PAULA AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA KUHUSU MIMBA YAKE NA MARIOO/KAJALA MARIOO NI MKWE ATOE MAHARI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 93

  • @joycesamwely7896
    @joycesamwely7896 Рік тому +14

    Ila paula anaonekan mpole san jaman halaf ukiachan na mitandao kiuharisia huy bint han mambo mengi kabisa❤❤

  • @khamismakame8944
    @khamismakame8944 Рік тому +17

    Kajala She's the very strong Mama Unastahili kupewa Pongezi kwa Miono ya Mwanao unavyomsimamiya Mungu Akubariki🙏Maisha yana njiya pili kuongokeya au kupoteya sasa kwa vyovyote duniani kila mmoja Ana lifestyle yake na Imani yake kutoka kwenye Dini au imani ya kifamiliya Kajala Unajaribu kuplaypart together na Mwanawe na kumsimamiya kwa hali yoyote ile ya Aibu au Ya Mafanikiyo nice one Kajala Paula Anakuwa Anajitengenezeya Brand kama Mama yake Mungu Amsimamiye Lakini Ajijenge kwenye Akili ya Maendeleo siyo kila siku sherehe

    • @FatumaBaruti-qw6jm
      @FatumaBaruti-qw6jm Рік тому +1

      Kabisa yani ni mfano kwa kweeli mtu unatakiwa kumshika mtoto kwa chochote kile.abarikiwe.

    • @upendojames5378
      @upendojames5378 Рік тому +1

      Kabisa Ni strong mama kwakwer kajala anastahilii pongezii yupo na mwanae kila mahalii

  • @WardaSwalehe
    @WardaSwalehe Рік тому +1

    Kwakweli wanastahili maua yao nawapenda sana❤❤❤

  • @happymasha4318
    @happymasha4318 Рік тому +2

    hongera sana na ubarikiwe mpendane hivo hivo na mungu awatangulie hadi raha jamani

  • @aishavogelmann5021
    @aishavogelmann5021 Рік тому +3

    Congratulations, Mama na mtoto kwa duka mpaya ,Allah aibariki

  • @Barazs-t5k
    @Barazs-t5k Рік тому +2

    Jamn mam hawez kumtup mwanae hakik nimepend na nawwish all the best wapendw na hay ni manen ya wat yataish tu helloooooooo😢

    • @Barazs-t5k
      @Barazs-t5k Рік тому

      ❤❤❤❤❤❤❤❤ by janeth

  • @Barazs-t5k
    @Barazs-t5k Рік тому +1

    Waooooooooooooow nimepend hiy

  • @almaodhiamboodhiambo917
    @almaodhiamboodhiambo917 Рік тому +5

    Ksjala your the sweetest mother ever 💗 💖

  • @LilianAchieng-bo9xo
    @LilianAchieng-bo9xo Рік тому +4

    Congratulations team paula🎉🎉🎉

  • @nshimirimanacharlene8988
    @nshimirimanacharlene8988 Рік тому +5

    Mama yangu ni rafiki yangu❤

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n Рік тому

    Paula kazur Sanaa jmn❤❤❤

  • @ushyentoabdulnunu8044
    @ushyentoabdulnunu8044 Рік тому +2

    Congrats sana sana ❤❤❤❤Allah awajalie sana

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 Рік тому +8

    Nimegundua watu wana wivu saaaaaana na maisha ya paula na mamake dangeni basi na ninyi mpewe, maana hata wanaume ciku hizi wanaolewa

  • @Barazs-t5k
    @Barazs-t5k Рік тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ nawapend wote

  • @sweefatyprince
    @sweefatyprince Рік тому +1

    Nampenda kajl😮😮

  • @paulinamajollo1637
    @paulinamajollo1637 Рік тому +1

    Hongereni sana mama na binti yake

  • @alineolivia2392
    @alineolivia2392 Рік тому +2

    Juma akimpepea uncle wake😂😂😂 juma mnafki sana aise 😂😂😂

  • @aminabintisaid9113
    @aminabintisaid9113 Рік тому +3

    Jum lokol chaw🥰

  • @ashurahaji4794
    @ashurahaji4794 Рік тому +1

    Mkwe ana heshima ila mama mkwe unamuonyesha vichupi vyako

  • @Hotensia
    @Hotensia Рік тому +12

    Paula ni mrembo jamani

    • @FloraMbuya
      @FloraMbuya Рік тому +1

      Sio kama mamaake

    • @zuhuraMangapi
      @zuhuraMangapi Рік тому

      Hata we mrembo kumz yeye Kwan we mzuri hujatumiya mekaup kama hawa

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 Рік тому +1

    Daaah mama na mwana akiri sawa 😂

  • @صالحالصوافي-غ5و
    @صالحالصوافي-غ5و Рік тому +2

    Nawapenda nyie❤

  • @FarhatSeif-p3t
    @FarhatSeif-p3t Рік тому

    Yaani Lokole unanichekesha na huo upepeo wako😂

  • @gerlasvayahi8441
    @gerlasvayahi8441 Рік тому +1

    Wa kwanza leo

  • @dinaalfani
    @dinaalfani Рік тому

    Nikajua n lapl jmn kumbe limebadrk 2❤❤❤ ila vzur limeongezek

  • @newassong5985
    @newassong5985 Рік тому +2

    Juma mungu anakuona

  • @aminmohammed4249
    @aminmohammed4249 Рік тому +3

    Ila kajala kaanza kuliwa kitambo😢…em kumbuka zile songs za majaniii..Temba hapa😅 mpaka sa ivi we zombie

  • @hawababy120
    @hawababy120 Рік тому +3

    😅😅😅juma kazi unayo😅😅

    • @Zulfabrown
      @Zulfabrown Рік тому

      Kwel juma kazi unanyo😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @estermgeni1942
      @estermgeni1942 Рік тому

      🤣🤣

  • @nuruabraham3769
    @nuruabraham3769 Рік тому +1

    nimekupenda bure kajala hujaweka makuchakucha ❤❤❤

  • @ashuraabdallah9229
    @ashuraabdallah9229 Рік тому

    😂😂😂aaah juma mpk uso unakuchupa kwa uogo

  • @mongeramatondo1320
    @mongeramatondo1320 Рік тому

    Kwan huyu Paula si ameolewa au?? Sasa anaishi nyumbani kwq mama ake kivip

  • @upendojames5378
    @upendojames5378 Рік тому +2

    Paula kamekuwa mpka saiv interview kanajibu vizur tu hakaogopi safii sana 😊

  • @angelalyimo2862
    @angelalyimo2862 Рік тому

    Mhh mnaongelea duka au mahusiano ya paula😂

  • @happymasha4318
    @happymasha4318 Рік тому

    wasikusumbue kama unaona anafaa zaa tena faster

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 Рік тому +2

    Guys she's 20 and something she's not a baby leave her alone

  • @AsmaAsma-hy7wp
    @AsmaAsma-hy7wp Рік тому +1

    Binadamu nyie mna kazi

  • @chikusangalala7759
    @chikusangalala7759 Рік тому +2

    Anamimba sura inaonyesha kwa sisi wataramu

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 Рік тому +4

    Mimba ipo wapi hapo jaman mnaijua mimba au mnaandika tu

  • @janethpPoul
    @janethpPoul 8 місяців тому

    Namuona lokole

  • @CandyJoseph-n9g
    @CandyJoseph-n9g Рік тому

    Paula anamimba ya diamond😂😂😂😂😂😂

  • @FarhatSeif-p3t
    @FarhatSeif-p3t Рік тому

    Kajala usivae wigi

  • @estermtambala4181
    @estermtambala4181 Рік тому

    Congratulations

  • @mbikamtanganaki
    @mbikamtanganaki Рік тому +1

    Fyuuuuu kwahiyo aigwe Nini kuacha shule na kuliwa hovyo au

  • @graciek5872
    @graciek5872 Рік тому +1

    Kwani Paula hana confidence ya kujieleza????

  • @iyanboy4786
    @iyanboy4786 Рік тому +2

    Wa pili

  • @angelalyimo2862
    @angelalyimo2862 Рік тому

    Juma❤

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 Рік тому +1

    Kajala anaongea kama toto dogo ,,haongei kama mzaz,,haongei kama professional business woman anaetangaza biasharA

  • @merinakassembe118
    @merinakassembe118 Рік тому

    Atoe tena mahali nilifikiri katoa million. 100 hata hilo hatafunga tuu hWans kauli nhuri na wateja

  • @امنةعلي-ي1ظ
    @امنةعلي-ي1ظ Рік тому

    ❤❤❤

  • @FloraMbuya
    @FloraMbuya Рік тому

    Haishi na marioo na unamuita marioo mkwe 😮

    • @roseamon7906
      @roseamon7906 Рік тому +1

      Ni mkwe mtarajiwa kwahiyo lazima amuite mkwe

  • @aishabakari8040
    @aishabakari8040 Рік тому +1

    Marioo ukimaliza kuliwa hivo vipesa utatafuta buyu ukakune😂😂😂😂

    • @roseamon7906
      @roseamon7906 Рік тому +6

      Maneno kawaida yenu kama marioo analiwa pesa nenda basi nawe kamlie kama waweza acha wivu mtakalia hayo kafungua duka kamlia marioo jua linazama mna hayo tu wenzenu wapo mbali hata hamuwagusi

    • @lovemwagala8259
      @lovemwagala8259 Рік тому

      ​@@roseamon7906👏👏

  • @marryfelician1426
    @marryfelician1426 Рік тому

    Kajala mawigi hayawezi maskini jotooo

  • @NunuselemaniNkurunziza
    @NunuselemaniNkurunziza Рік тому

    Mimba Ipo kabisa

  • @SophiaAlagwa
    @SophiaAlagwa Рік тому

    Hujitambui ndo maana konde kawapitia wote wawili

    • @roseamon7906
      @roseamon7906 Рік тому +2

      Wakati anawapitia mlikua na huyo konde? Kazi kuropoka mihemuko Haina maana

  • @user-12345love
    @user-12345love Рік тому

    Air condition

  • @Neema-lh8pi
    @Neema-lh8pi Рік тому +1

    Sasa anajifuta futa nin anakera

    • @joycesamwely7896
      @joycesamwely7896 Рік тому

      Kajara hajazoea wig hapo ni kajikaz tuu joto hatar

  • @JudyAlucheshe
    @JudyAlucheshe Рік тому

    Kwa joto gan wacha ushenzi bibi

  • @FloraMbuya
    @FloraMbuya Рік тому

    Marioo acpomlipa lokole atapata dhambi

  • @lacheekah1849
    @lacheekah1849 Рік тому

    Pete tumeiooonaaa

  • @MargertMumbi
    @MargertMumbi Рік тому

    Mtu na mamake akili sawa na ndio mana wanaliwa wote na Mtu mmoja

  • @DivahTrice
    @DivahTrice Рік тому +1

    paula jamn ni mfano wa kuigwa kwa mabinti

  • @angelalyimo2862
    @angelalyimo2862 Рік тому +1

    Joto la dar hilo daa hamna vi feni vya mikononi

  • @SophiaAlagwa
    @SophiaAlagwa Рік тому

    We bibi umeshazeeka

    • @roseamon7906
      @roseamon7906 Рік тому +2

      Analingana na mama mzazi aliekuza au bibi yako kwanza unamuita bibi yawezekana huyo Kwako ni sister Ako acha kashfa

  • @tuunganefoundation3019
    @tuunganefoundation3019 8 місяців тому

    ❤️❤️❤️

  • @RehemaHussein-uv5yw
    @RehemaHussein-uv5yw Рік тому

    Congratulations