Masha Allah kheir dua nzuri sana. Allah awalipe jazaa njema masheikh wetu na walioombewa dua. NAOMBA KUWEZA JUWA NITAPATA WAPI HIYO TAWASULI NIMEIPENDA NA JEE CHAITWAJE NAOMBA NIJUZE
Mambo haya mazuri makubwa yanapingwa vita, Allah nusuru kazi kubwa hizi za vipezi wako, wakubalie kwa huruma yako walipokuja kwako kwa unyenyekevu kukuomba.
Allah subhaana aichukua ilmu kwa kuwachukua wanazuoni wachamungu, #Allah jalla waalaa alinawirishe kabri la Sheikh letu, A'miin
Mashallah Mashallah Mungu amrehemu sheikh wetu na atunufaishe na elimu yake.
Masha Allah kheir dua nzuri sana. Allah awalipe jazaa njema masheikh wetu na walioombewa dua. NAOMBA KUWEZA JUWA NITAPATA WAPI HIYO TAWASULI NIMEIPENDA NA JEE CHAITWAJE NAOMBA NIJUZE
Allahumma ghfir laanaa warahamhum
Allahumma ghfir lanaa walahum
Allahumma aaamyyyn
Allahuma Ameen
Mambo haya mazuri makubwa yanapingwa vita, Allah nusuru kazi kubwa hizi za vipezi wako, wakubalie kwa huruma yako walipokuja kwako kwa unyenyekevu kukuomba.
Aamiin Yaa Rabb
Mungu amuweke pema
Mwalim umenikumbusha mbali mnoo mpaka imeniliza hiindo maalif naikumbuka Sana hii iidusamaa
Maashaallah
Inshalea
Jina la kitabu chenye tawassul hiiii 👏
Omal mbwana
Hii tawasur ipo kwa kitab gan
Shekh alikuwa si mtu wa kawaida ........, Allah akuweke pema Simba ☝️
Amiin
Sittu wasaail
Hii tawasul nimejitahidi nimeipata
Naam Alhabibi as'alaykum
Naitafuta hii atawassul ipo kwenye kitabu gani
Na wapi nitaipata
29:07 MaashaAllah
Kitabu chaitwa المنظومة الدمياطية
Kinapatikana wapii hicho kitabuu
@@mahibdalali
Au tafuta kitabu kinaitwa اطاريقة صوية
فی الوساءل الشمسيةkipo tamta
Kitabu kinapana wapiii
Mwalimu tuambie hii tawasuli ipo kitabu gani
Sittu wasaail