yani nimejikuta nimempenda

  • @mariamshija7882
    @mariamshija7882 2 роки тому +12

    Paula mzuri Sana...kakuzidi kila kitu

  • @rukiakaran126
    @rukiakaran126 2 роки тому +12

    ww dada kma umepta ustaa kwa nguvu hutakiw kumponda paula kwanza sio age paula ni mzuri hta kma asingekuwa na wazaz mastaa achen roho za kwann

  • @josephina3294
    @josephina3294 Рік тому

    Weeee Paula pc Kali kama mnamabifu yenu sio kwa ili namkubali Paula ilove u😋😋😋😋

  • @rwandan2538
    @rwandan2538 2 роки тому +13

    Uyu katumwa na fahyma binti gani wa akili timamu atasema mi ni cute kuliko paula
    We dada enda pole pole la sivyo watu wengi watakuchikia ji seme wewe nakazi zako uache ku endelea kupandia kajala na paula

  • @joycetematema1324
    @joycetematema1324 2 роки тому +18

    Wee ni mzuri sana,jiamini usiangalie wengine kaza buti Dolly,

  • @queen.christelle1
    @queen.christelle1 2 роки тому +58

    Wanaosema wanawake hawapendani huwa hawasemi uwongo utasema wamekosa kazi kucukiana tu ndo kazi Yao Sasa wewe Maisha ya mtu Na uzuri wake una kuusu nini kama sio kutamani kuwa yeye ujinga tu

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 2 роки тому +1

      Hana akili uyo achana nae!!! Kwanza nani anamjua akafuse mbele uko

    • @vickydan2869
      @vickydan2869 2 роки тому

      Anajifananisha na mtoto hana hata miaka20 alf bint hana muda na mtu

    • @treasureforashes3497
      @treasureforashes3497 2 роки тому

      Kabisa,na sana wivu ,wanawake wana wivu sana sana sana

    • @njmahn3262
      @njmahn3262 2 роки тому +1

      Anaboa uyu kma kwel anajiamin asingejibu ilo swali la Paula ivyo aache wivu tu

    • @shamilamaulidy545
      @shamilamaulidy545 2 роки тому +1

      Anatafuta kujulikana kupitia Paula na mama yake

  • @berthamatinde5088
    @berthamatinde5088 2 роки тому +8

    Paula mzuri.sana..kuliko wewe.unatafta ustaa kupitia paula..😛😛😛

  • @mwaminiesperance6276
    @mwaminiesperance6276 2 роки тому +18

    Memo mabaya kama fahyma mwenyewe paula she’s beautiful natural wachakuwaongelea wenzio we dada

    • @fridasky1019
      @fridasky1019 2 роки тому

      Nikweli kwasababu akicheka hapendezi,nandomaana uzuni unazidiana

    • @mwitaagness455
      @mwitaagness455 2 роки тому

      Acheni kushindaniana uzur binadamu wote ni sawa, mwambie Mumbai asante kwa jinsi ulivyo, sbb kuna watu wapi dunian tokea wamezaliwa hawajui dunia ikoje yaan hawaon, kuna watu hawajah kutembea wanatamani Watembee, kuna watu hawasikii wanatamani kusikia, hivyo acheni upuuz wa kusema huyu mzur huyu mbaya hii ni kukosa hofu ya Mungu😒😒😏

  • @christinaonditi9341
    @christinaonditi9341 2 роки тому +21

    Kafanana na Fayvani💚

  • @pamelawanderaofficial6257
    @pamelawanderaofficial6257 2 роки тому +7

    Beauty is not outside looks alone. Bit inside beauty is key n she has it all

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 2 роки тому +11

    I love her confidence but about paula umedanganya she's beutiful...

  • @treasureforashes3497
    @treasureforashes3497 2 роки тому +8

    Beauty lies in eyes of the beholder, Ni urembo wa sura unayeyuka,

  • @pamelawanderaofficial6257
    @pamelawanderaofficial6257 2 роки тому +8

    I love her focus n discipline

  • @denicegabriel6616
    @denicegabriel6616 2 роки тому +42

    Kila m2 NI mzuri, na kila binadamu yupo Kama alivyo kwa sababu

    • @lizzydiy4590
      @lizzydiy4590 2 роки тому +1

      hongera sana umeongea point my friend

    • @listerlujiso6009
      @listerlujiso6009 2 роки тому +2

      Hapo umenena sio kujipandsha mzur kwa kipi ulichozdi wengine kila mtu mzur kwakweli

    • @Echital
      @Echital 2 роки тому +2

      Kuna standard za Dunia hii kwa sasa natoka kitambo,rangi nyeupe ,pua ndogo,lips na macho,nywele zenye afya,shape na kimo hivyo tuu ni uzuri wa muonekano ndio maana mpishi mmoja kipimo kile kile ila bado utachagua andazi zuri.
      Ila uzuri wandani wa kujiamni na kujipenda neno la Mungu linatufundisha vyema ikawa asubuhi mchana siku ya SITA😉

    • @fridasky1019
      @fridasky1019 2 роки тому +2

      Mtu mzuri ni yule amchaye MUNGU ,watuacje kwanza tupumue

    • @listerlujiso6009
      @listerlujiso6009 2 роки тому

      @@fridasky1019 hilo nalo neno

  • @felisterchimtunga9386
    @felisterchimtunga9386 2 роки тому +14

    Kwani uzuri wenyewe unasemaje!? Make kwanza nicheke. Harafu huyu demu usikute anatumika nahao wanaume kuliko katoto kawatu paula. Na nnachompendea paula hajawahi kumsemea fayma vibaya

  • @rebekalucasmalima156
    @rebekalucasmalima156 2 роки тому +4

    Congratulations to youu dolly,i appreciate you big ups❤️❤️

  • @pamelawanderaofficial6257
    @pamelawanderaofficial6257 2 роки тому +12

    No wonder I like her vibes. She's so mature

  • @backamwasha8280
    @backamwasha8280 2 роки тому +4

    Wewe uwezi lingana uzuri na Paul bado sana Paul ni mzuri Sana na Tena bado ni mdogo siyo kama Wewe pia uzuri unatakiwa uambiwe siyo Wewe useme ni mzuri

  • @annageorge43
    @annageorge43 2 роки тому +8

    Kwa kweli hasa Domo lake. Hakushindi kwa lolote. We mzuri bhana. Nakupenda. Big up.

    • @uwinezajohara8362
      @uwinezajohara8362 2 роки тому +2

      Wewe unakamilika? Biti mdogo anawasumbuwa sana

    • @vickydan2869
      @vickydan2869 2 роки тому +1

      Paula anaubaya gan wa mdomo paula mzur bila hata hayo makope na mekap

    • @uwinezajohara8362
      @uwinezajohara8362 2 роки тому

      @@vickydan2869 mimi nawachangaka sana wanao sema pau si mzuri ,pau anauzuli wake tangu utotoni wawe wanatizama picha zake zautoto kabra ya kumchafuwa

  • @fridahnkatha8962
    @fridahnkatha8962 2 роки тому +5

    Beautiful queens focused,intelligence,independent 😘keep up girl

  • @christinaonditi9341
    @christinaonditi9341 2 роки тому +14

    Nimekupenda confidence kama zote na unayo malengo safi kabisa na ndoto nzuri mno,lkn hapo pa kumponda Paula!! umeonesha wivu na chuki,sio poa au ndio kiki?ujanja kupata,yeye ndio keshaupata ustar kimteremko kupitia wazazi wake, na babe,aliandikiwa hivo na Mungu,kama wewe umeupata ustar kwa shida,ni wewe,hizo ni shida zako, sio za paula.heahima kitu cha bure mama

    • @vickydan2869
      @vickydan2869 2 роки тому +3

      Mwambie!!! asijifananishe na paula paula ni levol nyngn yy hajawah hata kudet hata hamrapa unajifananisha na paula, mama yake paula anahongwa marangeeeee mawili mawili baba yake ni njia ya wasanii paula kafika dubai na kasoma uturuki ww hata kenya hupajui tulia ww kwanza hatukujui wngn ndo tunakuona leo mxiuuuuu

    • @terrymuso894
      @terrymuso894 2 роки тому

      Mwambie ukweli Kisha asimwone Simba kanyeshewa akadhani ni paka .. Paula hapendi mazoea kabisa utajuta kumtaja na mama yake chunga wasikugeukie utajutia kama fyma

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 2 роки тому

      @@vickydan2869 Dar yenyewe kaingia juzi, kuku mgeni hakosi kamba miguuni

    • @ivonaanthony4386
      @ivonaanthony4386 2 роки тому

      Achen ujinga

    • @angelaminde1247
      @angelaminde1247 2 роки тому +1

      Kwakweli ni mzuri sana ila sijapenda anapomkandia Paula binafs sijapenda. Jifunze kujisemea wewe na ajifunze kuwa na akiba ya maneno.

  • @agnesmajora4765
    @agnesmajora4765 2 роки тому +11

    Wewe dada acha kumesema Paula ivi unajuwa wewe nimbaya sana huwezi lingana na huyo mtoto Fanya yako ndiyo maana huna maadiri

    • @priscaphedrick2396
      @priscaphedrick2396 2 роки тому

      Naona kaamua kutoka kwa kutumia jina la paila kama sio asinge tumia jina la mtu yeyote nimetumia kwenye dasty been

    • @ivonaanthony4386
      @ivonaanthony4386 2 роки тому

      Achen ujinga paula ni nguruwe anabebwa na ryvan

  • @lilianmpinalugoda5894
    @lilianmpinalugoda5894 2 роки тому +1

    Congratuation to you dolls, God blessing u ma dear

  • @jollywilson9938
    @jollywilson9938 2 роки тому +11

    As long as kila mutu atakufaa sina chakuringia hapa Duniani🙌🙌

  • @naomibildad509
    @naomibildad509 2 роки тому +4

    Nimependa ulivyo na unavyojiami na unavyojitambua super girl, keep it up.

  • @marycelynapascal3094
    @marycelynapascal3094 2 роки тому +9

    She's smart anajitambua Sana

  • @ericklaura7511
    @ericklaura7511 2 роки тому +16

    I think is not good to comparing the beauties among ladies themselfs ❤💃

  • @pamelawanderaofficial6257
    @pamelawanderaofficial6257 2 роки тому +6

    Her discipline is awesome

  • @shyllahnekesa216
    @shyllahnekesa216 2 роки тому +17

    Paula mzuri sana tena tumemuona akikua yy kudate Rayvanny inawauma wadada wengi poleni sana wanuka shombo

  • @husnaalrwahi7864
    @husnaalrwahi7864 2 роки тому

    Wadada kama Hawa hawanagahakili Ivo hujiulizi kuwa mungu ameumba MTU Kwa uzuri wake watu wote nimazuri duniani

  • @aishanaria7516
    @aishanaria7516 2 роки тому +4

    Nimekupenda sana ww dada wote wanyumbani

  • @nataliesospeter1644
    @nataliesospeter1644 2 роки тому +1

    Good my dear is very important ur good point ✌️

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 2 роки тому +1

    Paula she's beautiful mashaallah

  • @SelineChandja
    @SelineChandja 18 днів тому

    Kamfanana Fahyma sana uyo dada❤❤

  • @mugema9813
    @mugema9813 2 роки тому +21

    Kweli unafanana na fayvan lakini uaijidanganye mtoto wa kajala hujamfikia . wewe umejionaje au bf kakudanganya?

    • @vickydan2869
      @vickydan2869 2 роки тому

      Atakua aliambiwa anafanana na fayma ndo maan anajikopea na paula paula ni mzur bila hata vipodozi

    • @anicyaedward5605
      @anicyaedward5605 2 роки тому +2

      Weeee uliwai muona paula live ni mrembo uzuri wake wa kawaida sana ila huyu dada na Fayhama ni wazuri na wacuteee ... yan hapa ndo ukweli no uteam hapa ila paula ni mzuri wa kawaida sana so many times namuona St. Peter na mama ake

    • @gracek5425
      @gracek5425 2 роки тому

      @@anicyaedward5605 kwa kweli mbali na uteam fayma ana urembo wa asilia

    • @mugema9813
      @mugema9813 2 роки тому

      @@anicyaedward5605 mimi sina timu hata kidogo . huyu mtoto kuna mahali pengi nimemcrush . usifikili tunamuona inster tu . ni mrembo na atabaki kuwa mrembo .

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx 2 роки тому

      Kwanza nicheke maana watu wanajisifia wazur wanamakope ya bandia manywele ya bandia makeup kma zote nywele madawa wanawake wazur hsa wamasai maana hta wanja hawajipaki na wala manywele bandia wanauzuri wa asili ndio uzuri si hawa wanaopiga mapicha wanaoeditiwa kila kitu.

  • @FaswihaHamimu
    @FaswihaHamimu 6 місяців тому

    Wewe so mzuri kakuzidi Paula wewe unaonekana kwasababu ya rangi Ila Paula mzuri

  • @fahmafahma6715
    @fahmafahma6715 2 роки тому +1

    Achana na Paula muzuli sana hujamufikia sana

  • @lizahadongo1801
    @lizahadongo1801 2 роки тому +6

    Msichana mrembo sana 🇰🇪🇰🇪

  • @uwinezajohara8362
    @uwinezajohara8362 2 роки тому +17

    Ila pau kawashumbuwa wengi uo anatafuta umaalufu

    • @queen.christelle1
      @queen.christelle1 2 роки тому +2

      Umeonaee niule msemi mtu kama anatamani maisha yako uzuri wako Na haupati atatafuta mbinu zote ku kutafutia fitina na kujenga chuki juu yako

    • @terrymuso894
      @terrymuso894 2 роки тому +2

      Hahaha kabisa 💯 jamani Paula amewakimoa wengi mno huyu akiwa moja wao hamfikii chochote Paula watazidi kuchanganyikiea looh Paula kiboko Yao wote wanyooshe

    • @vickydan2869
      @vickydan2869 2 роки тому

      Kwakwel mtoto mdogo anawapa presha

  • @salmaedward2885
    @salmaedward2885 2 роки тому +4

    Yan tunamkuba sana Paula sio mwanamke wakujisifu kila seemu 😅😅

  • @seneequamoyo6821
    @seneequamoyo6821 2 роки тому +5

    Beautiful girl

  • @asmahanny9639
    @asmahanny9639 2 роки тому

    We na ww n mpuuz asa unashindana na Paula wakat n mdgo tyuu kaa kwenye nafasi yako ww life la saiv haliko hivyo take your time Dr!

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 2 роки тому +23

    Kwa muonekano Paula haoni ndani kwa hii kitu iliyoumbwa ikaumbika. Anavutia kwakweli.

  • @cathygeorge7540
    @cathygeorge7540 2 роки тому +2

    Very true Dolly 💗💗

  • @ashuuuaisha9122
    @ashuuuaisha9122 2 роки тому +6

    Basi binti kama huyu anaesema yy mzuri. Ndio hawa wakivua nguo kama panya kafa.uzuri wakati mmevaa minu.... ya paka kichwani

  • @eladiuspeter586
    @eladiuspeter586 2 роки тому +7

    Kwaa sura kweli mzuri. Ila Simama kwanza ndo niseme neno.

    • @uwimanacitegetse9926
      @uwimanacitegetse9926 2 роки тому +2

      Mwenzangu akisimama ndonitamkubali🤣🤣🤣💕ilamaconitu bado sijaonauzuli namenoyake bado 🤣🔥🔥💃🏻

    • @hannansdeliciousfood4261
      @hannansdeliciousfood4261 2 роки тому

      Mm naona mtu tuu kawaida....

    • @prospersanga7942
      @prospersanga7942 2 роки тому

      Kweli wahuni sio watu poa, asimame ndo aseme neno 🤭🤭😂

    • @maimunaulotu2075
      @maimunaulotu2075 2 роки тому

      😄😄😄😄

    • @khdigahk4246
      @khdigahk4246 2 роки тому

      Mi nimemuona kwenye vidio ya beka amfikii Paula msambanda🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️

  • @joycepeter7714
    @joycepeter7714 2 роки тому +6

    Ila Paula yupo vizuli Sana anaga maneno na Wala ajisifii na Wala sijawai kuona kamjibu mtu vibaya,,ndo ninacho mpendea Paula,,

  • @frankkassongo6639
    @frankkassongo6639 2 роки тому +8

    She is equally beautiful princess. I’m kind impressed by her presentation

  • @liliannelly8737
    @liliannelly8737 2 роки тому +2

    We n mzuri ila Paula ni mtu zaidi yako achana nae unakijiti nuksi dada

  • @pamelawanderaofficial6257
    @pamelawanderaofficial6257 2 роки тому +1

    The girl ana maono. Na kweli ataenda mbali . Anajielewa sana

  • @m___ck799
    @m___ck799 2 роки тому +18

    Smart girl and focused!🔥

  • @hidayamkandara9696
    @hidayamkandara9696 2 роки тому +4

    Karembo kweli, anafurahisha.

  • @pamelawanderaofficial6257
    @pamelawanderaofficial6257 2 роки тому +2

    She is very smart upstairs. That is what matters

  • @fidelekahezi5175
    @fidelekahezi5175 2 роки тому +5

    Good interview❤❤❤❤❤

  • @zumosalim6351
    @zumosalim6351 2 роки тому +2

    ila ww dada bila Paula tusingekujua mshukuru Paula kuwa star nawe kakufanya uwe star

  • @shebbyhadithi5559
    @shebbyhadithi5559 2 роки тому +4

    Kudos Dolly Nyau, jina la zamani Dodoma👏👏

  • @nasseralhabsi4121
    @nasseralhabsi4121 2 роки тому +15

    Unajisifu mrembo na umepaka mekaup kaoge hiyo mekaup tuone uzuri wako🤒

  • @Siti_maroneit
    @Siti_maroneit 2 роки тому +1

    Kaziri kakweli na mtafutaji woow hii age wajifunze wasichana

  • @azizasaid5255
    @azizasaid5255 2 роки тому +14

    Paula ni mzuri . Umfikii hata robo yake. Unajidanganya.

    • @linahenry6459
      @linahenry6459 2 роки тому

      Khaai 😂 ww haujui kuangaliaa bana

  • @njmahn3262
    @njmahn3262 2 роки тому +3

    Jiongeleee acha kuingilia ndani saana kuusu mwenzako

  • @fahdihasnuu9034
    @fahdihasnuu9034 2 роки тому +2

    This girl impressed me

  • @MercyMartin-zu7ou
    @MercyMartin-zu7ou 4 місяці тому

    Jaman paula n mzur xanaaaa we dadaa kazaliwe tena lbd ndo utampita uzur 😅😅

  • @feynation3739
    @feynation3739 2 роки тому +3

    Go Girl We Love Yuh ❤️

  • @agneskasawanga6164
    @agneskasawanga6164 2 роки тому +1

    Jmniii we kubali tu Paula n mzuri kukuzidi bc ndo maana umeongea alafu ye Hana muda na ww

  • @listerlujiso6009
    @listerlujiso6009 2 роки тому +11

    Kiukweli wewe dada Ni wakawaida sana ila usijilinganishe na mtu yeyote kabisaa ukajiinua tafuta kiki nyingne utatoka tu dar kubwa ukifanya kazi kwa bidii utatoboa tu lakini usiseme ooh kajala mara paula hapana

    • @ibrahdedonny4073
      @ibrahdedonny4073 2 роки тому +2

      Kabxa, huyu demu ni wakawaida xana,alaf anakipini cha pua, na wadada wenye vipini hawana jipya mjini

    • @listerlujiso6009
      @listerlujiso6009 2 роки тому +1

      @@ibrahdedonny4073 kwakweli yaan huyu kaona afanye hvyo ili atafutwe azidi kujulikana lkn kiukweli wakaida tena sana kama ye mzur atoe wigi atoe mekap abaki neutral tuone uzuri wake 😏😏😏

  • @rachellembrice8567
    @rachellembrice8567 2 роки тому +3

    Nimekupenda bure Dada

  • @nasradaud6212
    @nasradaud6212 2 роки тому +3

    Mashallah ni mzr anafanan na Fahyma

  • @lueimansuabo6946
    @lueimansuabo6946 2 роки тому

    Paula ni mzuri sana, Dolly usijifananiche na paula hata kidogo

  • @everlynemwerimramba8043
    @everlynemwerimramba8043 2 роки тому +2

    So inspirering thanks allot

  • @pamelawanderaofficial6257
    @pamelawanderaofficial6257 2 роки тому

    Very true. Umejinganganishia. Umejijenga mwenyewe kumtegemea mwenyezi Mungu

  • @pamelawanderaofficial6257
    @pamelawanderaofficial6257 2 роки тому +4

    Dada mrembo. Yuafanana sana na Fayhma

  • @yassintaibrahim24
    @yassintaibrahim24 2 роки тому +12

    Sasa Binti Huoni Kama Paula Ni Under Twenty, Jitahidi Kushindanishana Na Age mate Wenzio Co Paula

    • @ashuraomar4935
      @ashuraomar4935 2 роки тому

      She think that she's beautiful not anajisifu ujinga sqna anataka kushindana na Paula she's too young. Wewe unechezewa na wanaume kibao then akaja Rayvanny. Paula sio wa kugombana nae unatakiwa Ugombane na Mwanamme wako

    • @yassintaibrahim24
      @yassintaibrahim24 2 роки тому +1

      @@ashuraomar4935 Kabisa Yani, Amekaa Kitako Kujiproud Kama Yee Ndio Queen Of Africa, Atuachie Binti Yetu Paula Wenyee Tunampenda Tuu Na Tunamuona Sweetheart & Queen Baby Girl🤣🤣🤣

    • @feynation3739
      @feynation3739 2 роки тому

      Paula gani under 20 mtu mzima yule

    • @missykalele5520
      @missykalele5520 2 роки тому +1

      @@ashuraomar4935 kwani ww unazani huyu ni nani hadi unasema akaja Rayvan??huyu sio fayma ndugu yangu

  • @mrmarmellow555
    @mrmarmellow555 2 роки тому

    #SHOANA 🇪🇹🌍❣️🇯🇲❣️#LOVE HYPE 🏹
    PS. PLZ Pleaz Caribbean ENG ‼️ SUBTITLES PLZ🆙🙏

  • @nesiamartin8931
    @nesiamartin8931 2 роки тому +4

    Good girl go go Dollyrest ❤❤

  • @beautynambeye4063
    @beautynambeye4063 2 роки тому

    Wewe mdada unapoint, God bless you

  • @sheeggy2808
    @sheeggy2808 2 роки тому +11

    aaaah!... wakawaida tyu haumfikii hata robo paula ww

  • @barankenyereyejosh8410
    @barankenyereyejosh8410 2 роки тому +2

    Twenty some thing 😀😀😀 mbona ww mdogo sana hofu ya nini kusema miaka yako🤔 Kafanana na Fayvanny

  • @friendslikefamilychannel
    @friendslikefamilychannel 2 роки тому +1

    Wabongo mna mambo jamani.... Hadi mtu akiwa compared na mwingine asijiamini ? Abeg dolly kasema ni mrembo kushinda Paula na ni ukweli. Paula pia akisema ni mrembo kushinda dolly pia ni ukweli. Hakuna any standard measure for beauty ..... Acheni dolly ashine, it's her time bana.

  • @Sppah697
    @Sppah697 2 роки тому +5

    Vert true! Paula ni mrembo siyo mzuri!

    • @vanessarobyn4584
      @vanessarobyn4584 2 роки тому

      Hajui kutofautisha mzuri na mrembo 😅😅😅🙌🙌

    • @pracidiamlokozi708
      @pracidiamlokozi708 2 роки тому

      kwanza ncheke kwan Paulla katoka wapi au umepangwa mdada weeeee wapi Agnes Masogange na trakoooo lake na unoooo mbona kama huna maaajavu kivileeee achana na jukuuu la mzee Masanja ni balaaaa. Ana minyotaaaa yule bint hataroii

  • @laurentmhonge9352
    @laurentmhonge9352 2 роки тому

    Hongera Sana kwa msimamo wako ulio nao

  • @corandamisi9005
    @corandamisi9005 2 роки тому

    Paula nimuzuri wewe kakupita mbali kwauzuri, tena nimudogo kwako, menoyako imebebanaaaa unauzuri wowote kabisa, paula muzuri sana

  • @witnessmmari9902
    @witnessmmari9902 2 роки тому +2

    Kweli bwNa anafanana na fyma kwa mana hiyo paula haana jipya anatembelea sustaa usio wake

  • @Lilmbunah
    @Lilmbunah 2 роки тому +13

    Dem wakawaida sana wez pis kali zipo zime tuliantu🙌

    • @terrymuso894
      @terrymuso894 2 роки тому

      Kabisa tena hazijisifii zinasifiwa

    • @Lilmbunah
      @Lilmbunah 2 роки тому +1

      @@terrymuso894 yeye anazunguka kutangaza uzuri wake kwenye media 😁

  • @eppiemodest
    @eppiemodest 2 роки тому +1

    Dah. Kweli wewe ni wa kwetu. Kama una damu chembe chembe za Msandawe. Mwonekano wako naukubali. Karibu Kwa Mtoro.

    • @salmaharoub1111
      @salmaharoub1111 2 роки тому

      Hahaha eti Kwa mtoro atakua wa msera huyo au farukwa

    • @ashuhunamohamed7997
      @ashuhunamohamed7997 2 роки тому

      @@salmaharoub1111 babaake wa farkwa mamaake wa Soya mrangi

  • @ramadhanihudhaifani4376
    @ramadhanihudhaifani4376 2 роки тому +7

    The fact is_the beautiful ones are not yet born!
    So madam,go slow with your interview,please.
    Study your words carefully!
    😎

  • @fahmafahma6715
    @fahmafahma6715 2 роки тому

    Kiukweri mini fahma namupenda sana na Paula namupenda sana lakini mudoli simupendi anajuona hata ajafika mahari popote akifilia levo ya fahma au Paula atakuwaje atajiona malayika simupendi huo mudada kweri mudoli

  • @yunusjohnson4170
    @yunusjohnson4170 2 роки тому

    So pretty 👄

  • @aishaajumaa9470
    @aishaajumaa9470 2 роки тому +1

    Kusema ukwel Paula sio mzurii ata kidogo Ila anamuonekano

  • @olivahamaro121
    @olivahamaro121 2 роки тому

    wazuri hawatumiti mekapu na wazuri hawajisiffii Bali husifiwa but binadam wote ni wazuri mbele ya mwenyez mungu,mpoooo nyonyo

  • @lindaisaac200
    @lindaisaac200 2 роки тому

    Tutakuona wew ndio mnavyosemag mwanzoni

  • @upendo1020
    @upendo1020 2 роки тому +7

    Uzuri wa nini ukute huna kis...Mi

  • @shyllahnekesa216
    @shyllahnekesa216 2 роки тому +6

    Hakuna aliyewakataza wazazi wao kuwa ma star kwendraaaa kwani lazima ujilinganishe na Paula ??Paula n anakua na hana dada wala kaka muache

    • @khadijamohd8772
      @khadijamohd8772 2 роки тому

      Jamani mpumzisheni mtoto wa watu Paula mnamuonea Tu kwakua hasemi