Mimi nawafuatilia sana, napenda sana kazi yenu na iko na heshima tutazama tukiwa na watoto bila was Wasing hadi tujue kama baba karobo ataona ama la, Wahubiri nao wanafanya kazi nzuri bila kuogopa waganga
From Burundi waaaa baba karobo anaona bwana asifiwe sana mungu mwema anatenda yote funzo kubwa sana iyi scène ienderereye tunayipenda sana isiwe na mwisho
Hapa Nimejifunza Kuwa MUNGU akisema NDIO hakuna wa kupinga....mama karobo na fashion wake kimewaramba😂😂😂.....nani anakubaliana na mm atume reply yake hapa....pia ukilike irakuwa bora zaidi💪💪💪
Woooooooo nani ako n furaha km mimi apa tujuane kwa like baba karobo ameona mungu n mwema akisema akuna wa kupinga ata kdgo 🙏🙏🙏🙏🙏🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾mungu n wa ajabu siku zote
Ameeeeeeeen!!! Hakika Mungu ni kila kitu juu ya maisha yetu,hatimaye baba karobo ameona tena, kazi nzuri sana Mungu azidi kuwainua zaidi kwenye kazi yenu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Shuklani saana team baba Joan,napenda saana igizo zenu,zinanipatia,uvumilivu,juhudi,imani,tumaini vile vile napata mafunzo bule,nawapenda sana familia baba Joan ,from 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮
Mchungaji Yuko vizuri kweli anaweza nmefurah San baba karobo Kuona na vimbola kuwarudia mama karobo na fashion. Waliopenda hili weka like twende pamoja
Hongera mchungaji nimefurahi sana bba karobo kuona
Yani Leo nimefurahi sana,,,Kenya, Tanzania...hoyee... likes zanguu
Hongera mchungaji ,mama karobo akafie msituni na fasheni wake,km umefuŕahishwa na maombi ya mchunaji goga like kubwa hapa
Amen mchugaji
Hahahaha ❤❤❤
Kazi nzuri sana Tena Iko na mafunzo, Mungu awabariki team baba karobo.
Hongera mchungajii hatimae baba karobo ameona
Hongeza mchungaji namaombi, tayari tumeshida
Mependa muvio ashat sana
Kazi njema pastor kweli mtegemea mungu hafi masikini🎉🎉🎉❤❤🙏🙏🙏🙏
Nibonge la move mmefanya pow xan
Hongera sana.kwakweli nimepatakitu hapa kweli mungu nimwema ategemeyaye mwanadamu alainiwe
Ahsante sana mchungaji wetu umeweza❤❤
tumshukuru mungu na hongera sana mjungaji baba karobo anaona tena
Work nzuli sana mungu awap uzima nyote
Wawooo mungu mukubwa san klkl🎉🎉🎉🎉😊
Jamani jalibuni baba karobo apone inatuumiza sana 🇷🇼🇷🇼🇷🇼 Kigali Rwanda turabakunda cyaneeeee ❤❤❤❤❤
Tulabakunda natwe..tuliho tz
hongera mchungaji mungu akupe nguvu zaid mama karobo mwanzo waubaya niaibu
Mimi nawafuatilia sana, napenda sana kazi yenu na iko na heshima tutazama tukiwa na watoto bila was Wasing hadi tujue kama baba karobo ataona ama la, Wahubiri nao wanafanya kazi nzuri bila kuogopa waganga
Bab Joan kaz nzuri San kak mungu akafanye weps kweny kaz zako ❤❤❤
Sasa mariam
Amen,atleast baba karobo ameona,mambo bdo qw loi n mpenzi wake Fashion
From Burundi waaaa baba karobo anaona bwana asifiwe sana mungu mwema anatenda yote funzo kubwa sana iyi scène ienderereye tunayipenda sana isiwe na mwisho
nafurahi sana kabisa mungu ni mwema sana kwa hivo nabaombeya mungu awabariki sana kabisa asanti
Wakwanza from Mozambique like zenu
Asante Mungu kwa kumponya baba karobo na tena mungu mzidishie imani ya kuyashinda hayo majaribu ya mwovu shetani mama karobo
Leo wa kwanza 😂😂😂😂 jaman team baba karobo gonga like❤
🎉🎉🎉🎉
@@imeldaNyaruke🎉
D w d y3xgnt😂😂😂😂😂😂😂😂😢😢😢😢😢😢😢😢
❤
Hapa Nimejifunza Kuwa MUNGU akisema NDIO hakuna wa kupinga....mama karobo na fashion wake kimewaramba😂😂😂.....nani anakubaliana na mm atume reply yake hapa....pia ukilike irakuwa bora zaidi💪💪💪
ndio
Mungu ni mungu tu na hakuna wa kulinganishwa naye 🎉❤❤❤
Jamani na mimi Leo nimewai Naomba like jamani from Burundi
Amen nmefurahi sana kuona baba karobo amepokea uponyaji ❤❤
Wakwanza leo from Kenya 🇰🇪
Nduwambere kuva Rwanda gisenyi
Wakwanza leo from kenya niipenda sana ❤❤❤❤@@MuwenimanaLeoncie
Hongera san kwa wote mnao igiz kwa bab yngu kipofu mungu azid ku waongoz
Team baba kalobo kama unaamini mungu anatupigania dhidi ya watu wabaya tujuane hapa kwa ❤❤❤,Leo nimechelewa lakini 🎉🎉🎉
Mambo😅
❤
❤️❤️❤️
hahahahahaa
new movie of Baba karobo
Nimefurahi kuona baba kalobo anaona Hongera Mtumishi wa Mungu kwa kazi kubwa uliopewa na Mungu
Jina la Mungu lipewe sifa zake. Jmn nakwenda. Kufanza maombi yaku Mushukuru Mungu 😂❤
Waaa poster nimekukubali 😘😘😘🙏🙏🙏
Wow nimefurahi leo baba karobo kuona❤❤❤❤🙏
Baba karobo acha kushtuka utaona hongera sana team baba karobo❤❤
Safi sana mchungaji mungu akujalie maisha marefu wow congratulations
😂😂😂Hii kali Sana 😂😂😂😂
Ameen God have mercy for you vzr sana mungu ndo kila kitu saa hii unaona
Nawapa pongezi washikaji wangu. Episode noma tu sana👏👏
Leo nimewahi jamani nipeni like zangu time karobo😅😅hapa
😂😂😂😂mchungaji chiko katika ubolawake ❤❤❤ kazi nzr sanajamani muvi tamu
Wawooooooooo nafurahi sana kbx Mungu ni kila kitu kwa wanadamu ni mwamilifu ee jamani mbona karobo haupo nione gisi anamusalimia baba yake ❤❤❤❤❤❤❤❤
Asante sana mchungaji kwa kufanya baba kalobo aone tena ❤❤❤❤❤
😊😊😊😊yaani nina furaha atari kwa mungu kuna kila kitu 😊😊😊😊😊😊 Asante mungu kwa kutenda ukamponya baba karobo 😊😊😊am so happy aki 🎉🎉😊😊😊
daah,,lazima wachawi wasambaratishwe,,loy na fasheni kaburi lenu li wazi 😂😂
Kazi nzuri sana hii inafunzo zuri sana ❤❤❤
Movie ikiwa ndefu sana inapoteza mpaka mvuto baba karobo maliza hii tuletee kitu kipya
Kazi nzuri sana eeee na mchungaji unajua sana
Like kwa mchungaji jamani❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Woooooooo nani ako n furaha km mimi apa tujuane kwa like baba karobo ameona mungu n mwema akisema akuna wa kupinga ata kdgo 🙏🙏🙏🙏🙏🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾mungu n wa ajabu siku zote
Mm aky n mungu 2
Congratulations keep it up good job 👏👍
Baba Joan tuko pamoja uko vzr nafatilia kazi zako ujawahi kosea.
Na mimi hapa nimewahi kabisa nawapenda sana ❤❤❤❤❤❤
Tulio furahi mikono juuu like j!m
Mimi apa tup pamoj kipenz
🎉
🤚🖐️
🙏🙏🙏🤲🤲
Pamoja 🎉
Ameeeeeeeen!!! Hakika Mungu ni kila kitu juu ya maisha yetu,hatimaye baba karobo ameona tena, kazi nzuri sana Mungu azidi kuwainua zaidi kwenye kazi yenu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Amen 🙏 ni kweli
Wale walitamani baba karobo arudishe boni yake like zishuke nawapenda 🎉🎉🎉🎉🎉
Hongereni fashion na mama karobo mumesimama kwenye nafasi zenu vizur sana na mumeinogesha sana
Wana kipaji kwelikweli nawapenda sana
Toka Congo Drc mimi niwakakwanza leo, nduguzangu tujuwane apa.
Wamcheza viri jamani
Wamcheza vizuri
Big up mchungaji atimae baba karobo amepata kuona jmn...
😂wa Kwanz leo😂😂
Hongera mtu wa mungu, I always believe that God is above all
Nampenda sana mchungaji❤
Nmejifunza kitu, mungu ndiye mganga wa waganga, tumtumanie mungu siku zote na Kwa Hali zote mungu yupo
Amina umenena
From Qatar likes ziko wapy
Hongera pastor kwa kazi nzuri Amina amina
😂❤❤❤ kumbe ndoto
Leo wa 17toka Moçambique 🇲🇿
Humu kila mtu wakwanza mm nimechelewa lakini nimefika nipeni hata like moja nifutie machungu ya kuchelewa😂😂
Shuklani saana team baba Joan,napenda saana igizo zenu,zinanipatia,uvumilivu,juhudi,imani,tumaini vile vile napata mafunzo bule,nawapenda sana familia baba Joan ,from 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮
Mchungaji Yuko vizuri kweli anaweza nmefurah San baba karobo Kuona na vimbola kuwarudia mama karobo na fashion. Waliopenda hili weka like twende pamoja
Watano naomba like kbx
Unaweza muchunganji mungu akubariki
Wow nmefika 🎉🎉🎉🎉
Nimefrahia sana Joani hongera
Asante sana pastor baba karobo kaona ❤❤na bibi ya Rahasa ako smart sana ❤❤❤
Bwana apewe sifa baba karobo anaona fasheni na mama karobo maibirisi mashetani potereya mbari from buja
Baba Joan unajua sana wasanii wengine waige stori zenze mafunzo unajua sana bro
Raha Sana kuona Baba karobo kurudisha mboni zake nope like nikiwa kenya
Leo nimejaribu kuwai kutoka kenya 🇰🇪
❤ Mchungaji chiko ni atari
Kumbavu zenyu umbwa nyinyi najua mko😅😅😅❤
Asa matusi ya nn wewe mjinga nn
Haleluya, Baba Karobo kapona. Utukufu apewe Mungu aliye juu!
Moçambique number One Leo nipe like zangu jamani
Mbona hamnipi like zangu jameni na mm nawapa nawaombeni hata like kumi za baba Joan ❤❤❤❤❤
malizen hiii movie baba joan mmeshindwa kuwa creativity mtuletee mzigo mwingin story mmemaliza all in all kaz nzur👍👍
Nafulahi kuwona Baba Karobo anauena.Jah is better forever
Baba kalobo safari hii nmejeweja baba kalobo
Baba karobo filamu Yako IKO visuri sasa bwana mimi Niko Congo RDC tuna fata filamu hi y Kila Siku 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Mi ni WA kwanza mnipe likes jameni
Toka hapo like za Nini
@@SifaJacques-st7oi 😂😂😂
Nakbal sanaa
Ilaaa pasta handsome jamani 😅😅😅ebu niombeeni pepo la kupendapenda liende😅😅😅
😂😂ata mm
Mmi pepo litoke la kumpenda mr lahasa 😂😂😂😂
Kazi nzuri watching from Kenya 🇰🇪 8
Mungu ndo kilq kitu kwa hii dunia mganga hamuwezi mungu mtashidwa kwa Jina la yesu❤❤❤
Kazi nzuri sana Baba Joan🇹🇿
Jamanii !!!! Nimeipenda sanaaa hii episode 😂😂❤❤❤ ni tamu kama chapatti na maharage Eboo!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Umeshib lakin 😀😀😀😀
Hongera sanaa, kaa unaminini kuwa Mungu anatenda kupitia kwa maombi na nakuamini gonga like
Nakubali sana baba joan leo naomba like
tukicomet hatupat lik kam wengin jaman ❤❤❤🎉🎉🎉
Hipich inafuz
From Mozambique nawapenda sana❤
msimsifia mchungaji sana kama mmemuelewa mchungaji amesem yeye alitumika kama chombo ko mwenye uponyaji ni Mungu tu 🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 fshn na Roy mwapedana watoyana moyo ili mtende maovu
Wakifika kwa mganga watakuta alifariki miaka mitatu ilopita😂😂😂😂😂
😂😂😂 wakome izo umbwaa😂
🤣🤣🤣🤣