Nashukuru Mungu ameniepusha na ajali jana ya gari ambayo nisingepona kweli limetukuka jina la Yesu naona moyo wangu hauwezi kusifu kweli maana 😭😭😭😭 neema nilizoona 🙏🙏🙏hazielezeki jamani kuomba kuna faida
Alex mahenge pleas naupenda ule wimbo nakumbuka iko kiitikio kwake yesu nasimama ndie mwamba ni salama pleas naupataje uo wimbo au Ni u sachije jaman I like it much can you help me to get an access to this song?
Wow! I can't get over this song, whenever I listen to it am carried away in meditation. Especially that instruments part.. What an inspiration.. May God bless you as you minister his word to the world.
Yesu akubariki Kwa kuitazama nyimbo hii
Amina
Hongera sana kaka
Amein Alexander
Alex Mahenge Online Tv - Am Tv Amina brother be blessed
Aminaaaaaa tunabarikiwa sana
Amina mtumishi waBwana nanyi mbarikiwe pia
Kaka alex unajua sanaa yanii Mungu azidi kukuweka kaka
Kazi nzur sana Mzee wangu wa kanisa na rafiki yangu
Mungu azidi kukupa uwepo wa kutoa nyimbo nyingine
Ameeen
Nashukuru Mungu ameniepusha na ajali jana ya gari ambayo nisingepona kweli limetukuka jina la Yesu naona moyo wangu hauwezi kusifu kweli maana 😭😭😭😭 neema nilizoona 🙏🙏🙏hazielezeki jamani kuomba kuna faida
Yesu akutunze daimaaa
Mtumishi wa mungu mbona nyingine hujaachia?
Amina Baba angu barikiwa sanaaaaaa kwa ujumbe mzuri hakika Yesu ni tabibu wa karibu
Amen 🙏 hallelujah 🙏
BARIKIWENI KWA HII IBADA NZURI. WIMBO WA BARAKA SANA.
Asantee sana Mungu akupe maisha marefu sana baba
Ahsante Kaka, Mungu awabariki kwa kazi yako nzuri
Ameen nashukuru sana sana
Nakipenda sana nyimbo hii inanibariki kwakweli mung7 akujaze neema mtumishi wa mungu.
Ameeeeeen
Napendaga nyimbo za Tenzi ila nikisikia wimbo ,5ulivyo upangilia najihisi Niko mbinguni,Mungu akutunze Alex mahenge🙏🙏🙏🙏
Nashukuru mnoo Dada Martha
Ameen Yesu akutunze
Sana mtumishii balikiwa sanaaaaa
Mungu akubariki nyimbo zako zina furahisha na tunabarikiwa kupitia nyimbo zako.
Ameeen Jina la BWANA libarikiwee milele
Ubarikiwe sana kwa wimbo mzuri unatia nguvu
Kila nikisikiliza huu wimbo naona matumaini Mungu awabariki na kuwainua viwango na viwango
Ameeen Barikiwa daima
natakaga kulia nikisikilizaga huu wimbo
Nyimbo zako zinanibariki na Mungu azidi kukuinuwa!🙏🙏🙏
Ameen Nashukuru sana
🙏🙏🙏🤝unajua saana mpndwa kuziinua Imani kwa nyimbo nzr hongela saana kaka 👏👏👏
Ahsante sana Mr Gabriel
Mungu tubariki na utuongoze mwezi huu wa November
Allex Mahenge Mungu amekujalia kupendezesha tenzi. Umebarikiwa sauti, endelea kutumika.
Ameen ahsant bless u
Mungu akuinueeeee juu juuu zaidiii brother
Hongera saaaaana mtumishi ila napendaga wimbo wako ule ( cha kutumaini sina) naupataje
Ooh sawa nitauwekaa hapa
Mungu akubariki mtumishi wamungu
Ameeeen
Mungu akubariki na aendelee kukuinua mtumishi wa mungu nyimbo zak zinabariki saana Mungu akutunze
Nawapenda sana Mungu azidi kuwabariki🙏
Ameeen ahsante saana
Naipenda sana tenzi hii inanikumbusha magum nilopitia kipindi chautoto wangu
Umeutendea huu wimbo haki. Well done!
Ameeeen mtumishi wa mungu
Ahsante saana
Asante
BWANA Ndio taa yangu,Siku zote za maisha yangu
Nabalikiwa sana huu wimbo jaman
TABIBU WA KARIBU NIPONYE UGONJWA WA SUKARI.Be blessed Alex.
Oooh asanteee yeeesuuu akuweke mtumishi tunaburudika saana
Hivi wewe kaka upo mbona naona kimya jaman nyimbo unajua kuziimba kwa ufundi haswa
Jamani huu wimbo siuchoki, ubarikiwe mtumishi
Nice voice nice istrumentol nice any thang in this song god bless you brother alex
Nimebarikiwa sana nawe Barikiwa zaidi mtumishi
Naipenda sana hii nyimbo ,Mungu akubaliki 💞
Amen nashukuru
Ameeen Yesu akutunze
Mungu akuinue zaidi mume wangu
hongera sana
barikiwa sana
Napendaga sana nyimbo na unazitendeaga haki tenzi barikiwa sana Alexander Mahenge
Nashukuru saana mumy
Ameeeeeeeeena. Jina la Yesu litukuke. Mungu akubariki na kukuinuwa
Mungu akubaliki kwa wimbo mzuri
Mi napenda the way unaimba tenzi za rohon barikiwa Sana
Ahsantee saana Dada Prisca
Very powerful 👍
Safi sana boss alex uzidi kumtumikia Mungu kwa uaminifu
Ameeen Sir
Nabarikiwa sana na nyimbo zako kaka Mungu aendelee kukutumia vzr ili uzidi kuutangaza ukuu wake
Ameeen Nashukuru saana
this song brings me to tears every time l listen to it then comfort me at the same time. God
bless you
Had to download it was feeling in my spirit to sing it
Alex mahenge pleas naupenda ule wimbo nakumbuka iko kiitikio kwake yesu nasimama ndie mwamba ni salama pleas naupataje uo wimbo au Ni u sachije jaman I like it much can you help me to get an access to this song?
Dear God 😢
Barikiwa sana Mtumishi Alex Mahenge
Ameen ndugu yangu
Nabarikiwa Sana na nyimbo zako Mungu aendelee kukuongoza🙏🙏
Aminaa nashukuru Sana. Joy
Mungu akubariki sana Kaka
Wow Alex you made it so heart touching
Glory be to God. Good job brother Alex
Mungu akubariki Sana Alex Kwa uimbaji mzuri wa tenzi za rohoni
Ahsante saana Mariam
Imetulia hii. Safi sana
Amina
Ubarikiwe kaka umetumika sawasawa
I can't get enough of this song
Jina la yesu kristo hakuna lingine lenye nguvu kushinda hilo
Hakikaaaaa
It's such a beautiful song we praise you lord😊
Blessed so much a servant of Jesus
Amen Like wise
Alex mahenge unajua Sana huuwimbo nimzuri Sana
Ameeen nashukuru mnoo
Nabalikiwa sanaa mtumishi
Ahsante saana ELIZABETH
Nikisikia nyimbo zako hatakama nilikuwa nausingizi unahama ghafra,nabalikiwasana maana Mimi Ni mlevi was Tenzi zarohoni,Mungu akutunze mtumishi,
Aminaaa nashukuru mnoo Mwana wa Mungu
Mungu akubark. Tumish mwaka huu 2021 uwe wabark kwak na kwenye mafanikio
Halleluyaaaaaaaaaa
Mungu azidi kukubaliki sana, Paschal EAGT ikuti kwa Mch. Mwasemele
Barikiwaaaaaa
Mungu azidi kukupatia unyenyekevu daima
Powerful song and beautiful..God bless you
Ameen ameeen
Mahenge barkiwa babayangu
Ameen nashukuru saana
Great worship..
Ameeen Nashukuruuu mnoo
Yani mpaka unakia raha moyoni kuskiriza mmmmmh safi sana
Ahsante saana Upendo
Halleluyaaaaaaaaaa yesu
Ameeeeen
Ubarikiwe bwana Alex
Ubarikiwe Sana
Que Dieu vous benise mon frère 🙌🙌🙌 , j suis votre chason depuis Congo kinshasa 🇨🇩🇨🇩
Mungu akubariki mnooo mnoo
Nzuri sana hii King
Ahsnlante sana ndugu yangu. Yesu apewe sifa Daima
Ameen Ndugu yangu
Am blessed my brother
Kazi nzuri saaana Alex,March 22,2020 love uuuu
Thanks Mungu akubariki
Glory to God 🙏
Ameen
U made ma day brother be blessed.
Thanks
Amen , iimbeeni malaika. 28.7.2019
Kaka unapatikana mkoa gani ni mkristu wa dhehebu gani.natanguliza samahani
Mkoani mby Niko EAGT
Anapatikana mbeya tena ni mtu alye okaka na anajua kuutendea haki wokovu ndo mana unaona nyimbo zake zinabarki pia hata kuhubir yuko vzr sana
Wow! I can't get over this song, whenever I listen to it am carried away in meditation. Especially that instruments part..
What an inspiration.. May God bless you as you minister his word to the world.
Ameeeen ameen ameeen
tababu ni yeye
God bless you nice song
God bless u ,💞
Ameeen
God blessing for this songs
Ahsante Mungu
Halluluya
Pend sanaa ww kazi zuri 😍😍
Ameeeeeen nabalikiwa Sana na wimbo
Safi sana
Blessed 🙏🙏🙏
God bless you,,,, good job
This song give me hopes.....
Very powerful