HABARI MBAYA ILIYOTUFIKIA MUDA HUU, MKE AOMBA MAMA YAKE ASIAMBIWE HABARI HII HADI ATAKAPO P..

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 478

  • @BeliveMalekela
    @BeliveMalekela Місяць тому +36

    Me namushauri kwamba 1.usiludi nyuma songa mbele, kwa sababu huyo aliyekupa taraka anakukumbuka wakati wa shida tu waraha anawatafuta wengine,
    2. Ukisema uka.saidie kukomboa nyumbn na wakati aliitoa kwa hidhini yake mwenyewe usiende dada angu, pengine Mungu aliona umeshatosheka na umasikini Wacha akupe tajiri mmoja na wewe ufurahie.
    3. Usimpe mtoto wako baba asiye na msimamo wala akili yakukumbuka mateso ya mtu mwingine kaka alishindwa kuvumilia wewe wakati huzai je atavumilia mtoto alamu nooo anakudanganya😶😶
    4. Ukiwa hapo ninachokushauri ujiwekeze dada yangu binadamu ni vinyonga wakati wowote wanabadirika kwahiyo ukiwa hapo jiwekeze na wewe utafute kazi nzuri yenye kukuweka mjin hatakama utakuwa kwenye mateso🎯
    ACHA MSALITI ATUMIKIE MATESO YA USALITI PEKE YAKE WEWE HAYAKUHUSU KABISA

    • @FatumaMuya-w5h
      @FatumaMuya-w5h Місяць тому

      👍👍👍

    • @CatherineHiyani
      @CatherineHiyani Місяць тому

      Kwaushauri kaa na huyo alikupa mimba nyumba kitu gani ukaikombee nn wacha msaliti akome na dhambi zake kaa na aliyekufaa wakati wa dhiki huyu mwenye mimba

    • @allykiyanga5402
      @allykiyanga5402 28 днів тому

      Asirudi nyuma wap km anaona kuleee kuna noga na taabu kazowea mwache ,kwanza kosa kusema yulee mume aliyekuwa c mume

    • @Footballmax_edits
      @Footballmax_edits 26 днів тому

      ​@@CatherineHiyanikwani sialimfukuza na akaich nyumba na akamwambia hana kitunkama kuanguka magorofani ni yy mwanamke alikua nakaz gani

    • @sameraakhf5605
      @sameraakhf5605 25 днів тому

      ​@@Footballmax_editshakuwa nakazi ila uvumilivu wake na kuhangaika na biashara

  • @hashilalkharusi4680
    @hashilalkharusi4680 Місяць тому +11

    Mashaallaw kisa chakusisimua kwaushauri wangu mwanangu bakia hapohapo ktk ndoayako yapili nauyasahau yote yale mwanzo tuliza rohoyako ishi kwa amani naupendo muombe Mungu akupe kizazi chema

    • @HlmS-y5l
      @HlmS-y5l Місяць тому

      Onqea kwa mkato unazunquka Cna

  • @SaadaAhmada
    @SaadaAhmada Місяць тому +3

    Mwenyezi Mungu analipa Duniani akhera huenda hisabu alikudhulumu nguvu zako nae Mwenyezi Mungu kamlipa, hiyo sio ridhiki yako ndio maana ukaikosa, bay the way tulia ulipo Mwenyezi Mungu amekukadiria hicho kwa sababu ya subra yako na uvumilivu na ukweli uliokuanao kwake huyo fisadi, kwasasa sahau kuhusu yeye na endelea na maisha yako. Kama isingekua huyo mwanamke kukosana a singe kukumbua, amekukumbuka kwa sababu amepata hiyo Shida msahau kama alivyo kusahau mchukie kama na kaa mbali nae wala usiwe na mawasilliano naye atakuvunjia ndoa yako kumbuka ulivyoteseka yeye alikua anakula raha tulia na mumeo zidisha heshima na upendo kwa Familia yako Mwenyezi Mungu kasikia kilio chako. Mwenyezi Mungu akulinde sana.

    • @JuliusiMasanja
      @JuliusiMasanja 28 днів тому

      KWA KELI NIMELIA KWA STORY YAKO.ILA SONGA MBELE.

  • @maryammakata7849
    @maryammakata7849 Місяць тому +4

    Wewe muombe mungu kaa na huyo mumeo alokuoa sasa ivi umesikia binti tena badilisha number ya simu acha mazoea na huyo aliyekudhalilisha mpende sana huyu aliekuthaminisha kwa sasa sawa❤❤nakupenda sana

  • @PoshSolomon
    @PoshSolomon Місяць тому +3

    Pole Mamaa Mungu Yu Pamoja Nawe Kwa Idhini Yake Atakufanyia Wepesi, INSHAALLAH 🙏,

  • @zania1295
    @zania1295 Місяць тому +8

    Mwanangu mm ni mtu mzima nimeshayaona mengi.hebu kaa kwa kutulia na hiyo familia uliyoipata sasa hivi huyo mumeo wa mwanzo ni mnyama ina maana hivyo vitoto visingekuwa vichina wala asingekukumbuka ina maana anakuhitaji ukamsaidie kuirudisha nyumba aliyonyanganywa ili hali ni yako lakin alikufukuza achana naye.

  • @khadijaabdulaziz8297
    @khadijaabdulaziz8297 Місяць тому +10

    Mwanangu kwanza. Mblok huyo mtalaka wako asikupigie sim. Wewe ni mke wa mtu. Kaana mume wako. Vizur. na pia. Muogope Mola wako. Allah kakupa rizq. Dudu vipi umwambie mimba si yake. Achana nae angalia maisha yako. Wala usiwe na mawasiliano nae. Utajiharibia.

    • @AishaFerous-jp8oq
      @AishaFerous-jp8oq Місяць тому

      Uyo dada nmuongo bhana yaani mateso.yote yale.eti waomba ushauri ivi mzima kweli.ww dada apo amna cha ushauri kwanza umempokelea cm yake ya nn me naona nistori tu sio kweli.

  • @kashindesalha8107
    @kashindesalha8107 Місяць тому +3

    Achana nae kabisa silikutisa mungu kamshushia pigo safi Sana songa mbele usichukue yutani hata dakika

  • @omarikiringo260
    @omarikiringo260 Місяць тому +5

    Asalam waaleykum warahmatullah wabarakatuh baki na huyo uko nae sai usiwe na taama Allah ame ukilipa machungu ulio pitia endelea na mume ulie nae sai na fanya ibada sana

  • @SophieAbdullah-bl7di
    @SophieAbdullah-bl7di 24 дні тому

    Alhamdulilah…..ushauri kaa kwenye Ndoa yako ….mtu hupenda anapopendwa!!! Yule mtalaka muache kama alivyo maanake alikua sio mtu wala hakukumbuka Hisani na thamani yako dadangu

  • @matridamwalyoyo1735
    @matridamwalyoyo1735 День тому

    Duuuu uvjmilivu wa huyu dada ni more than 💯 percentage

  • @irenembura8045
    @irenembura8045 Місяць тому +10

    Usirudi nyuma! Utakuwa umejitoa thamani sana na kupoteza baraka zako. Mungu amesikia kilio chako. Achana naye alikuonyesha dharau kubwa! Sasa apambane na hali yake. Wanaume wengi huwa wanajisahau wakipata!!!!

  • @عبداللهباحميد-ن4ق

    Pole Dadangu Hayo Wootee Ni Mitihani ALLAH Akupe Subra IN SHA ALLAH ALLAH Atampa Hidaya Mrudie ALLAH Kwa Ibada Na Kumuomba ALLAH Akupe Maisha Mazuri Na Starah

  • @rauhiyasaad5384
    @rauhiyasaad5384 21 день тому

    Pole sana, nimesoma.coment nyingi humo wote nipo pamoja nao . Huyu usirudi tena kwake . Watu waswahili wanasema kila likuepokalo linakheri na wewe. Unaweza ukarudi ukapatwa na makubwa kuliko hayo. Kaa utulie na huyu mume wako Allah atakufanyia wepesi.

  • @mwajumaanthony5470
    @mwajumaanthony5470 Місяць тому +3

    Hapo nilicho jifunza wana wake tusitegemee vya wana ume tutafete vya kwetu siku akikugeuka kama hivyo una rudi kwenye kibanda chako tusiamini ane asilimia mia maana ndugu wa mme wana weza kuku geuka mda wowote au mme mwenyewe aka kugeuka kama hichi kilicho tokea.. pole sana mwanamke mwenzangu Mwenyezi Mungu akupe nguvu na subra..ila huyu mtalaka wako ipo siku maji ataita mmaaaa malipo ni hapahapa duniani

    • @hadijaismail3619
      @hadijaismail3619 Місяць тому +2

      Kweli kabisa,mtegemea cha ndugu hufa maskini, wanaume wengi wakifanikiwa maisha hubadilika cjui kwa nini! Wanatelekeza familia wanafukuza wake zao nk. Ila huyu dada ni wa peponi ameivumilia ndoa yake mpaka mwisho,na Mungu amemlipa kwa uvumilivu wake namuombea ajifungue salama

  • @AlliyKhamiss-s6v
    @AlliyKhamiss-s6v 2 дні тому

    Hiyo. Nikweli Mwenyezi mungu anlipa hapa hapa..Dunian Akhera huwenda hiyo Hesau nikipato hicho kinamzuzuwa huyo Mwanaumme.

  • @khadijashehe1990
    @khadijashehe1990 Місяць тому +2

    achana nae ya jana yamepita tizama ya leo Mungu ni mwema yeye kakuliwaza na yeye kapigwa fimbo ya Mungu juzi kakufukuza leo anakutafuta kwa shida songa mbele maisha hayasimami

  • @soudsadique2049
    @soudsadique2049 Місяць тому +1

    M. Mungu ndiye umuongoza mja wake. Sasa weye kule ulifukuzwa kwa masimango na sasa umepata mume mwema ukithubutu kumdhulumu M.Mungu atakupiga na kitu kizito hutokisahau maishani. Achana na yule wa mwanzo endelea na huyu wa sasa mwenye mimba yake. Usipo nisikiliza na kunifahamu vema. Utajuta kuzaliwa

  • @fettiemaganza1484
    @fettiemaganza1484 Місяць тому +5

    Mi niteseke mamangu asijue kisa ndoa sio kweli

  • @AliAbdullah-oy6yo
    @AliAbdullah-oy6yo Місяць тому +2

    Halafu anakufundisha useme uongo kwanza Dhambi kubwa Muislaam kusema uongo. Kakufukuza wala hajakujali kafikwa na matatizo anakuhitaji mpuuzilie mbalini asije akakuharibia maisha yako tena.

  • @MarthaKidirya
    @MarthaKidirya 22 дні тому

    Mm sikubali acha amfukuze kazi najua Mungu atafungua milango ya riziki sehemu nyingine

  • @shu-r3r
    @shu-r3r 7 днів тому

    endelea na maisha yako mapya kwa watu wanao kuthamini na kwa uwezo wa m mungu utazaa wtt wengine endelea mbele achana na huyo

  • @AlliyKhamiss-s6v
    @AlliyKhamiss-s6v 2 дні тому

    ❤lpole sana dada Allah Atakulipa

  • @shammyfenesy5001
    @shammyfenesy5001 Місяць тому +1

    Baki kwako achana kbs kumfikiria uyo mjinga wala usiumpokelee sim zake alidhani utaaishi bl kuyiona furaha mungu hatoki kwao kijijin

  • @HajiHaji-w2n
    @HajiHaji-w2n 20 днів тому

    Kwanza hongera kwa kua mjamzito, pili tulia na mumeo yule wakwanza sio mume, nahayo nimalipo ambayo Mungu anamlipa achana nae tulia na mumeo yy muache apambane nahali yake ikiwezekana muhadithie mumeo na mboki yule c mumeo uliopangiwa ktk maisha yako

  • @sitisule6812
    @sitisule6812 28 днів тому +1

    Mtue kabisa kwnye mawazo yko..mwambie yasha mwagika hayazoleki na bahati haiji mara mbili

  • @SalmaMamdogo
    @SalmaMamdogo Місяць тому

    Ushauri wangu baki hapo ulipo❤❤❤tena nakupa kongole kwa ujasiri wakupambana namaisha

  • @AlliyKhamiss-s6v
    @AlliyKhamiss-s6v 2 дні тому

    Mwenyezi Mungu Atakulipiya Weye

  • @SalmaAmlani-s6y
    @SalmaAmlani-s6y 19 днів тому

    Duuu!🤭 Pole sana mdogo wangu pia mshukuru mngu unabahati ya kuzaliwa kwa sababu watu tunapitia changamoto kuzidi hata hizo ulopia ila hatupati wa kutusapoti kabisa Kila kukicha nimachungu tu nakushauri swali sana

  • @rukiamashaka7577
    @rukiamashaka7577 18 днів тому

    Pole dda,lkn hpo ulipo ushafika ndio kwako tulia tena fanya kma hamjaonana block hyo number na maisha kaa kwenye ndoa yko na mume na familia yko vizuri sahau hyo mtu kabisa

  • @husnahusna1544
    @husnahusna1544 Місяць тому +4

    Achana naye huyo mwanaume Kwan alivo pata pesa alikuona wa nn ?? Achana naye.Angalia upendo wako na mke mwenzako na mme wenu ❤

  • @reginaaloyce4055
    @reginaaloyce4055 Місяць тому +4

    Kama umeumbwa WA fungu la kukosa Rudi, kitakukuta kikubwa, Tulia dada na ulipo , "Golden chance never come twice "

  • @anordelias
    @anordelias Місяць тому +7

    Akufaaye wakati wa dhiki Ndiye rafiki

  • @SmilingBakedBread-tp2id
    @SmilingBakedBread-tp2id Місяць тому +1

    Kama movie 🎥 kumbe yapo kwelli mungu aakutie nguvu mpya ya upambambanaji achana nae mungu amfundishe

  • @MarthaKidirya
    @MarthaKidirya 22 дні тому

    Pole sana hakuna mtu anayependa kukosa mtoto ila ni mipango ya Mungu usimnyanyase mtu kwa kukosa mtoto

  • @AngelBulo
    @AngelBulo 11 днів тому

    Hizo ni shida zake. Fanya maisha Yako na yeye apambane na Hali yake. Usirudi nyuma

  • @MiriamMlele-j8p
    @MiriamMlele-j8p Місяць тому +4

    Huyo mwanaume aliye kuacha akufai ata kidogo wala usimsikilize tena muowanji tena mbrok

  • @AgnessMpanduka-l5g
    @AgnessMpanduka-l5g Місяць тому +6

    Hapo hakuna cha kushaurika achana na huyo mwanamume alie kutelekeza tena muone kama Kipindupindu au Corona. Hiyo nyumba hutozikwa nayo na huyo mwanaume hana kizazi atakupotezea muda we Baki kwa Mkandarasi zaa mtoto mwingine mgawane na mwanamke mwenzio uendelee kula mema ya Nchi

    • @SalmaKiula
      @SalmaKiula 23 дні тому

      Achana na huyo aliyekutelekeza sio Mme mwema Baki na mkandarasi ule maisha yaan unataka kurudi kwenye shida?

    • @MaidaAbasi
      @MaidaAbasi 22 дні тому

      Pole na hongera huyompuuzie hanamaana mkumbatie huyo uliyenae angalia usimwageunga ukaja juta baadae

  • @SikudhaniMaro
    @SikudhaniMaro Місяць тому +1

    So sad story inalilahi wainalilahi rajiun umenifanya mpaka nimetikwa na machozi ak pole sana dadangu kila kitu ni subra na nakuombea kwa Allah akuna Kisichowezekana kwake yeye ndie kila kitu nakumbuka malipo ni hapa dunia

  • @anifaumutoniwase7166
    @anifaumutoniwase7166 Місяць тому +6

    We dada,acha ujinga kwani huyo mmeo kakuacha na kukudhalilisha kwakuwa hakuwa anakumbuka kama we ndo ulipambana mupate nyumba hiyo?mwache apambane mwenyewe,mungu kqkuvuta machozi wala usirudi kupokeya simu yake usike kumuķwaza alokuvuta machozi
    Plz achana naye

    • @HadijaMasala
      @HadijaMasala 20 днів тому

      Futa no yake kabisa hio cio lazima ushauriwe kwa kitenda alichokutendea kwanza sikuamini kama anaweza kukutafuta mja asili haachi asili yake ya ushezi mungu kakulipa machozi kakufuta e ndelea na familia yako mpya msahau kabisa kwani alivokufukuza hakujua ulikomtoa au ulimpamania kiasi gani mungu ndio hakimu wa yote leo unaishi upande kesho utaishi kwenye nyumba yako achana nae kabisa mimi naomba no yako

  • @Kikungwi
    @Kikungwi Місяць тому +1

    Ushauri baki hapo uliopo sasa hivi. Huyo aliyekuwa mumeo mwambie tu atufute mtu mwingine aanzishe maisha yake maadamu kesha pata mafundisho.. Msahamiane ila kila mmoja wenu apate kuishi maisha ya furaha na mheshimiane. Usiache familia yako ya sasa hivi kwa kuwa utakuwa umetenda dhambi moja mbaya sana katika maisha ya huyo aliyekuwa mumeo na wewe.

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 16 днів тому

    Ww Dada tulia kwenye ndoa yako. Utaharibu kila kitu haya nenda kwa huyo mtalaka mwenzio mkaokote makopo. Mungu hulipa hapa hapa duniani.

  • @rehemaomar4924
    @rehemaomar4924 22 дні тому

    We dd wee kaa hapo hapo ulipooo usijaribu kujitatiza tena

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 Місяць тому +2

    Malipo ni hapa hapa duniani, Subhanallah. Alhamdulillah

  • @bas2823
    @bas2823 Місяць тому +3

    DUAA AL MADHULUMA"! MUSTAJABA"! DUWA ALIEDHULIWA"! INAJIBIWA NA ALLAH"!

  • @BilalYaile
    @BilalYaile 26 днів тому +2

    Pole sana

  • @MajumaAli-j4b
    @MajumaAli-j4b Місяць тому

    Ushauri wangu mm kma mm wewe alikuacha na akakufukiza na ww muachee tuu jali maisha yko na familiya ykoo

  • @hasnaaliy5872
    @hasnaaliy5872 Місяць тому

    Pole sana dada angu ndomaisha na changamoto, Allah atakufanyia wepesi utayasau yote ayoo

  • @BilalYaile
    @BilalYaile 26 днів тому

    Kwa kweli usimdhulumu MTU ukiwa na uwezo Kwa sababu dhulma mwisho wake NI majuto.usirudi nyuma.Baki ulipo

  • @aishahaji3128
    @aishahaji3128 Місяць тому

    Duh! Pole sana umeniki,husha mie mdogo wng karibia yafsnane na yng hayo

  • @amurjimbwe4273
    @amurjimbwe4273 Місяць тому +2

    icho Chako😢 Ni kisebusebu na kiroho papo upewe nn ulokua unakitafuta ushakipata🎉

  • @mariambwambo9885
    @mariambwambo9885 13 днів тому

    Kaka Kelvin m Nina mkasq mzito sijui nakupataje😢

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 Місяць тому +2

    Usimuache huyo wa pili. Hilo la kwanza ndo wale wale wanawake wengi tumepitia hayo yanauma sana. Halafu wakishakwama ndo wanarudi kulia lakini wakiwa nacho wanakuona kiazi kibichi

  • @JasminabdulUlomi
    @JasminabdulUlomi 25 днів тому

    Ushauri wa nn tena unaomba kaa apo apo ulipo ulichomuomba mungu kakupa na utakuwa na kwako tena pazuli zaidi ya ulichopoteza mdogo Wang maisha ni histr na iyo ndo history yako

  • @maureenmshana6638
    @maureenmshana6638 Місяць тому +2

    Kama unajitambua Tulia kwenye ndoa yako,hapo ulipo ww sio hawara una ndoa,mwenyezi mungu anakupenda.

  • @MohamedMandumba
    @MohamedMandumba Місяць тому +4

    dada mm mnakushauli bakiya apoapo ulipo olewa

  • @khairatKhamis-g7l
    @khairatKhamis-g7l Місяць тому

    Pole sana dada wallah nimejikuta nalia sana wanaume jua tu malipo hapa hapa duniani 😢😢

  • @AlyMossi
    @AlyMossi Місяць тому

    Inaniuma Sana historian yako Dada angu. Ila muombe mungu, atakusaidia, usikate taama. Utapata mtu atakae kujali. 😢

  • @HamzaAkilimali
    @HamzaAkilimali 26 днів тому +2

    Ushauri gani unaotakaa🤔⁉️ achana na mawazo ya huyo mme wa kwanza, aliyekufukuza kama mbwa koko."HAFAI, HAFAI, HATA KIDUCHU "Kaa na hiyo familia inayokuthamini tu. "Achana na baba wa Wachina😂😂😂"

  • @TeddyMkunda
    @TeddyMkunda 27 днів тому

    Mmmh dada pole sana tumepitia wengi sana ayo ila usikate tamaa

  • @MarthaKidirya
    @MarthaKidirya 22 дні тому

    Kweli pesa mwanaharamu pata pesa tujue tabia Yako mtu alikuwa mpole Hana pesa kapata pesa Kawa jeuri

  • @binthkhamis8042
    @binthkhamis8042 Місяць тому +7

    Dada nakuomba usirudi thena kaa na mumeo haliekusaidia na kuzaa nae....watamini walio kusaidia mpk ukashika ujauzito...muache yle haliekukosea yaan ni laan amepewa na mungu...usirudi thena kule dada angu kaa na mumeo na mke mwenzko muendeleze maisha ynu...wengi wanaitaka hiyo nafasi usipotezee kaamwee

    • @fatmakitundu9454
      @fatmakitundu9454 Місяць тому

      Songa mbele kama YANGA kurudi nyuma MWIKO. Yaani amekuona wewe umezoea SHIDA. ALLAH kakuvua yaani hapo huhitaji hata ushauri. Hakukuweka EDA wala hakukupa chochote cha kuanzia maisha. Ungekufa angekujakurudia kaburi. Najua unampenda sana. Hayo mapenzi yahamishie kw ALLAH.

  • @ShakilaOmary-o5g
    @ShakilaOmary-o5g 22 дні тому

    Dada sikiliza huyu wa Mwanzo hakufaiii kabisaaa Tena kaa nae mbalii Tena alikua ni muuaji huyoooo,naomba nitafute Kwa no hii Kwa What'sapp

  • @FreidaHassani-g7v
    @FreidaHassani-g7v Місяць тому

    Kwanza pole ila Umemaliza vibaya inamana unakilimbili nusu Unataka karudi nusu Naogopa maisha yako mapya kuharihika acha ujinga huo kanandoayako mpya

  • @SaraRobert-d1t
    @SaraRobert-d1t Місяць тому

    Pole sana dada mngu akupe uvumiliv akujalie maisha malefu

  • @DeboraNgura
    @DeboraNgura Місяць тому +3

    Ssa hapo shoga angu unataka ushauri gani..hyo anakutaka tu kama ushahd apate nyumba irudi mikononi mwake..la zaid hakuna baki na baba kijachoo

  • @BilalYaile
    @BilalYaile 26 днів тому

    We do know that,love is blind but don't for whatsoever retreat back.
    Tunajua kuwa kupenda NI upovu lakini usirudi nyumba Kwa hali yoyote ile.mi nakutakia maisha mazuri

  • @agustinoabel-wn6nx
    @agustinoabel-wn6nx 28 днів тому

    Dada mwenyewe ana macho makavu mjanja mjanja huyo anatafta kk anaficha fiche uso wakiyakoroga wanaanza kuonesha sura za hurum mh

  • @abdallahwilondja382
    @abdallahwilondja382 Місяць тому

    Ule Mme wako wa zamani muombee tu mungu ambariki ila usirudi tena kwake

  • @RamlatyMkwata
    @RamlatyMkwata Місяць тому +3

    Kwanza pole kwa matatizo,pili wewe ni mke wa mtu teyari sasa unachanganyikiwa na kitu gani na hali yakuwa alishakuacha umesema kwa talaka mbili,tulia kwa mume wako ambae upo nae kwa sasa kama umefunga nae ndoa, mungu siku zote hamtupi mja wake umepata stara basi stirika, muache ateseke malipo ni hapa hapa dunian

  • @sizamazongera5610
    @sizamazongera5610 Місяць тому +1

    Uende wapi wakati umeshatuliya acha kichaa

  • @jokhaadawi3692
    @jokhaadawi3692 Місяць тому +3

    Pole kwa matatizo dada mungu atakusaidia mimi kwa ushauri wangu bora kaa na mume wako huyu kwa ajili anakupenda na mkemwenzio anakupenda yanini unarudi kwenye mateso hlf na hapo na mimba umebeba baki hapo dada huko ukirudi tena mana mlipopata alikuacha na akakusahau kwa iyo ukirudi utapata tabu kuliko ya mwanzo na utakumbuka hapo ulipopaacha langu ilo tu

  • @CatherinePetro-j7c
    @CatherinePetro-j7c Місяць тому +3

    Waya usiludi huko hayo nimajibu ya machozi yako kutoka kwa mungu achana nae dunia imufunze hata kwawanaume wenginee songa mbelee

    • @tawsi-yc3nk
      @tawsi-yc3nk Місяць тому +1

      Sana inaumiza mno muache dunia imgundishe umenifanya nisimsaidie mume wangu tubak hivyo hivyo tu inakatisha tamaa😢😢

  • @HidayaMsumi-w6p
    @HidayaMsumi-w6p 25 днів тому

    Achana na huyo wa kwanza anaedelea kukudanganya si mkweli.kaa na ndoa yako mpya.asikudanganye hana upendo wa kweli.

  • @azizaaziza7996
    @azizaaziza7996 Місяць тому

    Wewe si alikudhulum nayeye nimalipo Hayo usirudi nyuma songa mbele maisha yaennde

  • @zoab2699
    @zoab2699 Місяць тому

    Mume wako wa kwanza sahau kabisa hata kwa bahati mbaya usione nye ka na huyu alie kujali ye na mke wake mshukuru allah rizki ikefungika huku kakufungulia kwingine usi cheze rizki yako na mume wako wa sasa wa mwanzo ana kheri na ww ishi vizuri na mume wako wa sasa na mke mwenzio mshukuru allah

  • @EvelynMartin-t3f
    @EvelynMartin-t3f 28 днів тому

    Pendo hiyo elimu amekupambania mama Yako acha ugumu wa moyo na jifunze kusamehe pia usije kuvuna ulichokipanda mzazi hakosei pendo ata km bibi akukupa taarifa sahihi wewe ni mkubwa jua kujisimamia mwenyewe

  • @khadijashehe1990
    @khadijashehe1990 Місяць тому

    Pambania maisha yako unamjali mtu asiekujali msamehe sahau aliyotenda furahia maisha mapya

  • @revinmlay5031
    @revinmlay5031 28 днів тому

    Mwana kili find mwana kuli get acha apambane na hali yake,tupa jongoo na mti wake ndugu wala usigeuke nyuma.

  • @FatumaAli-xm8di
    @FatumaAli-xm8di 21 день тому

    Ulivyo Tessa na bado wapenda ushazoea kuteseka

  • @DaheerK
    @DaheerK Місяць тому

    Mm sin ushauli ww siyo mdogo nauliyopitia ukitaka rud uko ulikotelewa mabegi acha uyo wasasa mungu akulaani

  • @HadijaMasala
    @HadijaMasala 20 днів тому

    Tulia hapo ulipopapata mungu kakutendea hali

  • @Saada-g4j
    @Saada-g4j Місяць тому

    Pesa inabadilisha namuomba Mungu anipe ridhiki hihi yenye wepesi nami

  • @BilalYaile
    @BilalYaile 26 днів тому

    Dadangu Baki ulipo na wala huna makosa Kwa mme wako WA kwanza.Ila kama Unaweza msaidia akomboe nyumba,sawaa.Kumbuka ndoa NI neema na mme wako WA Kwanza alishindwa kuchunga neema hiyo Ndiyo Allah kampokonya.Dadangu huyu mme wako WA pili NI MTU mzima na amekomaa kiakili na anakuthamini.kwa hivyo baki

  • @KinanaZagar-pv6qc
    @KinanaZagar-pv6qc 9 днів тому

    Acha ujinga usirudi ukituditu akifanikiwa tena atakutenda baki nahuyo baba kijacho allah alikutoa kwenye dhiki mwenyewe uoni

  • @AgathaHaule
    @AgathaHaule Місяць тому +2

    We dada usikubali lurudi mambo aliyaharibu mwenyewe mume wako huyo aliyekuacha wakati mna Hela! Leo Kawa hoi Jana chochote ndiyo akubembeleze urudi hapana, hapana usikubali lurudi kwenye umaskini wa kutupwa! Ukaanze kula njaa hapana. Mwache ajifinze asije mfanyia mtu mwingine hivo. Pole kwa hayo. Ila mbona Mungu atakurudishia nguvu zako alizokupotezea huyo mwanaume. Ushauri wangu ni huo.

  • @jaliakamote5485
    @jaliakamote5485 23 дні тому

    Yaani hapo unaomba ushauri gani my dear?kama umeumbiwa mateso dear rudi kwa huyo mmeo wa kale,lkn tambua Allah kakupa faraja so ukiitupa hutokaa uipate tna nafasi hyo ya dhahabu.Baki kwa mmeo wa sasa acha upuuzi.

  • @NajatMajid-m7m
    @NajatMajid-m7m 22 дні тому

    Ushauri ndugu yng angalia maisha ya sasa hv sahau ya nyumba mlojenga huyo sio mzazi na pia usimtese mtt tumia akili

  • @BilalYaile
    @BilalYaile 26 днів тому

    Ungekuwa bado hujapata mme,Mimi ningekuchafuta Kwa hali na Mali Kwa sababu sijaoa na nina tafuta mke kama wewe na sipo tayari kusikia unaumia.Baki hapo hapo.na kama utaamua kusaidia akomboe hiyo nyumba,basi usimwendee mwenyewe enda na mme wako wa saa hii

  • @khadijatirionaire2510
    @khadijatirionaire2510 Місяць тому

    Alhamdulillah baki kwa mume wa pili

  • @ahmadabdallah6641
    @ahmadabdallah6641 29 днів тому

    Kosa lako ni moja tu Dada. Usingekubali kulala hata kama ni mara moja na yule fundi. Ni kosa kubwa sana ulolifanya ulikuwa ndani ya ndo.

  • @CatherineHiyani
    @CatherineHiyani Місяць тому

    Hawa viumbe wanaume mungu awalaani mtu umeanza nae masikin akipata jeuri inaanza anatafuta malaya wakula nae kakusahau ulietoka nae kula tembele mh mungu awalaani wanaume

  • @Grace-w4r5n
    @Grace-w4r5n Місяць тому

    Ww kaa kwq kutulia kma umepata mume mwenye ankupenda tulia mama

  • @OmAn-we8ly
    @OmAn-we8ly Місяць тому

    Emugu wawanyonge umejua kutenda subuhana llah

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 Місяць тому +2

    Wanaume atasijui wanataka nn mm tulizaa na kulikuwa amna aman tukaachana

  • @SeverinoLuis-j1h
    @SeverinoLuis-j1h Місяць тому

    Vua juba tukuone😂❤

  • @حليمهالبلوشي-ز5ث
    @حليمهالبلوشي-ز5ث Місяць тому

    Malipo ni hapa apaduniani Akheraisabu 😢😢😢😢😢 acha ujinga dada ileiillikuwa jasho lako kakuzulumu ss ww muombe mungu na Ndola yako umeuza adiutu wako kwajili yake Leo anakuletea nuksiuyo dume suruwali

  • @sikukuuchuo3093
    @sikukuuchuo3093 Місяць тому +7

    Huyo mke mwenzako ana ubinadamu sana

  • @permoremalebo789
    @permoremalebo789 Місяць тому

    1-C*ww umeolewa kaa kwenye familia yako yeye sio familia yako
    2- huyo anatapatapa anajua kwako anaweza pata faraja na ukirud kuishi nae hato kuwa na mapnz kama zaman
    3-ibilis amemkaa kichwani kabadirika kisa hela kawa mzinzi,nakuletea mpka ma***a ndani kwako, kawa mlev,bahati hu2a haij mara 2
    4-mapenzi hua yanaisha kma maumiv yanavyoisha hamna shida za milele mwache aangaike unaweza mrudia Allah akakupa hata mtiani wa maradhi hujui uko alikopita mpka apo alipofika walev huwa wanabebawanawake wa baaa wana tembea hta bila ya kinga na mwanamke ambae amjui

  • @ShadyaShaaban-s2t
    @ShadyaShaaban-s2t Місяць тому

    Achana nae huyo aliekua mumeo kakudhalilisha vibaya sana endelea.na maisha yako mapya hapo ndio riziki yako utapstanyumba kuliko ile ajikomboe na vitoto vya kicking huyo