Mjusi Huyu Hafai Katika Nyumba / Anahasadi Na Uchawi Huyu Mjusi / Sheikh Othman Micheal

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 15

  • @AshaKirwanda
    @AshaKirwanda 9 місяців тому +1

    Asante Dr mungu akuongoze

  • @HusseinHussein-hl5eh
    @HusseinHussein-hl5eh 25 днів тому

    Asalaam alykum shekh wangu mimi nipo zanzibar nitapataje dawa

  • @Shakila-t3c
    @Shakila-t3c Рік тому

    Aslm alkm ww... Jazakallah kheir 🙏. Kweli kabisa mtu hakati tamaa, Allah yupo na anaponya. Allah akulinde 🙏

  • @UmmkuluthumHussein
    @UmmkuluthumHussein 6 місяців тому

    Shehe mm Dani kwangu mijisi miti halafu dugu wangu hawanipedi watoto wanaumwa

  • @munirkhan3463
    @munirkhan3463 Рік тому +1

    Slm aleyquum shekhe, Shukran sana kwa Darsa kwahiyo hizo dawa nitazipataje dalili nyingi ulizosema ninazo naomba unisaidie

  • @TatuNyanda
    @TatuNyanda 10 місяців тому

    A,alekhum,alhamdulillah sheh othaman, kwa kutupa darsa.hili.maana hiyo.mijusi tunaishinao.sana ndani hatujui.madhara.yake

  • @Kameahmad
    @Kameahmad 5 місяців тому

    Nitaipataje shekhe mimi nipo zanzibar

  • @SafiaSimba
    @SafiaSimba 9 місяців тому

    Asww swadakta asaante shekhe mimi mjusi nimingi ndani ninamtoto mchanga nimeona kitandani kamjusi kadogo mtoto akiwa amelala nikakafukuzia kakaondoka badae nikakakuta ndani yamusihafu sifahamu kuwa nini? Lingine sasa mjusi umeangukia kakijana kangu mkononi nilipenda nifahamu kuwa sivibaya?

  • @KhadijaRashidi-q1q
    @KhadijaRashidi-q1q 6 місяців тому

    Ndio vile vimjusi vidogo vheupe au maana mim hao ndio wamejaa sana ndan mwangu

  • @JaneMaiga
    @JaneMaiga 10 місяців тому +1

    Yaani yote uliongea yananihusu sana nitapataje hiyo dawa maana watu hàwanipendi kazini hata kwenye family

  • @husseinissa9623
    @husseinissa9623 10 місяців тому

    Dawa hizo an?

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 11 місяців тому

    Yaani mi nikimkuta huyu mjusi NAMTILILISHA au NAMDEDISHA kabisa , sinaga nae ujamaa kabisa

  • @shamimuabdul7497
    @shamimuabdul7497 8 місяців тому

    A

  • @husseinissa9623
    @husseinissa9623 10 місяців тому

    Dawa hizo sh?

  • @rehemamsekeni8972
    @rehemamsekeni8972 8 місяців тому

    You ulisema ninayaona napataje dawa hizo shekhe