PART 3: INJINIA HERSI AFUNGUKA AUCHO ALIVYOWASUMBUA WAKATI wa USAJILI WAKE..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 вер 2024
  • PART 3: INJINIA HERSI AFUNGUKA AUCHO ALIVYOWASUMBUA WAKATI wa USAJILI WAKE..
    HII ni sehemu ya tatu ya mahojiano ya Global TV na mjumbe wa kamati ya usajili Yanga, Injinia Hersi Said, kuhusiana na masuala mbalimbali yanayohusu klabu ya Yanga.
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

КОМЕНТАРІ • 26

  • @abuukilanga2249
    @abuukilanga2249 2 роки тому +2

    Eng ALLAH AKUJAALIE MAISHA MAREFU YENYE KHERI NA WEWE Pamoja na GsM sisi tunajivunia nye
    Hongereni saana 🙏

  • @deodatusmatwegula535
    @deodatusmatwegula535 2 роки тому +2

    Hongera yasije yakatokea kama ya Morrison

  • @winfredjumatossy3354
    @winfredjumatossy3354 2 роки тому +2

    Nakubali Sana inyinia Wang yanga mbele nyuma mwiko

  • @adaniathumani3382
    @adaniathumani3382 2 роки тому +2

    Oky injinia hongera sana nataka kujuwa tu amesaini MiakA mingapi

  • @ujasusinaupeleleziduniani7252
    @ujasusinaupeleleziduniani7252 2 роки тому +4

    Hongera Engineer

  • @godlistengodlisten7552
    @godlistengodlisten7552 2 роки тому +3

    Injinia Wewe Ni Jembe.

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 2 роки тому +3

    Endelea kubaki Yanga ili timu na mashabiki wapate raha maana wengi wanaenda kichwa tu wewe hufuata vipengele vyooote na sheria zote uko vzr

  • @barakamasai2397
    @barakamasai2397 2 роки тому +1

    Nakukubali sana injinia

  • @adamnoah4334
    @adamnoah4334 2 роки тому +1

    Ipo ck atakuja pale lilipo soko kuu tz yaan carrier co-operation ( carrier cops) kbong kariakoo., Msimbazi na nembo ya nguvu 1

    • @meshajoni5662
      @meshajoni5662 2 роки тому

      Mmezoea uyo so molisony,kengewewe,puss,mkubwa,nyoko Nini,,

  • @elizabethelias3130
    @elizabethelias3130 2 роки тому +1

    Part 4 mbona haipo?

  • @davidlubida3043
    @davidlubida3043 2 роки тому +3

    Aucho bonge mchezaji

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 2 роки тому

    Engine ar

  • @othmanmnondwa8765
    @othmanmnondwa8765 2 роки тому +1

    We kolo funga Domo lako hayakuhusu

  • @azizintalla7348
    @azizintalla7348 2 роки тому

    lipeni wachezaji nyie vp mbhn manen yanakua mengi

  • @chichasam9032
    @chichasam9032 2 роки тому

    Mpigaji huyuuuu

  • @Nufaila442
    @Nufaila442 2 роки тому

    Chawa wa gsm

  • @mohamedjeizan5929
    @mohamedjeizan5929 2 роки тому +2

    Kujigamba kwingi utadhani bonge la wachezaji.
    Hamna lolote

    • @yassinpaulo7867
      @yassinpaulo7867 2 роки тому +1

      Vishabiki vya makolo kiherehere haya wahusu mutuache nayanga yetu

  • @saidabdallah5205
    @saidabdallah5205 2 роки тому +2

    kwan umesikia kuna mchezaji anadai au shobo zako tu ww kolo fc

  • @revethihoka2809
    @revethihoka2809 2 роки тому

    Acha ujinga wewe,mchezaji anataka hela,acha kutudanganya

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 2 роки тому +2

    Kiukweli wewe jamaa Mungu amekujaalia hekma matamshi mazuri kbs mungu akuongoze sana hekma maradufu

  • @japhetbarton8268
    @japhetbarton8268 2 роки тому

    DIRISHA DOGO LINAKUJA OLE WAKO UWE UMEFANYA VITU KIENYEJI ANASEPA MSIMBAZI

  • @mizahhnation5971
    @mizahhnation5971 2 роки тому +2

    King injini