1.Twasoma, ni njema sana Mbinguni, kwa Bwana; Twasoma, dhambi hapana, Mbinguni kwa Bwana; Malaika wema wako, Vinanda vizuri viko, Na majumba tele yako, Mbinguni kwa Bwana. 2.Siku zote ni mchana, Ni nchi ya raha; Wala machozi hapana, Ni nchi ya raha; Walioko wanuona Uso wa Mwokozi, tena Jua jingine hapana, Ni nchi ya raha. 3.Nyama na vitu viovu Havimo kabisa; Kifo nacho, na ubovu, Havimo kabisa. Ni watakatifu wote, Wameoshwa dhambi zote; Wasiosafiwa wote Hawamo kabisa. 4.Tuna dhambi, pia sote, Mwokozi akafa; Kwake tutaoshwa zote, Mwokozi akafa; Kwake twapata wokovu, Tutawona utukufu; Mbinguni tutamsifu; Mwokozi akafa. 5.Baba, mama, ndugu zetu, Twendeni kwa Bwana; Huku chini sio kwetu, Twendeni kwa Bwana; Tusishikwe na dunia, Na dhambi kutulemea; Tutupe vya chini pia, Twendeni kwa Bwana.
Baba Wilson,mama Tusekelege, dada yng Eva na Ndimyake!! Kea jinsi mlivyoishi kwa kumtegemea mungu ktkt uhai wenu,ninaamini mko kwenye mji wa raha sasa. Mungu awapumzishe kwa Amani
@@ev.eng.enockl.mwakapalila2499 I also want to be there in the Kingdom of Christ with you and be forever with God, our Creator who created us in His image.
Wimbo huu ukipigwa au nikiuimba ninajisikia siko katika Dunia hii nabarikiwa na naona upako wa pekee. Inanijia picha ya utakatifu wa pekee. Mara nyingi nimeuimba ktk ibada za faraja na waombolezaji wanaomba niurudie.
This song be always in ma heart coz wimbo uliimbwa kwenye mazishi ya babangu I will never forget that song
Wimbo nzuri sipati picha siku ikifika niwezeshe Mungu wangu kutenda yaliyo mema
Daaaaaa... Mungu mwema... Nimeutafuta sanaaaaaaaa huu wimbo, kwa kweli unanibariki
Unanibariki mnoo
watuwekee na video yao wakiuimba
Jaman hiiiiiii tenzi nzuri sana yaani nikisikiliza naburudika sana
1.Twasoma, ni njema sana
Mbinguni, kwa Bwana;
Twasoma, dhambi hapana,
Mbinguni kwa Bwana;
Malaika wema wako,
Vinanda vizuri viko,
Na majumba tele yako,
Mbinguni kwa Bwana.
2.Siku zote ni mchana,
Ni nchi ya raha;
Wala machozi hapana,
Ni nchi ya raha;
Walioko wanuona
Uso wa Mwokozi, tena
Jua jingine hapana,
Ni nchi ya raha.
3.Nyama na vitu viovu
Havimo kabisa;
Kifo nacho, na ubovu,
Havimo kabisa.
Ni watakatifu wote,
Wameoshwa dhambi zote;
Wasiosafiwa wote
Hawamo kabisa.
4.Tuna dhambi, pia sote,
Mwokozi akafa;
Kwake tutaoshwa zote,
Mwokozi akafa;
Kwake twapata wokovu,
Tutawona utukufu;
Mbinguni tutamsifu;
Mwokozi akafa.
5.Baba, mama, ndugu zetu,
Twendeni kwa Bwana;
Huku chini sio kwetu,
Twendeni kwa Bwana;
Tusishikwe na dunia,
Na dhambi kutulemea;
Tutupe vya chini pia,
Twendeni kwa Bwana.
amen
Amina,,Yesu Kristo ,,,ahimidiwe milele na milele🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Mungu atupe mwisho ulio mwema❤️🙌🏻🙏 Jesus is our King 👑
Baba Wilson,mama Tusekelege, dada yng Eva na Ndimyake!! Kea jinsi mlivyoishi kwa kumtegemea mungu ktkt uhai wenu,ninaamini mko kwenye mji wa raha sasa. Mungu awapumzishe kwa Amani
Naomba unipe beti zote wimbo mzuri sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mungu nipe mwisho mwema niuone mji wa raha, be blessed singers
Utapata mwisho mwema na utaona Mji wa raha.
naupenda Sana huu wimbo cjui alie imba
natamani nione video yao na mimi
Ukipigwa huu wimbo namkumbuka sana marehemu babu yangu kipenzi lala mahali pema uliko
Yaani dah! Unanibariki sana huu wimbo kwa kweli,Mtunzi na uliyeuimba Mungu akubariki sana
Amina Mungu nitie nguvu niingie mahari pa raha
Naupenda Sana huu wimbo
Mungu wangu naomba ukumbuke mwisho wangu
Tenziii hii inanifariji sana ni jinsi navyoutafakari ukuu wa mwokozi
I also want to be there on this New Earth with God.
Oooooooooooh I pray for you my brother let us be there with our father cerebrating in the beautiful kingdom
@@ev.eng.enockl.mwakapalila2499 I also want to be there in the Kingdom of Christ with you and be forever with God, our Creator who created us in His image.
Amen,nabarikiwa sana na huu wimbo,nikiwa safari huwa nausikiliza sana
Nan kaimba jamanii
Ni Sifa kwa Baba yetu wa Mbinguni makao yake yalivo mazuri si kwa ajili ya Marehemu Jina la Bwana liinuliwe juu sana sana
Naomba hio biti na mimi nijaribu kuimba
Hii video nilitengeneza mimi
Kazi yako ni njema sana
Naomba full version ya huu wimbo au waliouimba
Tunaomba full version ya huu wimbo au jina la waliouimba
Amina sifa ni za BWANA
Niweze she ee mungu niende yaliyo mema niweze kuona Mji wa raha
Ubarikiwe kwa wimbo muzuri. Mungu azidi kiwapaka mafuta
Halléluia 🙌
Ubarikiwe wimbo umechangamka vzr
Ubarikiwe sana wimbo wa tenzi hume bariki
Wimbo huu ukipigwa au nikiuimba ninajisikia siko katika Dunia hii nabarikiwa na naona upako wa pekee. Inanijia picha ya utakatifu wa pekee. Mara nyingi nimeuimba ktk ibada za faraja na waombolezaji wanaomba niurudie.
Mbarikiwe Sana kwa wimbo mzuri
More songs pls
Pumzika kwa amani baba napenda Sana kuisikiliza huu wimbo na amini upo mji wa wa raha
Ni Nan aliimba ety
@@goodluckedson6992 Ni wimbo upo kwenye tenzi za rohoni kaka
Iyindirimbo iyondayumvirije icinkumbuzabmwijuru
Mungu awarehemu marehemu wote , hakika siku moja tutakuwa pamoja 🙏
Amen
MUNGU ni mwema katika maisha
Fantastic song
Nimeupenda sana Mungu awabariki wote mliofanikisha wimbo huu.
Hey can we have the full version of this song?
hallelujah
AMINA
REST IN PEACE MAGUFULI,MOSES KULOKA
UMETANGULIA KWA BABA
Amina asante yesu naitamani sana nchi ya raha
Tengeneze video 📸📸📸 Mimi nita lipiya
Amen 🙏
Naitaji wimbo wote uliokamilika nitaupataje?
Amen barikiwa kwa wimbo mzuri,.
Tack så mycket/merci/Thanks very much
Amen
Only god 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Amina san
Huu wimbo najihisi niko Mbinguni Mungu nisaidie niingie kwenye lango la Mbinguni 🤲🤲🤲
Nice song
Kila nikisikiliza huu wimbo machozi yanataka kunitoka mungu akubariki mtumishi natamani tufike kwenye hii nchi ya raha
Uu wimbo ukiusikilizaaa unaweza acha dhambi zoteee
Barikiwa sana
Watu weusi hawatakiwi mbinguni!
Iwe kwako kama ulivyosema
Hu wimbo unabaliki sana
Mbalikiwe na Mungu
Safi barikiwa sana
R.I.P MAGHUFULI AKA DR JOHN...WALIOKUUA WATAHUKUMIWA SIKUMOJA
Mbarikiwe waimbaji wote.
Nashukuru kwakuiweka huu wimbo, ila umeukata
Wimbo mzuri sana daa jamani
Kuna watu wanaoenda Jehanamu naona wao ni Thumbs down tuu Inasikitisha😥😥😥
.wimbo unanibariki sana
Safi sana
A qq
Goooood
Good song
Amen
Barikiwa sana
Amen
Amen