Це відео не доступне.
Перепрошуємо.
UMAARUFU BILA PESA; MWIMBAJI MTAJIKA WA SIMBA WA NYIKA, WILLIAM KINYONGA, AISHI KATIKA UCHOCHOLE
Вставка
- Опубліковано 24 лис 2018
- KUTV is a Digital Television that brings you up to date news, entertaining,educative and informative programs.
WOW amezeeka lakini anasauti nzuri sana. A gold voice!
Mwenda Pole is a great masterpiece ❤🎶💪🏾💣💣
Mama yangu weeeeeee
Makosa sana asaidiwe aki.
Laa inahuzunisha sana
Huyu alipata pesa akakimbilia Kenya kutafuna pesa peke yake akaacha Familia yake huku Tanzania , sasa anaogopa kurudi TZ
Familia zao ziko maeneo ya kati y Muheza na korogwe, uku Tanzania
Huyo Wiliam apopata umaarufu akakimbikia Kenya kujificha huko akitafuna pesa
Wiliam kinyonga.ulifanya kazi bora ya kuburudisha wa Kenya..Kitu kibaya ni kwamba malipo yako kama msanii utapata mbinguni
Kama kuna mtu anafahamu vizuri familia ya peter kinyonga tuwasiliane tafadhali
Familia zao ziko maeneo ya ktk ya Muheza na Korogwe uku Tanzania
This is not good at all, his music is educative