Allahu ya Allahu ya Allahu .

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 218

  • @maryamrashid8499
    @maryamrashid8499 Місяць тому +2

    Uradi huu umenikumbusha marehemu mama yangu kila siku lazima ausome asubuhi na jioni ,Mwenyenzi mungu amrehemu amundoshee adhabu za kaburi ampe kauli thabiti yeye pamoja Baba yangu mpenzi Mungu awajaalie waingie Pepo ya fir_daous ,Ameen yarrab

  • @ASHURAASHURA-jx2if
    @ASHURAASHURA-jx2if Рік тому +14

    Ninakuomba allah kupita kisomo hiki cha qur an tukufu naomba unipe subra NA amani NA furaha ndani ya moyo wangu kwan unaniumba paspokujuwa nn shida naomba nikapokee poozo la kupoozwa NA qur an kwani qur an ni pozo la kila mja mwenye mazito NA asiepozwa NA qur an basi huyo hana pozo lolote litakalo mpoza yarabi anifanyie wepes katika hili amina

  • @RukiyaSalim-r5m
    @RukiyaSalim-r5m 2 місяці тому +2

    Mashallah mwenyezimngu atufanyie wepesi Kwa Kula Jambo taupe afia njema mm na watoto na familia yangu na Jamie islamu awaongoze wanangu na mm kwenye njia njema Amin ya rabil alamin.

  • @ASHURAASHURA-jx2if
    @ASHURAASHURA-jx2if Рік тому +6

    Maashallah shekhe allah akupe maisha malefu yenye afya tele uzidi kutusomea dua inshaallah🙏🙏

  • @husnaabdarasuly4370
    @husnaabdarasuly4370 2 роки тому +35

    Mashaa Allah Allahumma Ameen Yarabby nakuomba Yaa Allah kwa uzito na utukufu wa dua hii iwe sababu ya kuniondoshea mazito nilonayo na unifanyie wepes ktk utaftaji wa riziki yng na unisahilishie mambo yng pasina mm kujua Yaa Allah nakuomba nifanyie sahan ktk mitihani ninayoyapitia na uniongoze mja wako dhaifu pamoja na wazazi wng na uniongozee na kizazi ulichonirudhuku Yaa Allah shukrn ustadh nimeitikia dua hii kuna uzito nilokuwa nao najihis amani ya moyo na ninavyokipenda kitabu hiki Allah shahidi 🤲🤲

    • @naimaawadh8640
      @naimaawadh8640 2 роки тому +3

      Allah atufanyie wepesi mambo yetu nakhatwa zetu site as Na vizazi very Na jamiil Muslim

    • @hawacheptoo8724
      @hawacheptoo8724 2 роки тому +1

      Amiin Yaa Rabb

    • @mbetsamwero
      @mbetsamwero 7 місяців тому

      Aamin yaarabb

    • @FatimeIsmail-b3g
      @FatimeIsmail-b3g 6 місяців тому

      Allahuma Aameeen yah Allah utukuzwe haufananishwi Na kitu maana we ndie tegemeo letu,,, Amiin nifanyie wepesi Kwa kila Lilo Zito kwangu Na unisahalishie mitihani Yote ninayopitia Yarrabi,,,Na uwakumbke waja wako walio tangulia mbele zako ZA haki,,,,Na unibariki Na kizazi chema in Sha Allah

    • @HifadhiJames
      @HifadhiJames 6 місяців тому

      Allhumah amiin 🤲 yarrab 🙏😢

  • @queenbintizol7883
    @queenbintizol7883 Рік тому +6

    Ya Allah nijaaliye kila lenye heri na niepushe na shari zote... Nijaaliye furaha katika maisha yngu... Afya na umri unijaaliye mm na wanangu... Yaa Allah 😭🥺

  • @aminambwambo622
    @aminambwambo622 2 місяці тому +1

    Yaa Allah nijalie mwisho mwema na mama yangu watoto wangu na ndugu zangu yaa rabb kupitia ukubwa wa dua hii kila UCHAWI ulio jificha ndani ya familia yetu yaa rabb ufichue ubainike kila alie kuwa adui yetu ndani ya familia yangu tufichulie yaa rabb wewe hulinganishwi na chochote yote wewe unayaweza nifungue kiuchumi watoto wangu ABDULRAHIM SAID apate kazi nzuri HAJRAT SAID apate shule nzuri penye mtihani usimupeleke mtoto wangu kupiti dua hii yaa rabb nijibu

  • @RajabZani
    @RajabZani 18 днів тому +1

    Mashaallah ya Allah kupitia Dua hii ukaniongoze kutokamana na kila lenye na heri na ukanikinge kutokamana na kila lenye na shari na ukanijaalie maisha mema hapa duniani na kesho akhera pamoja na wazazi wangu ikiwemo waislamu wote kiujumla

  • @ASHURAASHURA-jx2if
    @ASHURAASHURA-jx2if Рік тому +4

    Ya allah ya allah hakika ww ndio kila kitu kwangu NA bila wewe siwez ninakuomba allah kwa kudra za dua hii NA rehma zako nakuomba unifanyie wepes katika magungu NA uzito NA changamoto NA miskosko ninanoipitia katika kazi yangu hakika hujawahi ni acha mja wako kila nikuombapo hivyo alhamdulilah naamini hata Haya yatapita kwa kudra zako inshaallah kher 🙏🙏🙏

  • @LeratoKhoza-q8r
    @LeratoKhoza-q8r 4 дні тому

    Ya Allah kupitia dual hii nakuomba Mola wangu Uniondolee kila Aina ya Maradhi na shida zote,Mola wangu kwa utukufu, huruma, na power yako nakuomba uwape pepo mahujaji waliokwenda Haji,watakaoenda haji,na mie unijaalie siku Mola niende haji,na unisamehe mimi na wazazi wangu 2,na masheikh,na maustadhat,,ln shaa allah

  • @MaisalaMsumi-io8he
    @MaisalaMsumi-io8he Рік тому +4

    Dua kwaajili yangu na familia yangu Allah atiwe wepesi kwenye magumu yote nnayokabiliana nayo Allah mrehemu mzazi wqngu aliembele za khaki nifanyie wepesi kwenye utaftaji wangu nilinde na wenye husda chuki inshaallah

  • @ASHURAASHURA-jx2if
    @ASHURAASHURA-jx2if Рік тому +4

    Pia naomba wajalie wanangu afya maisha malefu wakuze katika kukupendeza ww nawakuabududu ww wakawe wtt wenye hekima NA maalifa NA nidham wape wenye kusoma dini nakufanyia ibada amiiiina

  • @zainabusalumu420
    @zainabusalumu420 Рік тому +3

    Mashaalhwa mwenyezi mungu Atufanyie wepes Kwa Kila jambo kupitia Dua hii

  • @najmayukosawagosi9354
    @najmayukosawagosi9354 2 роки тому +13

    Yarabbi mungu tujalie utupe wepesi kwenye kazi zetu na ufungulie mmwangaza yarabbi shari utuepushe nazo nawalio tangulia mbele za haki mungu waswamee thambi zao inshallah na shekh wetu yarab mungu amlinde na amfungulie milango ya heri inshallah yarabbi

  • @aishajuma5077
    @aishajuma5077 Рік тому +13

    Best dua that's makes your family free from bad people amin ya Allah grant us your forgiveness and protection ami

  • @hadijazuwa2047
    @hadijazuwa2047 Місяць тому +3

    Nakuomba YaRabby, kupitia Dua hio,naomba kila magumu inayopitia nakuomba ya Allah unifanyie wepesi,uniondolee maradhi

  • @راجيعواجي
    @راجيعواجي 3 роки тому +6

    Mashallah hii dua ikisomwa naiona milango ya pepon ikowazi Ameeen

    • @1nesoch
      @1nesoch 2 роки тому

      Eti hii dua ikisomwa ? Dua gani ? Hizo ni shairi za aina ya tauhidi za kumsifu Allah, wala sio dua hata kidogo. Allah awalipe ndugu zetu hawa kwa husn niya yao tu ya kumsifu Allah, lakini hii sio dua.

  • @zenashamte940
    @zenashamte940 6 місяців тому +6

    Nakuomba Mungu kupitia dua hii umuondolee maradhi mtoto wangu

  • @ZaituniSaid-e7b
    @ZaituniSaid-e7b 2 місяці тому

    Yarabii nakuomba Kwa Dua hii nzito bac ikawe yenye kunfungulia milango yangu riziki na Kwa Dua hii nzito tujalie mtoto wetu alopotea tuweze kumuona inshallah,,Ya Allah nakuomba Kwa Dua hii uwajalie wote walotutangulia mbele za Haki babangu Said na babangu Mohammed na nyanyangu wote uwapunguzie adhabu ya kabri na makaruri inshallah,mamangu pia mjalie afya njema mpe riziki za halali

  • @tatubadi3730
    @tatubadi3730 3 роки тому +12

    Yabih ,ya Allah,Yakarim,,kwa Dua hii nzito nakuomba Yaa Allah ikawe sababu ya kuwafutia madhambi yao wazazi wangu waliotangulia mbele za haki,ikawe sababu Nuru,Mwaka katika Makaburi yao,Yaaah Allah kwa Dua hii nzito ikawe sababu ya kuingia peponi mama yangu Khadija Badi,Baba yangu Badi Ramadhani,Nakuomba Yarabbih kwa Dua hii nzito na kwa rehema za mtume wetu Muhammad S.w.a , na kuomba uwahurumie wazazi wangu kama walivyonihurumie Mimi mtoto wao kwa kunizaa na kunilea ,Nakuomba uwarehemu.Nakuomba Yarabbih kwa rehema zako na Baraka zako.🙏🙏🙏🙏😭

    • @alqurankareem5151
      @alqurankareem5151  3 роки тому +1

      Amiin Ya Rabbi na kila islamu Allah Awasamehe madhambi zao

    • @husseinmwijuma4477
      @husseinmwijuma4477 2 роки тому

      Ameen yarabal alamin

    • @1nesoch
      @1nesoch 2 роки тому

      Dua gani? Hii sio dua, ni mashairi ya aina ya Tauhidi, yanayo msifu Allah. Jameni, Uislam umejengewa kwa elimu, lazima waislam wawe na ujuzi wa hali ya juu.

    • @alwiyaabubakar4317
      @alwiyaabubakar4317 2 роки тому +1

      @@alqurankareem5151 Ameen ya rabb

  • @zulfakibwana6193
    @zulfakibwana6193 3 роки тому +8

    Mashallah 🔥 yanigusa moyo.ya Allah tufanyie wepesi

  • @MohamedSaidy-m3f
    @MohamedSaidy-m3f 6 місяців тому +1

    Allahuma aamin kwa dua hii Allah anikinge na yote mabaya na anipe wepes ktk maisha haya ya dunian na kesho akhera

  • @AmaniMaronkero
    @AmaniMaronkero 2 місяці тому

    Amina Yarabi Kwa Uwezo wako kwa Duwa hii Mola wangu nakuomba Unilinde na familia Yangu na Unifanyie Wepesi katika Kazi za Mikono Yangu na pia Uniepushe na Shari za Maaduwi

  • @fatumaningalabofulo7460
    @fatumaningalabofulo7460 5 днів тому

    Alhamdulillahi Rabil Alamini.
    Du'a hii inazidi kujenga imani ndani ya roho.
    Ya Allah tufanyie kila lililogumu kuwa jepesi.
    Aamina.

  • @mozasuleiman2753
    @mozasuleiman2753 Рік тому +4

    Masha Allah best duaa jina la kitabu please 🙏

  • @راجيعواجي
    @راجيعواجي 3 роки тому +11

    Mashallah tabarakallah mwenyezi Mungu atulinde wote na atujalie heri na imani Ameeen

  • @johariabby4120
    @johariabby4120 2 роки тому +6

    DUA KWA AJILI MWANANGU ANAESAFIRI LEO PAMOJA NA WENZIE ALLAH AWAFANYIE WEPESI KATIKA SAFARI YAO KILA PENYE GUMU AWEKA WEPAESI PAMOJA NA ABILIA WOTE WAFIKE SALAMA🙏🙏🙏🙏

  • @AminahMtwa
    @AminahMtwa 4 місяці тому

    Amiin yarablaalamin 🙏,Allah mm mjawako dhaifu sina maneno mazuri na fasaha yanayozidi elmu yako yarabb,unayetambua mambo kabla hayajasemwa,nakuomba kupitia dua hii iwe maombi yang kwako kutokana na shida zangu Ya Rasul.nakuomba maan sina wakumuomba isipokuw wew Ar rahman.nihurumie mm mwnyemakosa pamoja na wazazi wang Yarabby🙏

  • @chiefmalikkmbarak1203
    @chiefmalikkmbarak1203 5 місяців тому +1

    Allah tunakuomba baraka zako na kheri zako na fadhila zako na nusra zako Allah ikinge na family yangu na mke wangu mummy chunny na watoto wetu

  • @HaniphaAdam
    @HaniphaAdam Місяць тому +1

    Yarabi nakuomba kisomo hiki kizito kiniondolee mazito yote yalio kwangu nakinifungulie milango ya rizik na kwadua hii nzito uwajalie wote waliotangulia mbele ya haki baba angu said na wanangu Aisha na hanipha pamoja na ndugu zangu wote waliotutangulia uwapunguzie azabu ya kabri uwasamehe mazambi yao wahurumie yarabi laza roho zao mahala pema pepon inshallah🙏mama angu pia mjaalie afya njema na mfungulie milango ya rizik 🙏🙏🙏🙏.amiin yarabi

  • @hadijazuwa2047
    @hadijazuwa2047 Місяць тому +1

    Tabarak Dua,tulinde na Shari na tulinde na hasara ya Allah

  • @RukiyaIssa-s6y
    @RukiyaIssa-s6y 2 місяці тому

    Ya Allah tufanyie wepesi wa maisha utujaalie mazuri ya dunia na akhira In Shaa Allah

  • @shumiaziz9713
    @shumiaziz9713 3 місяці тому

    Mashalla mashalla mnyezi mungu atufamyi wepesi atuondole mazito yanayo tupata na wana wetu wapate kusoma na uwafungulie mwanga ya Allah 🙏🥺🥺

  • @Asha-k8n6l
    @Asha-k8n6l 12 днів тому +1

    Mashaallah mwenyezimungu kupitia dua hii naomba unipe subra kwa haya magumu niliopitia inshaallah

    • @alqurankareem5151
      @alqurankareem5151  8 днів тому

      @@Asha-k8n6l اللهم آمين 🤲 يارب العالمين 🤲

  • @habibabarker1644
    @habibabarker1644 Рік тому +2

    MaishaAllh

  • @ghaniyashaban9845
    @ghaniyashaban9845 3 роки тому +4

    Mashallah Allah awajalie kher mutupe mazuri munayo ya jua na dua jema

  • @faizaummumohamed5363
    @faizaummumohamed5363 Рік тому +9

    ما شاء الله تبارك الرحمن الله يتقبل دعواتك وفرج علينا جزاك الله خير وبارك الله فيك

  • @MwanaJuma-r4g
    @MwanaJuma-r4g Рік тому +3

    Amiin yarabi

  • @ayshaaysha2165
    @ayshaaysha2165 Рік тому +4

    Mashaallah Allah akujalie Kilalaher
    🙏🙏

  • @FaridaFarida4
    @FaridaFarida4 5 місяців тому +1

    Allah kupitia Dua hii naomba umkuze mwanangu kwenye maadili mema na afahamu sana dini napia Allah nijaalie nimalize mkataba wangu salama na niludi salama tanzania pia mrehemu baba angu mfutie dhambi zake mtilie Nuru kwenye kaburi lake pia Allah nilindie mchumba wangu mpaka nitapo rudi tufunge na mzidishie subra na utie wepesi kwenye kazi zake mbwana pia Allah nijaalie kwa biashara yangu nilio ianza online iwavutie watu na wanipe oda nyingi ya Allah nijaalie kwa kupitia Dua hii unifungulie Kila heri kwangu kupitia Dua hii Allah Kareem 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @khamisahmad7469
    @khamisahmad7469 Рік тому +2

    Tabarakz llah mashaaallah jazaka llah umrk

  • @Saidaabdu-t1l
    @Saidaabdu-t1l 2 місяці тому

    Yaa Allah tupe wepesi tufunguliye mlango ya kheri tutimiziye Yale twayataka tukubaliye na dua hii na ijumaa hii Amin yaa rabaa amin

  • @WahidaMussa-m8y
    @WahidaMussa-m8y 4 місяці тому

    Yaarabby, kwasiri ya kisomo hiki nakuomba unikidhie haja zangu zote zakhery nilizokusudia yarabby❤

  • @gulzarmansoor9763
    @gulzarmansoor9763 Рік тому +2

    Ameen yarab❤

  • @Mzalendo-n8q
    @Mzalendo-n8q 8 місяців тому +3

    I have been looking for this sound..hii ni Ile husomwa radio rahma kika magharibi...nimefurahi Kwa kuipata

  • @SaidaAlly-m6l
    @SaidaAlly-m6l Місяць тому

    Shukran shekhe mungu akujalie kwa mafundisho mazuri nakupenda sana kwaajili ya allaah ❤❤❤

  • @SanoghoSadasy
    @SanoghoSadasy Рік тому +6

    ALLAHU YA RAHMAN!
    ALLAHU YA RAHIM!
    ALLAHU YA KARIM!
    ALLAHU YA LATIF!
    ALLAHU YA ALLAHU!

  • @stevenmulira9660
    @stevenmulira9660 7 місяців тому +2

    Ya Allah warehem wote waliotutangulia aamin

  • @ommyguy8452
    @ommyguy8452 Рік тому +2

    Allahumma ameen yaa raab yaa Allah ❤🤲🤲

  • @neemamustafa
    @neemamustafa Рік тому +4

    Amina yarabi

  • @MwanahawaZuberi-u8t
    @MwanahawaZuberi-u8t 11 місяців тому +6

    Ewe
    Allah
    Ambayehulali
    Wala
    Husinzii
    Wala
    Huna
    Mwenza
    Wa
    Kufanana
    Nae
    Na
    Unaweza
    Yote
    Juu
    Ya
    Wajawako
    Naomba
    Uniponye
    Maradhniliyonayo
    Duhii
    Iwe
    Sababu
    Ya
    Kuwaongezea
    Neema
    Wanangu
    Na
    Shekh
    Ulieongoza
    Dua
    Jazakallahu

  • @MwanahamisiGona
    @MwanahamisiGona Рік тому +2

    Allahuma amini ya Raby

  • @omarnzeyimana5961
    @omarnzeyimana5961 3 роки тому +7

    Ameen yaa rabil'lalameen

  • @Abbasi-ed3fn
    @Abbasi-ed3fn 5 місяців тому +1

    Ya Allah nipe wepes kwa Kila zito ya Rabi iwe makbuli kwa ya rabi

  • @salmamohdaliali414
    @salmamohdaliali414 2 роки тому +14

    Masha Allah bless you all Muslim and the won who is reading it Amin tuma Amin

  • @SanoghoSadasy
    @SanoghoSadasy Рік тому +3

    Amina YA RABI YA ALLAHU!
    ALLAHU SUBAHANA WATA ALLAH!
    ALLAH AZAJAWAL!
    ALLAHU RABUL ARSHIL AZIM!
    ALLAHU YA YERKOY!
    ALLAHU AKBAR!

  • @SanoghoSadasy
    @SanoghoSadasy Рік тому +3

    MAY YA ALLAHU BLESS AND PROTECT US AND FIGHT THE ENENEMIES FOR US IN DUNIA AND AKIRA!
    ALLAHU YA ALLAHU!
    ASH ADU AN LAHILAHA ILALLAH WAHDAHU LASHARIKA LAHU ASH ADU ANA MAHAMADU YA RASSULULAH Salalat Aleyhi Wa Salam!
    ALLAHU AKBAR!

  • @jamaludinmanji8856
    @jamaludinmanji8856 Рік тому +2

    Allah,tawakaltu alayka,Allah on you we rely.

  • @husnaabdulrahman8457
    @husnaabdulrahman8457 3 роки тому +9

    Mashallah Allah awalipe mema inshallah

  • @DivanaJulius
    @DivanaJulius 4 місяці тому

    Ya Allah fungua milango ya maisha yangu kupitia dua hii 🤲🤲🤲🤲🤲

  • @shakimB
    @shakimB Рік тому +3

    Ameen thumma AMEEN 🙏. May Allah continue to bless US 🙏

  • @NajatRajab-x1k
    @NajatRajab-x1k Рік тому +3

    ❤❤❤❤❤❤😢😢😢❤❤

  • @nourkhamis7650
    @nourkhamis7650 Рік тому +2

    Ya Allah Takabbal Duaana 🤲

  • @najaasalim8942
    @najaasalim8942 2 роки тому +5

    جزاكم الله خير

  • @kakaboyempire7417
    @kakaboyempire7417 Рік тому +2

    Allah barik

  • @radhiarashid4267
    @radhiarashid4267 2 роки тому +6

    Yaarabi nakuomba kupitia dua hiii iwesababu ya kurudisha furaha, upendo na thamani yangu iliyopotea inshaallah

  • @SanoghoSadasy
    @SanoghoSadasy Рік тому +2

    ASH ADU ANLAHILAHA ASHADUANA MAHAMADAN ABDUHU WA RASSULUHU Salalat Aleyhi Wa Salam!
    ALLAHU YA LATIF!
    ALLAHU AKBAR!

  • @SanoghoSadasy
    @SanoghoSadasy Рік тому +4

    May ALLAHU Bless us with with Wide Arzuku, Wide sustenance, a positif life, a long and healthy life and a very strong Iman and Bless us with Aljana firidausu in the Here After!
    Amina YA RABI YA ALLAH!

  • @biadbabuu3558
    @biadbabuu3558 2 роки тому +8

    Amiin yaa Rabbi 🤲

  • @hadijazuwa2047
    @hadijazuwa2047 Місяць тому

    Allah kupitia Dua hio tukufu,naomba utuondolee mwanangu maradhi aliyonayo ,umpe furaha

  • @zakiapius7092
    @zakiapius7092 10 місяців тому +2

    Amina yarab mashaallah

  • @SanoghoSadasy
    @SanoghoSadasy Рік тому +3

    YA RAHMAN!
    YA RAHIM!
    YA LATIF!
    YA KARIM!
    YA WADUDU!

  • @alwiyaabubakar4317
    @alwiyaabubakar4317 2 роки тому +3

    Mashaallah tabarakaallah

  • @SanoghoSadasy
    @SanoghoSadasy Рік тому +2

    AMINA YA RABI YA ALLAH!

  • @bunuadiyo5944
    @bunuadiyo5944 3 роки тому +1

    Masha Allah. Dua nzuri Sana.

  • @zenashamte940
    @zenashamte940 6 місяців тому +1

    Amelazwa hosptal kupitia dua hii umfanyie wepesi umuondolee maradhi yanayo msumbua

  • @BarikaSaid
    @BarikaSaid 9 місяців тому +2

    Aa naomba kwa Allah kwa Quran hii yarab nikidhie hajazangu,unipe subra naimani yamoyo unipe khema na busara na Dua hii iwe nusra kutokana na shari za viumbe wako iwe Kinga na inijaalie KHER ya Dunia na akher

  • @bintialioumourimfoihaya9458
    @bintialioumourimfoihaya9458 6 місяців тому +1

    Bismillah Macha alwahu lakuwata illa bilah alwahumma À mina ya rwabiy ☝🏽🕋💔

  • @AbdallahNassor-ui6qt
    @AbdallahNassor-ui6qt 9 місяців тому +2

    Amiin aamin yaarabbal aalamin

  • @SanoghoSadasy
    @SanoghoSadasy Рік тому +2

    Amina YA RABI YA ALLAH!

  • @safiasleiman6176
    @safiasleiman6176 3 роки тому +2

    Jazak ALLAH Lkheir

  • @hamedyahya9846
    @hamedyahya9846 3 роки тому +4

    Allahuma Amin yarab

  • @Zepetobruhh
    @Zepetobruhh Рік тому +2

    Ameen summa Ameen

  • @salmaiddi1770
    @salmaiddi1770 Рік тому +2

    mashaallaha👌

  • @mouslymously5815
    @mouslymously5815 Місяць тому +1

    Amiin YA RABBI ALAMIIN

  • @mohamedomary4475
    @mohamedomary4475 5 місяців тому

    Allah atujalie kwa Kila jambo dua hii ituongoze

  • @hawacheptoo8724
    @hawacheptoo8724 2 роки тому +2

    Allahumma amiin

  • @faridaali1580
    @faridaali1580 3 роки тому +2

    Améen yarabal alameen

  • @ammoahmed2561
    @ammoahmed2561 7 місяців тому +1

    BarakaAllah

  • @mohamedkalkacho1364
    @mohamedkalkacho1364 10 місяців тому +1

    Jazzahu qallahu qeiran

  • @abdoulkarimmoussasoukounde5158
    @abdoulkarimmoussasoukounde5158 3 роки тому +3

    Qu'allah recompense nos frerre croyant amine ya allahou

  • @sofiasalimchengo3922
    @sofiasalimchengo3922 2 роки тому +2

    Amiin Ya Rabbi

  • @aminamuhamed7740
    @aminamuhamed7740 11 місяців тому +1

    🤲🤲🤲💖

  • @thumabby1135
    @thumabby1135 2 роки тому +2

    Masha allah, allahumma amiin yaraab

  • @nooralbeit7688
    @nooralbeit7688 3 роки тому +7

    Mashallah 🤲🤲

  • @mohamedloutfi7702
    @mohamedloutfi7702 Рік тому +1

    الله ياالله ياالله استخلن اللهم ياالله
    اللهم آمين آمين آمين

  • @Fauziah-Majid
    @Fauziah-Majid 3 роки тому +5

    MashaAllah!Fahuwaaa

  • @fathiyahamza7586
    @fathiyahamza7586 2 роки тому +2

    سبحنا الله ىاللة 🤲

  • @khamisabdulkarim8812
    @khamisabdulkarim8812 9 місяців тому +1

    Amin ya Rabb...

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo Рік тому +1

    Masha Allah,,, Allahu-akbar