"NIMEZAA NA MKE WA MTU, KANIPA MILIONI 6 NISIDAI MTOTO, KAMDANGANYA MUME WAKE" - SIMU YA MSIKILIZAJI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 163

  • @abdulfirst_pilot
    @abdulfirst_pilot 4 роки тому +9

    Miongoni mwa watangazaji bora tz wa kwanza ni millardayo hongera sana millardayo

  • @azizaalmas9624
    @azizaalmas9624 4 роки тому +6

    Wanaake tuna dhambiii na asilimia kubwa watt si wababaa ndio maana Mtume wetu alituambia Wanaake ndio tuko wengii Motoni😢😢.

  • @mussajackson783
    @mussajackson783 4 роки тому +11

    Wanawake wengi sio watu wazuri mungu anawaona
    Mambo haya yapo sehem nyingi sana hapa duniani

    • @luvisa2472
      @luvisa2472 4 роки тому +1

      mussa jackson
      Kama wanawake sio wazuri sidhani kama mama yako angekutoa mzima
      Heshimu wanawake ndio walio kuleta hapa duniani na sio baba yako

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 4 роки тому +2

      Huyu kaifuta aibu ya mume wewe. Kumbuka mume alishindwa kumpa ujauzito. Lakini kapata ujauzito nje. Na mara zote mwanamke asipopata ujauzito kwenye ndoa mwanamke hulaumiwa kumbe mara nyingine mume ndiye mwenye matatizo ya uzazi.

    • @mussajackson783
      @mussajackson783 4 роки тому

      @@luvisa2472 ndio mana nimesema wanawake wengi sjasema wanawake wote hem tuelewane hapo

    • @mussajackson783
      @mussajackson783 4 роки тому

      @@damariszuckschwert9489 kweli ila kuna kosa kubwa pia la mke kwann asinge mshaur mume wake wakatizame afya zao katk mfumo wa uzazi

    • @loner_wolf
      @loner_wolf 4 роки тому

      Hiv ubaya wao nini master ? Kutafunwa out of boundery ? Hiyo sio kosa lake , kosa NI la mumewe au jamii zetu nzima , ujue nirahisi Sana mwanamke hazai kuliko kusema mwanaume hazalishi ....na mwanaume huwa anashinikiza mkewe azae bila kujali hizo ni kudra , ndugu hivyo hivyo wanataka mwanamke azae ..... Hakuna ufahamu wwote kuwa Mwanaume pia anaweza kuwa na tatzo la uzazi . Mm bro wangu alikaa na mwanamke miaka 10 bila kupata mtoto na mkewe huyo alilalamikiwa na kushtumiwa kuwa anamatatizo ya uzazi .... badae waliachana na bro , five years later nakutananaye anawatoto 3 ...... Akili ikasense huyu demu angechapwa nje ya ndoa those days Sasa hivi bro analea damu so yke 😂😂😂😂😂

  • @dorndet6179
    @dorndet6179 4 роки тому +4

    Mwanamke tu ndiye ajuaye mtoto Nani ni Baba yake.
    Dar ina wanaume wengi sana wanaolea watoto wasio wazaa.
    Wanaume, jitambueni ,Tabia Zenu ambazo zimekuwa kama jadi.
    kutotulia na mke mmoja au hata 3 kiislam, bado michepuko ni kibao.
    Haya ndo Matokeo yake.Wanawake nao wamecharuka though sio. sahihi
    Waswahili wanasema,akuanzaye ,mmalize.Tulieni wote “Wake “kwa “Waume” maana Mungu Hatotuacha bure.
    Angalieni Mano wa korona.Haiui watoto,yauwa watu wazima.tujifunzeni ndugu zangu.sala na matendo mema
    Vitatuponya sote.sali Kabla hujaswaliwa.
    Anayekubali Aweke like hapa.

  • @MaryamKhawar-h3j
    @MaryamKhawar-h3j 3 місяці тому

    Dah dada vo umekubali vo kukaa na mtu humjui pole sana

  • @raymondlazaro491
    @raymondlazaro491 Рік тому

    Hongera sana mtu wangu wa nguvu

  • @minskbelarus7255
    @minskbelarus7255 4 роки тому +4

    Rahim, nakuonea huruma saaaaaana. Kwanza UMEZINI na pili UMETOA SIRI na kutoa hadharani badala ya kurudi kwa ALLAH na kutubu .

  • @photographertanzania512
    @photographertanzania512 4 роки тому +18

    Kama umeelewa hiyo story naomba like hapa

  • @bahatiemily3840
    @bahatiemily3840 4 роки тому +6

    Wangu makutano group wasap tuna miaka mitano sasa nampenda sanaaaa sabab ana niheshimu sanaaaa

  • @Mjingafaki
    @Mjingafaki 4 роки тому +5

    Huyo mwanamke kafanikiwa kumdanganya mume ila hawezi kumdanganya Mungu

  • @sarahgaula2220
    @sarahgaula2220 2 роки тому +1

    Ila hii siri ni nzito sana inatesa moyo sana . Wamama watumie njia za hosp kama mume ana shida kama kupandikiza , IUI, kutumia mbegu za mwingine bila kufanya mapenzi ma a kama aliweza kutoa 6m angeweza kwenda hospital

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 4 роки тому +23

    Umeshidwa kutuza cri brother

  • @othmanitindwa4909
    @othmanitindwa4909 4 роки тому +1

    Wanaume wengi wanalea watoto sio wao mungu atusaidie jamani...

  • @curtistzlegacy9194
    @curtistzlegacy9194 Рік тому

    Ujue Dunia hainaga siri na damu ni nzito kuzidi maji .. huyu anapambana awe karibu na mwanae ila mama anapambania ndoa yake kwaiyo ni vitu viwili tofauti.. Hana pesa ila mwanamke anahitaji mwanaume MWENYE pesa ....

  • @babyhamisi5331
    @babyhamisi5331 4 роки тому +4

    Siri fanya na mungu tu

  • @leahsilau6983
    @leahsilau6983 4 роки тому +11

    Kaka Tabia mbaya pesa umekula halafu unatoa Siri siyo utu🥺

    • @albs1448
      @albs1448 4 роки тому +1

      🤣🤣🤣🤣

    • @veronicarusato5911
      @veronicarusato5911 4 роки тому +2

      🤣🤣🤣 nafsi inamsuta na ile ni dam yake ko inakuwa ngumu kuvumilia

    • @khadijamalifedha4786
      @khadijamalifedha4786 4 роки тому +1

      😅😅😅😅zimeisha pesa😀😀

    • @msalikemedia
      @msalikemedia 4 роки тому

      Hahaha sasa milion 6 ipo wapi😀😂

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 4 роки тому +4

    Umeona Mwanamke anajiweza Ndo Maana unatamani Hata kuwa Na Huyo Mtoto,km Mwanamke angekuwa mlala hoi,ungetelekeza Hata Mtoto,Yaani Mwanamke angekuwa analia Kila Siku😂😂

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 4 роки тому +4

    Hii mijitu ya kutafuta wapenzi mitandaoni hainaga akili. Na wengi wao ni watu wasio kua na mbele wala nyuma. Nikutafuta kutapeliana tu

  • @melanialeonard4031
    @melanialeonard4031 Рік тому

    Eti naumia ml6 ushachukua ulijua hilo ni andazi unatafuna litaisha tu ,mtoto ni uhai na anakuwa huyo utaumia sana maisha yako yote

  • @fatmakhamis7876
    @fatmakhamis7876 4 роки тому +10

    Mna jua kuna maana dume niwajinga sana vp atamlazimisha mtu a mpatie mtoto wakati wamo ndani ya ndoa anashindwa kumpa mwana mke mimba una lazimisha hujui tatizo liko kwa nani sasa unakusudia mimba apewe na nani kama sio wewe mapumbav subirini mtiliwe sasa mnajua mna tia hasira sana

    • @frankenock3651
      @frankenock3651 4 роки тому

      Cyowte Fatma,,usihukum wote momyy

    • @onlinemateustv1925
      @onlinemateustv1925 2 роки тому

      Waongo hao ngoja nikwambie kitu wengi wao wanakuwa walishatoa mimba huko kabla ya ndoa so wanapokaa miezi kadhaa kwenye ndoa bila mimba na ukiangalia mwanaume anapesa vizuri mstaaraabu kwahiyo kabla mwanaume hajaanza kuzungumzia swala la mtoto wanaanza kuwa na wasiwasi kuwa isije nikawa nilivyotoa mimba niliharibu kizazi kwahiyo anatafuta mwanaume mwingine kwa siri azae naye.
      Kuna mwingine yupo huku wapo wengi ila mfano huu anawatoto wa tatu baba wa nnje tofauti tofauti wote si wa mumewe mume hajuw na wala wale wanaume hawajuwi
      Siyo kwamba alikaa muda mrefu sana no alikaa kidogo tu siku mumewe akasafiri kabla ya siku kumi alilala na mwanaume mwingine akapima akakuta ana mimba so alishauriwa na rafiki yake kuwa usimwambie huyo mwanaume wa nnje kuwa unamimba yake
      Kwasababu zilikuwa si siku nyingi sana mume hakushituka
      Mimba ya pili alipo ona amemaliza kunyonyesha akakaa miez kadhaa akaogopa kwamba huenda mmewake hana uwezo asije akaenda kupima akakuta yeye ndio anamatatizo akahoji huyu wakwanza wanani akazaa na mwanaume mwingine tena hajamwambia kuwa anamimba yake watatu naye hivyo hivyo
      Kwahiyo siyo wote wa nawaambia tunataka watoto hiyo mbinu wanaitumia wakiwa wanataka kulala na mwanaume kwa haja zao binafsi

  • @yussufhassan6341
    @yussufhassan6341 4 роки тому +1

    Hatari aiseee....

  • @juliaayieta2578
    @juliaayieta2578 4 роки тому +1

    Duuh! Millard tafadhali endelea kutuletea matukiyo kama haya maana yanatufungua macho zaidi 😘😘😘😘 shukran.

  • @phillsnafuna5962
    @phillsnafuna5962 4 роки тому +1

    salale! kumbe sio Afro cinema is Really life story.

  • @jamilajamila9682
    @jamilajamila9682 4 роки тому

    Duuu 🙈😢too much tena hii uwongo wa kumbadika baba mtoto si wake!!

  • @gabrielsamweljr
    @gabrielsamweljr 4 роки тому

    Pole kwa kukurupuka Dada

  • @fainnamvungi4364
    @fainnamvungi4364 4 роки тому +7

    Ila dada jitahid utapata mwingine Fb na Whattsap 💃💃💃💃💃

  • @charleskaozya9924
    @charleskaozya9924 4 роки тому

    Candy nahisi ilo jina sio lako namm nakujua wewe ni ha.... na ulipokuja ukukaa week mbili zilikuwa siku mbili namba yangu ile ile umesusa mwenyewe jmn mm ndio uyo mtu anaetajwa ila puuzeni muongo uyoo

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 4 роки тому

    Wanake ss mungu atunusuru tutakwenda choma ss

  • @malakimisana8956
    @malakimisana8956 4 роки тому +2

    Wekeni zote mbona tamu Sana, halafu na kesho kiwepo hiko kipindi

  • @mariammbise5588
    @mariammbise5588 4 роки тому

    Millard Ayo upo good

  • @Dm-yq9wn
    @Dm-yq9wn 4 роки тому +7

    Hivi vitu vipo sanaa anacho ongea nikweli kabsa

  • @adidjakhalfani8794
    @adidjakhalfani8794 4 роки тому +4

    Mmmh niatari😢😢

  • @fainnamvungi4364
    @fainnamvungi4364 4 роки тому +4

    Aaacha tu lipite...vizur kakwambia ukwel

  • @samiraabdimahamed4449
    @samiraabdimahamed4449 4 місяці тому

    Ameona mwanamke tajiri anataka mtoto, lakini angekuwa maskini angemkimbia mtoto. Mario pro Max😂😂😂😂😂

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 4 місяці тому

    Ila wanawake, yaani nikakae na mtu kirahisi tu
    Mi naogopa

  • @vero57
    @vero57 4 роки тому +1

    Huyo mumeo akijua atakuacha vibaya sana

  • @princenelsonsinko5237
    @princenelsonsinko5237 4 роки тому +2

    Yaani huyu mwanaume mjinga sana mtu kakwambia ana mme na Kisha ukampa mtoto Leo unakuja kumwanika nje...acha hizo kaka

  • @latriciah01augustino67
    @latriciah01augustino67 4 роки тому +2

    Mtakuja kufa yani insta live ukahama na nyumba loooh 🤣🤣 na ghafla ukampenda🤣🤣 loooh kuna watu wana mioyo mepesi yani una fall in love na mtu haujui hata anafanya nini mjini 🙌🏽🙌🏽

  • @mcdamson_classic
    @mcdamson_classic 4 роки тому

    Duuuuh!!! Hi ni nouma......

  • @bebisheni4380
    @bebisheni4380 4 роки тому +2

    Aha kwa hiyo unamuuza mtoto sindio

  • @arafaally2895
    @arafaally2895 4 роки тому +2

    Ela umekula alafu unatoa siri

  • @avithfrancis1491
    @avithfrancis1491 2 роки тому

    wanamke gan mwingine mwenye pesa anayetaka mimba nimpatie😋

  • @comrademlewaisavile336
    @comrademlewaisavile336 4 роки тому

    Duuh apa dunian kuna story
    Millardy namie nastory cjuw nakupataje

  • @saeedakibao6104
    @saeedakibao6104 4 роки тому +5

    Kama kuna mtu kagundua huyu Dada ana sauti inayofanana na sauti ya wema ili twende sawa naomba like yake

    • @izkiwellcome55
      @izkiwellcome55 4 роки тому

      Mm nimemfananiza na nana tokea sauti mpaka uzungumzaji wake

    • @saunakatauyanawausufanyeni9504
      @saunakatauyanawausufanyeni9504 4 роки тому

      we kaka msenge sana mbona umesema ni sili sasa mbona umesema sasa we tulia pesa si umepata bloo.

  • @babyhamisi5331
    @babyhamisi5331 4 роки тому

    Ulifanya vizuri kufikiria mbali madhali umemuokolea ndoa yake basi yatosha

  • @FoxeTv
    @FoxeTv 4 роки тому

    UKWELI UMEPATIKANA UKIMYA WA BELLE 9 KUKAA KIMYA MUDA MLEFU|BIFU ZITO SASA NA MAPRODUCER KUGOMBANIA WIMBO BAADA YA KUPEWA BEAT TU| SNASH NA S2KIZ|FULL INTERVIW
    #forward #share👇👇👇👇🙏
    ua-cam.com/video/nXaXA99Xw3o/v-deo.html
    #BIFU#BELLE9#INTERVIW#FOXEtv

  • @vero57
    @vero57 4 роки тому

    We dada pole sana ni one ni stand hiyo looks like

  • @itongwamtebwa7255
    @itongwamtebwa7255 4 роки тому +2

    Damu ahipotehi siku moja mtoto atarudi kwa babaye

  • @ShemsaKiobya-x8h
    @ShemsaKiobya-x8h 2 місяці тому

    Si ameshakupa ela tayali sasa shida nini, ningekuwa mimi wala nisingekwambia kama umenipa mimba ili niwe na amani

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633 2 місяці тому

    Wadigo hao

  • @ashooraashoora1180
    @ashooraashoora1180 4 роки тому

    Hahaaaha mtazaa hata namjini uwuwiiiii

  • @fridamapundasafi1862
    @fridamapundasafi1862 4 роки тому +2

    Yasaa miaka.21duuuu

  • @marylutengano1555
    @marylutengano1555 4 роки тому

    Kama unge taka mtoto ungekataa pesa ila kutoa Siri Kama hiyo huoni Kama unavunja ndoa ya watu acha tabia za kike hizo

  • @omariddi8916
    @omariddi8916 4 роки тому

    Atari sana

  • @restutamjuni4739
    @restutamjuni4739 4 роки тому

    Wanawake wanawake

  • @kelvinjohn6851
    @kelvinjohn6851 4 роки тому +4

    Kendy nifuate. Ni muendelezo was Social media. 😅

  • @abdymrishachanzeghe3103
    @abdymrishachanzeghe3103 4 роки тому

    Dah

  • @mwajasiomar9809
    @mwajasiomar9809 4 роки тому +1

    Daah sasa huo mziki ni wa nn Millard

  • @joycemwaikambo2162
    @joycemwaikambo2162 2 роки тому

    Hi

  • @nesielias9493
    @nesielias9493 4 місяці тому

    We mwanaume ni umbwa umepewa fedha kwa makubaliano usiseme alafu umezipokea saizi unaomba ushauri mjinga weww

  • @dadaagnes4483
    @dadaagnes4483 2 роки тому

    Kipindi nimekipenda bado kinaendelea?

  • @fatmahamad2448
    @fatmahamad2448 4 роки тому

    Sasa nauliza uyo mume wa uyo mwanamke alikua hanauzazi ama VP ata atafute mwanamme mwengine mpaka akapata ujauzito wa mwanamme mwengine naona sielewi kilichomfanya akabeba ujauzito usio wa mumewe

  • @mbarakaubuguyu7448
    @mbarakaubuguyu7448 2 роки тому

    Hiyo story mepia imenikuta

  • @msafirlaizer2368
    @msafirlaizer2368 4 роки тому +1

    Kavunja Siri huyu fala😒

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 2 роки тому

    DNA

  • @dianacarlos7580
    @dianacarlos7580 4 роки тому

    Hmm ni hatari 😔😊

  • @alihaji7201
    @alihaji7201 4 роки тому

    Zariiii nahuku zipo mbeguu

  • @isacklemejio1120
    @isacklemejio1120 4 роки тому

    Hello bro

  • @loyceackim4296
    @loyceackim4296 4 роки тому

    Dunian kuna mambo

  • @frediricknandonde1690
    @frediricknandonde1690 4 роки тому +1

    Duuh mwana una zali sana aisee

  • @tausingomeni2568
    @tausingomeni2568 4 роки тому

    Kaka hana kifua huyu😀😀😀😀dadeki saut ila kama naijua🤣🤣🤣

  • @norjtampugaosaad8796
    @norjtampugaosaad8796 4 роки тому +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤

  • @rashidnyange3859
    @rashidnyange3859 4 роки тому +1

    Inaitaji uwenamoyo

  • @vero57
    @vero57 4 роки тому +3

    MTAKA YOTE HUKOSA YOTE

  • @jenidalley
    @jenidalley 4 роки тому

    Dah nisingesema nimepata mimba walaaa ila mtaji ningempa......huyu mwanaume ipo siku atajitokeza live 🙆😏....Usichokijua hakiumizi jamani, huyu mtoto kesho awe mtu maarufu mwenye pesa hasa, huyu baba halali bado atavumilia?!!! Mnisamehe bure nawaza kwa sauti tu

  • @witneyjerry1293
    @witneyjerry1293 4 роки тому

    Mdada mjinga sana

  • @vero57
    @vero57 4 роки тому +1

    Huyu dada kama mkenya vile 😃😃

  • @shemsamsellem5640
    @shemsamsellem5640 2 роки тому

    Vizuri asingemwambia kama ana mimba

  • @sillasmsenga1414
    @sillasmsenga1414 4 роки тому

    Sijui na mimi nitoboe hii siri laki i naogopa nita mharibia ndoa yake japo yeye ndo alini danganya hana mume.

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 4 роки тому

    Mapenzi ya fb😂😂😂😂😂

  • @msalikemedia
    @msalikemedia 4 роки тому

    Aliesikia tunamimba aweke like hapa twende sawa😀😀

  • @michaelclean8444
    @michaelclean8444 4 роки тому

    Imagine huyo mwanaume anasikiliza haya maongezi kwamba amesalitiwa na mtoto sio wake

  • @irenekitomary7271
    @irenekitomary7271 4 роки тому +1

    Duuuuuuu

  • @petermatunda238
    @petermatunda238 4 роки тому +7

    Wewe zuzu, Yaani unaacha damu yako kisa 6m? Labda umebambikiwa, lkn km ni damu yako kweli, mrudishie pesa yake mtoto wako akikua atakuletea zaidi ya trioni

    • @innocentmalemo6671
      @innocentmalemo6671 4 роки тому +1

      Aliyetoa hela ndo alijiroga damu ninguvu kuliko maji uyo mtoto iposiku atakuja tu atajileta mwenyew tu atakuja kuwasumbua mpaka atataja baba mtoto uyo mmama

    • @innocentjoseph805
      @innocentjoseph805 4 роки тому

      @@innocentmalemo6671 true wajina, but nahis Kama na ww upo kwenye mlolongo Kama huo?

    • @innocentjoseph805
      @innocentjoseph805 4 роки тому

      @@innocentmalemo6671 utani tu.

    • @innocentmalemo6671
      @innocentmalemo6671 4 роки тому

      @@innocentjoseph805 haaaaaaaaaahaaaah mi imenikuta ya mdada kuficha mtoto et hataki nimuone na hataki mazoea nimim nikapotezea mwisho wa siku yy mwenyew alinitafta

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 4 роки тому +1

    Kuna limoja eti lime mwacha mkewe huko aliko toka kuja hadi nilipo tufunge ndoa kisiri. Haa. Alipo tua Tanzania tu hivi eti nipo hoteli Fulani nakunipigia video call, nilimpiga block hilo hadi alirudi kwao bila kuniona. Na hakika amejifunza kuheshimu wasichana

    • @bongoupdatestv9322
      @bongoupdatestv9322 4 роки тому +1

      Ulikosea aisee. Ungemwambia ukweli tu. Mpaka mtu anatoka nchi nyingine anakufuata. Sio vizuri aisee

    • @bjzee1981
      @bjzee1981 4 роки тому +1

      @@bongoupdatestv9322 . Nilisha muelewesha vyakutosha siolewi na mtu mwenye mke na kisha mtu nisie mjua tena ndio nilikua nilikua mwaka wangu wa mwisho chuo. Ila akajifanya king'ang'anizi na kusafiri bila kunijulisha anakuja. Kanishtukizia yuko hoteli Fulani niende nikamwone ndio twende nae kwetu. Kumbe huku kamdanganya mkewe anasafiri kikazi. Nilipokataa ndio aka niambia alivyo mdanganya mkewe kwa ajili yangu. Ila itakua funzo kwake na kwa wengine wanao penda kudandia ovyo wanawake mitandaoni

  • @ladymashaallahilikeuaadvis997
    @ladymashaallahilikeuaadvis997 4 роки тому

    JAMANI mapenzi ya mtandao hahahaaaaaaa

  • @isacklemejio1120
    @isacklemejio1120 4 роки тому

    Kaka

  • @jacksonlusagalika
    @jacksonlusagalika 4 роки тому

    duh

  • @shubemponda5470
    @shubemponda5470 4 роки тому

    Huyu jamaa hayupo sawa, kwa nn anatoa hii siri?? Hiyo ni siri yenu brother, huyo mdada akikusikia kupitia hapa hawazi kukuamini tens, atakupotezea

  • @roseberryhamoud6542
    @roseberryhamoud6542 4 роки тому

    Ni ujinga.

  • @adammakoye4198
    @adammakoye4198 4 роки тому +1

    Tuna mimba

  • @mzeemzee4748
    @mzeemzee4748 4 роки тому +1

    Miladi sheria ya dini ya kiislam mtoto sio wa kwake huyo ni wa mumewe ila sio vzr kulizungumza radioni yule mumewe anaweze akaipata hii story akavuta picha akaharibu ndoa ya watu kuvunjika kwa ndoa majukumu yote atayabeba yeye

  • @abbyramsay3971
    @abbyramsay3971 4 роки тому

    Pole chenzea tanga ww

  • @magejuliani5293
    @magejuliani5293 4 роки тому

    Duh! Pole dume la mbegu!

  • @tnewssanka7640
    @tnewssanka7640 4 роки тому +1

    Doooh

  • @mohamedalaraimi6813
    @mohamedalaraimi6813 4 роки тому

    Laana tupu hii haikubaliki kabisa si kikirsto si kiislam at si kibinaadamu

  • @manyotaskipper5765
    @manyotaskipper5765 4 роки тому

    Nenda KWENYE FACEBOOK YAKE KAKINUKISHE MUMEWE ATAONA SASA USHAMPA MIMBA YEYE ANAFAIDIKA Zidi ya hizo milion 6 kupitia mtoto wako

  • @stephanolusogole6439
    @stephanolusogole6439 4 роки тому

    Du pole yake

  • @YRapper
    @YRapper 4 роки тому +3

    Anipe milion moja tu namuongezea mapacha

  • @hasanuntv4468
    @hasanuntv4468 4 роки тому

    SUBSCRIBE CHANNEL HII KUPATA MATUKIO YA KIDINI.