singida na simba wote tunamwomba Mungu ushindi, Mungu atasimama kati yetu na Timu Yenye wachezaji wazuri na watakao kuwa katika ubora kesho wa kutafsiri mbinu za mwalimu hakika itaibuka mshindi. Sasa Jambo La kumwomba Mungu ni Asaidie Timu hizi zisipatwe na mabalaa na wachezaji wote wawe na afya njema ili mbinu na wachezaji wazuri zikashinde kesho. Yeye Mungu anajua nani ni mshindi kesho ila hapangi simba au Singida ishinde.😂😂😂
Dogo ameenda kuoa na timu ipo kwenye vita timu mbili(walima alizeti na mjomba wao uto).anyway tunaimani na Mohamed Hussein namba 3 bora kuwahi kutokea Tanzania
Hongera yake valentine nowma kwa ndoa yake mungu aipe baraka kwa hakika amefanya maamuzi sahihi akiwa chama sahihi sisi kama washabiki wa Simba tunampa kongole akirudi gemu tutakayocheza na yanga bc hiyo gemu itakuwa ya mke wake nowma Wana yanga wajipange.
Wachezaji,benchi la ufundi mnajukumu kubwa la kucheza mpra mkubwa sana kwani mnacheza na baba na mwana anayejidai kakuwa firstborn,pia bake anataka kumaliza mwaka akiwa kileleni,acheni mpira wa kistaa sana pambaneni
Nimetazama mahojiano ya pande zote mbili kutoka kwa walimu wote ila ukweli tu Singida wanaoneka kuutolea sana macho mchezo huu yaani tena kama kafa mtu. Ila natumai itakua mechi ngumu na majibu ya ushindi anayo mwalimu ktk kupanga kikosi kipi kitaanza ili isije mpa shida kwenye kufanya mabadiliko. Natumai kwa utulivu wetu hii mechi tutashinda na kupata alama +3
Eee mwenyezi mungu ijalie simba yetu iibuke na ushindi inshaallah
Wanaungana wengi nje ya uwanja kupambana na Sisi but In shaa Allah tutashinda
Simba nguvu moja
Mungu ibariki simba sports club
Simba nguvu moja ushindi uwe upande wetu ee mungu tusaidie kesho tushinde
Mungu ijalie simba ishinde mechi ya leo 🎉🎉🎉
Mungu ijalie simba ushindi llshaallah
aaamin InshaAllah
Amiiin
Mungu awatunze na atusaidie team yetu ishinde❤❤❤❤
Simba nguvu moja....ubaya ubwela🦁🦁🦁🦁🦁
Kesho tutamshinda mtoto na Baba yake
Mungu abariki Simba sc❤
Nouma kila lkher kwa hatuahiyo
Ndoa yako ikawe ya baraka na Amani❤
Mungu atasimama na simba yetu
MUNGU ijalie simba yangu ushindi kesho
singida na simba wote tunamwomba Mungu ushindi, Mungu atasimama kati yetu na Timu Yenye wachezaji wazuri na watakao kuwa katika ubora kesho wa kutafsiri mbinu za mwalimu hakika itaibuka mshindi. Sasa Jambo La kumwomba Mungu ni Asaidie Timu hizi zisipatwe na mabalaa na wachezaji wote wawe na afya njema ili mbinu na wachezaji wazuri zikashinde kesho. Yeye Mungu anajua nani ni mshindi kesho ila hapangi simba au Singida ishinde.😂😂😂
simba nguvu moja❤❤❤❤
MUNGU IBARIKI SIMBA SC
Penda Sana awesu ❤️
Mungu isaidie timu yetu, ibariki na uiwezeshe kushinda mchezo wa kesho na michezo yote mingine. Kwa jina la Yesu, Amina!
AMINA ,AMINA
ASANTE MUNGU KWA KUSIKIA MAOMBI YETU
Kila la kheri mnyamaaa 😊😊❤❤👹
KESHO TUNASHINDA 2 - 0 ❤️❤️❤️
Inshallah
Simbaaaaaa yetue🎉❤❤
All the best Coach🎉🎉🎉
Ubaya ubwela kesho tunacheza mechi na timu mbili zilizoungana ndani na nnje ya uwanja ili kupambana na simba
🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
Mbona mashuzi
Waoo hongera nouma
Dogo ameenda kuoa na timu ipo kwenye vita timu mbili(walima alizeti na mjomba wao uto).anyway tunaimani na Mohamed Hussein namba 3 bora kuwahi kutokea Tanzania
Allah tunakuomba ijaalie cmba ushindi mnono
Aaaaaaaamin
MwenyeziMungu tujalie ushindi timu yetu ya simba wapenguvu afya kupambana uwanjani ilitupateushindi
Awesu very smart up stairs
❤❤❤❤❤❤❤ kila la heri timu yangu
Heeeeh valentine nouma anaenda kuoa jamn wakat m niko hapa❤
Nguvu Moja ✍️✍️✍️
Keep pushing mnyama
Mungu ni mwema nguvu moja
Mungu tushindie pekeyetu hatuwezi
Unstoppable
Mungu atusaidie kesho tushinde kesho Simba
Amina Amina
Mungu tubariki wanasimba nguvu moja
Tuipambanie ximbaa yetuuuuu 🎉
Mungu Tupe Ushindi Yaraby Mnono Mpaka Wafunge Midomo Yao Machawi Yanga Laana itawarudia
Insh'ALLAH ... Kesho tukiwa makini tunamshenyenta 3 - 0
1❤❤
Nguvu moja🎉🎉
Simba ubaya ubwela
Hongera yake valentine nowma kwa ndoa yake mungu aipe baraka kwa hakika amefanya maamuzi sahihi akiwa chama sahihi sisi kama washabiki wa Simba tunampa kongole akirudi gemu tutakayocheza na yanga bc hiyo gemu itakuwa ya mke wake nowma Wana yanga wajipange.
🎉🎉🎉
Kesho kaqoma na Deborah waanze kikosi chakwanza huku kibu nampanzu waanzepia
🦁🔥🔥
Nakubali ubaya ubwella
Big couch
Naitakia Simba ushindi hapo kesho zid ya singida
Ubaya ubwela ndani ya singida
Wachezaji,benchi la ufundi mnajukumu kubwa la kucheza mpra mkubwa sana kwani mnacheza na baba na mwana anayejidai kakuwa firstborn,pia bake anataka kumaliza mwaka akiwa kileleni,acheni mpira wa kistaa sana pambaneni
kwenye hii mechi mkono wa yanga utakuwepo
Nguvu moya!
Kesho ni mechi Kati ya Simba na time mbili sense mtazamo Moja
#SimbaNguvuMoja #UbayaUbwela
Kesho tunacheza na Yanga B,kesho tunazifunga Yanga A,na Yanga B😅😅😅😅
Kikubwa tumuombe mungu majini yasije yakaingizwa uwanjani maana kesho hatuchezi na singida Bali tunacheza na wachawi waliokimbia uwanja wa chamanzi
Haijalishi Vita yetu nikubwa lakn kwa uwezo wake Mungu wetu tutashinda
Simba❤❤❤
Nimetazama mahojiano ya pande zote mbili kutoka kwa walimu wote ila ukweli tu Singida wanaoneka kuutolea sana macho mchezo huu yaani tena kama kafa mtu. Ila natumai itakua mechi ngumu na majibu ya ushindi anayo mwalimu ktk kupanga kikosi kipi kitaanza ili isije mpa shida kwenye kufanya mabadiliko. Natumai kwa utulivu wetu hii mechi tutashinda na kupata alama +3
Ivi semaji yupo wapi
Kesho tunacheza na timu mbili singida na yanga watoto wa g s m
Very
Nguvu Moja mung baliki mechi yetu ya kesho
Ushindi kesho
Let's wait to day if Simba shoes fits Fadlu
Kesho yanga singida vs simba wachezaji waache nakshi show game wajitume kasi mipira wasichezee mipira nyuma mastraika wawe na force golini
Simba popote ni ubaya ubwelaa tuuu
Hi
Watoto wa ubaya ubwela hao
Kikikiii nouma ameenda kuowa xio pw
Kila raheli chama langu
Ubaya ubwela
Napenda nitowe ili dugudugu langu kwa viongozi wetu na naomba mulifanyie kazi, kwanini kila wiki nyuma mwiko ucheza baada ya yeye kujuwa matokeo yetu?
Ww kocha Angalia Sub Zako huwa hazilipi mara zningine
Tupo kileleni lakini😊
Sub zinaweza kulipa ila muda mwingine huwa zinafeli, chamsingi wachezaji waliopewa dhamana ya kucheza wapambane kweli
Mumgu tusaidie tushide dhidi ya singida
Ubaya ubwela
Tutawafunga mbwa naaskali wake
Mutale anafunga kesho
Mutale mbn hajasafirii
@@klaudmwakilema892 kocha kasema hapo mutale ni injury
Weeeeeeee siyo mwanamichezo,Mbona mutale ni majeruhi😅😅😅😅!!!!!!!!!!
Kesho me ntakutafuta baada ya game
👏👏👏👏👏👏👏👏🦁♥️♥️♥️♥️♥️💪💪💪💪💪🙏🙏
Nguvu moja🎉🎉
Ubaya ubwela
Tutawafunga mbwa naaskali wake
Tutawafunga mbwa naaskali wake