Poleni sana ndugu zangu,mungu awatie nguvu,ombi langu tubadilike jamani,maswala ya kiofisi yafanyike ofisini kwa kuzingatia masaa ya kazi za serikali,baada ya hapo hakuna huduma tena,mpaka kesho yake,tutapunguza watoto wetu kuona matukio ya kinyama,tunajenga Taifa la mafia wa badae.
Poleni sana ndugu wafiwa pia niwashauri tu kua tarifa ni lazima ziwekwe adharani kwani tutajuaje kuna hiki na kile kama tutakua tunaficha kwaiyo mnaosema ayo tv inatoa taarifa za kutisha kila siku mnakosea me zani kwenye mnaosema mnatishwa kuna wenye tabia hizi ni vema mkaacha ili msiendelee kuona taarifa za kutisha poleni wote mloguswa na hili.
Huku Tanzania ukiingiza mwanaume au mwanamke ndani majirani wote watamuona na asubuhi ukiamka kila mtu atakuwa na story ila mwizi akivunja na kukuibia hakuna atayesikia na asubuhi ukiuliza kila mtu atadai hajui. Kweli sa moja mtu akatwe hd kuuliwa na ana majirani
Ila ss binadamu MUNGU atusamehe bure sijui no kitu ngani kinatufanya tuwe wakatili kiasi iki hii ni dunia tu inapita chochote unachokifanya kumbuk kwamba tunapita
Mwaka mmoja uliopita Ayo TV na Global TV mlilipoti mauaji ya kutisha ya Mfanyakazi wa mgodi wa Geita ambapo nilimuona huyo mwenyekiti akielezea kuwa mauajia hayo yametokea katika mtaa wake. Leo Tena mauajia kama hayo yametokea katika mtaa huohuo. Geita Kuna Nini huko jamani?
Kwani umelazimishwa kufuatilia ayo tv,Hawa ndiyo ayo mungu awabariki sana kwa kutupatia taarifa kila leo safi sana❤❤❤❤❤
Ila wanatanzania ukipiga kelele zafumanizi utaona watu ila lamauji uoni mtu aiseeeeeeee
Poleni sana ndugu zangu,mungu awatie nguvu,ombi langu tubadilike jamani,maswala ya kiofisi yafanyike ofisini kwa kuzingatia masaa ya kazi za serikali,baada ya hapo hakuna huduma tena,mpaka kesho yake,tutapunguza watoto wetu kuona matukio ya kinyama,tunajenga Taifa la mafia wa badae.
Kweli kabisa 😢😢
ila jaman watoto wanapiga kelele majiran hamtoki hata mmoja..hebu tujifunze katika hili inaumiza sana jmn
Watu hawatoki Hadi kupoe ila kwenye wali wa msibani kupika n wakwanza" inauma Sana inamana wangetoka watu hao wangekimbia tu
Ndo Dunia yetu ilipofikia
Wangesikia Kuna fumaniz wangetok
Hapana jmn,jirani alifungua geti kutaka kutoka,alipigwa tochi kali,akaambiwa ole wake asogeè,na huenda hana silaha yoyote angefanyaje?
Poleni sana ndugu wafiwa pia niwashauri tu kua tarifa ni lazima ziwekwe adharani kwani tutajuaje kuna hiki na kile kama tutakua tunaficha kwaiyo mnaosema ayo tv inatoa taarifa za kutisha kila siku mnakosea me zani kwenye mnaosema mnatishwa kuna wenye tabia hizi ni vema mkaacha ili msiendelee kuona taarifa za kutisha poleni wote mloguswa na hili.
Pore sana mtoto MUNGU akutie nguvu❤
Dunia hii, hata kama alikuwa na shida jamani mnamuua mwenzenu? Binadamu tumekuwa zaidi ya wanyama kwakweli. Mungu tusamehe
Acha tu huu ni unyama mkubwa sana😢😢😢
Past paper????
Poleni sana geita Mungu yu pamoja nanyi katika kipindi hiki kigumu
Nahisi ni Cabon paper
😂
😂😂
Mi nilijua ni usiku wa manane watu wanapiga makelele mnakosa kuja aiseeee hapo uchunguzi ufanyike simu ya marehemu ifanyiwe uchunguzi
Daa uyu baba aliwahi nigongea muhur kwenye barua yangu jaman uwiii, polen wana mwatlole
Huku Tanzania ukiingiza mwanaume au mwanamke ndani majirani wote watamuona na asubuhi ukiamka kila mtu atakuwa na story ila mwizi akivunja na kukuibia hakuna atayesikia na asubuhi ukiuliza kila mtu atadai hajui. Kweli sa moja mtu akatwe hd kuuliwa na ana majirani
Ndio kufa ni kufa ila kufa kwakukatwa na mapanga hapana kifo kibaya sana kifo chamaumivu kweli,ivi kwanini walimfanyiya ivo bin adam mwenzao.
This is so heartbreaking 🥹huyu mtoto sasa atafutiwe mwanasaikolojia 😢she need therapy
Hiv muda wote huo marehem kaomba msaada sana lakin hakuna jiran
Inaumiza sana😭, MUNGU akawe mfariji wenu wote
watu hawa wanajiamini kiasi ganj jamani unaenda kumuulia mtu kwake
Inalilaahi wainalilah rajighun polen jaman wanafamilia pamoja na jamaa zake😢😢😢😢
MUNGU atunusur jamani atujui siku walasahaaaa
Tanzania 🇹🇿 tumekuwa wanyama
Pole sana Mungu awatie nguvu
Ila ss binadamu MUNGU atusamehe bure sijui no kitu ngani kinatufanya tuwe wakatili kiasi iki hii ni dunia tu inapita chochote unachokifanya kumbuk kwamba tunapita
Kusema kweli mchii ya Tanzanian imezindi kwa matukio ya mauwaji
Tanzania yangu
😢😢😢😢😢
picha ndio tv????
Mungu wasaidie wanaGeita hali inatisha
Itakuwa kuna kitu na hao watu wametumwa kumuua mwenyekiti.
Jamanii watu wanaroho ngumuu
😢hii Dunia aisee
Acha watangazie watu wapate elimu au wewe ndio muhusika
Umelazimishwa kuanqalia? Jifunqie wewe mwenyewe.pyuuu
Ajifungie yeye asiangalie...unataka habari gani wakati huu ndo uhalisia wa maisha
Poleni sana ndugu. Halafu Sio Past paper ni carbon paper inayotumika kuandikia barua ili kubaki na copy.😊
Asante Kwa kuelewesha dear
Mwaka mmoja uliopita Ayo TV na Global TV mlilipoti mauaji ya kutisha ya Mfanyakazi wa mgodi wa Geita ambapo nilimuona huyo mwenyekiti akielezea kuwa mauajia hayo yametokea katika mtaa wake. Leo Tena mauajia kama hayo yametokea katika mtaa huohuo. Geita Kuna Nini huko jamani?
Kumekuwa kama Alusha mungu awanusulu
Na mm naona nihame tu humu Geità sipawezi uchawi sasa ndo usiseme.
Binadam tumekuwa wakatili sana
Sana watu wabaya wanyama
R.I.P poleni sana wafiwa
Sasa wacpotoa habari xa ukweli,yatajulikanaje matukio hayo ya kinyama? Au na wewe ni mmojawapo?
Mweeeee! Jamaniiii😢😢😢
Dunia hatari yani sasa mwenyekiti mwingine ataekuja si atakatwa mapanga tena jmni😢
Daa uyu baba aliwahi nigongea muhur kwenye barua yangu jaman uwiii, polen wana mwatlole
Inalilaahi wainalilah rajighun polen jaman wanafamilia pamoja na jamaa zake😢😢😢😢