Mimi naona kama munaonea watu kwanini jeshini na police miziki inatoa sauti na mitaani miziki bado inapigwa au hizo sehemu hamuwezi kuenda au bwawani jee
Wanataka hela waongo kazi yao wakiweka sheria hawazifuatilii watapiga kelele ndani y mwez tu wakipewa hela palipo bakia wanakaa kimya wakiwa na njaa wanaibua Tena ujinga wao (sio sheria ni ujinga sheria hizi hufuatwa wakiwa na njaa tu)
Safi sana
Mabinty kutembea uchi zuieni
Na mapikipi yanayo toa sauti kali hasa muda wa usiku yanaendeshwa na wahuni na kupigia watu makelele
Hii good
Nawaombeni mzuwie navilevi ndovinasababisha /poromoko WA maadili Hakuna dini inotaka watu walewe zuwieni tupate nusra na watoto wetu
Mimi naona kama munaonea watu kwanini jeshini na police miziki inatoa sauti na mitaani miziki bado inapigwa au hizo sehemu hamuwezi kuenda au bwawani jee
Mumesha chelewa muliyataka wenyenu acheni upuzi wenu na acheni chukizenu za binafsi haya muliyataka wenyenu
na miziki ya mitaani pia tuna omba muweke maeneo maalum nayo inatuudhi
Ila napendekeza kamati ijipange na kwenye mambo ya kwenda mikutanoni kipindi cha siasa
Zuwiyeni miziki mitaani na kwenye magari kina mama wanakatika namuende kiwengwa na Nungwi nikuchadu sana
Wanataka hela waongo kazi yao wakiweka sheria hawazifuatilii watapiga kelele ndani y mwez tu wakipewa hela palipo bakia wanakaa kimya wakiwa na njaa wanaibua Tena ujinga wao (sio sheria ni ujinga sheria hizi hufuatwa wakiwa na njaa tu)
Kweli wanafanya Maigizo tu mana hii sio mara ya kwanza wakipewa Pesa tu wantulia
Hata hizo siku 4 kwa nini waruhusiwe kukera.Hamuoni kuwa hamna msimamo?
Sio kukera wageni tu na hata sisi wazawa
kwakweli starehe za wacheche zinakera wengine wengi
Hii nchi ni ngumu sana aiseee😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hii sio nchi ngumu fata sheria huwezi ondoka
@abubakaradnan4689 unayajua mazingira ya mahotel wanamziki wanapiga ufukweni ww unaweza kufunga sound proof Beach
ndio faida ya utalii sio rahisi kuwazuia
Wanafik mbona mwaleta bongo flava kina diamond na zuchu laaana mnaleta kisiwani mutapigwa haraka,