Jamani roho imeniuma tumefungiwa na CAF kuingia uwanjani tar 19 na fain juu mashabiki wacheche mmeigharimi team yetu kwa ujinga wenu msirudie tunaipa hasara team yetu
mmmmmhhh ila mashabiki wa simbaaa dah kweli tumekua,wenzetu watani wanashangilia sisi kufungiwa ndo kwanza tunawpongeza viongozi wetu kwa mikakati na mipango ya club,adhabu itaisha tuuu na ikiisha tujaze uwanja mpaka CAF waseme THE FANS OF UBAYA UBWELA THEY BACK
Sisi wanasimba tunataka kuwa na uwanja wetu kama amuwezi kujenga uwanja Kila mwezi sisi wana Simba tuchange pesa mpaka tumalize ujenzi autaki halaka kidogo kidogo mpaka tutamaliza CEO Fanya hivyo kama Barbara sisi tuko teyari wana Simba wote
HAPA CEO ZUBEDA NA UONGOZI WA SIMBA FUNGUENI ACCOUNT ZA MITANDAO YA SIMU. ZISAMBAZWE KWENYE MAGROUP YOTE YA SIMBA ILI TUCHANGIE HIYO FINE CHAP. WANASIMBA 100000 (LAKI MOJA) KILA MMOJA 1000. FINE INALIPWA HARAKA NA TUNABAKI SALAMA NA FUNZO LETU SIMBA NGUVU MOJA
Kwann yy ndoaliye vunja viti? Ni ss wenyew mashabiki tulikosa uvumilivu ndotumekutana na adhabu pia na kuipatia clabu hasara ya faini mbili nyumbani na CAF

Nguvu Moja 🦁🦁🦁🦁🦁Mungu ibariki Simba Sc tuongoze Kundi na InshaAllah Turudi na Taji Nyumbani Tz
Ceo nakuombea maisha marefu kwa alaaah akujalie majukumu.mema ishalaah nakuelewa sana
❤️ ALHAMDULILLAH ❤️ 🇹🇿 🇦🇪 UBAYAAA UBWELAAA C. E O, Safi Sana hizo plan tufike mbali Inshallah
Nguvu moja 🦁💪
👏👏👏👏👏👏👏 simba nguvu moja 🦁♥️💪🙏
Jamani roho imeniuma tumefungiwa na CAF kuingia uwanjani tar 19 na fain juu mashabiki wacheche mmeigharimi team yetu kwa ujinga wenu msirudie tunaipa hasara team yetu
Uto nayo imefungiwa?nauliza
@SaumuSaidi-z2v wao wafungiwe kwa kosa gani?
Kweli dada ifike hatua tujiheshimu simba ni timu kubwa kwa sasa baran africa na dunia kiujumla yan tunajifedhehesha wanasimba ..thanks
C E O tunaomba ipeleke Simba ifike mbali tuko pamoja
Dada yangu jaribu kuwatafuta wazee wa Simba wakina kaduguda uwe jaribu nae Mimi naamini ukiwatafuta kazi yako itakuwa poa sana
Tuko pamoja mpaka tutakapo leta kombe la Africa Insha'Allah 🎉🎉🎉
Wa kwanza leo simba nguvu moja
Ubaya ubwelaa
❤️❤️❤️
From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations Guys pambaneni zaidi kukua zaidi❤🎉Enjoy Muziki Mzuri kutoka EGM
Anzishen iyo tim na basket mtakuwa wakwanza simba nguvu moja
Wafundisheni washabiki uungwana na wasilete fujo kwenye mechi, hii si jadi ya watanzania kuharibu miundo mbinu ya walipa kodi!
🎉🎉🎉
👏👏👏👏👏
mmmmmhhh ila mashabiki wa simbaaa dah kweli tumekua,wenzetu watani wanashangilia sisi kufungiwa ndo kwanza tunawpongeza viongozi wetu kwa mikakati na mipango ya club,adhabu itaisha tuuu na ikiisha tujaze uwanja mpaka CAF waseme THE FANS OF UBAYA UBWELA THEY BACK
Mashabiki wa simba tujifunze kwa hii adhabu ya caf tuepukane na fujo za kijinga zinaigharimu club yetyu kiuchumi nimewasilisha
❤❤❤❤❤❤
Mpeni full CEO. Mambo ya kukaimu ni uzwazwa
Namkubali sanahuyudada
Nguvu moja
Sisi wanasimba tunataka kuwa na uwanja wetu kama amuwezi kujenga uwanja Kila mwezi sisi wana Simba tuchange pesa mpaka tumalize ujenzi autaki halaka kidogo kidogo mpaka tutamaliza CEO Fanya hivyo kama Barbara sisi tuko teyari wana Simba wote
Piga kazi mama sisi wanasimba tunakupenda sana na tupo nyuma yako
🇹🇿🦁💪💪💪🙏🙏
👏👏👏👏🦁🏆♥️♥️💪💪💪💪🙏🙏🙏
Nimependa maelezo ya kiongozi, akiyasimamia atatufikisha mabli
HAPA CEO ZUBEDA NA UONGOZI WA SIMBA FUNGUENI ACCOUNT ZA MITANDAO YA SIMU.
ZISAMBAZWE KWENYE MAGROUP YOTE YA SIMBA ILI TUCHANGIE HIYO FINE CHAP.
WANASIMBA 100000 (LAKI MOJA) KILA MMOJA 1000.
FINE INALIPWA HARAKA NA TUNABAKI SALAMA NA FUNZO LETU
SIMBA NGUVU MOJA
We msemaji una wtt wangapi?
Kila lakheri C E O katika utendaji wako
Ceo wa simba ni pis
HAMNA KITUU HAPO GUNDUU AMEKUJAA TUNAFUNGIWAA NA CAF
Kwann yy ndoaliye vunja viti? Ni ss wenyew mashabiki tulikosa uvumilivu ndotumekutana na adhabu pia na kuipatia clabu hasara ya faini mbili nyumbani na CAF
👏👏👏👏👏👏👏🦁🇹🇿♥️♥️♥️♥️♥️💪💪💪💪🙏🙏