Mama, dada, mchungaji nakupenda San kutoka moyoni unanifunza mamb mengi sana kila Siku. Mungu akutumie hivohivo uzidi kutufunza na sisi roho mtakatifu atusaidie kuwez yote utufundishayo. Amina haleluyaaaaaaaaaaa oooooooooooo ayayayayaayayayaya
Poster nimejifunza mambo mazuri kipitia mafundisho yako Ila Mimi nilinyanyasika nakuvumilia Sanaa Ila mwanaume alivyoona siondoki alinipiga nakunidhalilisha nje ya geti yanyumban niliyojenga nae nampka kunifunua nakuwambia wanibake Mimi nimalaya dah haikutosha akaenda kazin kwangu akajito a udhamini mpk nkafukuzwa kazi mahalo nilikua nawatoto wake watatu kwakwelii nimetumia Sana Ila kipitia mafundisho yako nimejifunza Sana ahsant mumy

Nampenda rose shaboka mungu ampe nguvu
Namuekewaga sana uyu dada MUNGU akupe maisha marefuu bgp
Mama mchungaji Mungu akubariki
Yani nampendaga speech zake Vaa yake sauti yake yaaan it's so amazing
Inspiring. Godbless Pastor Rose Shaboka
Hongela dina Mario kwa kuinspire wadada na watu wote🙌
Hongers
Nimebarikiwa na somo Mungu akuinue zaidi mtumishi wake love from Mlandizi
True pastor Amen Amen Amen 🙏🙏🙏
Shaboka kama shaboka 👌 Mama 🔥🔥🔥
NAKUPENDA SANA ROSE SHABOKA
I love pastor rose shaboka
Sema mama maana mabinti siku hizi hawaelewi
Nakupenda sana mama upo vizuri
Mimi mwanaume Lakini hii inanijenga pia..naungana nanyi kutoka Nairobi kenya Donholm
Hallelujah
Ameni pastor jamani Rose
Its 2years ago bt for know very fresh,may God blessyou pastor, yoy always make my candle to continue burning,may you live long❤❤❤
Nakupenda Bure pastor
Poster nimejifunza mambo mazuri kipitia mafundisho yako Ila Mimi nilinyanyasika nakuvumilia Sanaa Ila mwanaume alivyoona siondoki alinipiga nakunidhalilisha nje ya geti yanyumban niliyojenga nae nampka kunifunua nakuwambia wanibake Mimi nimalaya dah haikutosha akaenda kazin kwangu akajito a udhamini mpk nkafukuzwa kazi mahalo nilikua nawatoto wake watatu kwakwelii nimetumia Sana Ila kipitia mafundisho yako nimejifunza Sana ahsant mumy
Pole sana dada, ila umepooza sana sheria mbona zipo wazi sana? ungepaaza sauti dunia isikie!
Aisee pole sanaa
I love that one mungu akubariki pastor
Asante mama nakuelewaga dada ,pongezi sana kwako
I love you pastor you always bless me.God bless you🙏
Amen amen Mungu wako unaye mtumikiya azidi kukuinuwa zaidi
Amen
Thank you❤ Thank you❤ Thank you❤
I luuv uu pastor Rose😍😍
Mama.mungu.akutie nguvu.uwe.na.moyo.huo.nakuelewa.sana.by.rebeca.nipo.manyara
WOOW..... ASANTE SANA, nimeipata na nimebarikiwa sana... be blessed
V hoiijikb
Y
🙏🙏Pastor Rose🔥🔥🔥🔥
Amen.mama mungu.akupe maarifa.zaid.by.rebeka. 30:34 30:36
Kwa kweli lawama hazitufikishi popote kwanza hela ya kupewa haitoshi na inadumaza sanaaaaaaaaa
Ameni pastor Rose jamani
Good sermon
Ameeni
Amaizing 👏🏻👏🏻
❤❤❤🌹🌹🌹🙏🙏🙏
🔥🔥🔥
Tunashukur kwa mafundisho yako pastor ubarikiwe
🔥🔥🙏🙏🙌🏼🙌🏼👏👏
Ubalikuwe sana kwa ujumbe mzuri
Hongera sana mtumishi
Nakushukuru kabisa
Nakupnd san pastor rose unanibark sana
Amina
Woowww we need this as women
Amin
Jamani nimechelewa wapi kusikiliza mafundisho ya pastor rose
Ubarikiwe sanaa
Love from kigali
Amém
Je vous aimes beaucoup maman rose
😘😘💞
😘😘
Hahaa Mafuzo masuri kweli
Nakupenda
Hapa uganda ninakupokea vizuri hata nikiwa mwanamume
Minakuelewa sana dada
I love pastor Roseshaboka
Kabisa yan
Nimechaka sana na nimebarikiwa,Eti tafuta wanaume wenye pesa cyo wenye six package,😅😅
I like to join
Pray for me
Mafundisho yako yananiingia.namuomba Mungu anipe nauli siku moja nije kanisani kwako
👏👏👏
Napenda vile unafunza wanawake
Nick uko na Md kweli
Jaman hiyo kitchen huwa inafanyika wapi ?
Glory to GOD
kongamano lililkua zuri sana, nadhani change ilirudi...
Hivi pastor yule mwanamke aliolew na wanaume watano au alikuwa anamahusiano na watu hao?
Pasta mkali wewee uwaombee si wapate muujiza kama ule wa mafuta na wao wakalipe!
Mbona hawa wanawake wako busy sana hawana utulivu wa kusikiliza
Wana wivu tu.ila liliwaingia
Amen
Amen
Amen
Pastor 🌹🌹ILove! Kupitia mafundisho Yako yamenifanya kuwa strong!!